Rais Kikwete azindua “Telecommunication Traffic Monitoring System”

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi Mtambo wa Kuhakiki Takwimu za Mawasiliano (Telecommunication Traffic Monitoring System) leo February 27, 2014 katika jengo la Mawasiliano Towers jijini Dar es salaam. Kulia ni Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Pro, Makame Mnyaa Mbarawa, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Saidi Meck Sadick na wadau wengine wa TEHAMA (picha zote: IKULU).
(picha zote: IKULU).
Pichani ni Rais Jakaya M. Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi Mtambo wa Kuhakiki Takwimu za Mawasiliano (Telecommunication Traffic Monitoring System) leo February 27, 2014 katika jengo la Mawasiliano Towers jijini Dar es Salaam.

Kulia ni Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mnyaa Mbarawa, Waziri wa

Ya kuzingatia kwenye mapambano dhidi ya kero za Muungano Tanzania

Imeandikwa na: Dk. Antipas Massawe - Mhandisi Migodi - Dar es Salaam.

Muungano Tanzania ulizaliwa tarehe 26 April, 1964. Sababu kubwa iliyopelekea kuzaliwa kwake ni moyo waliokuwa nao waasisi wake (Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Sheikh Abeid Amani Karume) wa kuunda Muungano wa nchi huru za Bara la Afrika wakianzia na shirikisho la Afrika ya Mashariki. Lengo lilikuwa kulinda na kudumisha mapinduzi ya Zanzibar ya tarehe 12 January, 1964 dhidi ya utawala wa wachache wa kisultani ulioondolewa madarakani na kuanzisha ujenzi wa shirikisho la Afrika ya Mashariki na Muungano wa Bara la Afrika kwa lengo la kujijengea uwezo wa kulinda uhuru wa waafrika na raslimali zao dhidi ya tamaa mbaya kutoka mataifa makubwa ya kibeberu.

Kuzaliwa Muungano Tanzania kulitokana na matakwa binafsi ya waasisi wake na wananchi wa kawaida pande mbili za Muungano hawakushirikishwa kikamilifu kwenye maamuzi yote husika kwenye kuundwa kwake na haionekani mahali popote chaguo la Muungano chini ya muundo wa serikali mbili lilihusisha

[picha] Rais Kikwete na Jumuiya ya Chuo Kikuu wauaga mwili wa Balozi Kazaura

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo wakati alipowasili kwenye hafla rasmi ya mazishi ya Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Marehemu Balozi Fulgence Kazaura katika ukumbi wa Nkrumah Chuoni hapo leo February 27, 2014. Nyuma yake ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandara na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe saidi Meck Sadick.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo wakati alipowasili kwenye hafla rasmi ya mazishi ya Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Marehemu Balozi Fulgence Kazaura katika ukumbi wa Nkrumah Chuoni hapo leo February 27, 2014. Nyuma yake ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandara na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe saidi Meck Sadick (picha zote: IKULU).

TMA: Tanzania Outlook for March - May rainfall season; Mwelekeo wa mvua za Machi - Mei

CLIMATE OUTLOOK FOR MARCH – MAY, 2014 RAINFALL SEASON

This statement gives a review of the performance of the October to December (OND), 2013 short rainfall season, the ongoing seasonal rains over central, western, southwestern highlands, southern region and southern coast, and an outlook for the March to May (MAM), 2014 long rainfall season (Masika). Click here to view/download a copy of the full report


MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU WA MACHI  MEI 2014

Taarifa hii inatoa tathmini ya msimu wa mvua za Vuli kwa miezi ya Oktoba hadi Desemba 2013, mvua zinazoendelea katika maeneo ya kanda ya kati, magharibi, nyanda za juu kusini magharibi na mikoa ya kusini pamoja na mwelekeo wa mifumo ya hali ya hewa na mvua za Masika katika kipindi cha miezi ya Machi hadi Mei (MAM) 2014. Bofya hapa kusoma/kupakua nakala ya taarifa nzima

Viongozi wa JUMIKI (Uamsho) Zanzibar wapata dhamana

Mahkama kuu Zanzibar leo imetoa dhamana kwa viongozi 10 wa jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kislamu -- inaripoti blogu ya Zanzibar Islamic News.

Kwamba, dhamana hiyo imepatikana baada ya kupunguzwa masharti magumu ya kulipa fedha taslimu shilingi milioni 25 na badala yake, watuhumiwa watatkiwa kulipa kwa maandishi. Jaji wa Mahakama hiyo Fatma Hamid Mahmoud ametoa uamuzi huo na kusema kwa vile watuhumiwa wameshakaa ndani kwa muda mwingi mahakama imeona wana haki ya kupatiwa dhamna yenye masharti nafuu.

Jaji Fatma alikubali maombi yaliotolewa na mawakili wa watuhumiwa hao wakiongozwa na Salum Toufiq ya

Every dress worn by the Best Actress Academy Award Winner from 1929 to 2013

A pictorial list of all the dresses worn by Best Actress Academy Award Winners from 1929 to 2013.

Oscar Dresses: Every Dress Worn By Best Actress Academy Award Winners
by Mediarun.
via Visually.

Scholarship info. for Tanzanians aiming for Masters, PhDs in oil and gas at the Univ. of Alberta, Canada

Please make use of the useful message inside the forwarded email  from a friend:
Dear Prof. ...

I manage international relations and recruitment for the University of Alberta. It was a great pleasure to have met you for lunch last month during your visit to Calgary.

During our conversation, you had expressed interest in degree programs and training courses in: Law, Engineering, Public Administration, and Geology at UAlberta. You had a particular interest in programs that

Antibiotics overuse: A price of success in the fight against Malaria in Africa

Steve Baragona’s report for the Voice of America — As malaria rates decline across much of Africa, a new study seeks to fight another problem.

Drug-resistant bacteria are a growing concern as antibiotics have become the automatic choice for treating a child with a fever.

Research from Tanzania, published in the New England Journal of Medicine, shows that most illnesses are caused by viral infections. Antibiotics do not kill viruses, and overuse of these important drugs is decreasing their effectiveness.

Success and challenge

Until recently, malaria has been so prevalent in many African countries that health workers assumed any

DTBi & COSTECH partners with Silicon Valley Black Chamber of Commerce’s Center for Entrepreneurial Development

Mr Carl Davis Jr, President of the Silicon Valley Black Chamber of Commerce and Eng. George Mulamula, CEO of DTBi sign MOU
Mr Carl Davis Jr, President of the Silicon Valley Black Chamber of Commerce and Eng. George Mulamula, CEO of DTBi sign MOU

DTBi-COSTECH and Silicon Valley Black Chamber of Commerce’s Center for Entrepreneurial Development (SVCED) have signed a Memorandum of Understanding (MoU) which will see both parties collaborate in various ways for the growth of entrepreneurs and the creation of business linkages between California/Silicon Valley and Tanzania/DTBi.

With this agreement, both DTBi and SVCED will work together to mutually promote entrepreneurship, capacity building in ICT in all economic sectors. These will include activities such as working with ICT Start-

EU shares counter-piracy knowledge with Tanzania in a 2 training session

EU Naval Force Deputy Commander, Rear Admiral Bartolomé Bauzá (right) and Force Commander Hervé Bléjean meeting with Tanzanian participants during the training. (EU NAVFOR Photo)
EU Naval Force Deputy Commander, Rear Admiral Bartolomé Bauzá (right) and Force Commander Hervé Bléjean meeting with Tanzanian participants during the training. (EU NAVFOR Photo)

By Marinelink.com/news — On Monday, February 24, European Union counter-piracy operation Atalanta and EUCAP Nestor, the civilian-led Maritime Security Capacity building EU Mission, hosted two training sessions for Tanzanian Maritime Police and Navy in Dar es Salaam to share knowledge and experiences in fight against piracy in the Horn of Africa and Western Indian Ocean region.

The practical trainings held on board the EU Naval Force flagship, FS Siroco, were carried out by

Nakala ya Rasimu ya Pili ya Kanuni za Bunge la Katiba

Itakumbukwa kwamba tarehe 19 Februari 2014 Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum Pandu Kificho aliteua Kamati ya Wajumbe ishirini yenye uwakilishi wa makundi yote yanayounda Bunge Maalum kwa ajili ya kumshauri kuhusu Rasimu ya Kanuni za Bunge Maalum.

Rasimu ya kwanza ya Bunge Maalum iliandaliwa na Kamati ya Maandalizi chini ya Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano na Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar (nakala yake niliwapa hapa).

Kazi ya mjumbe ni kuwakilisha na kuwasilisha; katika kutekeleza wajibu huo, jana 26 Februari 2014 tulikuwa na Semina ya Bunge Maalum kuhusu Rasimu ya Pili ya Kanuni za Bunge Maalum toleo la 2014.

Katika mjadala wa jana niliunga mkono mapendekezo ya rasimu katika sehemu ya nne kuhusu kupunguzwa kwa mamlaka na madaraka makubwa ya Mwenyekiti wa Bunge Maalum, tofauti na rasimu ya kwanza; sasa

Mwanamke mkazi wa Tanga akamatwa Pemba na mihadarati

Na Masanja Mabula, PEMBA — JESHI la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba, linamshikilia mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Mwanaisha Kiyaka Ayoub (30) mkaazi wa Pande Tanga na Chake Chake kwa tuhuma za kupatikana na mafurushi ya bangi.

Akizungumza na mwandishi wa habari hizi kwa niaba ya kamanda wa Polisi Mkoa huo, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi, Mlenge Mohammed Mlenge, alisema mtuhumiwa alikamatwa jana majira ya saa

Taarifa ya Wizara kuhusu hali ya uzalishaji, upatikanaji na uhakika wa chakula nchini

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA

Hali ya uzalishaji, upatikanaji na uhakika wa chakula nchini imeendelea kuwa ya kuridhisha katika maeneo mengi ya nchi kufuatia mavuno mazuri ya msimu wa kilimo wa 2012/2013 ambayo mazao yake yanaendelea kuingia sokoni kutoka maeneo mbalimbali ya nchi.

Uzalishaji wa mazao ya chakula katika msimu wa kilimo wa 2012/2013 ni tani 14,383,845 za chakula zikiwemo tani 7,613,221 za nafaka na tani 6,770,624 za mazao yasiyo ya nafaka.

Mahitaji ya chakula katika mwaka 2013/2014 ni tani 12,149,120 hivyo kuwepo kwa ziada ya tani 2,234,726 za chakula. Ziada hiyo inajumuisha tani 354,015 za mahindi, tani 466,821 za mchele na tani 1,413,890 za mazao yasiyo ya

Are you not moving forward because of these excuses you keep reciting to yourself?

Sooner or later you will come to realize that it’s not what you lose along the way that counts; it’s what you do with what you still have. When you let go, forgive, and move on, you in no way change the past, you change the future.

  • Overlooking the positive points in your life

How to disable Android push notification eg Whatsapp bubble

To turn off bubbles notifications which usually appear on top other screen whenever you receive a new message from communication apps such as Viber, WhatsApp, Facebook, etc, on any Android phone running Jelly Bean onwards, open the phone's "Settings" and follow the simple instructions below.


How to turn off and disable android push notifications eg whatsapp bubble
1

CCM imewatelekeza wasanii inaowatumia kwenye kampeni?

Imeandikwa na Bashir Nkoromo, Dar es Salaam — Akijibu swali la watangazaji katika kituo cha radio cha East Africa, Mikocheni, Dar es Salaam wiki iliyopita, na ambao walitaka kujua Nape alikuwa anasemaje kuhusu tetesi za mitaani kwamba wasanii CCM imewatelekeza wasanii ambao wamekuwa wakitumia kwenye kampeni zake, Nape alikanusha madai hayo.
"Wanaosema kwamba wasanii hao CCM imewatelekeza wanakosea, nadhani kwa kutojua hasa kuwa Chama kinawatumiaje.. Ni kwamba wakati wa shughukli zetu kama za kampeni huwa tunaingia nao mkataba wa kutufanyia kazi na tukisha walipa kwa makubaliano ya kazi husika, kazi ikimalizika hatuwezi kuendelea nao, matarajio yetu ni kwamba wataendelea na shughuli zao kama kawaida" 
alisema Nape na kuongeza;