Mawaziri wakutana na waandishi wa habari kuelezea maendeleo ya elimu

Mawaziri Ali Juma Shamuhuna na Shukuru Kawambwa wakiongoza mkutano ulowashirikisha maofisa kutoka Wizara hizo jana.

Na Donald Martin Kabemba — Waziri wa Elimu na Ufundi, Shukuru Kawambwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Ali Juma Shamuhuna kwa pamoja wamekutana kujadili mwenendo wa elimu Tanzania na kuchambua matokeo ya Kidato cha nne hususani viwango vya kufaulu na kufeli na hatimaye

Video ya kwanza iliyoanzisha “Kijiwe cha Ughaibuni”

Kinana awapiga picha Bloggers wa Tanzania na Rais Kikwete

Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na ma-Bloga wa Tanzania wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 37 ya uhai wa CCM katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya. CCM ni chama ambacho kinachothamini sana mitandao hasi ya jamii.

Picha hii imepigwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahmana Kinana (anaonekana hapo chini...)

Trailer of the “Taste of Tanzania” Cookbook by Miriam Rose Kinunda

Taste of Tanzania: Modern Swahili Recipes for the West

Rais Kikwete atembelea majengo ya Bunge, Dodoma

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua sehemu ya kukalia katuka Bunge jijini Dodoma alikotembea kukagua inayokarabati na kufanyiwa marekebisho tayari tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye mwezi huu. (picha: Ikulu)