Turkish company agrees to help Tanzania develop nuclear technology

A Turkish company has expressed interest in investing in nuclear energy to enable Tanzania have access to the technology, reports Tanzania’s The Guardian newspaper.

That, Atomtek Nuclear Energy Company has agreed to work with the Tanzanian government in radiation safety, management and monitoring at airports, ports and within the country and help in protecting people from the hazards of nuclear energy. 

President of Atomtek Nuclear Energy, Ibrahim Kuzu said the company provides professional consultancy in radiation security and nuclear security, in line with regulations and legislation of the International Atomic Energy Agency (IAEA), he said.
“Tanzania is among African countries with good systems which allow us to invest. Therefore the project is going to be implemented by the government through the TAEC and Science students at the Nelson Mandela University and will combine both business as well as education” 
he said.

Atomtek Nuclear Energy Public Relations Officer Yusuph Mjema said the project will begin next July and will cost USD $90 million. ...Read more (The Guardian)

TANESCO yapokea mitambo ya kuzalishia umeme

Moja ya mitambo ya kuzalishia umeme ikipakiwa katika gari tayari kwa safari ya kwenda Kinyerezi kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi unaotarajiwa kuanza mwezi wa tatu na kukamilika mwezi wa kumi mwaka huu, hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam jana ambapo mitambo hiyo imepokelewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Bw. Eliachim Maswi.
Moja ya mitambo ya kuzalishia umeme ikipakiwa katika gari tayari kwa safari ya kwenda Kinyerezi kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi unaotarajiwa kuanza mwezi wa tatu na kukamilika mwezi wa kumi mwaka huu, hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam jana ambapo mitambo hiyo imepokelewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Bw. Eliachim Maswi.

Habari na gazeti la UHURU, picha na Benjamin Sawe/Maelezo -- SERIKALI imepokea mitambo miwili ya kuzalisha umeme wa megawati 75 kwa ajili ya mradi wa Kinyerezi I ambao unatarajiwa kukamilika Oktoba, mwaka huu.

Mitambo hiyo kutoka Marekani, ilipokewa jana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi, ambaye alikuwa ameambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Felchesmi Mramba, katika bandari ya Dar es Salaam.

Maswi alisema mradi wa Kinyerezi I utazalisha megawati 150 na kwamba mitambo hiyo ni ya awamu ya

Ujenzi wa Mnara wa Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar

Ujenzi wa Mnara wa Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar ukiendelea katika hatua ya mwazo, kama wanavyoonekana picha mafundi kibaruani. (picha: ZanziNews.com)
Ujenzi wa Mnara wa Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar ukiendelea katika hatua ya mwazo, kama wanavyoonekana picha mafundi kibaruani. (picha: ZanziNews.com)

Taarifa ya TCRA: Uzimaji mitambo ya utangazaji ya kianalojia awamu ya pili

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

UZIMAJI MITAMBO YA MFUMO WA UTANGAZAJI WA ANALOJIA AWAMU YA PILI

1.0 UTANGULIZI 

Mamlaka ya Mawasiliano imepokea matokeo ya tathmini ya zoezi la uhamaji toka mfumo wa utangazaji wa analojia kwenda kidijiti. Zoezi hili lilifanyika kwenye miji saba kama ilivyotajwa kwenye taarifa iliyotolewa na wataalamu wa Chuo kikuu cha Dar e salaam waliofanya tathmini ya Uzimaji wa Mitambo ya Analojia katika Awamu ya Kwanza. 

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilifanya kamisheni kwa Chuo Kikuu cha Dar es salaam kufanya tathmini ya uzimaji wa Mitambo ya Analojia katika Awamu ya Kwanza, ikitambua kuwa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam kuna wataalamu wenye uzoefu mkubwa wa kufanya tathmini za aina mbalimbali, na kwamba uzoefu huo utasaidia sana kuhakikisha kuwa tunapata taarifa ya uhakika itakayotuwezesha kuboresha zoezi hili kwenye awamu inayofuata. 

Nachukua nafasi hii kuwapongeza wataalamu waliohusika katika tathmini hii kwa weledi wao kwenye

“Mtandao mkubwa wa wizi wa fedha za Serikali katika Wizara ya Fedha”

Ugumu uliopo hapa ni kwamba haijulikani kama fedha hizo zilizopotea zilitokana na kodi za wananchi au wafadhili ambao walichangia Sh842 bilioni katika bajeti ya mwaka wa fedha wa 2012/13.

Tangu gazeti la The Citizen lichapishe mwishoni mwa wiki habari za upotevu wa Sh480 bilioni katika Wizara ya Fedha, Serikali imekaa kimya kama vile wizi huo ni tukio la kawaida, hivyo halihitaji maelezo ya kina wala ya haraka. Wananchi walitegemea kwamba Serikali ingetoa kauli haraka iwezekanavyo kuhusu mazingira ya upotevu huo na hatua inazochukua kuwawajibisha wahusika.

Tunasema kiasi hicho cha fedha zilizoibwa ni kikubwa kwa sababu ni zaidi ya bajeti ya mwaka kwa baadhi ya wizara, zikiwamo wizara kubwa kama ya Uchukuzi ambayo katika mwaka wa fedha wa

Facebook buys WhatsApp

(image: youthcrash.com)
In what it's deemed as the social networking giant's biggest acquisition to date, Facebook has bought messaging app WhatsApp in a deal worth a total of $19bn in cash and shares.
With over 450 million monthly users, WhatsApp allows users to send messages over internet connections, avoiding regular and standard carrier text messaging fees. The company claims it is currently registering one million new users a day. In order to stay operational, it charges a subscription fee of $1 a year to some users.

So, what's in the deal?

Here is part of Facebook founder Mark Zuckerberg's official statement announcing the deal:

MENLO PARK, CALIF. – February 19, 2014 – Facebook today announced that it has reached a definitive agreement to acquire WhatsApp, a rapidly growing cross-platform mobile messaging company, for a total of approximately $16 billion, including $4 billion in cash and

Taarifa ya Serikali kuhusu Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste Tanzania kutokuwa na uwakilishi katika Bunge Maalumu la Katiba

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Florens Turuka aliyemwakilisha Katibu Mkuu Kiongozi akitoa taarifa ya ufafanuzi kuhusu Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste Tanzania kutokuwa na uwakilishi katika Bunge Maalum la Katiba leo katika ukumbi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu jijini Dar es salaam na kusema kuwa Serikali kwa namna yeyote ile haikuwa na nia ya kulibagua Baraza hilo na kama ilivyo kwa wananchi wote, litawakilishwa vyema na wajumbe walioteuliwa ambao wanajumuisha mjumbe aliyeteuliwa kutoka moja ya madhehebu yanayounda Baraza hilo. (picha: Eleuteri Mangi)

TAARIFA YA UFAFANUZI KUHUSU BARAZA LA MAASKOFU WA KIPENTEKOSTE TANZANIA (PENTECOSTAL COUNCIL OF TANZANIA) KUTOKUWA NA UWALIKILISHI KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA


1.  Uteuzi wa Wajumbe wa Bunge la Katiba unafanywa kwa mujibu wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura, 83 (The Constitutional Review Act, Cap 83). Sheria hii inaweka mamlaka ya uteuzi, masharti, taratibu, vigezo na mambo mengine yote yanayopaswa kuzingatiwa katika uteuzi wa Wajumbe wa Bunge la Katiba. Kwa mujibu wa Kifungu cha 22 (2A) na (2B) vigezo hivi vinajumuisha umri, jinsia, uzoefu, sifa na mahali anapotoka mjumbe husika.

2, Sheria hii imeainisha aina tatu za Wajumbe wa Bunge la Katiba kama ifuatavyo:
  • Wabunge wote wa Bunge la Jamhuri ya Muungano;
  • Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar; na 
  • Wajumbe 201 kwa mujibu wa Kifungu Na. 22(1c) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ambayo inaonyesha makundi mbalimbali 10 yanayohusika.
3. Kwa mujibu wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, wajumbe 201 wanatakiwa kuteuliwa kutoka

Matokeo ya tathmini ya uhamiaji kutoka utangazaji kianalojia kwenda kidijiti

MATOKEO YA TATHMINI YA MCHAKATO WA UHAMAJI KUTOKA MFUMO WA UTANAGAZAJI WA ANALOJIA KWENDA KIDIJITI


1.0 UTANGULIZI


Mnamo mwezi Julai, 2013, Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilikamisheni jopo la wataalamu wa Chuo Kikuu kufanya tathmini ya mchakato mzima wa uhamaji toka mfumo wa utangazaji wa analojia kwenda mfumo wa kidijiti pamoja na uzimaji wa mitambo hiyo kwenye miji saba ambayo ni Dar es salaam, Tanga, Moshi, Mwanza, Dodoma, Arusha na Mbeya. Uzimaji wa mitambo ya analojia ilikuwa ni kwa mujibu wa sheria, ambayo iko kwenye kanuni zinazojulikana kama “Digital Broadcasting and Other Networks 2011”

Jopo hilo lilijumuisha wataalamu wafuatao:-

Prof. Nerey Mvungi Mtaalamu wa Mawasiliano ya ki electronic
Dr.Francis Sichona Mtaalamu wa Takwimu
Mr.F.M Ishengoma Mtaalamu wa Habari na Mawasiliano
Wote hawa ni wafanayakazi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

MADHUMUNI YA TATHMINI
  • Madhumuni ya tahmini hii ilikuwa imejengwa kwenye maeneo Makuu manne kama ifuatavyo;
  • Tathmini ya utendaji na utoaji huduma za utangazaji kwenye mfumo wa kidijiti ikiwa ni pamoja na

Wakali wa vitafunwa jijini Dar es Salaam - The Ladies

 Joan Joseph Massawe (kulia) na Angel Fabian Massawe
 Joan Joseph Massawe (kulia) na Angel Fabian Massawe

Na Mroki Mroki -- Ujasiriamali ni jambo lililojema miongoni mwa jamii. Watu wengi wamekuwa wakilalamika kukosa vitu vya kufanya ili kuweza kujipatia kipato na kuacha kuwa tegemezi kwa wazazi au waume na hata wakati mwingine wake zao. 

Wanadada wawili marafiki ambao kwa bahati majina ya ubini ya wazazi wao yanafanana na wao kuamua kujiita ndugu, Joan Joseph Massawe (pichani kulia) na Angel Fabian Massawe wao kwa kuliona hilo waliamua kuanzisha bishara ambayo itawapatia kipato cha ziada mbali na ajira zao nma kuwasaidia katika masomo yao.

Wakiuambia mtandao wa Father Kidevu Blog kuwa wao ni wasomi na wameamua kuopika vitafunwa vya aina mbalimbali na kuviuza na pia wamekuwa wakifanya hivyo katika

Mama aliyejifungua quadruplets apokea msaada kutoka Uingereza

Aida Nakawala na quadruplets wake

Aida Nakawala (25) mkazi wa kijiji cha Chiwanda, Wilaya ya Momba, Mkoa wa Mbeya, hivi karibuni alijifungua watoto wanne mapacha kwa mkupuo (quadruplets) katika usiku wa kuamkia mwaka mpya 2014 anaendelea vizuri.

Mwanamke huyo ambaye kwa hivi sasa anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Wazazi ya Meta akiwa na watoto wake wote wanne alijifungua majira ya saa 10 alfajiri usiku wa kuamkia Januari Mosi Mwaka huu katika Hospitali ya Wilaya ya Mbozi na watoto wakiwa na uzito wa kawaida tofauti na matarajio ya Wengi.

Misaada ya hali na mali imeanza kumiminika.

Msamaria mwema wa Uingereza, Bi. Gladness Sariah, ametuma maboksi mawili yenye

Timka na Boda Boda yaacha neema kwa Watanzania

Mshindi wa promosheni ya Timka na bodaboda Bw. Ramadhani Abdallah akipiga kiki pikipiki yake tayari kuondoka nayo mara baada ya kukabidhiwa na Meneja Uhusiano wa Nje Salum Mwalim(kulia) katika tukio lililofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Dar es Salaam, Februari 19, 2014 -- Kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania imejumuika na washindi wake 48 wa iliyokuwa Promosheni ya Timka na Bodaboda iliyodumu kwa kipindi cha miezi mitatu (3) kutoka Oktoba mwaka jana hadi Januari mwaka huu huku ikijivunia kuboresha maisha ya mamia ya Watanzania.

Akizungumza na waandishi wa habari Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania, Salum Mwalim amesema ni

Balozi zahimizwa kuutangaza utamaduni wa Tanzania

Msanii wa siku nyingi na mahili wa kucheza na nyoka Bi. Salma Moshi aliongea na Mhe. Balozi Libetara Mulamula alipotembelea Ubalozi wa Tanzania Washington, DC siku ya Jumanne Feb 18, 2014
Msanii wa siku nyingi na mahili wa kucheza na nyoka Bi. Salma Moshi aliongea na Mhe. Balozi Libetara Mulamula alipotembelea Ubalozi wa Tanzania Washington, DC siku ya Jumanne Feb 18, 2014

Wito huo umetolewana msanii wa siku nyingi wa kucheza na nyoka Mama Salima Moshi alipokwenda kumuona Mhe. Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mama Mulamula.

Mama Salima alisema Balozi zina nafasi nzuri za kuutangaza utamaduni wetu kwani zipo karibu zaidi na nchi husika. 

Aliomba Baraza la Sanaa Tanzania liandae kitabu kitakachojumuisha wasanii mbalimbali na anwani zao kisha vitabu hivyo vipelekwe kwenye balozi zetu ili watu mbalimbali wanaozuru ofisi hizo

Nafasi ya bure ya mafunzo ya uigizaji filamu na uimbaji


RAFIKI ELIMU MUSIC & FILM ACADEMY
  • Je wewe ni kijana wa kitanzania?
  • Una umri wa kuanzia miaka 15 na kuendelea ?
  • Una ndoto za kuwa muigizaji filamu mkubwa nchini Tanzania?
  • Una ndoto za kuwa mwanamuziki ama muimbaji mkubwa hapa Tanzania ?
RAFIKIELIMU MUSIC & FILM ACADEMY ni kituo kinachotoa mafunzo ya UIGIZAJI na UIMBAJI kwa vijana wa kitanzania wenye umri wa kuanzia miaka kumi na tano na kuendelea.
 
Wahitimu wa mafunzo haya hupata nafasi ya kushiriki katika filamu , maigizo, tamthiliya na

“May my imprisonment serve to wake the people up” - Leopoldo Lopez, Venezuelan opposition leader

Venezuelan opposition leader Leopoldo Lopez (photo: Yahoo!)
Venezuelan security forces arrested opposition leader Leopoldo Lopez on Tuesday on charges of fomenting unrest that has killed at least four people, bringing tens of thousands of his angry supporters onto the streets of Caracas.

"I am handing myself over to an unfair justice system,"
"May my imprisonment serve to wake the people up."
the protest leader told supporters, standing on a platform next to a statue of Cuban poet and independence hero Jose Marti.

The crowd lifted his wife up to give him a final embrace and hang a crucifix around his neck.
Minutes later, he surrendered to military officers, pumping his fist and then stepping into the military vehicle with a Venezuelan flag in one hand and a white flower in the other. ...Read more - REUTERS

Israel to open Embassy in Dar es Salaam, Tanzania

Israel will soon open a fully-fledged embassy in Dar es Salaam to make it easier for visa processing and boosting trade between the two nations.

The resumption of the diplomatic relations will mean the development of political and economic ties. Tanzania was among the first nations to establish diplomatic ties with Israel after it won its independence in 1963.
But it was also among the many African nations that broke off ties with Israel in the aftermath of the 1973

Once conjoined twins, Eliudi and Ericana returns to home, Tanzania today, separated

Eliudi and Ericana from Tanzania with their mother Grace and chairman of Apollo Group of Hospitals Prathap C. Reddy at their first birthday celebration at Apollo Specialty Hospital, Vanagaram. (Photo: K. Pichumani/The Hindu)
 Meet Eliudi and his twin Ericana, the separated Pygopagus twins from Tanzania who were conjoined at the end of the spine and shared vital organs. They were separated in an 18-hour surgery on December 16, 2013, at Apollo Specialty Hospitals, Vanagaram.

The twins, along with their mother Grace, are all set to fly home on Wednesday morning after their nine-month stay in the city. Tuesday was special as the twins celebrated their first birthday at the hospital. This also marked their debut appearance in the media.

In June, last year, Grace, a resident of Kasumulu, a village in Tanzania, had brought the conjoined twins to the hospital. Twenty doctors drawn from various specialities operated on the twins. ...Read more (The Hindu)

China is exploiting Africa's resources like European colonisers did, with disastrous environmental effects - Jane Goodall

China has made a great deal of investments in infrastructure, energy and resources in Africa in the last decade. AFP/Aid Data Center For Global Development

Johannesburg (AFP) - China is exploiting Africa's resources just like European colonisers did, with disastrous effects for the environment, acclaimed primatologist Jane Goodall has told AFP.


On the eve of her 80th birthday, the fiery British wildlife crusader is whizzing across the world giving a series of lectures on the threats to our planet.

And the rising world power's involvement on the continent especially raises alarms when it comes to her