Facebook ends a service you probably never knew existed nor used



Facebook's touted the service as a "Gmail killer" before its launch in 2010, ended on Monday.

The current social media giant quietly retired the email service that many users didn't even know existed.

If you used to have one, you probably have or are going to receive a notice saying the @facebook.com email addresses they deployed are going away.

In a statement to TechCrunch, the company said:
“We’re making this change because most people haven’t been using their Facebook email address, and we can focus on improving our mobile messaging experience for everyone.” 

Facebook angered many users last year when it changed all the default personal email addresses to its email address service, all in an effort to capture and increase audience.

Now that the service is dead, Facebook will redirect any email sent to @facebook.com addresses to the primary email addresses of the account holders instead of their Facebook Messages inbox.

Official Statement by Police re: explosions in Zanzibar on February 24, 2014

(Click the image above to enlarge)

Bank of Africa Group saddened by sudden demise of Amb. Kazaura

The late Ambassador, Fulgence Michael Kazaura
  The late Ambassador, Fulgence Michael Kazaura  
The Bank of Africa Group is saddened by the sudden demise of one of its leaders, Ambassador Fulgence Michael Kazaura, the Board Chairman of its Tanzania subsidiary BANK OF AFRICA-TANZANIA, which occurred in a hospital in Chennai, India on Saturday, February 22, 2014 while attending treatment.

Responding to the news of the passing away of Ambassador Kazaura, the Group Chairman and CEO Mr. Mohamed Bennani, had this to say:
“Upon learning about the sad demise of Ambassador Fulgence Kazaura, I would like to present sincere condolences to the members of the family, on behalf of myself as well as the Directors, Management and Staff of BANK OF AFRICA -TANZANIA. As Chairman, Ambassador Kazaura conducted brilliantly the

Meya wa Vallejo awasili Tanzania

Meya wa Mji wa Vallejo nchini Marekani, Mhe. Osby Davis (kushoto) akisalimiana na Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Mhe. Didas Masaburi mara baada ya kuwasili nchini kwa ziara ya kikazi. Mji wa Vallejo una uhusiano wa udada na Mji wa Bagamoyo.

By The GUARDIAN — A business delegation from the United States of America (USA) has arrived in Dar es Salaam to survey investment potentials in the country and particularly in the port city of Dar es Salaam.

Speaking yesterday in Dar es Salaam, City Mayor Didas Massaburi said the delegation comprises of at least 15 businessmen, investors and officials of the Chamber of Commerce for Black Americans from Vallejo city on the northern edge of San Francisco Bay-California.

“This delegation is looking for opportunities to invest here in the city, Bagamoyo in the Coast region and

[video] Prof. Meena azungumzia suala la Wanawake katika rasimu ya Katiba Mpya

Je, rasimu ya Katiba Mpya imeongeza nini na imepunguza nini katika kumkomboa mwanamke?

Msikilize hapa Profesa Ruth Meena akizungumzia jinsi mwanamke alivyopewa kipaumbele katika rasimu hii na ameelezea kundi gani limezungumziwa na kuongezwa kwenye rasimu hii ambayo imesahau makundi kama watoto wa kike, wazee na kusahau wanaathirika vipi katika jamii yetu ya Tanzania. Pia, amegusia kuwa nchi hii ina rasilimali nyingi zinazoweza kumlinda mwanamke na vizazi vyake.

Prof. Meena anazungumza zaidi kuhusu hayo na mengineyo katika video ifuatayo...

Taarifa ya Waziri Nyalandu la kuubadili uongozi Idara ya Wanyamapori

Leo, TAREHE 24 Februari, 2014 Natangaza kuubadili uongozi wa Idara ya Wanyamapori ya Wizara ya Maliasili na Utalii kama ifuatavyo:

Ninamuondoa Profesa Alexander Songorwa katika nafasi ya Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori ya Wizara ya Maliasili na Utalii. Nachukua hatua hii kutokana na kutokuridhishwa kwangu na utendaji wa kazi wa idara hiyo katika mapambano dhidi ya ujangili yanayoendelea nchini. 

Aidha, hatua hii ni utekelezaji wa Azimio la Bunge lililotolewa tarehe 22 Disemba, 2013, lililotaka Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori kuwajibishwa kutokana na tuhuma za uzembe na ukiukwaji wa haki za binadamu katika Operesheni Tokomeza. Utekelezaji wa agizo hili unaanza mara moja, nami namteua Bwana

Chemba ya Madini na Nishati yamteua Balozi Ami Mpungwe kuwa Mwenyekiti

Dar es Salaam, 23/02/2014 - Chemba ya Madini na Nishati Tanzania (TCME) imemteua Balozi mstaafu, Bwana Ami Mpungwe kuwa mwenyekiti wake. Uteuzi huu wa Bwana Mpungwe kwa mara nyingine, unalenga kujizatiti kikamilifu kwa kuwaleta pamoja washikadau na umma kushirikiana katika masuala ya sekta ya madini.

Pamoja na kuwa Balozi mstaafu na kiongozi mzoefu wa sekta ya madini, Balozi Mpungwe, yupo katika nafasi nzuri ya kuiongoza Chemba kukua kiuongozi katika nafasi yake kama kioo cha sekta ya madini na kuwa kiunganishi cha washikadau wa sekta serikalini, wawekezaji, katika jamii na hata zaidi.

Balozi Mpungwe amesema;-

Ratiba ya awamu ya pili ya kuzima mitambo ya analojia

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA


TAARIFA KWA UMMA


RATIBA YA UZIMAJI WA MITAMBO YA UTANGAZAJI YA ANALOJIA AWAMU YA PILI

Ndugu wananchi, napenda kuchukua nafasi hii kuwataarifu kuwa Awamu ya Pili ya Uzimaji wa Mitambo ya Utangazaji ya Analojia itaanza rasmi mwezi Machi mwaka huu.

Awamu hii ya Uzimaji inaanza baada ya Serikali kujiridhisha na matokeo ya tathmini ya uzimaji wa mitambo ya utangazaji ya analojia awamu ya kwanza kwenye miji saba ya Dar e salaam, Tanga, Mwanza, Dodoma, Mbeya, Moshi na Arusha. Tathmini hiyo imeonyesha kuwa asilimia 89% ya watanzania kwenye miji hiyo wamehamia kwenye mfumo mpya wa utangazaji wa dijitali.

Ninaamini kuwa asilimia kumi na moja ya watanzania waliobaki kwenye miji hiyo watakuwa wameingia

Ufafanuzi wa Baraza lilivyopanga alama na madaraja ya matokeo ya mtihani wa Kitaifa Kidato cha Nne 2013

Baraza la Mitihani nchini limetoa ufafanuzi wa alama na madaraja yalivyopangwa kutokana na matokeo ya mtihani wa watahiniwa walioitimu Kidato cha Nne 2012/13 baada ya malalamiko yaliyotokana na mkanganyiko wa utaratibu huo mpya ambao haukuwepo katika miaka ya nyuma.

Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam leo, Kaimu Mtendaji wa Baraza hilo Dk Charles Msonde amesema utaratibu huo umelenga kupunguza mlundikano wa alama katika kundi moja.

Sasa katika makundi yetu haya saba, kama nilivyotangulia kusema, ni gredi D ndiyo ufaulu. Kama mtahiniwa alipata gredi D na kuendelea, atakuwa amefaulu. Mtahiniwa katika somo,

Hoja ya Paul Makonda: Rasimu ya Katiba imewasahau Vijana

Paul Makonda, Godbless Lema

Mimi ni Kijana, ninayoyazungumza,ninayoyafanya yana reflect uhalisia huo. Hivyo kwa wito wa Ujana najikuta nashawishika sana kuongeza umakini katika masuala yahusuyo vijana hasa kwenye Katiba.

Ni ajabu lakini kweli kuwa sehemu inayotaja juu ya Haki na Wajibu wa Vijana katika Rasimu yote ni Ibara ya 44 tu, tena inataja kwa ujumla wake bila hata kuweka ibara ndogo ama vipengele vya ufafanuzi.

Ibara hiyo inasema;
"..kila kijana ana haki na wajibu wa kushiriki kikamilifu katika shughuli za maendeleo ya Jamhuri ya Muungano pamoja na jamii kwa ujumla, na kwa mantiki hiyo, Serikali ya Jamhuri ya Muungano, serikali za nchi washirika na jamii zitahakikisha kuwa vijana wanawekewa mazingira mazuri ya kuwa "Raia Wema" na kupatiwa fursa za kushiriki kikamilifu katika nyanja za kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiutamaduni..."
Sikuwa nategemea huu unaweza ukawa ndio mwisho wa maelezo ya Rasimu kuhusu Vijana. Nilitegemea

Haya! Huko Tanganyika ziwani: Dini yakataza elimu

Na Sylvia Kombe, Kakonko, Kigoma — DINI mpya iitwayo Matengenezo imeingia wilayani Kakonko mkoani Kigoma ambapo waumini wake hawaendi sekondari wala hospitali kwa madai kuwa Biblia inawakataza kufanya hivyo.

Dini hiyo imegundulika juzi katika kijiji cha Rumashi kata ya Nyabibuye wilayani huko wakati Mkuu wa Wilaya hiyo Peter Toima alipokuwa akifanya ziara ya elimu katika shule za sekondari za wilayani hiyo mpya ambapo aligundua wanafunzi wengi kutokuripoti shuleni kwa ajili ya kuanza kidato cha kwanza.

Toima alipohoji kulikoni idadi kubwa ya wanafunzi kutoripoti katika shule walizapangiwa huku wale walioandikishwa darasa la kwanza pia nao kutokuripoti alielezwa kuwa wengine ni sababu za kiimani zinazowakataza kusoma.

Mkuu huyo wa wilaya alikatiza ziara yake na kuanza msako wa kuwasaka wanafunzi hao ambao hawajaripoti shuleni pamoja na waumini wa dini hiyo ya Matengenezo kwa madai kuwa inawakosesha watoto haki yao ya msingi na kukiuka sheria za nchi kwani ni haki ya kila mtoto kupata elimu.

Katika msako huo ambao alikuwa ameongozana na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya hiyo pamoja na watendaji wa Halmashauri wakiwemo Maafisa elimu msingi na Sekondari walifika katika familia ya

Scam alert: New File email

Please take note of the following circulating message, whose intention is to harvest as many email addresses as it can in order to sell them to spamers and fraudsters.

This message comes from people in your email address which makes it is easy to think that it is genuine but, be wary when you receive a message with a link to open and sign again with your email address and password (a red flag right there), especially from a person who did not promise to send any document.

The message goes as follows:
Please view the document I uploaded for you as I'm having problems with attachments.
Click here
Just sign in with your email to view the document its very important.
Thank you.
If you receive a message similar to the one quoted above:-
  1. DO NOT click where it says, "Click here"
  2. Simply ignore and click the "DELETE" button on your email
  3. Alert the sender that his/her email address might have been compromised

Binti huyu anomba umsaidie alipe ada 450,000/- ya mwaka wa mwisho wa masomo


Jeni Mkondy 31 Mkaazi wa Luwawasi Kata ya Lizaboni wilaya ya Songea Mkoani Ruvuma anaomba msaada wa kujiendeleza kielimu.

Jeni Mkondy ni mwanamke mwenye umri wa miaka 31. Alibahatika kupata Elimu ya Msingi mpaka darasa la saba. Baada ya kumaliza Elimu ya Msingi aliolewa hakuweza kuendelea na masomo ya Elimu ya Sekondari kutokana na uwezo mdogo.

Aliolewa. Baada ya ndoa alibahatika kupata watoto watatu ambao mmoja yupo kidato cha pili, wa pili darasa la saba na mwingine yupo darasa la kwanza.

Baada ya kutelekezwa na mumewe, aliamua kujiendeleza kielimu. Mwaka 2011 alianza masomo ya kidato