List of job opportunities at The East African Community

Note that, application deadline for each of the vacancies listed below is March 6th, 2014

TMA forecast warning: Heavy rains from 19 - 21 February 2014


Issued by Tanzania Meteorological Agency (TMA)


General guidelines for scholarship applications offered by friendly countries

One of the major activities of the Ministry of Education and Vocational Training (MoEVT) is to coordinate scholarships offered by friendly country.

Countries offering various scholarships to Tanzania include China, Cuba, Russia, Algeria and Macedonia. Others include India, United Kingdom, New Zealand, Australia and Kuwait to name just a few.

Attached here (click to download - pdf) are the general Guidelines. Candidates are advised to read and understand specific guidelines provided by specific call for Scholarship.

All applications should be addressed to:-

The Permanent,
Ministry of Education and Vocational Training,
P.O. Box 9121,
DAR ES SALAAM

Shukurani za Asia Idarous Khamsin kwa kuiunga mkono "Lady in Red"

Asia Idarous akipita kwenye red Carpet
Asia Idarous akipita kwenye red carpet

MAMA wa Mitindo nchini na Mkurugenzi wa Fabak Fashins, Asia Idarous Khamsin amewashukuru wadau mbali mbali kwa kuendelea kulinga mkono onyesho la Mitindo la kila mwaka la 'Lady in red' ambalo kwa mwaka huu limeweza kutimiza miaka 10, tokea kuanzishwa kwake huku likiwa la mafanikio kwa kuibua wanamitindo wakubwa hapa nchini.

Akizungumza Dar es salaam, katika ofisi za Fabak zilizopo Msasani jirani na Kwa Mwalimu Nyerere, Asia Idarous alishukuru wadau mbali mbali waliojitokeza siku hiyo sambamba na wadhamini waliofanikisha kwa shughuli hiyo kubwa hapa nchini.

Asia alisema ni jambo la fadhira kwa kushukuru huku akiahidi kuboresha kama kulikuwa na mapungufu ya hapa na pale. "Muungwana ni vitendo, ‘Lady in red Super brand, 10th Anniversary’ ilikuwa ni ya kipekee kwa mwaka huu, hivyo nawashukuru nyote kwa kuliunga mkono jukwaa la Lady in red 2014, kwa kutimiza miaka hii 10" alisema Asia Idarous.

Na kuongeza kuwa, kuelekea onyesho la mwakani kwa mwaka 2015, jukwaa hilo la Lady in Red, linatarajia kuwa la kimataifa ikiwemo wabunifu wa kimataifa kuonyesha ubunifu wao hapa nchini.

"Kwa sasa tunaelekea anga za kimataifa kupitia jukwaa hili hili la Lady in red, zaidi ni kuendelea kuliunga mkono ilikutimiza ndoto hizi, na hii itasaidia kufungua milango ya wabunifu wetu kujiuza nje ya mipaka yetu" alisema Asia Idarous.

Onyesho hilo la Lady in red 2014, lililotimiza miaka 10, lilifanyika Februari 14, ndani ya ukumbi wa kisasa wa ndani ya hoteli yenye hadhi ya nyota tano ya Serena, ambapo siku hiyo pia ilikuwa ni maalumu kwa wapendanao duniani 'Valentine Day' watu wa kada tofauti wakiwemo mastaa na watu maarufu walijumuika kwa pamoja kuliunga mkono onyesho hilo.

Wabunifu mbali mbali wakiwemo magwiji na chipukizi walipata kuonyesha mitindo ya ubunifu kwenye jukwaa hilo na kuvutia wengi siku hiyo. mbali na ubunifu wa mavazi, pia liliendana sambamba na mapambano dhidi ya dawa za kulevya, huku asilimia kadhaa za mapato yake yalipelekwa kusaidia waathirika wa dawa za kulevya.

Kwa upande wa burudani, wapendanao na wadau waliojitokeza walishuhudia burudani safi kutoka kwa wasanii mkali wa nyimbo za asili, Wanne Star na mkali wa R&B na Afro pop, Nemo ambaye hadi sasa anatamba na vibao mbali mbali ikiwemo My Number One, alichomshirikisha Omy Dimpoz.

Pia Asia Idarous aliwashukuru wadhamini wakuu, ikiwemo kinywaji cha Zanzi na Rasta za Darling. Wengine ambao wamekuwa chachu ya mafanikio ya jukwaa hilo ni pamoja na Michuzi Blog, Vijimambo blog, Dj Bula, CXC, Times FM, Clouds Media, Michuzi Media Group, Channel TEN, Elite Computer, Eventlites, One Touch-Solution, Raysa Style, Paka Wear, Magic FM, DTV, Jambo Leo, i-View media, Vayle Spring, Voice of American na wengine wengi.

Mbunge wa Bunge la Katiba, Mh. Maria Sarungi  akihojiwa na Deo wa Nivana wa East Afrika Television
Mbunge wa Bunge la Katiba, Mhe. Maria Sarungi  akihojiwa na Deo wa Nivana wa East Afrika Television

Mmiliki wa Michuzi Media Group, Mr. Michuzi na mkewe
Mmiliki wa Michuzi Media Group, Mr. Michuzi na mkewe

Asia akiwa na mumewe jukwaani, kushoto ni Miss Universe
Asia akiwa na mumewe jukwaani, kushoto ni Miss Universe

Msanii Nemo akilitawala jukwaa
Msanii Nemo akilitawala jukwaa

Martin Kadinda miongoni mwa wabunifu waliopata mafanikio kupitia jukwaa la Lady in Red
Martin Kadinda. miongoni mwa wabunifu waliopata mafanikio kupitia jukwaa la Lady in Red

---
Habari imeandikwa na kuwasilishwa na Andrew Chale; Picha: Michuzi blog.

Taarifa ya "onyo kali" kwa viongozi 6 waliohojiwa na Kamati ya CCM

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Kati ya tarehe 13/02/2014  na tarehe 18/02/2014 kumekuwa na mfululizo wa vikao kadhaa vya Chama kitaifa vilivyoshughulikia suala la maadili ndani ya Chama.

Vikao hivyo ni pamoja na Kamati Ndogo ya Udhibiti tarehe 13-14/02/2014, Tume ya Udhibiti na Nidhamu 18/02/2014 na Kamati Kuu tarehe 18/02/2013.

Waliohojiwa katika mfululizo wa vikao hivi ni wafuatao:-

  1. Ndg. Frederick Sumaye
  2. Ndugu Edward Lowasa
  3. Ndugu Bernard Membe
  4. Ndugu Stephen Wassira
  5. Ndugu January Makamba
  6. Ndugu William Ngeleja

Baada ya kuwahoji ilithibitika kuwa baadhi ya tuhuma dhidi yao ni za kweli na hivyo

Ajinyonga kwa mkanda wa suruali ndani ya Kanisa

Na Shommi Binda, Mara -- MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Salu Geta(50) mkazi wa kijiji cha Masawe mkoani Simiyu amekutwa akiwa amekufa baada ya kujinyonga kwa kutumia mkanda wa Suruali katika kanisa la Anglikana lililopo kijiji cha Serengeti wilayani Bunda mkoani Mara.

Kaimu kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Mara Claud Kanyorota amethibitisha kutokea kwa tukio baada ya kupokea taarifa kutoka kwa wananchi na kwenda

Vodacom yafungua duka jipya Msasani, Dar es Salaam

Meneja wa Mauzo ya rejareja Elihuruma Ngowi akifungua shampeni kuashiria uzinduzi wa duka la Vodacom Msasani jijini Dar es Salaam. Uzinduzi wa duka hilo unaifanya Vodacom kufikisha jumla ya maduka 76 yaliyokwisha funguliwa hadi sasa.

Tizama moja kwa moja “LIVE online” Bunge la Katiba

Link ni StarTvTz.com/startv-live Link nyingine ya kutizama vikao vya Bunge la Katiba “LIVE” ni www.bungemaalum.go.tz Shukurani kwa @AnnieTANZANIA kwa taarifa hii.

Prof. Penina Mlama succeeds Prof. Issa Shivji at Mwalimu Nyerere Professorial Chair in Pan-African Studies

Prof. Mlama, P.
Prof. Mlama, P.
 This is to inform the University of Dar es Salaam community and the public that, following the retirement of Prof. Issa Shivji, the position of Mwalimu Nyerere Professorial Chair in Pan-African Studies fell vacant.

The University Council at its 220th meeting held on 30th January 2014 appointed Prof. Penina M. Mlama to the position of Mwalimu Julius K. Nyerere Professorial Chair in Pan-African Studies.

Prof. Mlama is a Professor in the Department of Fine and Performing Arts, College of Humanities (CoHu). She has served the University of Dar es Salaam in different academic and managerial positions for many

Call for entries: Media Awards on Electrical Counterfeiting in Africa

CALL FOR ENTRIES: Media Awards on Electrical Counterfeiting in Africa


PARIS, France, February 18, 2014/ -- Schneider Electric, the global specialist in energy management, is sponsoring the first edition of the Media Awards on Electrical Counterfeiting in Africa, to be held between February 18 and March 9, 2014.
This competition is open to African journalists who publish or broadcast original investigative reports on issues relating to electrical counterfeiting in Africa.

Interested journalists can each submit up to two pieces of work, which can include articles from traditional

CCM: Njama za “mitandao ya Urais 2015” za kuwahujumu Kinana, Mangula

WAKATI Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imekamilisha kazi ya kuwahoji baadhi ya viongozi wa chama hicho wanaotajwa kuanza mbio za kusaka urais 2015, kabla ya muda, zimeanza kuvuja fununu za njama za kusukwa hujuma dhidi ya Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahaman Kinana na Makamu Mwenyekiti, Philip Mangula.

Hujuma hizo ni kutoka kwa moja ya makundi ya mitandao ya wasaka urais, ambayo mgombea wao mtarajiwa ni kati ya waliohojiwa kwa muda mrefu kuanza kampeni mapema.

Waliohojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM ni: Waziri Mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa, Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Uhusiano na Uratibu Steven Wassira na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe. Wengine ni Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia Januari Makamba na Mbunge wa Sengerema William Ngereja.

Hujuma dhidi ya Kinana zinakwenda mbali zaidi huku wasiwasi ukitanda huenda hadi hujuma hizo kuweza

Yatokananyo na mwenendo wa kesi ya “Lulu” kuhusu kifo cha Kanumba

“Lulu” (kushoto) na “Dk Cheni” mahakamani hapo jana

MSANII wa filamu Elizabeth Michael “Lulu” amekiri kuwepo nyumbani kwa aliyekuwa msanii mwenzake Steven Kanumba siku aliyofariki dunia, lakini amekana kumuua.
Lulu alidai hayo jana katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam mbele ya Jaji Rose Teemba wakati aliposomewa maelezo ya kesi ya kumuua msanii huyo bila kukusudia.

Baada ya kusomewa maelezo ya kesi na Wakili wa Serikali Monica Mbogo, Lulu alikiri kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Kanumba, pia alidai alikuwepo nyumbani kwa Kanumba siku ambayo alifariki dunia na walikuwa na ugomvi.

Awali Wakili Mbogo alidai kuwa, Lulu na Kanumba walikuwa na uhusiano wa kimapenzi na Aprili 7 mwaka

Kijiwe cha Ughaibuni (No. 53)

Climbers defy experts to reach Kilimanjaro summit wearing just shorts


Hardy: The scantily clad climbers during the long trek to the top
 A group of climbers have scaled Africa's highest mountain - wearing just their shorts.

Dutch daredevil Wim Hof, known as the 'iceman', led a group of 26 people to the summit of the world's highest free standing mountain - Mount Kilimanjaro in Tanzania.

In just 48 hours the group climbed all 5,895m (19, 340ft) without succumbing to hypothermia or altitude sickness - an achievement considered impossible by experts. Clearly, they were in peak condition.

Read more: DailyMail

Wim Hof (right) led a group of climbers to the peak of Mount Kilimajaro in Tanzania - wearing just their shorts

More details emerge of “Tanzanians” with offshore billions

An article in Tanzania’s daily newspaper, THE CITIZEN today revealed some details regarding three individuals out of the seven named in a leaked offshore data.

It has learned that the accused used Tanzanian addresses to register companies and were agents acting and facilitating some local leaders and businesspeople in illicit financial deals. The three, who had set up a web of firms, were undercover offshore service providers being used as conduits of money laundering.
Mr Andre Schmid, Kenji Ibeto and Stuart MacDonald, who used Dar es Salaam addresses – if judged by their names – are either foreigners or Tanzanians by naturalisation.
According to details gathered by The Citizen, the three individuals were planners and executers of offshore finances acting on behalf of locals needing to transact illicit financial outflows or money laundering without being detected. ... Click here to continue reading this article

Tangazo la nafasi za kazi 517 Serikalini


Serikali kupitia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imetangaza jumla ya nafasi wazi za kazi 517 kwa ajili ya waajiri mbalimbali nchini.


Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Xavier Daudi amewataka waombaji wote wa fursa za ajira serikalini kuzingatia masharti ya tangazo, ikiwa ni pamoja na kuambatisha vielelezo muhimu kabla ya kutuma barua ya maombi. Aidha, amesema nafasi hizo za kazi zimewekwa katika tovuti Sekretarieti ya Ajira ambayo ni www.ajira.go.tz. Ambapo ali bainisha kuwa ya mwisho wa kupokea barua za maombi ya kazi ni tarehe 03 Machi, 2014.

Daudi amesema nafasi zilizotangazwa kuwa ni nafasi ya Afisa lishe, Msaidizi lishe, Mlezi wa watoto msaidizi, Afisa ustawi wa jamii, Msaidizi ustawi wa jamii, Mhudumu wa jikoni/mess, Afisa misitu, Msaidizi misitu,

Call to public sector employees/civil servants to apply for a place on the African Leadership in ICT Course 2014


An academically accredited course that is building leadership for Knowledge Society Development in Africa

No course fees required!
This course is for public sector employees/civil servants only.

Application Deadline: March 10th 2014

Course Start Date: May 2014

Course End Date: December 2014

About ALICT

ALICT is an African Union Commission initiative, supported by the Ministry for Foreign Affairs of Finland and implemented by GESCI (Founded by the UN ICT Task Force). ALICT is a blended learning leadership capacity buiding course. The majority of the course is delivered online with three strategic

Call for signatures: Sign petition to support dual citizenship in Tanzania

Dual Citizenship ni :
1. Kwa Ajili ya Wewe
2. Kwa Ajili ya Nchi
3. Kwa Ajili Ya Watoto Wako
4. Kwa Ajili Ya Maendeleo ya Nchi

Tanzanians in the Diaspora believe that dual citizenship will be great Tanzania. Why?


The government has said that it is high time now for Tanzania to allow dual citizenships so as to enable the Diasporas contribute to the country’s development in terms of income and expertise.
It has been said that many wealthy and well educated Tanzanians living abroad fail to contribute to national development because they are denied the right to dual citizenship. ... Click here to read more/Sign the petition

Walimu Kahama huenda wasisimamie Uchaguzi Mkuu Kitaifa 2015

Hali ya vurugu ya kukatana Mapanga kwa Wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na wale wa CCM iliyojitokeza katika Kampeni za uchaguzi Mdogo wa kiti cha udiwani katika kata ya Ubagwe Wilayani Kahama Mkaoni Shinyanga imewatia wasiwasi Walimu katika kusimamia uchaguzi Uchaguzi Mkuu ujao.

Wasiwasi huo ulitolewa juzi na Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Mkoa wa Shinyanga George Nyangusu katika kikao cha Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Wilaya ya Kahama kilichofanyika mjini hapa na kujumuisha wanachama wake wa Wilaya za Ushetu, Kahama Mjini na Msalala.

Katika Mkutano huo ambao ulijumuisha zaidi ya Walimu 333, Mwenyekiti huyo alisema kuwa vitendo vilivyofanywa na wafuasi wa vyama hivyo viwili imeleta sura mpya kwa Walimu ambao kwa

Marejeo ya magazeti – Serikali sasa yaweka sheria: Marufuku kufanya biashara na Afrika Kusini


Dar es Salaam, Jumatatu.

Serikali ya Tanganyika imevunja uhusiano wa namna yeyote wa kibiashara kati yake na serikali ya Afrika Kusini kuanzia tarehe mosi Octoba.

Hivyo basi wafanyabiashara na wenye mitambo wanaonywa kwamba kupeleka bidhaa au kupokea bidhaa kutoka Afrika Kusini, au usafirishaji wa bidhaa ambazo mwisho zitafika Afrika Kusini ni mwiko.

Taarifa ya serikali iliyotolewa leo inasema kwamba tarehe mosi Octoba Jamhuri ya Tanganyika inakata