Yaliyojiri Bungeni leo kiasi cha Spika kulazimika kuahirisha kikao

WAJUMBE wa bunge hilo, kutoka Kushoto, Hasnai Murji, Stephen Ngonyani'Profesa Majimarefu', Mwigulu Nchemba na Philemon Ndesamburo wakiingia katika viwanja vya Bunge. (picha zote, shukurani kwa Gazeti la Uhuru)
WAJUMBE wa bunge Maalumu la Katiba: Kutoka Kushoto, Hasnai Murji, Stephen Ngonyani 'Profesa Majimarefu', Mwigulu Nchemba na Philemon Ndesamburo, wakiingia katika viwanja vya Bunge. (picha zote, shukurani kwa Gazeti la Uhuru)

Habari via Michuzi Blog -- Semina ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba leo imelazimika kuahairishwa baada ya kuibuka vurugu ndani ya ukumbi wa Bunge.

Zogo hilo liliumuka baada ya kuibuka kwa mvutano baina ya wajumbe uliosababishwa na kutuhumiana kwamba zipo dalili za upendeleo wanazofanyiwa baadhi ya wajumbe kutokana na sababu za kiitikadi za vyama.

Halima Mdee akitafakari la kufanya baada ya wajumbe wengine kundoka ukumbini
Halima Mdee akitafakari la kufanya baada ya wajumbe wengine kundoka ukumbini

Hali hiyo ya hewa ilichafuka baada ya kuibuka kwa mvutano baina ya Mjumbe Mhe. Christopher Ole Sendeka ambaye aliingia katika mvutano na Mjumbe wa Kamati ya Kanuni Mhe Abubakar Hamis Bakari kuhusiana na

Mama Salma apongeza Vodacom, CCBRT, kwa kuwakomboa wenye fistula

Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya Pamoja na wafanyakazi wa kampuni ya Vodacom Tanzania, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Connected Women. Katika kutambua mchango wa Teknolojia ya simu za mkononi katika kubadilisha maisha ya wanawake iliyoandaliwa na kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom kuelekea maadhimisho ya siku ya Wanawake duniani inayofanyika kila mwaka Machi 8.
Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya Pamoja na wafanyakazi wa kampuni ya Vodacom Tanzania, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Connected Women. Katika kutambua mchango wa Teknolojia ya simu za mkononi katika kubadilisha maisha ya wanawake iliyoandaliwa na kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom kuelekea maadhimisho ya siku ya Wanawake duniani inayofanyika kila mwaka Machi 8.

  • Ni kupitia Huduma ya “Text to Treatment”
  • Huduma hiyo inayotolewa kwa ushirikiano wa Vodacom Tanzania na CCBRT ni miongoni mwa huduma sita zitolewazo na makampuni ya Vodafone Group duniani.

Dar es Salaam, Machi 5, 2014 -- Huduma ya ‘Text tot Treatment’ inayotolewa kwa ushirikiano baina ya kampuni ya Vodacom Tanzania na taasisi isiyo ya kiserikali ya CCBRT katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa fistula imetambuliwa duniani kwa kuonyesha ni namna gani huduma sahihi kwa njia ya simu za mkononi zinavyoweza kuwawezesha wanawake.

Ripoti ya hivi karibuni ya Connected Women iliyotolewa na makampuni ya Vodafone Group: Ni namna gani mtandao wa simu za mkononi unaweza

Proin Promotions Ltd kuanza kusaka vipaji vya uigizaji nchini Aprili Mosi 2014


Na Josephat Lukaza -- Meneja wa Mradi wa Kusaka Vipaji Vya Uigizaji Tanzania (Tanzania Movie Talents) Bw Joshua Moshi akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wakutambulisha kampeni mpya ya kusaka vipaji vya uigizaji kutoka kampuni ya Proin Promotions Limited mapema leo katika ofisi za kampuni hiyo, Mikocheni, Mtaa wa Ursino. Pembeni ni Meneja Masoko wa Proin Promotions Limited, Bw Evance Stephen.

Meneja Masoko wa Proin Promotions Limited, Bw Evance Stephen (katikati) akielezea jinsi ya Kampuni ya Proin Promotions itakapozunguka katika Mikoa ya Tanzania Kwaajili ya Kusaka Vipaji vya Uigizaji Tanzania kwenye Mkutano na waandishi wa Habari mapema leo katika Ofisi za Proin Promotions Limited, Mikocheni, Mtaa wa Ursino,, Shindano litaendeshwa na Kampuni ya Proin Promotions Limited.
Bw Evance Stephen (katikati) akielezea jinsi ya Kampuni ya Proin Promotions itakapozunguka katika Mikoa ya Tanzania.


Serikali, UNDP, PATH wakubaliana njia bora ya kukabiliana na TB, Malaria


Na MODewji Team -- Pichani juu ni Kaimu Mkurugenzi wa Kinga, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Neema Rusibayila, akifungua rasmi warsha ya mradi wa upatikanaji na utekelezaji wa pamoja kati ya Shirika la Maendeleo la Kimataifa (UNDP) na Shirika la Kimataifa lisilokuwa la Kiserikali (NGO) PATH kwenye sekta ya Afya katika utumiaji na uanzishwaji wa Teknolojia mpya katika kupamba na magonjwa ya TB, Malaria na magonjwa yaliyoachwa katika nchi za joto. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi Mkazi, Oparesheni wa UNDP, Bw. Titus Osundina.

Operesheni "Kokoro" kutekeleza "Ukimya sasa basi" yavuna 1,800 Mwanga


Na CCM Tanzania -- Ziara ya Mwenyekiti wa Vijana Wilaya ya Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro Komredi Japhar Mghamba akiongozana na Katibu Msaidizi wa Mkoa Maalum wa Vyuo Vikuu Komredi Daniel Zenda inaendelea kwa mafanikio makubwa katika wilaya hiyo ambapo mpaka sasa imefanikiwa kuingiza Vijana 1,800 katika Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) pamoja na Chama.

Ziara hiyo iliyobeba jina la Operesheni Kokoro iliyoanza wiki iliyopita ilipata misikosuko hasa baada ya moja ya msafara wake kushambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana. Operesheni hiyo inayolenga kuhamasisha Vijana wa

Hatimaye mabilionea wa Tanzania wasugua mabega na wenzao duniani

Mara kwa mara habari zitakazoandikwa kuhusu Tanzania na hasa Afrika kwa ujumla, mtu huhitaji kujiuliza zitakuwa zinahusu nini kwa sababu kama siyo kuandika kuhusu magonjwa, basi ama itakuwa ni kuhusu maafa ya njaa, ajali, mauaji ya albino na vikongwe na mambo yafananayo na hayo.

Ikiwa kuna mbadala wa taarifa, basi itakuwa inahusu zile zinazohusiana na utalii kama vile mbuga za wanyama, hifadhi za Kitaifa kama Gombe, mlima Kilimanjaro au maeneo ya kihistoria Olduvai, Kilwa, Zanzibar n.k.

Angalabu miaka ya hivi karibuni imekuwa ikitajwa katika nyanja za uwekezaji kwenye sekta hasa ya madini na gesi asilia.

Ila siku za usoni hivi tumeanza kusikia habari za “mabilionea” wa Kitanzania wakitajwa tajwa mara kwa

Udhaifu, uzembe, uongo matokeo ni ‘Kashfa ya IPTL’ hadi sasa

“Kuendelea kwa ‘Kashfa ya IPTL’ mpaka hivi sasa ni matokeo ya udhaifu wa Rais Kikwete, uzembe wa uongozi wa Bunge, ufisadi wa baadhi ya viongozi wa CCM na uongo wa Waziri Muhongo”.


Kwa nyakati mbalimbali kati ya tarehe 27 Februari 2014 na tarehe 5 Machi 2014 vyombo mbalimbali vya habari vimeandika habari na kuchapisha matangazo juu ya TANESCO na IPTL.

Umma uzingatie kwamba ‘kashfa ya IPTL’ ni ya miaka mingi katika taifa letu na inaendelea mpaka hivi sasa kutokana na udhaifu, uzembe, ufisadi na uongo unaotawala.

Kumbukumbu zangu zinanionyesha kwamba wakati wa kuanzishwa kwake IPTL ilikuwa ni ubia wa kampuni mbili; Mechmar Corporation ya Malysia Bhd na VIPEM ya Tanzania.

  • Udhaifu wa Rais unaendeleza ‘kashfa ya IPTL’:
Mwaka 1994 IPTL ilikutana na aliyekuwa Waziri wa Maji, Nishati na Madini wakati huo Jakaya Kikwete na aliyekuwa Mkurugenzi wa TANESCO wakati huo Simon Mhaville.

Mara baada ya mazungumzo hayo IPTL ilianza kupigiwa chapuo kuingia mikataba na TANESCO pamoja

Job opportunity at SIKIKA for a Head of Department


Join us in advocating for quality health services for all Tanzanians

Introduction

Sikika is a non-governmental organization that advocates for quality health services for all Tanzanians. The organization works to ensure equitable and affordable quality health care services through social accountability monitoring of health systems at all government levels. For more information please visit us at www.sikika.or.tz
Sikika seeks to recruit the following candidates for its Dar es Salaam Office with immediate effect:

Job Title: Head of Department (1 post)
Reporting to: Head of Programs
Job Purpose: Advocate for ‘increased availability and accessibility to quality medicines and medical supplies at all levels of health care delivery’

Responsibilities

1st Tanzania Diaspora Homecoming conference @ Serena Hotel

Four Tanzanians in South African court over drugs

Police in the commercial city of Zeerust, South Africa, have arrested four Tanzanians aged between 26 and 41 years on Tuesday at Groot Marico - reports Tanzanian daily, TheCitizen.

They have been charged under the Drug and Drug Trafficking Act no 140 of 1992 and International Trade Administration Act 71 of 2002.

Authorities in Tanzania are yet to receive the reports, but promised to follow up the incident. It is alleged that a truck, which towed an Iveco panel van drove through Kopfontein border post at about 10.30 on Tuesday morning.

It is further alleged that the truck was from Tanzania on its way to Pretoria. Police suspected the truck and followed it until Groot Marico. The police allegedly stopped and searched both the truck and the panel van with the assistance of narcotic dogs which reacted positively

Pres. Vladimir Putin among Nobel Peace Prize 2014 nominees

Vladimir Putin
Vladimir Putin
via the NPR — Russian President Vladimir Putin is among the 278 nominees for a 2014 Nobel Peace Prize, according to Peace Research Institute Oslo, an institution that closely tracks the Nobel committee's work.

Putin, who of course is now at the center of one of the world's most dangerous situations — the crisis in Ukraine — has been
"nominated by the International Academy of Spiritual Unity and Cooperation Among the Nations of the World and backed by Russian MP Iosif Kobzon, for his averting of an air strike on Syria after the chemical gas attacks in August 2013"
 PRIO reported.