Tangazo kwa wanaotaka kufanya mtihani wa CSEE na QT Novemba 2014

Kaimu Katibu Mtendaji, Baraza la Mitihani la Tanzania anapenda kuwatangazia watu wote wanaotaka kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT) mwezi Novemba, 2014 kama Watahiniwa wa Kujitegemea kwamba kipindi cha usajili kwa malipo ya ada ya kawaida (Shilingi 50,000/=kwa wanaojisajili CSEE na Shilingi 30,000/= kwa wanaojisajili QT ) kimeongezwa kutoka tarehe 28 Februari, 2014 hadi tarehe 31 Machi, 2014.

Watahiniwa watakaojisajili kuanzia tarehe 1 Aprili, 2014 hadi tarehe 30 Aprili, 2014 watatakiwa kulipa ada

CCM na Mawaziri wanatumia fedha kupitisha matakwa yao - Mtatiro

Jana waziri Maghembe amewaita wawakilishi wa wafugaji waliomo kwenye bunge la katiba, amewaandalia chakula cha kutosha, vinywaji vya kutosha na viburudisho vingine, huku wakipewa bahasha za nauli baada ya vikao hivyo vya siri.

Waziri wa Elimu Shukuru Kawambwa pia, jana amewaita wawakilishi wa vyuo vya elimu ya juu walioko katika bunge la katiba na kuendelea na mchezo huo.

Mhe. Lowassa pia leo anakutana na wafugaji na wakulima walio wajumbe wa bunge la katiba kwa mfumo huohuo.

Hoja zao wanapokutana na makundi haya ni kupigia chapuo kura ya WAZI na kupinga ya siri, huku

"Ugandan President's Daughter Reveals She is Gay" = Fake

You have probably read the article circulating online purporting that the daughter of Uganda President revealed in a radio interview that she is a homosexual.

My thinking is that, the story was cooked in relation to the law that President Museveni signed recently regarding homosexuality in Uganda. A way to retaliate? Nevertheless, will lies change the status quo or propagate animosity? Perhaps it was meant, just, for a joke, and it spoofed some (sigh).

The truth is, the story originated from a satire website “Abril Uno”. You probably have figured out that

85 people killed in northeastern Nigeria

Suspected Islamist militants have killed at least 85 people in northeastern Nigeria, witnesses and officials said on Sunday, reports Reuters.

Twin bomb blasts in the city of Maiduguri killed at least 46 people on Saturday evening while, around 50 km (30 miles) away, dozens of gunmen were razing a farming village, shooting dead another 39, the news agency added.

The attack on the village of Mainok on Saturday evening is typical of recent raids by Boko Haram as its fighters continue to target anyone they view as supporting the government's effort to end its insurgency.

"They were shooting sporadically and throwing explosives on buildings. I counted 39 bodies this morning," Mainok resident Mansur Buba told reporters in Maiduguri. "I fled the place because nobody is safe."

There was global outrage last week when dozens of school children were shot or burned to death in a rural region near the northeastern city of Damaturu.

Insurgents killed more than 300 people last month, mostly civilians. Among the attacks were two in which more than 100 people were killed. In one, militants razed a village and shot panicked residents as they tried to flee.

Cooking oil and Cookies for sale (Dar es Salaam, Tanzania)


Makala ya Rashid Mkwinda kuhusu Sumbawanga na historia yake

Ungana na mwanahabari, Rashid Mkwinda kwenye blogu yake (linki ipo hapo chini) kusoma makala hii ya kihistoria kuhusu Sumbawanga.

Kitabu kilichoandikwa na Mkuu wa wilaya wa enzi za Ukoloni wa wilaya ya Sumbawanga Mr. Roy Willis ambaye alikusanya historia ya kabila la Wafipa na mila zao kutoka kwa ndugu wa ukoo wa Ufalme wa Wafipa.

Mwene Ngalu(I) mwanamke mtawala wa Kabila la Wafipa

Makao makuu ya Mwene Ngalu wa kabila la Wafipa yaliyopo mjini Sumbawanga

Mwandishi wa Makala haya (Rashid Mkwinda) akiwa na Mwene Wangao alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Sumbawanga Wenyeji hivi karibuni

[...] anasema kuwa anakumbuka kuwa mahala hapo alikuwa akiishi mwanamke ambaye ndiye alikuwa mtawala wa eneo hilo aliyefahamika kwa jina la Mwene Ngalu aliyezaliwa kutokana na Mwene Wakulosi.

Anasema kuwa wapo wanafamilia ambao ndio warithi wa utawala wa kichifu ambao hadi sasa wangalipo na kuwa utawala wao ulikuwa ni wa kurithishana kulingana na wakati na enzi lakini baada ya wakoloni kuondoka na kupatikana Uhuru wa Tanganyika mwaka 1961 zama za utawala wa kichifu ulimalizika.

''Hivi sasa Umwene umebaki kwa wanafamilia wenyewe utawala wao ulikoma baada ya Nyerere kuingia madarakani,'' anasema Bi. Kamzee.

Anasema kuwa ndani ya jumba hilo yapo makaburi ya Mamwene wa Kabila la Wafipa ambao walizikwa humo kuanzia Mwene wa Kwanza Mwene Ngalu. ... bofya hapa kusoma makala nzima na kuona picha zaidi.

Arrested! Ali Khatibu Haji "Shikuba" believed to be Tanzania’s most wanted drug kingpin

After his arrest, Shikuba was driven to Central Police Station under tight security. He was taken to Lindi the following morning and charged with trafficking in drugs. (Photo: The Citizen - File)

Story by The Citizen on Sunday (TANZANIA) -- Anti-drugs police have arrested a man believed to be the country’s most wanted drug kingpin. Ali Khatibu Haji, popularly known as Shikuba, was arrested at Julius Nyerere International Airport (JNIA) last Sunday after two years of an intensive manhunt.

The 44-year-old is considered one of the most powerful and influential drug barons in Tanzania. He is said to be the leader of a cartel operating principally in East Africa but with a reach as far as China, Brazil, Canada, Japan, the United States and the United Kingdom.

He was charged last week with trafficking in a record 210 kilograms of heroin worth around Sh10 billion. Police

Watoto walemavu Moshi wapokea viti maalum vya kutembelea

Mtoto Innocent David mwenye ulemavu akiwa pamoja na Wazazi wake katika kituo cha kulelea watoto wenye ulemavu cha House of Hope kilicho chini ya (CCBRT) kilichopo kata ya kaloleni Manipaa ya Moshi wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa hundi ya SH milioni 5 zilizo tolewa na kampuni ya simu ya mkononi ya Vodacom kwa ajili ya kununua viti maalum 16 vya kutembelea watoto wenye ulemavu.

Moshi, Machi 2, 2014 -- Watoto wenye ulemavu wa kituo cha House of Hope kilichopo mkoani Moshi wamepokea msaada wa fedha zitakazo wawezesha kununua viti maalum vya kutembelea vyenye thamani ya shilingi milioni 5 zilizotolewa na kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania kwa kituo hicho kilichopo chini ya Hospitali ya CCBRT.

Akizungumza wakati wa zoezi la kukabidhi Mkuu wa Vodacom Kanda ya Kaskazini, Philemon Chacha amesema viti hivyo maalum vya kutembelea

Bunge la Katiba: Taarifa ya Ikulu kuhusu maandamano dhidi ya posho za Wajumbe

Katika siku za karibuni, kumekuwepo na habari nyingi, baadhi zenye kuchanganya umma na nyingine hata zikidai kuwa baadhi ya wafanyakazi nchini wanapanga kuandamana endapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete atakubaliana na maombi ya nyongeza ya posho ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba .

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu (DPC), inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu habari hizo kama ifuatavyo:

(a) Kwamba Mhe. Rais hajapata kupokea maombi yoyote kutoka kwa Uongozi wa Bunge ya kumwomba aridhie kuongezwa kwa posho ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kutoka kiwango cha sasa cha sh. 300,000 (laki tatu) kwa siku hadi kufikia sh. 500,000 (laki tano) ama sh. 700,000 (laki saba) kama ambavyo imekuwa ikivumishwa katika baadhi ya vyombo vya habari.

(b) Na kwamba kwa sababu Mhe. Rais hajapata kupokea maombi ya