Bunge la Katiba: Maoni kuhusu malalamiko kuwa posho haitoshi


Maoni ya baadhi ya wadau kuhusu lawama kutoka kwa baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuwa posho ya Shilingi 300,000/= wanayolipwa kwa siku, haikidhi haja.

Maria Sarungi-Tsehai, Mjumbe wa Bunge la Katiba kupitia kwenye ukurasa wake wa Facebook ameandika:
Kimsingi tuliteuliwa kwenda kuwakilisha wananchi wa vikundi mbalimbali katika Bunge maalum la katiba kufanya kazi moja tu kwa siku 70 - kuandaa pendekezo la katiba kisha tutawanyike turudi makwetu. Hatujaenda huko kutajirika wala kupata ajira. Tunashukuru kwamba pamoja na hayo tumepatiwa hela ya kujikimu ya laki 3 kwa siku ambayo mtu akitumia vyema inatosha kabisa. Kuomba kuongezewa posho si haki kwa 80% ya watanzania wanaoishi kwa shilingi 1,000 kwa siku. Tutambue kuwa ni kweli gharama za maisha mjini ziko juu lakini tusitake kuleta ulafi. Mwenye mamlaka ya kuongeza posho za wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba ni rais Jakaya Kikwete, tumtumie ujumbe kwamba asiongeze posho hizo - iliyopo inatosha!

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe kupitia kwenye ukurasa wake wa Facebook ameandika:

Bunge la Katiba: Spika ateua 6 kuchunguza malalamiko ya posho za Wajumbe

Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalum la Katiba, Ameir Pandu Kificho, ametangaza majina ya watu sita watakaounda timu kwa ajili ya kuyafanya bora malalamiko yaliyotolewa na baadhi ya wajumbe wa Bugne hilo kuwa ya posho ya Shilingi 300,000/= kwa siku haitoshi kuwawezesha kuifanya kazi hiyo kwa makini.

Akitangaza majina hayo kabla ya kuanza kwa semina kwa wajumbe hao, Kificho alirejea Sheria ya Mabadiliko ya Bunge la Katiba Sura ya 83 toleo la mwaka 2014 na kusema:
“Kuhusu suala la kumudu kuishi vizuri na hii kazi nzito tuliyonayo bado halina majibu kwa sasa” 
Kificho aliyataja majina ya wanaounda tume hiyo kuwa ni:-

[video, audio] Waziri Membe afafanua kuhusu suala la Dual Citizenship


Waziri Membe (katikati) akifafanua jambo kwa wanahabari leo.

Waziri wa Wizara ya Mambo za Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. Bernard Membe amefafanua kuhusu moja ya sababu za kuwaruhusu Watanzania waishio ughaibuni kubakia na uraia wa Tanzania hata ikiwa wataomba uraia katika nchi wanamoishi kwa sababu tofauti za kukimu maisha.

Bofya kifute cha pleya kumsikiliza na pia maelezo kwa kina yanafuata kwenye taarifa yake aliyoitoa kuhusu Wizara anayoiongoza.

 

TAARIFA YA MHE. BERNARD K. MEMBE (MB.), WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA ATAKAYOITOA KWENYE MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI UTAKAOFANYIKA IDARA YA HABARI (MAELEZO) TAREHE 20 FEBRUARI, 2014.


1. KUCHAGULIWA TENA KWA TANZANIA KWENYE BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA (AU)

Tanzania imechaguliwa kwa mara ya pili mfululizo kuwa Mjumbe wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (PSC) kwa kipindi cha miaka miwili kuanzia mwaka huu. Tanzania ilichaguliwa kwa mara ya

Taarifa ya MSD kuhusu utaratibu wa manunuzi ndani ya bohari ya dawa

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Cosmas Mwaifwani (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam, wakati akitoa taarifa kwa Umma kuhusu utaratibu wa manunuzi ndani ya bohari ya dawa. Kulia ni Mkurugenzi wa Manunuzi wa MSD, Heri Mchunga na Mwanasheria, Domonica Meena. (picha: Doto Mwaibale)


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UTARATIBU WA MANUNUZI NDANI YA BOHARI YA DAWA

Idara ya Bohari ya Dawa (MSD) iliundwa kwa sheria ya Bunge Na. 13 ya mwaka 1993. Ni Idara inayojitegemea chini ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ambayo ilianzishwa ili kuunda, kudumisha na kusimamia mfumo ulio bora na wenye gharama nafuu wa ununuzi, uhifadhi na usambazaji dawa na vifaa-tiba, vitendanishi kwa ajili ya hospitali navituo vya kutolea huduma ya afya nchini

Takwimu zilizopo kwa sasa zinaonyesha kuwa zaidi ya asilimia Themanini (80%) ya mahitaji yote ya Dawa,Vifaa tiba, Vitendanishi nchini vinatoka nje ya nchi hivyo taratibu za manunuzi hufuata taratibu na miongozo ya ndani ya nchi na ya kimataifa.

Utaratibu wa uagizaji na uingizaji wa dawa ndani ya nchi huratibiwa na kusimamiwa na Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), kuwa dawa yoyote kabla ya kuingizwa chini lazima iwe imesajiliwa na Mamlaka na

Call for Tanzanians to apply for the post of Vice Chancellor at OUT

APPLICATIONS ARE INVITED FROM SUITABLY QUALIFIED TANZANIANS TO FILL THE POST OF VICE CHANCELLOR OF THE OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA

The Open University of Tanzania (OUT) is a public University, established by the Act of Parliament No 17 of 1992. Since January 1st 2007, the University has been operating under the OUT Charter Inc. of 2007, which is in line with the Universities Act No. 7 of 2005. It's stated mission is to continuously provide open and distance education, research, and public services for sustainable and equitable socio-economic development of Tanzania in particular, and the rest of Africa. The Open University of Tanzania operates through its temporary headquarters in Kinondoni, Dar es Salaam and its 27 regional centres in each region of Tanzania Mainland and two coordination centres in Zanzibar and Pemba Islands. The University has coordination centres in Kenya, Rwanda, Namibia and Malawi and soon will establish one in Uganda. 

The term of office of the current Vice Chancellor will come to an end on the 12th April 2015 and therefore,

Nape Nnauye: “...tofauti kubwa ya mimi na wao”

Imeandikwa na Bashir Nkoromo —  KATIBU wa NEC Itikadi na Uenezi-CCM Nape Nnauye amesema, ndoto aliyokuwa nayo ya kazi ambayo angependa kufanya alipokuwa hajawa mwanasiasa ni kuwa Mwanajeshi rubani wa ndege.

Amesema maandalizi ya kutimiza ndoto hiyo alikuwa ameianza kwa kuweka kipaumbele kwenye masomo ya fani hiyo ikiwemo fizikia na jiografia wakati anamaliza kidato cha nne.

Nape mwenye umri wa miaka 37, sawa na umri wa CCM, amesema hayo jana alasiri alipododoswa na

Mafunzo ya bure ya Ualimu wa Ujasiriamali

Taasisi ya RAFIKIELIMU FOUNDATION kupitia mradi wa ELIMU YA UJASIRIAMALI MIJINI NA VIJIJINI, inatangaza nafasi za MAFUNZO YA UALIMU WA UJASIRIAMALI.

Wahitimu wa mafunzo haya watapata nafasi ya kufanya kazi kwa kujitolea kama waalimu wa ujasiriamali katika MRADI WA ELIMU YA UJASIRIAMALI MIJINI na VIJIJINI.

IDADI YA NAFASI :

Nafasi 5 katika kila kata ya jiji la Dar Es salaam.

SIFA ZA MWOMBAJI :-

Al Muntazir Special Education Needs reach out - Free Consultation with Dr N. Manaf

(Click the image to enlarge)

Ujumbe wa Balozi Mulamula kwa Watanzania wa nchini Marekani

UDA buses will provide Wi-Fi capable internet service


Tanzania’s commercial capital Dar es Salaam will -- by the end of 2014 -- receive 3,000 brand-new buses with Wi-Fi internet connection, reports Michuzi’s Globu ya Jamii blog.

UDA that recently introduced 200 new buses to serve Dar es Salaam transport needs.

Majority of approximately 4 million people rely on Dar’s buses public transportation system.

Dar es Salaam Regional Transport Licensing Authority (DRTLA) record shows that there are about 7,000 privately owned buses servicing the city.

Rais: “Acheni unyonge”! Waziri Mkuu: “Mimi nasema wapigwe tu!”


Bunge la Katiba: Walaumu Mume na Mke kuteuliwa kukiwakilisha chama

Habari kwa mujibu wa gazeti la MWANANCHI — Chama cha National League for Democracy (NLD) Zanzibar kimemtaka, Rais Jakaya Kikwete kufuta uteuzi wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kupitia chama hicho kwa madai kuwa walioteuliwa katika chama hicho ni mtu na mkewe na kufanya uteuzi huo kukosa sura ya Muungano.

Tamko hilo limetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa NLD - Zanzibar, Khamis Haji Mussa katika taarifa aliyoisambaza kwa vyombo vya habari mjini hapa juzi, kuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Dk Emmanuel Makaidi amewasilisha majina mawili, la kwake na la mkewe, Modesta Ponera kwa ajili ya uteuzi.

Alisema NLD - Zanzibar kilianza kufuatilia taratibu za uwasilishaji wa barua tangu Desemba 27, 2013 kwa

Someni kwa furaha...

St. Augustine’s English Medium School pupils Ahadi (left) and Latifa revising what they learned at school while on their way back home along Uhuru Street in Dar es Salaam.
(photo: Robert Okanda/DAILY NEWS)