Uvumilivu una ukomo! Tumekubaliana kuacha unyonge! Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete awaambia Wajumbe

Related story in English is available at TheCitizen -- Don’t fear the opposition, JK tells CCM .

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) katika jengo la White House mjini Dodoma leo, akiwa meza kuu na Makamu wa Rais wa CCM visiwani na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein, na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana. (picha: Ikulu)
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) katika jengo la White House mjini Dodoma leo, akiwa meza kuu na Makamu wa Rais wa CCM visiwani na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein, na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana. (picha: Ikulu)

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete amewataka wanachama wake kuacha unyonge na kujibu mapigo ya wapinzani hasa wale ambao wanaendesha siasa za vurugu katika kampeni za chaguzi mbalimbali nchini.

Rais Kikwete amesema kuwa uvumilivu una ukomo, na kwamba sasa wanachama wa CCM hawana budi kuacha unyonge, kutokana na siasa hizo za vurugu zinazoendeshwa na vyama vya upinzani.

Aliyasema hayo jana mjini hapa wakati akifungua kikao cha kawaida cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM kitakachokutana kwa siku mbili chini ya uenyekiti wake, ambacho ajenda kuu ni kuzungumzia Bunge Maalumu la Katiba.
“Tumelizungumzia hili katika Kamati Kuu, tumekubaliana kuacha unyonge (makofi). Ndiyo

Mhadhiri CBE afukuzwa kazi kwa kufanya ngono na wanafunziBaada ya kunaswa na kamera za usalama (CCTV) zilizofungwa kwenye vyumba vya darasa, Mhadhiri mmoja (jina halikutajwa) amefukuzwa kazini na uongozi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) tawi la Dar es Salaam kwa kubainika kufanya ngono na vitendo vingine vya ukiukwaji wa maadili -- limeandika gazeti la NIPASHE.

Mkuu wa Chuo hicho, Prof. Emanuel Mjema akizungumza na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janet Mbene alisema kuwa vyumba 20 vya madarasa ya chuo hicho vilifungwa kamera hizo mwezi Aprili mwaka 2013 ili kujiridhisha na taarifa za kuwepo kwa matukio ya vitendo vya ngono baina ya walimu na wanafunzi wa kike ambao walikuwa wakipewa alama za juu kwenye mitihani, wizi wa mitihani na matendo mengine yanayovunja sheria:
“Nilipoingia chuoni hapa Januari mwaka jana, nilisikia kuwa kuna baadhi ya wahadhiri wamekosa maadili, wanatoa alama za juu kwa wanafunzi wa kike kwa masharti hata kama

Tanzania game safari $1,970: Visit Arusha, Tarangire, Manyara, Ngorongoro, SerengetiTrip Info: Visits Arusha, Tarangire National Park, Lake Manyara National Park, Ngorongoro Crater and Serengeti National Park and includes game drives.

Departure: Nov. 2 and Nov. 6 from Arusha, land only.

Length: Seven nights.

Sponsor: Abercrombie & Kent, Downers Grove, Ill.

Cost: From $1,970 per person, double. Includes all accommodations, most meals, group transfers,

Taarifa ya Maandalizi kwa Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TAARIFA KWA WABUNGE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Kufuatia wito wa Serikali kuwa Wajumbe wote wanaombwa kufika Mjini Dodoma kuanzia tarehe 16 Februari, 2014 katika Viwanja vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano na Katibu wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar wanapenda kuwaarifu Wajumbe wote maandalizi yafuatayo: -

1.0 USAFIRI WA KUFIKA DODOMA

Wajumbe wote wanatakiwa kujigharamia wenyewe kufika Dodoma kwa vyombo vya usafiri wa umma. Wajumbe watarejeshewa gharama za usafiri wa kufika Dodoma kutoka maeneo wanayotoka baada ya

Serengeti road is not in breach of Treaty: Tanzania argue in EA Court of Justice

Tanzania has dismissed claims that it is violating the East African Community Treaty by constructing a $480 million superhighway across the Serengeti National Park, The EAST AFRICAN newspaper reports.

At the final submission against a case seeking to obtain a permanent injunction on the construction of the highway, the Tanzania government, through its counsel and principal state attorney Gabriel Malata, argued that the East African Court of Justice (EACJ) should dismiss the case with costs because the EAC partner states are yet to ratify the Protocol on Environment and Natural Resources.
“Also there was no violation of the Treaty because the government had, at the time the case was being filed, not decided on the type of road to construct, and after a feasibility study, opted for a gravel road that will have no effect on the ecosystem at Serengeti,”
said Mr Malata.

He also said that if the orders sought by the Africa Network for Animal Welfare (ANAW) are granted, it

Waandishi wa habari za ukatili wa kijinsia wapongezwa

Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA), Valerie Nsoka  akizungumza na wahariri na waandishi wa habari  (hawapo pichani)  leo Makao Makuu ya Ofisi hizo, Sinza Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA), Valerie Nsoka akizungumza na wahariri na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Makao Makuu ya Ofisi hizo, Sinza Jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA), Valerie Nsoka amevipongeza vyombo vya habari kwa kutoa ushirikiano wa uandishi wa habari za ukatili wa kijinsia ambao umeonesha mafanikio kwa sasa ukilinganisha na mwamko uliokuwepo miaka ya nyuma.

Bi. Nsoka ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akiwasilisha taarifa ya matokeo ya utafiti wa mradi wa GEWE II (Mpango wa kutokomeza ukatili na unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto) kwa wahariri na waandishi wa habari waandamizi kutoka

Tamko la Dk Kigwangalla kuhusu mchakato wa Katiba Mpya

TAMKO LANGU KWA UMMA KUHUSU MCHAKATO WA KUANDIKA KATIBA MPYA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIANdugu wanahabari na Watanzania wenzangu,

Nimekuwa nikilazimika kujibu maswali mbalimbali kutoka kwa wanahabari, ndugu, jamaa na marafiki kuhusiana na namna mchakato wa kuandika katiba mpya ya Taifa letu unavyoenda; wengi wakipenda kujua nini mtazamo wangu kuhusu mambo mengi, haswa hili la serikali mbili ama tatu kwenye muungano wetu. Mara nyingi nimekuwa nikikwepa kusema msimamo wangu ni nini kwa sababu niliona ni vema nikajipa muda wa kutafakari kabla ya kuamua kujenga msimamo yangu. Ila kwa kuwa wakati wa kwenda Bungeni umefika na mimi nimepata bahati ya kuwa miongoni mwa wajumbe wa Bunge hili la kihistoria nimeona leo nitoe mtazamo wangu.

Kwanza, nianze kwa kuonesha wasiwasi wangu kama tutaweza kufika salama huko tuendako. Si kwa sababu za kitabiri kama mnajimu, la, ni kwa sababu za kisayansi, ambazo nitaziweka wazi hapa kama ifuatavyo:-

[video] Mario Balotelli's fantastic long range goal against Bologna

Sawa, una mahusiano ya kimapenzi na bosi wako, lakini fahamu haya...

Je una mpango au tayari una mahusiano na mkubwa wako wa kazi (bosi)?

Nini kinafuata?

Ukweli ni kuwa, mahusiano katika eneo la kazi si jambo geni. Mahusiano yanaathiri (zaidi kwa wasichana, na hasa warembo), walioelimika na wasioelimika, matajiri kwa maskini, kwenye makampuni madogo na makubwa sehemu zote. Kama umeingia au una mpango wa kuingia katika mahusiano hayo, fahamu kuwa unayafanya maisha yako ya kazini kuwa magumu na tata.

Ni kweli pia kuwa si mara zote watu hutoka na kudhamiria kuwa na mahusiano kazini ila hujikuta tayari wamo.

Kabla hujaanza mahusiano na bosi wako, au katika hali yoyote ambayo umejikuta tayari una mahusiano hayo, tafiti na jiulize haya yafuatayo:-

So, you were "White" last year but are "Black" this year? Stereotypes drive perceptions of race - Study finds

On my way home from work one morning I was tuning to NPR when I heard something that new and thought sharing with readers here would come in handy to some researchers when doing their next research, if at all race will matter significantly in their study and conclusion of racial disparities, as well as to a tip to some critics if this in anyway will boost their skills in constructing an argument.

That, while in some countries with diverse population, Governments, schools and companies keep track of people’s race, but did you also know that someone who identified him/herself as White, Black or Asian at one time may identify him/herself otherwise? – This much I didn’t know.

But, as the NPR host Steve Inskeep spoke to the NPR’s social science correspondent, Shankar Vedantam, I came to learn that a person identified his/her race not necessarily based on their genetic and phenotypic composition, but circumstances could change the way they perceived their race or that of others.

Yeah, even family members and society that the person grew in, put them in a different category of race not by their physical look, but by random circumstances they went through (emphasis on the word ‘random’ there because if it were not the case, then the effect of those defining themselves as belonging to one race one year only to change it in the following years, would not have had a affected much of the study findings.)

It is confusing, I know. But head on to the NPR website and listen to the conversation/read transcription, it may come clear to you with examples given, if you were as confused as I was.

Huh? Food poisoning after coitus from partner who ate fish toxin? Now this is new!

I was reading NPR news today, when I came across this rather, odd story to me --and definitely some new realization -- that some women became ill after having coitus with their husbands. Why?

'Turns out, the blame was not on the usual and commonly known STDs but, some fish neurotoxin called “ciguatera.”

That, it was noticed in some men who ate species of some tropical fish and a few hours later started having stomach pains and diarrhea, tingling and burning in legs. What’s more bizarre with the symptoms is

Dr David Ndii analysis on how Pres. Uhuru’s Std gauge railway will bring economic suffering to Kenyans

So far, the raging debate on the proposed standard gauge railway is focusing on dodgy procurement.

There are also questions about the cost although, on the whole, it is not evident that it is grossly overpriced. Many people seem to be under the impression that it is otherwise a good investment. It is not.

Three hundred billion shillings is not loose change. If it proceeds, it will be the biggest loan that we have borrowed to date. It will increase our external debt by close to one third, our debt to GDP ratio by nine percentage points and our interest payments on external debt by 50 per cent.

The annual repayment of the principal amount translates to over Sh600 million per county – you may want to

Call for applications: Digital repositories and Web 2.0 Tech learning

CALL FOR APPLICATION: DIGITAL REPOSITORIES AND WEB 2.0 TECHNOLOGIES LEARNING OPPORTUNITY (8-11 April, 2014)


Date: 8th – 11th April, 2014
Venue: Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS)
Organized by: Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS), Directorate of Library Services
Course Fee for Tanzanians: 300,000 TShs
Course Fee for Non-Tanzanians: US$ 300

Overall Course objectives:

This four days workshop, will introduce participants to the terminology and some of the software tools that support development of institutional repositories, optimizing access to content in digital library and repository through Web 2.0 technologies.

Course Main Topics:
  1. Introduction to basic digital library, repositories and web 2.0 terminologies
  2. Introduction to open source software: work with linux software
  3. Work with dspace software to set up a digital repository
  4. Use web 2.0 to feature the contents of a repository
  5. Online publishing through web 2.0 tools
Who Should Attend? 
Professionals involved in information management, institutional management, librarians, lecturers, project administrators and any other professional who has a use for ICT or digital repository in their work.

Training Format: Training over 4 consecutive days, Face to face in a group setting and practical sessions for online cataloguing tools, Attendance on all 4 days is required for certificate of completion.

Deadline for application: Kindly submit your details to the undersigned by close of Tuesday 1st April, 2014 business.

Charles Marwa, Tel: 0713422199 and/or Kesia Rad - 0752044896
Email: [email protected] and/or [email protected].