Arsenal’s been made fun of but, this meme...

Arsenal made fun of

Soka wacheze Yanga vs Al-Ahly, viti wang’oe Simba? “Hii mambo hayeleweki”Leo katika Mchezo wa soka wa kinyang'anyiro cha klabu bingwa Barani Afrika, uliozikutanisha timu za Yanga (Tanzania) na Al-Alhly (Misri) Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam (Tanzania), timu ya Yanga imepata ushindi wa goli moja.

Lakini cha kustajaabisha ni ripoti kuwa kabla hata ya kuanza kwa mtanange huo, baadhi ya mashabiki wa timu ya soka ya Simba ambayo ni wapinzani wa jadi wa Yanga, walianza kung'oa viti na kuvirusha upande walipokuwa wameketi washabiki wa Yanga. 

Chokochoko  hizo inaripotiwa kuwa zilitulia wakati mchezo ukiendelea, ila zikarejea tena mara baada ya Yanga kupata goli, saari hii ni mashabiki wa Simba tena waliovalia jezi za Simba walianza tena kung'oa viti na kuwarushia mashabiki wa timu ya Yanga waliokuwa wakishangilia. Tizama picha zaidi hapo chini...

Ujumbe wa Mhe. Shy-Rose Bhanji kwa Serikali kwa ajili ya Watanzania

Taarifa hii imeshirikishwa wavuti.com na Timu ya MODewji blog

Nimerejea nchini baada ya ziara ya siku 10 nchini Kenya. Ziara hii ya wabunge wa EALA ilikuwa kwa mwaliko wa Serikali ya Kenya lengo likiwa kuhamasisha wananchi wa Kenya kupata ufahamu mkubwa juu ya Mtangamano wa Jumuiya na faida zake. Tulipata nafasi ya kuonana na wananchi, wafanyabiashara, wabunge, maseneta, magavana, asasi za kiraia na makundi mengine.

Ziara hii imenifungua macho zaidi kwamba bado tuna kazi kubwa mbele yetu kuhakikisha kuwa Jumuiya ya

Picha za sherehe ya Wafanyakazi Radio Uhuru walipouaga mwaka 2013

Habari imeshirikishwa wavuti.com na Mroki Mroki wa Father Kidevu blog

wafanyakazi wa Uhuru FM
Usiku wa kuamkia leo, wafanyakazi wa Uhuru FM, Redio ya wananchi waliamua kujiachia kivyao vyao katika bonge la tafrija la kuuaga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2014. 

Tafrija hiyo iliyoongozwa na Kaimu Mkurugenzi wao Angela Akilimali ilifana na kupongezwa na kila mfanyakazi kwa jambo hilo jema la kuwakutanisha wafanyakazi na kufurahi pamoja. 

Pichani ni wafanyakazi hao wakigonga chiaaaaaaz! Tizama picha zaidi...

Tourism generates nearly $4 billion anually in Tanzania

Embassy of the Federal Republic of Germany in Dar, Charge d’Affaires, Mr Hans Koeppel speaks to Hyatt Regency the Kilimanjaro Hotel, General Manager, Trevor Saldanha during the cocktail party organized by the Germany Embassy in Dar to honour for tour operators who are going to Berlin to attend International Travel show.(All photos by Zainul Mzige).

This article was shared to wavuti.com by The MODewji blog Team. Thanks.

By Damas Makangale and Caroline Alexandra, MOblog Tanzania

Despite news of wildlife poaching in Tanzania the current statistics show that the country is generating nearly 4 billion USD in the tourism sector; equal to 13% of the GDP MOblog can report.

Speaking to invited dignitaries at the cocktail party organized by the Embassy of the Federal Republic of Germany in Dar es Salaam, Chargé d’affaires Mr. Hans Koeppel said that after gold, tourism is the largest source of foreign exchange bringing 1.7 billion USD.

He said that for nearly 50 years the ITB has been the driving force in the worldwide travel industry with more

Global Talent Search kwa wanamuziki chipukizi

Wasichana, Wavulana, Shule bora Matokeo Kidato cha Nne 2013


Shule 10 bora

  1. St. Francis Girls (Mbeya) 
  2. Marian Boys (Pwani)
  3. Feza Girls (Dar es Salaam) 
  4. Precious Blood (Arusha) 
  5. Canossa ya (Dar es Salaam) 
  6. Marian Girls (Pwani) 
  7. Anwarite Girls (Kilimanjaro) 
  8. Abbey (Mtwara)
  9. Rosmin (Tanga)
  10. Don Bosco Seminary (Iringa) 

Tia viraka ikibidi, usishone mpya...


Paul: Are mobile telcos second guessing their customers?(Lessons learned from their peer's mistakes dont seem to sync in!)

SOME of my readers have been calling me and congratulating me on my work. Thank you. Much appreciated. I smile every time I write these pieces – worthwhile it seems, though polemic – because the idea is to incite change. And I always stick to my motto; the truth shall be told.

Over the years, as someone who is a little bit more than an avid user of mobile telephony services; I have the unending need to LEARN all that I can about whatever service I am using, available on the market, whether it is our petroleum fuel for our vehicles, where our packed milk comes from and what type(s) of packaging is

Chimbuko la Mbeya City na sababu ya kuchagua jezi rangi ya zambarau

Mbeya City FC
Timu ya soka ya Mbeya City 

Mbeya City tangu imepanda daraja na kucheza Ligi Kuu kwa mara ya kwanza msimu huu imefanya vitu vya tofauti kama Mwanaspoti inavyobainisha katika mahojiano na Mwenyekiti wa timu hiyo, Mussa Mapunda.
“Tulichagua jezi za rangi ya zambarau na nyeupe kutokana na hofu ya kuingiliana na rangi za vyama vya siasa na klabu za Simba na Yanga, timu yetu haiingiliani na chama chochote cha siasa na haina uhusiano wa karibu na Simba, Yanga,nembo yetu ina rangi ya njano inayowakilisha manispaa yetu.

Sisi jezi zetu tunazinunua kutoka China, wapo mawakala wetu, ni raia wa Tanzania waishio China ambao tumefikia makubaliano mazuri, tunawatumia kwa ajili ya kutununulia na kututumia.