[audio] Evarist Chahali: Maongezi kati yangu nawe kuhusu Katiba Mpya

Call for papers: 5th African Languages in the Disciplines Conference

ABSTRACTS DUE MARCH 21, 2014

AFRICAN LANGUAGES IN THE DISCIPLINES (ALD)

Conference Dates: April 24 2014

Harvard University, Cambridge, MA

Please join us on April 24, 2014 for the fifth annual ALD conference, which will build on the important conversations of the previous four years as we continue to engage scholars and African heritage communities in serious discussion about the contributions of African languages to the disciplines.

Indigenous African languages are vital to comprehending how Africans understand, organize, and transmit essential knowledge to successive generations, both through oral and written traditions and through aesthetic practices. African languages also serve as road maps for identifying how social, political, and economic institutions change over time, and should therefore play a critical role in how we approach and interpret our research.

This conference aims to bring together a diverse range of scholars across a variety of disciplines. Possible themes include, but are not limited to, the contribution of African languages to the study of literature, music, film, performance, visual arts, media studies, history, philosophy, religion, anthropology, sociology, gender studies, political science, psychology, economics, development studies, education, geography, environmental science, legal studies, and public health.

Please apply online via our website www.alp.fas.harvard.edu/ald by March 21, 2014. We ask for a 250-word abstract outlining a 15-minute presentation as well as a brief biography.

Please contact the conference organizers with any questions at [email protected]

Mamia wajitokeza kujiandikisha Kili Marathon

Baadhi wa watu mbalimbali waliojitokeza katika usajili kwaajili ya kushiriki katika mbio za kilomita 5 za kujifurahisha za Vodacom katika mashindano ya Kilimarathon. Mbio hizo zinatarajiwa kufanyika jumapili ya hii jijini Moshi na zoezi la usajili linaendelea katika Hotel ya Keys na barabara ya Uru ambalo limeshuhudia mamia ya watu wakijitokeza kujisajili kushiriki mbio hizo.

Dar es Salaam, Februari 28, 2014 … Mamia ya watanzania wamejitokeza kwa wingi kujiandikisha katika mbio fupi za kiliometa tano za Kili Marathon ambazo zimedhaminiwa na kampuni ya mawasiliano ya simu ya Vodacom Tanzania yatakayofanyika Moshi, Kilimanjaro Machi 2 ya mwaka huu.

Akizungumzia zoezi hilo Mkuu wa Vodacom Kanda ya Kaskazini, Philemon Chacha amesesma kuwa amevutiwa na idadi kubwa ya

Taarifa kuhusu hotuba ya Rais ya mwisho wa Februari 2014

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Ijumaa, Februari 28, 2014 hatahutubia taifa katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi kama ilivyo kawaida.

Hotuba hiyo haitakuwepo kwa sababu awali Rais Kikwete alitarajiwa kuzindua Bunge Maalum la Katiba kwa hotuba rasmi Bungeni mjini Dodoma leo kabla ya ratiba ya shughuli za Bunge hili kufanyiwa mabadiliko. Rais Kikwete sasa atalizindua Bunge hilo wiki ijayo.

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.

28 Februari, 2014

Turkey's Dirty Money: Still on FATF's gray list; Kenya and Tanzania removed

Cross-posting this piece by Tom Keatinge @Foreignaffairs.com

Earlier this month, financiers, bankers, and investors waited anxiously to see whether Turkey, having passed a law in 2013 to prevent the financing of terrorism, would be taken off the Financial Action Task Force’s (FATF's) list of high-risk and noncooperative jurisdictions.


The result? ... Turkey will remain in uncomfortable company on the gray list of countries that the FATF, the G7-founded body charged with developing and implementing global standards to counter illicit financing, deems as having deficiencies in their efforts to combat money laundering and terrorism financing.

The body was most concerned about Turkey’s weak framework for identifying and freezing terrorist assets -- for example, its definition of "terrorism financing" is too narrow and its asset freezing procedure is too

Country risk: Sectarian violence increases in Tanzania

IHS Jane's Intelligence Weekly: Large-scale attacks by domestic militant groups unlikely but sectarian violence increases in Tanzania

Key Points

  • There are at least six organisations with known or suspected ties to Al-Shabaab, including Ansar Muslim Youth in Tanga and Jumuiya ya Taasisi za Kiislam and the Islamic faith group Uamsho (Awakening) primarily based in Zanzibar.
  • Although the risk of domestic insurgency from groups affiliated to Al-Shabaab is increasing from its currently elevated level, primary targets are more likely to be religious gatherings and buildings rather than commercial assets.
  • Domestic groups have little capability to stage large-scale attacks on hospitality, retail, or business assets. The highest risk of smaller-scale attacks, using IEDs and small-arms, is likely to be in Dar es Salaam, as well as Zanzibar and Tanga.

Full report at: Janes360.com/article/34706...

IOM Tanzania organizes workshop on Return Management

Tanzania - IOM Tanzania, in close collaboration with the Tanzanian Regional Immigration Training Academy and IOM African Capacity Building Centre (ACBC), is this week organizing a six-day workshop on “Return Management: Lessons Learned from Mtabila Camp Closure, Operation Kimbunga and the Way Forward in Western Tanzania”.

The workshop, which targets senior immigration officials from Burundi and Tanzania, is taking place at the ACBC in Moshi and will run through 4th March 2014.

The programme focuses on international norms and principles of protection and best practices in managing voluntary returns, with specific reference to the closure of the Mtabila refugee camp in Tanzania and

Rais Kikwete akutana na Meya wa Mji wa Vallejo


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi ya sanamu ndogo ya mji wa Vallejo toka kwa  Meya wa Mji wa Vallejo nchini Marekani Mstahiki Osby Davis alipomtembelea  Ikulu  jijini Dar es salaam Alhamisi Februari 27, 2014. Meya Davis yuko nchini na ujumbe wa wafanyabiashara 15 kutoka Vallejo wakiwa katika ziara ya kutafuta fursa za uwekezaji na ushirikiano. Mji wa Vallejo ni mji dada na wa Bagamoyo katika mkoa wa Pwani.

Taarifa ya Tume: Ratiba ya uchaguzi mdogo jimboni Chalinze

Tume ya taifa ya uchaguzi imetangaza ratiba ya uchaguzi mdogo wa jimbo la CHALINZE, mtakumbuka kuwa jimbo hilo limekuwa wazi baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo bwana Said Bwanamdogo kufariki dunia tarehe 22 Januari 2014 kwenye hospitali ya MOI jijini Dar es Salaam.
 
Ratiba ya uchaguzi kwenye jimbo hilo iko kama ifuatavyo:-
  1. Uteuzi wa wagombea - Tarehe 12 Machi 2014
  2. Kampeni na Uchaguzi - Tarehe 13 Machi 2014
  3. Siku ya Uchaguzi - Tarehe 6 April, 2014
Tarehe ya wagombea ubunge kuchukua Fomu za uteuzi kwa msimamizi wa uchaguzi ni kuanzia tarehe 03 Machi, 2014 hadi tarehe 12 Machi, 2014 (siku ya uteuzi) kabla ya saa 10:00 Alasiri.
 
Wagombea wanatakiwa kuwasilisha fomu za uteuzi kwa msimamizi wa uchaguzi siku ya uteuzi si zaisi ya saa 10:00 Alasiri.

Tangazo kwa Wauguzi wahitimu wa Astashahada na Stashahada 2013

Kaya zaidi ya 5,000 za manispaa ya Iringa kunufaika na maji safi

Kaimu Mhandisi wa maji wa Mkoa wa Iringa, Mhandisi Kingazi William (aliyenyanyua mkono) akitoa ufafanuzi kuhusu maendeleo ya tanki la kuhifadhia maji kwa ajili ya mradi wa maji unaolenga kuzifikia zaidi ya kaya 5000 za manispaa ya Iringa. (picha: SAIDI A. MKABAKULI)

Katika kukamilisha ahadi na Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2011 – 2016), Serikali imejidhatiti kuwafikishia maji safi na salama wakazi wa zaidi ya kaya 5000 za Manispaa ya Iringa kufikia katikati ya mwaka huu wa fedha.

Hayo yalibainishwa na Naibu Katibu Mtendaji (Huduma za Jamii na Masuala ya Idadi ya Watu), Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri wakati wa ukaguzi wa miradi ya maendeleo inayodhaminiwa na serikali na wafadhili.

Bibi Mwanri alisema kuwa katika kutimiza Mpango wa huo wa Maendeleo Serikali inawekea mkazo katika

Jamii Production audio: Prof. Boaz, Jeff Msangi, Mzee Muganda, Denzel Musumba, Ahmad Nandonde katika mjadala kuhusu mitandao ya kijamii


Karibu katika kipindi hiki cha kwanza cha moja kwa moja (Live) kilichorushwa toka studio zetu za Washington DC.

Katika kipindi hiki, mjadala ulikuwa juu ya “Mitandao ya Kijamii.”

Washiriki walikuwa Prof Nicholas Boaz. Mwalimu wa Mawasiliano kutoka Chuo kikuu cha Maryland.

Mzee Emmanuel Muganda. Mtangazaji mkongwe aliyefanya kazi zaidi ya miaka 30 katika Idhaa za Sauti ya

Jaji Mihayo: Mkosaji mkuu wa haki za binadamu ni Serikali

Mjumbe wa Bodi ya Mtandao wa watetezi wa Haki za Binadamu nchini (Tanzania Human Rights Defenders Coalition) Dkt. Hellen Kijo Bisimba akitoa neno la ufunguzi wakati wa warsha ya siku moja iliyowakutanisha watetezi wa Haki za Binadamu nchini na Jeshi la Polisi jijini Dar leo.
  • Asema dunia nzima inajua mvunjifu wa kwanza wa haki za binadamu ni dola
  • Polisi pia ni binadamu wanahitaji kutetewa na mitandao ya haki za binadamu nchini
Na Damas Makangale, MOblog Tanzania

MKOSAJI na mvunjifu mkubwa wa haki za binadamu ni serikali kutokana na mazingira halisi ya utendaji na mfumo mzima wa utawala katika serikali nyingi duniani. Imeelezwa.

Akizungumza kwenye warsha ya siku moja iliyoandaliwa na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu nchini, Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) kwa wakuu na makamanda wa Jeshi la Polisi nchini, Jaji Mstaafu, Thomas Mihayo amesema kwa mfumo wa utawala katika nchi nyingi duniani mkosaji

Spam/Scam alert! Links from friends on Twitter

This morning I’ve received a number of spam links from some of my Twitter friends. Please beware not to click on those as they may harm your device or convince you to otherwise share your sensitive information.

Below are screen-shots of examples of messages I received a few minutes ago.