Mboni Masimba, Hoyce Temu in the list of MISA's 12 southern African "women to watch" who are improving media freedom

Mboni Masimba
Mboni Masimba

Today, on the eve of International Women's Day, the Media Institute of Southern Africa (MISA) announced the first annual MISA's Women to Watch.

MISA is honoring 12 dynamic­­ and inspirational southern African women who embody both the official United Nations theme for International Women's Day 2014 - Equality for women is progress for all – as well as the

Ndege "mpya" ya Air Tanzania - Wings of the Kilimanjaro yatua

Picha ya ndege mpya ya Shirika la Ndege la Taifa (ATCL), aina ya CRJ-200 ya nchini Canada, mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam siku ya Alhamis usiku.

  • Yaanza utekelezaji wa mkakati wa kuimarisha huduma zake
  • Kupata ndege mbili mpya zenye uwezo wa kubeba abiria 78 ifikapo mwezi Mei
  • Yaondoa adhabu na masharti magumu kwa abiria wanaobadilisha tarehe za safari na wanaochelewa kufika uwanjani siku ya safari 

SHIRIKA la Ndege la Taifa (Air Tanzania) limepata ndege nyingine aina ya CRJ-200 ya nchini Canada yenye uwezo wa kubeba abiria 50, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mkakati wake madhubuti wa kuimarisha huduma zake.

Shirika hilo la Air Tanzania (ATCL) linaona ujio wa ndege hii kama chachu ya kutimiza azma yake ya

Ubunge Chalinze: Kicheere amuonya Ridhiwani Kikwete

(katuni: Arts FeDe)

Na Nyaronyo Mwita Kicheere via Mabadiliko Forums -- Mie sipo Dar es Salaam, nipo mji mdogo wa Mlandizi wilayani Kibaha mkoa wa Pwani, nikiwa barabarani kuelekea Chalinze kushuhudia mtoto mwingine wa Kigogo akirithishwa ubunge baada ya mbunge wa Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduz (CCM), Saidi Bwana Mdogo, kufariki dunia hivi karibuni.

Ni kawaida siku hizi kwa chama tawala kurithisha watoto wa vigogo vyeo kila nafasi zinapopatikana hasahasa pale

TCRA 'yawawakia' ITV, StarTv, RFA kuhusu tangazo la kodi la Policy Forum

via HabariLeo -- MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevipa onyo kali vyombo vya habari vya Independent Television (ITV), Star Tv na Radio Free Africa (RFA) kwa kutangaza maudhui yanayoelezwa kuchochea uvunjifu wa amani na kuzuia wananchi kulipa kodi.

Aidha, sambamba na onyo hilo, pia imevitaka vyombo hivyo kuwasilisha kwa mamlaka hiyo miongozo yao ya kuchuja vipindi wanavyorusha hewani baada ya kubaini baadhi yao hawakuwa na miongozo hiyo na kuwataka wazuie watangazaji kuingia na miziki yao binafsi studio.

Onyo hilo lilitolewa jana, Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Kamati ya Maudhui ya TCRA, Magreth Munyagi, ikiwa ni

[post updated] Pole ya msiba wa mwanaye Waziri, Sophia Simba

UPDATE/PICHA MPYA 08.03.2014


Rais Jakaya M. Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Waziri wa Maendeleo ya jamii jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba kufuatia kifo cha mwanaye Marehemu Leeford Simba huko Mikocheni jijini Dar es Salaam leo. Marehemu Leeford Simba anatarajiwa kuzikwa leo katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Prof. Mbwette wins African Achievers AwardTHE OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA

PRESS RELEASE

PROFESSOR TOLLY S.A. MBWETTE, the Vice Chancellor of the OpenUniversity of Tanzania has emerged the overall winner of the AFRICANACHIEVERS AWARD
in the category of Delivery of Quality Education in Africa for the Year 2014.

The award was given on the 28th of February 2014 at the Presidential Banquet Hall in Accra Ghana.The OUT community wishes to congratulate Professor Mbwette on this achievement.

Issued by the Directorate of Communications and Marketing

AMREF: Diploma ya Uuguzi kwa Njia ya Masafa

Je, wewe ni muuguzi uliyejiandikisha? Unataka kujiendeleza ili uweze kuwa muuguzi aliyesajiliwa?

1.Usuli
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa kushirikiana na Shirika la Afya na Utafiti Afrika (AMREF) Tanzania, inawakaribisha waombaji wanaopenda kusomea Diploma ya Uuguzi inayotolewa kwa njia ya masafa au kielektroniki (eLearning). Programu ya kutoa mafunzo kwa masafa ilizinduliwa mwezi Aprili, 2011 na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Rasilimali Watu kwa niaba ya Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii. Lengo la kozi hii ni kuboresha utoaji wa huduma ya afya kwenye jamii nchini Tanzania. Nia ya kozi ni kuongeza idadi ya watumishi wa afya nchini Tanzania wenye ujuzi bora. Utoaji wa mafunzo kwa njia ya masafa huwawezesha wakunga kuendelea kuwepo kwenye vituo vyao vya kazi kwa sehemu kubwa ya muda wa mafunzo. Pia huwawezesha kujifunza kadri ya uwezo wao huku wakiendelea na ratiba za shughuli zao ukizingatia kwamba elimu ya uuguzi na ukunga ni ya vitendo zaidi.
2.Mtalaa
Programu hii inatumia mtalaa wa kitaifa nchini Tanzania ambao unatumiwa na vyuo vya uuguzi vya kawaida. Kozi itaendeshwa kwenye vyuo sita vifuatavyo:
a)Hubert Kairuki School of Nursing, Dar es Salaam
b)Ifakara School of Nursing, Morogoro
c)Mirembe School of Nursing, Dodoma
d)Ndanda School of Nursing, Mtwara
e)Muheza School of Nursing, Tanga
f)Mbeya School of Nursing, Mbeya
Kozi hii inatambulika rasmi na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) pia imeidhinishwa na Baraza la Uuguzina Ukunga Tanzania (Tanzania Nursing and Midwifery Council (TNMC)). Waombaji wanashauriwa kuomba kwenye vyuo vilivyokaribu nao ili kuepuka gharama kubwa za kusafiri wakati wa mafunzo ya ana kwa ana mwanzaoni mwa mihula.
3.Masharti ya kujiunga na kozi
Masharti ya kujiunga na programu ya Diploma ya Uuguzi kwa njia ya masafa ni sawa na masharti ya kujiunga na Diploma ya Uuguzi ya kawaida. Mwombaji anatatakiwa kutuma barua ya maombi ambayo imeandikwa kwa mkono ikiambatanishwa na hati zifuatazo:
Nakala ya vyeti vya uuguzi na ukunga
Nakala ya leseni ya sasa ya kufanya kazi kama muuguzi namkunga aliyeandikishwa rasmi na balaza la uuguzi na ukunga Tanzania.
Nakala ya vyeti vya elimu ya sekondari (CSEE) vyenye ufaulu wenye walau ‘D’ Nne, D mojawapo sharti iwe ya ama baolojia au kemia.
4.Ada ya mafunzo
Kwa vyuo vya uuguzi vya binafsi, ada ya mafunzo itaamuliwa na vyuo na kulipwa kwenye Chuo husika. Kwa vyuo vya serikali, ada itatajwa kwenye barua ya kujiunga na mafunzo na malipo haya yatatakiwa kulipwa kupitia namba za akaunti ambazo zimeonyeshwa hapo chini.
5.Namna ya kutuma maombi
a)Fomu za maombi zitapatikana katika vyuo husika vya uuguzi na katika tovuti ya Wizara ya Afya na AMREF
b)Upande wa vyuo vya uuguzi vya serikali, mwombaji atatakiwa kulipia shilingi elfu kuma na tano (15,000/-), ambazo hazitarejeshwa kwa mwombaji. Mwombaji atatakiwa kulipa kupitia akaunti namba:0111-030-12059 kwenye tawi la NBC Corporate.
c)Kwenye fomu ya maombi ambatanisha:
Picha moja ya pasipoti ambayo umepigwa hivi karibuni
Stakabadhi halisi (ya kuliipia fedha benki)
Barua kutoka kwa mwajiri inayothibitisha kwamba mwombaji ana uzoefu kazini usiopungua miaka miwili.
d)Waombaji ambao walisomea nje ya Tanzania, watatakiwa waambatanishe hati zenye sifa zinazolingana na sifa zinazotakiwa kutoka kwenye mamlaka za nchi husika.
e)Baada ya kujaza fomu waziwasilishe kwenye chuo cha uuguzi husika kabla ya tarehe 14 Mach, 2014
f)Usaili na uchaguzi utafanyika wiki ya mwisho ya mwezi Machi, 2014.
g)Tarehe ya kuanza kwa mafunzo itatangazwa na Wizara ya Afya kwa watakaochaguliwa.
h)Muombaji awe amemaliza kozi ya cheti kuanzia mwaka 2011 kurudi nyuma.
6.Terehe ya kuanza na muda wa kozi
Waombaji watakaochaguliwa watajulishwa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii tarehe ya kuripoti vyuoni na ambapo wanapaswa kwenda. Kila mwanzoni mwa muhula wanafunzi watahudhuria mafunza ya ana kwa ana; na watapata fursa ya kufanya mazoezi kwa vitendo ili kupima ujuzi wao wa msingi katika mafunzo ya uuguzi. Pia kutakuwa na vipindi vya mafunzo kuhusu matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano. Baada ya hapo watapitia mafunzo katika vituo vya mafunzo kwa njia ya masafa vilivyopo kwenye vyuo vya uuguzi husika. Pia, wanafunzi watapewa msaada wa mara kwa mara na usimamizi kutoka kwa wakufunzi na washauri katika hospitali (mentors). Katika programu hii, AMREF itakuwa
inatoa msaada wa kiugavi na kiufundi kwenye mchakato mzima wa mafunzo kwa njia ya masafa.

Kwa maulizo, tafadhali wasiliana na: 
African Medical and Research Foundation (AMREF)
Barabara ya Ali Hassan Mwinyi; SLP 2773, Dar es Salaam,
Namba za Simu: +255 22 2116610/2131981/2136731/2153104 au +255767303014/0754-7855161 
Namba ya Faksi: +255 2115823; Barua Pepe:[email protected]; Tovuti: www.amref.org
AU
Ministry of Health and Social Welfare, Box 9083, Dar es Salaam,
Tel: +255 22 2120261, Fax: 2139951; website: www.moh.go.tz

Kampeni ya kupambana na homa ya ini yazinduliwa rasmi

Mganga Mkuu wa Hospitali ya Amana, Dk. Meshack Shimwela, akielezea madhara ya ugonjwa wa Homa ya Ini.

Na GPL -- MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick amezindua rasmi kampeni ya kupambana na Ugonjwa wa Homa ya Ini katika Hospitali ya Amana, Ilala jijini Dar es Salaam.

Kampeni hiyo imeandaliwa na Kampuni ya Global Pulishers Ltd wakishirikiana na Wizara ya Afya, SD Africa, Sanofi, Megra Clinic, Damu Salama na TAMSA.

Katika uzinduzi huo, Mkuu wa Mkoa ambaye alikuwa mgeni rasmi, amewataka

Ashusha bendera ya CHADEMA na kupandisha ya CCM LushotoNa Mwandishi wa CCM, Lushoto -- Mjumbe wa Baraza Kuu la Taifa la Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kutoka Mkoa wa Tanga Ndugu Husna Mbwambo Sekiboko amefunga tawi la Chadema katika Kijiji Cha Lukozi na kupandisha Bendera ya Chama Cha Mapinduzi kutangaza Ufalme mpya wa Chama hicho cha siasa.

Tukio hilo limetokea jana tarehe 6th March 2014 katika kijiji cha Lukozi, wilaya ya Lushoto Mkoa wa Tanga, ambapo sambamba na kuasisi tawi hilo la Chama Cha

Vodacom kuwekeza zaidi katika kumkomboa Mwanamke

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Vodafone, Jacqueline Barrett, akicheza ngoma, wakati wa Hafla iliyoandaliwa na Vodacom Foundation kwa wafanyakazi wanawake wa kampuni hiyo, Hafla hiyo ilifanyika Makao makuu ya kampuni hiyo Mlimani City jijini Dar es Salaam. Kampuni hiyo imeahidi kuendeleza kuunga mkono harakati za kumkomboa mwanamke.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Vodafone, Jacqueline Barrett, akicheza ngoma, wakati wa Hafla iliyoandaliwa na Vodacom Foundation kwa wafanyakazi wanawake wa kampuni hiyo, Hafla hiyo ilifanyika Makao makuu ya kampuni hiyo Mlimani City jijini Dar es Salaam. Kampuni hiyo imeahidi kuendeleza kuunga mkono harakati za kumkomboa mwanamke.
Dar es Salaam 7 Machi 2014 -- Ikiwa ni siku moja tu tangu mke wa Mama Salma Kikwete kuzindua mpango wa "Connected Wommen" wenye lengo la kutambua mchango wa teknolojia ya simu za mkononi katika kubadili maisha ya Mwanamke nchini, Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom, Imeahidi kuendelea kuunga mkono jitihada za kumkomboa Mwanamke nchini.

Akizungumza katika hafla iliyoandaliwa na wafanyakai wanawake wa Kampuni hiyo iliyofanyika katika Viwanja vya Mlimani City jijini Dar es Salaam. Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya Vodafone Group. Bi Jacqueline Barrett, amesema

Video za ITV na Mwananchi kuhusu zogo Bunge la Katiba

*Video ya tukio zima (uncut/raw) lilivyotokea bofya hapa

Katika video tatu zilizopachikwa hapo chini, video mbili za mwanzo zinahusiana na habari kwa maandishi na picha ya jana, video ya tatu ni ya siku iliyotangulia.

[infographic] Elite Men's Guide: 10 Exercises to help prevent lower back pain

  • Lower back pain affects millions of men each year, causing anything from mild to severe activity restrictions. 
  • Lower back pain is the most common cause of job-related disability. 
  • Exercising often and keeping your back muscles strong can prevent most cases of lower back pain. 
  • Experts now appreciate the central role of exercise to build muscles that support the back. 

The 10 Exercises to Help Prevent Lower Back Pain Infographic shows ten exercises broken down into resistance, abdominal, and stretching exercises to keep your back and core strong and your back flexible.

Complete videos accessible on desktop, tablet, and mobile device can be found by clicking here.
Please remember to consult your physician before starting an exercise regimen especially if you are currently experiencing lower back pain.

[video] Maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigamboni

Na ITV — Daraja la Kigamboni limekamilika kwa zaidi ya asilimia 45 na matumaini makubwa ya kumalizika kwa ujenzi huo kwa muda uliopangwa Julai 2015 yakionekana.

Taarifa ya CHADEMA kuhusu Ubunge Chalinze

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Chalinze kimeanza mchakato wa ndani wa kupata mgombea ubunge kwa ajili ya uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika mapema mwezi Aprili, mwaka huu, ambapo fomu za uteuzi zimeanza kutolewa kwenye Ofisi Jimbo, kuanzia tarehe 4 Machi na mwisho wa kuchukua na kurejesha fomu hizo itakuwa tarehe 7 Machi 2014, saa 10.00, jioni.

Kura za maoni ndani ya chama, zitafanyika tarehe 8 Machi katika Mji wa Chalinze na kufuatiwa na kikao cha kamati ya utendaji ya jimbo ili kufanya uteuzi wa awali kwa mujibu wa Katiba ya chama na hatimaye

DTBI-COSTE​CH launches Creative & Innovative Computer Coding programs Youths

Eng. George Mulamula, CEO of DTBi explains that so far 17 schools from Mbeya, Arusha, Mwanza, Moshi & Dar es Salaam have asked to be part of this program.
 DTBi-COSTECH together with the Global Partnership of the US Department of State and CoderDojo of Ireland launched the afriCoderDojo programme, the first of its kind in Africa. Based on the global open-source CoderDojo movement founded in Dublin, afriCoderDojo’s curriculum aims provide young people aged 10-20 years old with the basics of coding while having fun. Guest lecturers, local technology entrepreneurs and educators will be invited to participate in the learning program to highlight and