Mjumbe wa Bunge la Katiba afukuzwa Chamani kwa tuhuma za kughushi saini ya Naibu Katibu ili akiwasilishe


Chama cha wakulima, AFP kimemfukuza uanachama Mkurugenzi wake wa Sera na Uenezi, bwana Rashid Yussuf Mshenga kwa tuhuma za kufanya udanganyifu kuingia kwenye Bunge Maalumu la Katiba.

Wakizungumza na waandishi wa habari juzi, Mwenyekiti wa AFP Taifa, Said Soud na Naibu Katibu Mkuu, Shaib Masoud Salum wamesema mwanachama huyo ameghushi saini ya Naibu Katibu ili kujiorodhesha kwenye majina waliomba kuwa wajumbe wa bunge hilo kupitia AFP.
'Tunamfukuza Mshenga kwa sababu ametenda kosa la kugushi saini ya naibu katibu mkuu wa chama hicho ili jina lake liingizwe katika mchakato wa majina ya chama hicho'
Wamesema AFP hakikupitisha jina la Mshenga kuwa miongoni mwa wajumbe wa kuteuliwa na chama kushiriki kwenye Bunge hilo. Viongozi hao wamesema mwanachama huyo ametumia njia zisizo halali kuwasilisha jina lake katika afisi ya rais Zanzibar. Aidha, chama hicho kimepanga kumfungulia

Bunge la Katiba: Wamwomba Rais Kikwete awateue kuwakilisha Wanamuziki


Katibu Mkuu mstaafu wa Shirikisho la Muziki Tanzania (TMF), Salim Mwinyi (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam juzi, wakati wakimuomba Rais Jakaya Kikwete kwa mamlaka aliyonayo kuwaingiza wawalikisi wa tasnia ya muziki katika Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea mjini Dodoma. Kushoto ni Katibu Muenezi wa Chama cha Muziki wa Injili Tanzania (Chamuita), Stellah Joel na Mwenyekiti wa chama hicho, John Shabani. (picha: Dotto Mwaibale)

Na Dotto Mwaibale — WANAMUZIKI nchini wamemuomba Rais Jakaya Kiktwete kuwateua wawakilishi wa kundi hilo ili kuingia katika Bunge Maalumu la Katiba kwa kuwa bado anayonafasi ya kufanya hivyo.

Hayo yalibainishwa Dar es Salaam jana na Katibu wa Chama cha Muziki wa Injili Tanzania (Chamuita), John Shabani kwa niaba ya Rais wa Shirikisho la Vyama vya Muziki Tanzania (TMF).
"Tunamuomba rais wetu kutokana na nafasi yake aliyonayo kuwaingiza wawakilishi kutoka katika kundi la wanamuziki ili kuingia katika bunge hilo ambalo limekosa uwakilishi ukiachilia mbali wabunge wanamuziki ambao wapo katika bunge hilo kupitia majimbo yao"
Alisema Shabani.

Alisema wanajua kuwa bunge hilo limekwisha anza lakini bado hatua ya majadiliano haijaanza hivyo

Arizona Senate approves bill banning female circumcision


PHOENIX -- The Arizona Senate has approved a bill outlawing female genital mutilation that's known as female circumcision; The bill will now go the House of Representatives.


The Senate unanimously approved the bill on Monday. The bill bars genital mutilation on girls under 18 and would make a first-time violation and conviction punishable by five to 14 years in prison and a minimum $25,000 fine.

Bill sponsor Republican Sen. Judy Burges of Sun City West says female genital mutilation is a problem that's beginning to appear in the United States.

-- Associated Press

Misaada kwa ajili ya mapacha 4 na yatima yapokelewa na walengwa

Joseph Mwaisango wa Mbeya yetu akiwakilisha msaada toka kwa familia ya mama Masawe wa DSM kwa kituo cha kulelea watoto yatima cha NURU kilichopo Uyole, mkoani Mbeya.
-----------------------

Kituo cha Mtandao wa kijamii cha Mbeya Yetu kimepokea Misaada mbalimbali kutoka kwa wasamaria wema kwa ajili ya Kituo cha kulelea watoto wa mitaani cha Nuru kilichopo Uyole Jijini Mbeya na Aida Nakawala (25) mkazi wa kijiji cha Chiwanda, Wilaya ya Momba, Mkoa wa Mbeya, ambaye alijifungua watoto wanne kwa mkupuo (Quadruplets) usiku wa kuamkia Mwaka mpya wa 2014 katika Hospitali ya Wazazi ya META jijini Mbeya.

Msaada wa kwanza ulipokelewa hivi karibuni wenye thamani ya shilingi Laki Moja kutoka Familia ya

Picha za red carpet Dar Live za uzinduzi wa albamu ya Extra Bongo

Baadhi ya safu ya wanenguaji wa kike mahiri wa Extra Bongo.
Baadhi ya safu ya wanenguaji mahiri wa kiume wa Extra Bongo.
Khadija Kopa na Abdul Misambano wa TOT.

Kutizama picha zaidi, bofya hapa.

Two bomb blasts rocks Anglican Church and Tourist Bar in Zanzibar

Investigation going on in one of the areas affected by the bomb (photo: ZanziNews.com)

Two homemade bombs exploded Monday on the popular Indian Ocean tourist island of Zanzibar, but with no casualties, police said, in the latest in a series of attacks.

"Investigations are ongoing to find out details of the blasts and the motive behind them," assistant police commissioner Mkadam Khamis told reporters.

One blast took place at the Anglican cathedral, a historic building in the heart of the narrow and

Picha za maadhimisho ya miaka 37 ya CCM, DMV Marekani

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiingia ukumbini siku ya Jumapili Feb. 23, 2014 kwenye sherehe ya maadhimisho ya miaka 37 ya CCM yaliyofanyika College Park, Maryland na kuhudhuriwa na wafuasi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi DMV.

Picha za after party ya Lady in Red

Mama wa Mitindo Bi. Asia Idarous Khamsin katika picha wakati wa zoezi la kugawa vyeti na models waliovaa mavazi yaliyoonyeshwa kwenye onyesho la kutimiza miaka 10 la Lady in Red lililofanyika hivi karibuni.


- Ally Rehmtulla, Martin Kadinda watunukiwa vyeti vya mafanikio

Na Andrew Chale -- HALFA maalumu ya kilele cha Miaka 10 ya onesho la mavazi la ‘Lady in Red Super Brand’ usiku wa Jumamosi Februari 22, lilikuwa la aina yake kwa kuvutia watu mbali mbali ndani ya Ukumbi na mgahawa wa kisasa wa Nyumbani Lounge, ambapo pia wadau walikabidhiwa vyeti.

Tukio hilo la aina yake ambalo lilivuta umati mkubwa wakiwemo wadau wa ubunifu na mitindo nchini pamoja na watu maarufu, pia walipata kupita kwenye zulia jekundu (red carpet) na kupata picha za ukumbusho wa

Choki aenda ukumbini kwa ambulance

Gari la kubebea wagonjwa “Ambulance” likiingia katika ukumbi wa Dar Live likiwa limembeba Ali Choki, wakati akiingia kufanya Uzinduzi wa Albamu mpya ya bendi yake ya Extra Bongo iliyopewa jina la “Mtenda Akitendewa”.

Dar es Salaam, Februari 24, 2014 --Ilikuwa ni siku ya aina yake kwa bendi ya Extra Bongo "wazee wa kizigo" walipokuwa wakizindua albamu yao ya mtenda akitendewa na kuacha gumzo kwa mamia ya mashabiki waliojitokeza ukumbini humo asante kwa udhamini wa Vodacom kufanikisha Tamasha hilo.

Palikuwa hapatoshi katika ukumbi huo wa taifa wa burudani wa Dar Live uliopo

myElimu Project: A Promising Initiative to Improve Tanzania EducationIn recent years Tanzania secondary school students haven't been doing so well in exams and a number of people blame it on science and technology, that is has made students spend much time on their smartphones and spend a lot of time on the social networks thus not finding time to study.

The claims are partial true as the statistics show the number of young engaging in the social networks increases daily in Tanzania.

However, the increase of youth engagement in social networks and the internet in general is not a bad thing but rather an opportunity to embrace - at least that's what Given thought when he started the myElimu Project.


Given Edward, the founder of the myElimu Project, says the project that will turn to students advantage when it comes to using the internet. The project is known as "MyElimu Project" and it is a

Urgently needed: A certified English to Swahili Translator

We are looking for a certified translator for our trial documents from English to Swahili.

Any one with qualifications or with knowledge of a right person, please send them to contact Dr Francis Mhimbira at [email protected]

Ni kama sinema: Walivyomkamata drug lord "El Chapo"

For 13 years Guzman watched from western Mexico's rugged mountains as authorities captured or killed the leaders of every group challenging his Sinaloa cartel's spot at the top of global drug trafficking.

Unscathed and his legend growing, the stocky son of a peasant farmer grabbed a slot on the Forbes' billionaires' list and a folkloric status as the capo who grew too powerful to catch. Then, late last year, authorities started closing in on the inner circle of the world's most-wanted drug lord. Bit by bit, they got closer to the crime boss.

As Mexican troops forced their way into Joaquin "El Chapo" Guzman's main hideout in Culiacan, the country's most powerful drug lord sneaked out of the house through an escape tunnel beneath the bathtub.

Mexican marines working with U.S. authorities chased him but lost the man known as "Shorty" in a maze of tunnels under the city... Read more - The Associate Press

Taarifa ya Wizara kuhusu ziara ya Waziri Membe nchini China

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) atafanya ziara ya kikazi ya siku tano katika Jamhuri ya Watu wa China kuanzia tarehe 24 hadi 28 Februari, 2014. Ziara ya Mhe. Membe inakuja kufuatia mwaliko kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Wang Yi.

Mhe. Membe anafanya ziara hiyo nchini China kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa kirafiki uliopo kati ya Tanzania na China. Wakati wa ziara hiyo, Mhe. Membe atafuatana na Maafisa Waandamizi kutoka Wizara

Jiji la Arusha lavunja nyumba zaidi ya 200 - “Operesheni Mongela”Halmashauri ya Jiji la Arusha imefanya operesheni ya kubomoa nyumba zaidi ya 210 zinazomilikiwa na Halmahauri hiyo katika maeneo ya Levolosi, Kaloleni, na Themi kwa lengo la kupisha ujenzi wa miradi mbalimbali katika maeneo hayo.

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini, John Mongella amesema operesheni hiyo imezingatia taratibu zote ikiwa ni pamoja na kutoa notisi miezi kadhaa iliyopita kwa wapangaji wa nyumba hizo kuhama mapema, ili kupisha ubomoaji huo.
“Bahati mbaya sana, wapangaji walikuwa wanataka kusema hoja yao kubwa ni kusema kwamba wao wamekaa humu, wamezaa watoto humu, wamejukuza humu, kwa hiyo wana haki ya hizi nyumba kuwa zao. Ndiyo tofauti yetu ilipokuwa. Sasa mimi nasema, hivi inawezekana ukajenga nyumba, mpangaji ukamwambia kaa humu akaulipa kodi miaka mitano, akishapata wajukuu kesho atasema inageuka kuwa yake? Yaani wewe ukishajukuza kwenye nyumba ya mtu hiyo inakuwa yako?”
Alihoji Mhe. Mongella.

Tamaa ya Mjumbe kusikia posho laki 7 ndiyo hii sasa...

Kenya’s Kenswitch, Rwanda’s Rswitch, Tanzania’s Umoja to break banking borders in East Africa

Following the single tourist visa, a major deal between banking switch services in Uganda, Kenya, Rwanda and Tanzania is in the offing to unlock more value in the East African banking, finance and trade sectors.

Banking switch services allow a customer of one bank to access their account at ATM’s of another bank without opening an additional account.

Uganda currently has 5.3 million commercial bank accounts spread out in 27 licensed commercial banks. There are 13 banks on the Ugandan switch run by Interswitch East Africa.
“We are soon signing a Memorandum of Understanding with Kenya’s Kenswitch, Rwanda’s Rswitch, and Tanzania’s Umoja. Our goal is to expand to the entire African continent”
“We want to be a catalyst for the East African intergration and the move towards having a cashless economy”
Olumuyiwa Asagba, the Interswitch boss said at the Serena Kampala Hotel. ...read more- The New Vision

Fresh tips about 17 ‘Tanzanians’ keeping money offshore emerge

At least 17 prominent individuals in Tanzania’s political and business circles have been keeping millions of dollars in HSBC Bank in Geneva, The Citizen reports.

The account holders’ list also bears names of three local companies that have stashed millions in the same bank, according to details which this paper has gathered.

The revelation comes in the wake of confirmed reports that French authorities sit on leaked data from HSBC, which could give a breakthrough in Tanzania’s investigation into the much-reported Swiss billions.

Responding to questions online, the source wrote last week: “I was right; HSBC in Geneva had customers in Tanzania. I understand there are up to 17 individuals in Tanzania who had a links with the bank revealed in