MoBlog interviews Brazilian Ambassador on Brazil hosting Soccer World Cup

MOblog Tanzania’s Chief Editor, Damas Makangale in an exclusive interview with the Brazilian Ambassador to Tanzania, Hon Francisco Carlos Soares Luz at his office.

On Wednesday last week, MOblog hosted an exclusive Q and A interview with the Brazilian Ambassador to Tanzania, Hon. Francisco Luz, ahead of the upcoming World Cup Tournament.

MOblog: Brazilians are going to the world cup with a squad of younger and very promising players compared to Spain, Germany and Argentina. To what extent do you think it will help the team to win the trophy?

Ambassador Luz: I think Scolari has done the right thing. He has mixed the team with

Arusha: Kongamano la mabadiliko ya mfumo wa analojia kwenda dijitali

Katibu Mtendaji wa Commonwealth Telecommunications Organisation (CTO) Prof. Tim Unwin, akizungumza na wanahabari wa jijini Arusha juu ya kukamilika kwa maandalizi ya mkutano huo unaoanza Februari 11-14, 2014 katika hoteli ya Naura Spring Arusha. Kushoto ni Habbib Gunze, Mkurugenzi wa Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Kulia ni Katibu Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano Afrika Mashariki (EACO), Hodge Semakula.

[audio] Jamii Production: Mjadala kuhusu bajeti katika familia

Bw. Solomon, Sunday Shomari na Herriet Shangirai wakijadili jambo ndani ya studio za Jamii Production, Washington DC, Marekani.
Bw. Solomon, Sunday Shomari na Herriet Shangirai wakijadili jambo katika studio za Jamii Production, Washington DC, Marekani.
Karibu katika kipindi cha FAMILIA kutoka Jamii Production ambapo katika kipindi hiki, tumejadili suala la bajeti katika familia, umuhimu wake, namna ya kulitekeleza na mengineyo. Wachangiaji studioni walikuwa 

Police warns against one-ring phone scams

(image: marionohio.tv)
Police Department in the city of Yuma, Arizona is warning against a new scam that is costing cell phone users a lot of money after returning a call to a missed phone call from an unknown number.

Police said the scam involves a phone call where the phone rings only once with scammers hoping you will

Wafikishwa kortini kuhusu ARV bandia za TPI zilizosambazwa na MSD

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam pia ni Mkurugenzi Mkuu Kiwanda cha Kutengeza Dawa (TPI Ltd) Ramadhani Madabida na wenzake watano wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, wakikabiliwa na mashitaka matano ya usambazaji wa Dawa bandia za kurefusha maisha kwa waathirika wa UKIMWI na kuisababishia Bohari Kuu ya Dawa (MSD) hasara ya zaidi ya Sh. milioni 148.3. 

Mbali na Madabida washtakiwa wengine ni Meneja Uendeshaji Seif Shamte, aliyekuwa Mwenyekiti wa

Rais Kikwete aifariji familia ya marehemu Mhe. Patrick Quorro

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombelezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Karatu Waziri wa Kilimo na Ushirika Serikali ya awamu ya kwanza, Mhe. Patrick Qorro (72) aliyefariki dunia usiku wa kuamkia Jumamosi baada ya kuugua kwa muda mfupi na kulazwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili kitengo cha Mifupa ( MOI) jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombelezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Karatu Waziri wa Kilimo na Ushirika Serikali ya awamu ya kwanza, Mhe. Patrick Qorro (72) aliyefariki dunia usiku wa kuamkia Jumamosi baada ya kuugua kwa muda mfupi na kulazwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili kitengo cha Mifupa (MOI) jijini Dar es Salaam (picha:IKULU).
Marehemu Qorro ambaye wakati wa Serikali ya awamu ya kwanza aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali, ikiwamo Waziri mdogo wa Kilimo na Ushirika na baadaye kuwa waziri kamili wakati wa awamu ya

UK Oil and Gas Trade Mission to Tanzania

HE British High Commissioner, Dianna Melrose (at the center) and Ms. Anne MacColl-Chief Executive of Scottish Development International (at the left) and Mr. Neil Golding-Head of Oil and Gas from Energy Industries Council-(at the right)
HE British High Commissioner, Dianna Melrose (at the center) and Ms. Anne MacColl-Chief Executive of Scottish Development International (at the left) and Mr. Neil Golding-Head of Oil and Gas from Energy Industries Council-(at the right)
PRESS RELEASE

An oil and gas industry delegation from the United Kingdom will visit Tanzania from the 10th – 11th February 2014 to explore the growing investment opportunities for British businesses in the country. This is a joint trade mission led by Scottish Development International (SDI) and the Energy Industries Council (EIC) and it is the first time they are visiting Tanzania.

SDI and EIC will be accompanied by 34 companies representing a cross section of the UK oil and

Rais Kikwete akutana na Mjumbe wa EU na Shirika la Global Volunteers’ USA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe toka Umoja wa Ulaya (EU) kutoka kwa Mkurugenzi wa EU pembe ya Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika ambaye pia ni mjumbe maalumu wa EU kwenye nchi za ukanda wa Maziwa Makuu, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Februari 10, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe toka Umoja wa Ulaya (EU) kutoka kwa Mkurugenzi wa EU pembe ya Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika ambaye pia ni mjumbe maalumu wa EU kwenye nchi za ukanda wa Maziwa Makuu, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Februari 10, 2014. (picha zote: IKULU)

Matokeo ya uchaguzi mdogo wa Madiwani wa Februari 9, 2014

Matokeo ya uchaguzi mdogo wa Madiwani uliofanyika Jumapili, tarehe 9 Februari 2014 katika Kata 27 yaliyotangazwa kutoka kwenye vituo mbalimbali vya kupigia kura, yameripoti ushindi wa Kata kwa mgaganyo wa wingi wa kura kwa vyama kama ifuatavyo:-

CCM: Ubwage Shinyanga; Namikage Lindi; Kiomoni Tanga, lbumu Iringa, Mtae Tanga, Partimbo Arusha,

Thousands of passengers stranded in Hedaru due to heavy rain

Passengers not knowing exactly how to get out of this (photo: DJ Sek blog)
(photo: DJ Sek blog)
Reports from the northern part of Tanzania says thousands of passengers from the northern regions of Tanzania and neighboring countries are stranded in Hedaru, Kilimanjaro due to heavy rain which made it difficult for cars, commercial trucks and passenger vehicles to cross the impassable roads.

Tanzania Mining Report Q1 2014

The Tanzanian mining industry will experience stagnation over the forecast period to 2017.

This will largely be a result of minimal gold production growth. 

Although gold is the current mainstay of the sector, there are plans to diversify into nickel and uranium production in the long term. The mining industry is relatively small in terms of value, but its importance is

Musoma, Ilala, Iringa, Songea wagoma kufungua madukaSongea (picha: Mpenda Mvula)

Imeripotiwa kuwa wamiliki na wafanyabiashara katika maeneo ya mikoa mbalimbali nchini leo wamegoma kufungua maduka yao wakipinga uamuzi wa TRA wa kutaka kila duka liwe na mashine za EFD. Maduka

Mtuhumiwa aliyakamatwa kwa mauaji ya Tarime afariki dunia

Mtuhumiwa wa mauaji ya watu tisa na unyang'anyi wilayani Tarime mkoani Mara, aliyeripotiwa kukamatwa wiki iliyopita Februari 6, 2014 huko mkoani Tanga na kuwa mikononi mwa Polisi akihojiwa, ameripotiwa kufariki dunia katika Hospitali ya Wilaya wakati akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa pumu.

Kamanda wa Polisi Tarime na Rorya, Kamishina Msaidizi Justus Kamugisha, alisema kuwa mtuhumiwa huyo jina lake halisi ni Charles Kichune (38) na alifariki usiku wa kuamkia jana. Majina mengine aliyokuwa

Second bust by Australian navy in a week of a vessel with drugs off Tanzania

Crew members of HMAS Melbourne with seized drugs prior to them being destroyed. Photo: ABIS JAYSON TUFREY
The Australian Associated Press reports that on Friday, Australian warship HMAS Melbourne made

Yericko Nyerere: Waliokwaza na matokeo ya Udiwani kwa CHADEMA

NINAWASHANGAA WALIOKWAZWA KWA MATOKEO YA UCHAGUZI WA UDIWANI HUU KWA CHADEMA

Nimeshiriki hatua zote za uchaguzi katika katika kata 27 nchini, nasema nimeshiriki kwa 100%, sijasimuliwa, wala kusikia tu.

Uchaguzi wa udiwani katika Kata 27 umemalizika kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kujinyakulia ushindi.

Hata hivyo, ushindi wa chama hicho katika uchaguzi huu ulitarajiwa kwa sababu nyingi zikiwemo zile zilizozoeleka nyakati zote za uchaguzi kama, kutumia vyombo vya dola, na serikali kwa ujumla kuwadaidia wao.

Hoja ya msingi hapa ni je haya yametokea katika uchaguzi huu tu ama yalikuwepo katika

The 79 films from 41 countries selected for The 3rd Luxor African Film Festival

(image: artmatters.info)

The board of Luxor African Film Festival (LAFF) has finally revealed its selection for the 3rd edition taking place on 18-24 of March, 2014 in Luxor, Egypt.

Here is the list of the 79 films from 41 countries expected to be screened:

In the Long Narratives Competition, fourteen films will be screened. They include Bastardo (Tunisia), Battle

2014 Korean Government Scholarships for International Students

NIIED GKS-KGSP (Korean Government Scholarship Program)

Benefits: Full tuition, monthly stipend and round-trip airfare

Eligibility: Please read the application guideline.

Admissions Period: February 5 ~ March 28, 2014

Program Duration: September, 2014 ~ August, 2017
- First Year: Korean language training at a designated institution
- Second & Third Year : Master’s program at the KDI School

How to Apply
Please download application guideline for 2014 NIIED GKS-KGSP below. Applicants should apply via