Foleni ya magari barabara ya Michenzani, Zanzibar

"Zanzibar ni Njema, Atakae Aje", mji wa Unguja unazidi kukuwa kwa kuengezeka kwa magari na kusababisha kuongezeka kwa foleni barabarani kama inavyoonekana barabara hii ya Michezani kuwa na foleni kubwa ya magari (picha: ZanziNews.com)
 "Zanzibar ni Njema, Atakae Aje", mji wa Unguja unazidi kukuwa kwa kuengezeka kwa magari na kusababisha kuongezeka kwa foleni barabarani kama inavyoonekana barabara hii ya Michezani kuwa na foleni kubwa ya magari (picha: ZanziNews.com)

Job opportunities at TANESCO

The Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) is focusing on increasing the outreach and service quality of its Energy products for Tanzanians. Next to its current passion as a leading provider of electricity is to be more efficient customer focused utility for Tanzania and beyond.

The Company has the largest electricity generation, transmission and distribution network in Tanzania. In order to reach its goals, the Company will, in the coming years invest heavily in its generation, transmission and distribution network, its business systems and human capital. TANESCO now invites applicants who are self-motivated, honest, hardworking and committed individuals to fill the under-mentioned posts.

Specific attributes for the Positions to be filled:

All Candidates must:-

Taarifa kwa Wanafunzi wa Chuo cha Maji ya mabadiliko ya tarehe ya kufungua


Italy: President asks unelected Matteo Renzi, probably youngest PM, to form government

(image: vanityfair.it)

According to Reuters, Italian President, Giorgio Napolitano has asked center-left leader Matteo Renzi to form a new government following the resignation of former Prime Minister Enrico Letta last week, an official from the president's office said on Monday.

Renzi, who met Napolitano for 90 minutes, will need to seal a formal coalition deal with the small center-right NCD party to secure a governing majority and name his cabinet before seeking a formal vote of confidence in parliament later this week.

Brief profile of Matteo Renzi according to the BBC

Matteo Renzi, the charismatic young mayor of Florence, was elected last December as leader of Italy's most

Wanachuo Kleruu wagoma wakidai huduma ya maji na umeme


Habari kwa mujibu wa gazeti la MAJIRA zinasema kuwa Wanafunzi wa Chuo cha Ualimu cha Kleruu, kilichopo Gangilonga katika Manispaa ya Iringa, walifanya mgomo wa kutoingia darasani na kuandamana wakipinga kukatiwa umeme na maji kwa kipindi cha wiki tatu mfululizo. 

Maandamano hayo yalianzia chuoni hapo jana kwenda nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa huo, Dkt. Christine Ishengoma ili aweze kuingilia kati tatizo hilo, lakini yalidhibitiwa na Jeshi la Polisi wakiwa

Taarifa ya uteuzi wa Felix Ngamlagosi kuiongoza EWURA

Felix Ngamlagosi
Felix Ngamlagosi 

Taarifa inatolewa kwa umma kwamba, kwa mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha Sheria namba 14(1) cha Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji, Sura Na. 414, Waziri wa Maji, Mhe., Prof., Jumanne Maghembe (MB), ambaye pia ni Waziri anayehusika na EWURA, amemteua Bw. Felix Ngamlagosi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), kuanzia tarehe 1 Februari 2014.

Bw. Ngamlagosi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Haruna Masebu, aliyemaliza muda wake tarehe 31 Desemba 2013, baada ya kuitumikia Mamlaka kwa vipindi viwili vya miaka

[video] Membe asema: “Chama inabidi sasa kichague nani anafaa kuwa kiongozi”

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM), kiruhusu mgombea wa urais mwakani, kujulikana ifikapo Desemba.

Akizungumza na waandishi wa habari kwenye Makao Makuu ya CCM, White House mjini Dodoma, mara tu baada ya kutoka kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ya CCM, Membe alikiri kwamba aliitwa kuhusiana na mbio za urais wa Tanzania mwaka 2015.
"Nazungumza nanyi kwa sababu mbili; moja katika wiki moja iliyopita nimepata meseji nyingi sana na

[Updated: Audio added] News alert: Co-pilot 'hijacks' Ethiopian Airlines plane diverting it to Geneva instead of destination Rome

Fox News reports that Swiss police say they have arrested the co-pilot of an Ethiopian Airlines flight who took the plane to Geneva instead of its intended destination.

Urs Holderegger, a spokesman for the Swiss Federal Office of Civil Aviation confirmed that the plane landed in Geneva at approximately 6:05 a.m. local time Monday.

None of the passengers and crew were injured.
The Latest Press Releases from Ethiopian
Ethiopian Airlines flight ET-702 of 17 February 2014
Ethiopian Airlines flight ET-702 on scheduled service departing from Addis Ababa on 17 February 2014 at 00:30 (local time) scheduled to arrive in Rome at 04:40 (local time) was forced to proceed to Geneva Airport. Accordingly, the flight has landed safely at Geneva Airport. All passengers and