Baraza la Vyama vya Siasa hlijajipanga kuwania Uenyekiti Bunge la Katiba

Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania, Peter Kuga Mziray, alipoulizwa na gazeti la NIPASHE kama vyama vya upinzani vimeweka mkakati wowote wa kumpata Menyekiti wa Bunge hilo, alisema hakuna:
“Kimsingi hakuna mkakati wowote uliowekwa na wapinzami katika kuwania nafasi hiyo, ninachokiona ni kwamba wagombea urais wanaweza kujipenyeza katika suala hili/”
Mziray ambaye ni Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha APPT Maendeleo, alisema mashaka yaliyopo ni kwamba makundi ya urais 2015 yaliopo ndani ya CCM ni lazima yanaweza kujipenyeza katika mchuano wa nafasi ya Mwenyekiti wa Bunge la Katiba.

Raha na karaha ya Bunge la Katiba huko Dodoma

Mji wa Dodoma umefurika watu huku huduma mbalimbali za kijamii kama vile vyakula na vyumba vya kulala wageni vikipanda bei.

Uchunguzi uliofanywa na gazeti la NIPASHE lililofanikiwa kupita katika baadhi ya nyumba za kulala umejionea ukarabati katika nyumba hizo lakini ukabaini kuwa nyingi zilikuwa zimejaa na tayari wafanyabiashara waliuwa wamepandisha kodi. Pia gharama za bidhaa mbalimbali zimepanda bei.

MALAZI
Vyumba vya kulala wageni vya kawaida vilivyokuwa vinapangishwa Sh. 15,000 sasa

Bunge la Katiba: Wajumbe watalipwa 300,000/=, Kashililah azungumza zaidi

Thomas Kashililah
Thomas Kashililah
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Thomas Kashillilah, amewaambia waandishi wa habari hayo Bunge Maalumu la Katiba litazinduliwa rasmi Februari 26, 2014 huku kila mjumbe akilipwa posho ya shilingi laki tatu na siyo shilingi laki saba kama ilivyochapishwa katika baadhi ya vyombo vya habari.
“Sisi tumesikia kuwa Wabunge wa Bunge la Katiba wanalipwa 700,000 na wala hatujui hili limetoka wapi, kwanza mamlaka ya kuidhibisha posho ni la Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania na hajaidhinisha Sh. 700,000.
Alisema Wajumbe watalipwa posho ya kawaida ya Serikali ya siku (hakuitaja), lakini alisema kutawakuwa na kodi maalumu ambayo itahusisha posho ya kikao, usafiri, malipo kwa madereva na mengineyo. Hivyo posho ya kawaida itakuwa Sh 80,000/=
“Kwa hiyo posho aliyoidhinisha ni posho inayolipwa sasa... kwa maana fedha ya kujikimu ni

Recommendations by Scientists in Uganda regarding homosexuality

PRESS RELEASE

PRESENTATION BY A TEAM OF SCIENTISTS FROM MOH AND MAKERERE UNIVERSITY ON HOMOSEXUALITY AND GENETICS IN HUMANS

A Ministerial Committee comprising of scientists from MOH and Makerere University was set up to study homosexuality and genetics in human beings and advise the President and the NRM Caucus on the subject of homosexuality.

The committee comprised of;

Man's body found in South African Airways wheels at Dulles Airport, USAUS authorities said crews found a man's body on Saturday in the wheel well of a South African Airways jetliner at Dulles International Airport in Virginia.

Tlali Tlali, a spokesperson for South African Airways, told NBC Washington that Flight SA 207 originated from Johannesburg and landed at Dulles Wednesday after making a stop in Dakar, Senegal.

Authorities had yet to identify the man, whose body was found by a ground crew about 1:30 p.m. EST, WRC-TV, Washington, reported.

Tlali said the airline regrets "any loss of human life and are deeply concerned about the suspicious circumstances surrounding this incident."

The body was turned over to the Fairfax County Medical Examiner.

Tanzanian students to start creating new software for Microsoft, Nokia

Tanzania's University of Dodoma (UDOM) will soon start making software which is to be used for Microsoft platforms such as Windows as well as Nokia mobile phones, an official told Xinhua on Sunday.

George Mulamula, an senior official of the Dar es Salaam Technology and Business Incubator (DTBi), said that the special program to that effect is expected to start next month at UDOM in the central part of Tanzania and later also involve other institutions of higher learning such as the University of Dar es Salaam.

DTBi is an independent autonomous entity of Tanzania through the Commission

Picha za kikao cha NEC-CCM leo Jumapili


Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana baada ya

Waraka wa Lema: Mh Rais Kikwete mbona umeamua kuangamiza Taifa?

Mh Rais nakusalimu.

Kauli yako iliyonukuliwa na vyombo mbambali mbali vya habari wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wako wa NEC (CCM ) ni kauli hatari na yenye laana kubwa sana ya damu za Watu wengi katika Taifa letu . Ninaona wakati mgumu mwingine ambao Taifa letu linaingia kwa sababu ya kauli yako ambayo sasa imetangaza mauaji rasmi yatakayoongozwa na Viongozi mbali mbali wa CCM Nchi nzima huku Polisi wakiendelea kusimamia kama kawaida yao .

Mh Rais , Kwa mujibu wa maneno yako umethibitishia Umma wa Watanzania kuwa mmejadiliana kwenye kamati Kuu na kukubaliana kuwa sasa yale mambo mliyokuwa mnayafanya kwa kificho sasa yamethibitishwa na Kamati Kuu ya Chama chako na kutangazwa na wewe mwenyewe kuwa, kuumiza, kuua, kutesa na kudhalisha sasa imekuwa sera rasmi ya CCM na umeithibitisha kauli hiyo mbele ya

Picha na Hotuba ya Rais Kikwete alipozindua MVIMAUTA ya WAPO Mission

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa  kuzindua Sera ya Mtandao wa Vikundi vya Maadili na Uchumi Tanzania (MVIMAUTA)  iliyoasisiwa na   Askofu Mkuu Sylvester Gamanywa, Mwangalizi Mkuu wa Kitaifa, wa WAPO Mission  International  na Mwasisi wa Maono ya Harakati za Maadili kwa Kizazi Kipya katika ukumbi wa BCIC Mbezi Beach jijini Dar es salaam  Jumamosi, Februari 15, 2014 Picha na IKULU
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa kuzindua Sera ya Mtandao wa Vikundi vya Maadili na Uchumi Tanzania (MVIMAUTA) iliyoasisiwa na Askofu Mkuu Sylvester Gamanywa, Mwangalizi Mkuu wa Kitaifa, wa WAPO Mission International na Mwasisi wa Maono ya Harakati za Maadili kwa Kizazi Kipya katika ukumbi wa BCIC Mbezi Beach jijini Dar es Salaam Jumamosi, Februari 15, 2014

(Picha, Hotuba: IKULU)

HOTUBA YA MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA UZINDUZI WA SERA YA MTANDAO WA VIKUNDI VYA MAADILI NA UCHUMI TANZANIA (MVIMAUTA), KWENYE UKUMBI WA BCIC, MBEZI BEACH, TAREHE 15 FEBRUARI, 2014


Baba Askofu Mkuu Sylvester Gamanywa, Mwangalizi Mkuu wa Kitaifa, wa WAPO Mission International na Mwasisi wa Maono ya Harakati za Maadili kwa Kizazi Kipya;

Mheshimiwa Sadiq Meck Sadiq, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam;

Askofu Michael Peter Imani, Mwangalizi wa Makanisa ya WAPO Mission International, Kanda ya Dar es Salaam na Pwani;

Maaskofu Waangalizi wa Wapo Mission;

Ndugu Waumini;

Wageni Waalikwa;

Mabibi na Mabwana;


Shukrani kwa Mwaliko

Nakushukuru sana Baba Askofu Mkuu Sylverster Gamanywa na viongozi wenzako wa Wapo Mission International kwa kunialika na kunishirikisha katika tukio hili la kihistoria la kuzindua Sera ya Mtandao wa

Kipanya: Kuku (Bunge la Katiba) kaatamia, mayai sijui viza ama atatotoa?

US group denounces mayor’s trip to Tanzania citing human rights abuses

A local US political club, United Democrats of Southern Solano County is condemning Vallejo Mayor Osby Davis’ pending good-will trip to Tanzania, reports Jessica A. York for TimesHeraldOnline citing human rights abuses perpetuated by the country as cause for concern.

“Davis is set to join a delegation of Vallejo Sister City Association members and area business leaders in an eight-day trip to Tanzania and surrounding areas, beginning Feb. 22. Bagamoyo is one of six "sister cities" and is not the first country to be visited by a Vallejo government delegation.”
“Tanzania has a record of human rights abuses against LGBT (lesbian, gay, bisexual, transgender) citizens, women, children, religious group including Christian, the disabled, various