Utepe Mweupe na W/Mkuu Pinda wajadili namna ya kupunguza vifo vya wajawazito

  • Ni kujadili namna ya kupunguza vifo vya wajawazito
Mkutano wa Utepe Mweupe na Waziri Mkuu ukiendelea
Mkutano wa Utepe Mweupe na Waziri Mkuu ukiendelea

Na Mwandishi Wetu

MUUNGANO wa Utepe Mweupe (White Ribbon Allience for Safe Motherhood Tanzania) wiki hii walikutana na Waziri Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda na kujadiliana namna ya Serikali inavyoweza kuokoa maisha ya wajawazito hasa wakati wa kujifungua. Pia mkutano huo ulirejea ahadi ambazo

Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete katika maadhimisho ya Miaka 37

Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza matembezi ya mshikamano kutoka Soweto, Mwanjelwa, hadi Uwanja wa Sokoine, ikiwa ni moja ya shughuli za maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama hicho tawala. (picha: Ikulu)

Picha zaidi za tukio hili zimepachikwa hapa chini...

Mosquito net company partners with research institutions to tackle crop pests

Report from US Agency for International Development — Bed nets are nothing new in international development, but a leading company in mosquito netting has turned its attention – and its nets – toward improving agriculture.

Under Feed the Future, a collaborative research project has brought together A to Z Textile Mills in