Pentagon suspends military engagements with Russia

WASHINGTON (AP) -- The Pentagon says it is suspending exercises and other activities with the Russian military, in light of Moscow's military involvement in Ukraine.

A Pentagon spokesman, Navy Rear Adm. John Kirby, said Monday evening that the U.S. military has "put on hold" all military-to-military engagements, including bilateral meetings, port visits and planning conferences.

Kirby said the Pentagon values the relationship it has developed with the Russian military in the last few years, to reduce the risk of military miscalculation.

He said the U.S. calls on Russian forces in the Crimea region of Ukraine to return to their bases.

CCM yamteua Sitta kugombea Uenyekiti wa Bunge la Katiba

Samuel Sitta
Samuel Sitta, Waziri
Kamati ya Uongozi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imempitisha Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, kwa kauli moja kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, linaripoti gazeti la HabariLeo.

Pia kamati hiyo imempitisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Samia Suluhu kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa bunge hilo.

Taarifa kutoka ndani ya kikao cha kamati hiyo ya uongozi ya CCM iliyoketi jana, zimebainisha kuwa Andrew Chenge aliyekuwa akitajwa kuwania nafasi ya Mwenyekiti, amejitoa katika kinyang'anyiro hicho kwa hiari yake.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, baada ya kanuni za Bunge kupitishwa, utaratibu wa kuchukua fomu utatangazwa ambapo Sitta atakwenda kuchukua na atakuwa mgombea pekee kutoka CCM.

Kitakachosubiriwa ni kuona wagombea kutoka makundi mengine kuchukua fomu kuwania nafasi hiyo na kundi linalotarajiwa ni kutoka vyama vya siasa vya upinzani.

Sifa ya kwanza imetajwa kuwa ni utayari wake katika kuliongoza Bunge hilo.
"Sheria ya Mabadiliko ya Katiba imeainisha sifa za mtu anayetakiwa kuwa Mwenyekiti na mimi nina sifa na nina mipango mizuri ya kuwafanya Watanzania wapate Katiba bora kama ndoto ya Rais wetu (Jakaya Kikwete) ilivyo," 
alinukuliwa Sitta akizungumzia nia yake.

Kisheria, sifa za mtu anayepaswa kuongoza Bunge hilo ni pamoja na kuwa na

Mzee Rugemalira atoa Sh200 milioni kwenye mahafali ya Kajumulo Girls High School

Prof. Anna Tibaijuka kwa furaha akitoa neno.Kwa niaba ya Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea na Mwana hisa wa “VIP Engineering and Marketing Ltd” Mzee James Rugemalira aliyependa kuwa nasi leo lakini akashindwa kutokana na majukumu mengine, tunayo furaha kuwatangazia, kuwa VIP ataanzisha mfuko maalum wa kusaidia katika kuboresha utoaji Elimu katika nchi yetu, utakaoitwa “Auleria Kobulungo Muganda Memorial Education Foundation Trust”. Mfuko huu unaanzishwa kwa heshima na kumbukumbu ya mzazi wetu mpendwa marehemu Ma Auleria Kobulungo Muganda.

[audio] Hotuba ya Makonda mkutanoni Singida Mjini

  

  • Atoa wito kila mkoa ujitambulishe kwa zao lake
  • Awananga CHADEMA kuwa waasisi wa siasa za 'ukanjanja'
  • Ampongeza Tundu LIssu kwa kuwa kiongozi mjanja
  • Akabidhi kadi 50 kwa vijana waliojiunga na CCM 
  • Asimika makamanda 16 wa UVCCM Mkoa

Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi wa jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) ambae pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba Ndugu Paul Makonda amefanya ziara ya kikazi katika Mkoa wa Singida na kusimika makamanda wateule wa jumuiya ya Vijana wa Kata 16 za wilaya ya Singida Mjini.

Shughuli hiyo ya kusimika makamanda 16 iliyofanyika Katika Mkutano wa hadhara katika uwanja wa Ukombozi uliopo Kata ya Majengo Singida Mjini ilihudhuriwa na mamia ya wananchi ambao walijitokeza kumsikiliza kiongozi huyo wa

Tuonane kwenye Kombe la Dunia, Brazil 2014

(photo: CNN)

Na MOBlog Team -- Ni siku 100 tu, ni vigumu kuamini kuwa iko karibu. Inaonekana kama jana tu kwamba Brazil imethibitishwa kuwa muandaaji wa FIFA World Cup 2014. Nakumbuka msisimko niliohisi na kuona kuwa nchi yangu inaenda kwenye hatua muhimu ya mpira katika Dunia hii.

Hata ingawa mimi sitakuwa uwanjani, lakini nimeanza kupata vipepeo tumboni kama ambavyo nilikuwa nikikaribia mechi kubwa. Baada ya yote kumalizika FIFA World Cup, itakuwa ni ya aina ya mwisho kwa Brazil, tofauti na

Oscar host Ellen DeGeneres' selfie crashes Twitter for 20+min; Breaks Pres. Barack Obama's retweet
Host of 86th Academy Awards, Ellen DeGeneres saw what she calls the "best photo ever" – an image costarring Hollywood's finest – soar past president's Twitter record.

Ellen's goal of setting a retweet record with her star-studded selfie was achieved before the Oscars telecast was even over.

During a comic bit, the Oscars host prevailed upon actor Bradley Cooper to take a picture with her and several other Hollywood stars crowding around, including (from left) Jennifer Lawrence, Channing Tatum, Meryl Streep, Julia Roberts, DeGeneres, Kevin Spacey, Bradley Cooper, Brad Pitt, Lupita Nyong'o and

Dk Slaa, Mbowe wanatakiwa kushitakiwa


MWENYEKITI wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Katibu Mkuu wake Dk. Willibrod Slaa, wanatakiwa kushitakiwa kwa matukio ya umwagaji damu nchini, linachapisha hivyo gazeti la Uhuru taarifa ya Suleiman Jongo akiliripotia kutoka Iringa.

Pia, vyombo vya dola vimelaumiwa kwa kukaa kimya bila kuwachukulia hatua zakisheria licha ya kushiriki katika matukio yaliyopoteza maisha ya Watanzania.

Hayo yameelezwa jana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Mwigulu Nchemba, ambapo alisema licha

Kitendawili cha siku ya ufunguzi rasmi wa Bunge la Katiba

Mpaka sasa haijulikani lini Bunge Maalum la Katiba, litafunguliwa rasmi, kutokana na kuendelea kusogezwa mbele kwa shughuli muhimu za Bunge hilo kabla ya kufunguliwa kwake, linataarifu gazeti la HabariLeo.

Awali ilitarajiwa kwamba Rais Jakaya Kikwete angefungua Bunge hilo kwa kulihutubia Februari 24, lakini ilisogezwa mbele mpaka Februari 28 na sasa haijulikani lini litafunguliwa.

Wajumbe hao walikutana katika ukumbi wa Bunge Dodoma kwa mara ya kwanza Jumanne ya Februari 18 na tangu wakati huo, ratiba imekuwa ikivurugwa na shughuli muhimu kuwekwa kiporo.

Baada ya kuvurugwa kwa ratiba hiyo, sasa Bunge hilo limeendelea kusogeza kazi zake mbele, kutokana na

Kitanzi cha Spika Kificho ni Waraka wa Baraza la Wawakilishi kuafiki Serikali Tatu

WARAKA wa Baraza la Wawakilishi juu ya maoni ya Katiba, umezua jambo baada ya Wajumbe wa Baraza hilo wa CCM, kuukataa na kudai Spika wa Baraza hilo, Pandu Ameir Kificho, aliwasaliti kwani alishindwa kuishirikisha Kamati ya Uongozi ya Baraza hilo katika uandaaji wake.

Waraka huo ambao uliibuka juzi wakati Wajumbe wa Baraza la Katiba wakiwa wameanza kufanya mjadala wa Bunge la Katiba, Mjini Dodoma, kwa kupitia kanuni za Bunge, ambapo leo wajumbe wa Bunge hilo wanatarajiwa kupiga kura ya maamuzi kama Bunge litumie mfumo wa kupiga kura ya siri ama dhahiri.

Mwishoni mwa wiki iliyopita baadhi ya Wajumbe wa CCM Zanzibar, waliibuka na kukataa waraka

Korea Kaskazini yafyatua makombora pwani ya Mashariki

Korea Kaskazini inatuhumiwa kurusha makombora mawili ya masafa mafupi siku ya Jumatatu ya leo katika eneo la bahari katika pwani ya mashariki ya Korea.

Habari kutoka shirika la Reuters zikiikariri wizara ya ulinzi ya Korea Kusini zimesema hili ni tukio la pili baada ya lile lililofanyika wiki iliyopita.

Shirika moja la habari la Korea Kusini linasema makombora hayo ni aina ya Scud-C yanayoweza kwenda umbali wa kilomita 500 baada ya kufyatuliwa. Umbali huo inamaanisha una uwezo wa kuyafikia maeneo yatakayolengwa nchini Korea Kusini ama Japan.

Makombora hayo yamefyatuliwa katika kipindi ambacho Marekani na Korea Kusini zinafanya mazoezi ya pamoja ya kila mwaka, suala ambalo Korea Kaskazini inahofia kuwa ni mazoezi ya vita.