Tanzania’s statement on claims by a UK newspaper on slaughter of elephants

PRESS RELEASE

PRESS STATEMENT ON CLAIMS BY THE SUNDAY MAIL NEWSPAPER


In its last weekend edition, The Sunday Mail Newspaper of Britain published an article entitled: “Tanzania slaughters over 11,000 elephants a year for the bloody trade in tusks and its President turns a blind eye.”

In a completely one-sided article and in complete disregard to one of the cardinal principles of journalism, which compels responsible journalists to balance their stories by seeking responses from

Taarifa ya Tume kuhusu Uchaguzi wa Ubunge, Kalenga

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI 

UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE JIMBO LA KALENGA


Tume ya Tifa ya Uchaguzi imepokea barua kutoka kwa Mhe. Spika wa BUNGE la Jamhuri ya Muungano Tanzania ya kuiarifu uwepo wa nafasi wazi ya Ubunge katika Jimbo la Kalenga lililopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Vijijini, kufuatia kifo cha Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. William Mgimwa aliyefariki dunia tarehe 1/1/2014. Baada ya taarifa hiyo Tume imepanga ratiba ya Uchaguzi mdogo katika Jimbo la

AU selects Nairobi as HQ for African Institute for Remittances

Dar es Salaam — The African Union (AU) Executive Council has selected Kenya to host the African Institute for Remittances (AIR).

A statement availed to East African Business Week from the World Bank, Dar es Salaam Office last week said that the Council asked the African Union Commission to conclude the Host Agreement with the

Call for applications: Anzisha Prize $75,000 Youth Entrepreneurship Prize


ANZISHA PRIZE PARTNERS WITH YOUTH NGO’s TO FIND AFRICA’S BEST YOUNG ENTREPRENEURS


Entries Now Open for $75,000 Youth Entrepreneurship Prize

Johannesburg, South Africa (10 February 2014) – Entries are now open for the Anzisha Prize – Africa’s premier award for the continent’s best young entrepreneurs. This year, youth organisation partners and media brands all over the continent will join forces to find, celebrate and support the most innovative social and business entrepreneurs under the age of 22. Over $75,000 USD in cash prizes will be shared by the

Tanzanian application in the list of Africa winners of Impact Economy Innovations Fund by Rockefeller Foundation and Tony Elumelu Foundation
NAIROBI, Kenya, February 11, 2014/ -- The Rockefeller Foundation and the Tony Elumelu Foundation have announced the winners of the Africa Impact Economy Innovations Fund (IEIF).

Launched in April 2013 at the Africa Impact Investing Forum supported by the Rockefeller Foundation and the Tony Elumelu Foundation, IEIF provides grant capital for entrepreneurs with projects that create

[picha] Ufunguzi wa kongamano la mabadiliko kutoka analojia kwenda dijitali


Waziri wa Habari, vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangara akifuatilia hotuba mbalimbali katika ufunguzi wa Kongamano la 9 la uhamaji wa mfumo wa utangazaji kutoka analojia kwenda dijitali Afrika 2014 (DBSF) ulioanza leo jijini Arusha. Katikati ni Katibu Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano kwa

Taarifa ya TGNP kuhusiana na uteuzi wa Wajumbe wa Bunge la Katiba

11/02/2014


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


Ijumaa Februari 8, 2014 Rais Jakaya Kikwete alitangaza majina ya wajumbe 201 wa Bunge la Katiba, watakaoshirikiana na wajumbe wengine ambao ni wabunge wote wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wapatao 357, wajumbe wa Baraza la wawakilishi Zanzibar wapatao 81 Jumla kuu inalifanya Bunge la katiba kuwa na wajumbe 639.

Kwa mujibu wa sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya mwaka namba 81 ya 2013, Rais amepewa mamlaka ya

Yericko Nyerere: CHADEMA imeng’ara na itashinda 2015

Inawezekana kauli yangu isiwaingie watu masikioni mwao kabisa, lakini nitawaeleza japo kwa kifupi.

Katika siasa kuna kitu kinaitwa siasa za jumla (general politics) na siasa za kijiografia (geography politics)

General politics inahusu mambo yanayohusu siasa za kitaifa bila kuchagua chama au itikadi na hizi mara nyingi husimamiwa kwa katiba, kanuni na sheria za nchi, hapa inahusiana pia na daftari la wapiga kura na

Full Moon Party this Valentine @ Skylight Beach Resort, Malimbe, Mwanza

Heavy rainfall; Strong winds, Large waves warns Tanzania Meteorological Agency

 
TMA warning on heavy rainfall February 2014
Click on the image to enlarge

Lake border dispute: Tanzania surprised to hear what Malawi is planning

The decision by the Malawi government to proceed with oil exploration on the disputed Lake Nyasa (Malawi) has caught Tanzania by surprise, reports East African’s Business Week newspaper.

That, last month, the Malawi government invited the general public to provide feedback on the

[video] Kijiwe cha Ughaibuni (video ya 50)

It’s all official: Dar es Salaam port will now operate 24/7

If well implemented as agreed, the system will not only make the port most competent in the region but will also speed up clearance of goods, attract more businesses and contribute immensely to the economy.

The MoU signing ceremony was graced by the Permanent Secretary in the Ministry of Transport, Dr Shaaban Mwinjaka, in the city on Monday who said the government will work hard to make sure the

Walioruhusu ujenzi wa ghorofa linalochunguila Ikulu wahukumiwa


Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imewahukuu aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Makumba T. Kimweri na mwenzake na Richard Maliyaga kifungo cha kwenda jela miaka tisa au kulipa faini ya sh. milioni 15, kila mmoja kwa kosa la matumizi mabaya ya madaraka yaliyoruhusu ujenzi wa ongezeko la ghorofa sita katika jingo refu la ghorofa 12 lililopo kwenye mtaa wa Chimara na kusababisha lichungulie Ikulu ya Rais jijini humo.

Hata hivyo Kimweri (60) na Maliyaga (55) walinusurika kwenda jela baada ya kulipa faini ya