Zawadi ya picha za eneo moja la jiji la Dar es Salaam


Namshukuru mmoja wa wadau wakubwa wa wavuti.com anayejua once in a while kuna mtu huwa anapatwa na home fever kwa hiyo akituma picha anajua zitasaidia kushusha joto la homa ya kupaona tena nyumbani. Picha zaidi...

US examining Student and Exchange Visitor Program, after report faults oversight

WASHINGTON (AP) -- The government is falling short in assessing the risks of a program that allows tens of thousands of foreign students to stay in the United States and work for close to 2 1/2 years, according to a newly released report from the Government Accountability Office.

The GAO, Congress' investigative arm, examined the optional practical training program in Immigration and Customs Enforcement. As of November 2013, the program had approved 100,000 of the 1 million foreign students in the U.S. to work for 12-31 months in a job related to their completed academic studies.

Sen. Charles Grassley, R-Iowa, a senior member of the Judiciary Committee, requested the investigation.

Immigration and Customs Enforcement "has taken initial actions to

Complex cyber espionage, spyware infecting Europe, U.S. Government computers

LONDON/BOSTON (Reuters) - A sophisticated piece of spyware has been quietly infecting hundreds of government computers across Europe and the United States in one of the most complex cyber espionage programs uncovered to date.

Several security researchers and Western intelligence officers say they believe the malware, widely known as Turla, is the work of the Russian government and linked to the same software used to launch a massive breach on the U.S. military uncovered in 2008. Those assessments were based on analysis of tactics employed by hackers, along with technical indicators and the victims they targeted.

"It is sophisticated malware that's linked to other Russian exploits, uses encryption and targets western governments. It has Russian paw prints all over it," said

Watoto wa kike nao walikuwepo katika kusherehekea...

...sIku ya Wanawake Duniani (picha kutoka Rukwa Review blog

Hakuna mtukufu duniani asiyezaliwa na mwanamke - Ngoma Afrika Band


Kwa heshima kubwa na unyenyekevu, bendi ya muziki wa dansi "Ngoma Africa Band" yenye makao nchini Ujerumani, inatoa salamu maalumu za kuwapongeza Mama zetu, Dada zetu, Shangazi zetu na akina mama wote katika kusherehekea siku ya Wanawake duniani.

Salamu hizi maalumu kutoka kwa watoto wenu Ngoma Africa band zina wito kwa walimwengu wote kwa kusema: 

"HAKUNA MTAKATIFU au MTUKUFU hapa duniani asiyezaliwa na MWANAMKE (Mama)

Siku ya Wanawake Oyeeee! Oyeeeee!

Sikiliza muziki na burudani at www.ngoma-africa.com booking at [email protected] or [email protected]

TCAA looking for 20 candidates to train in Air Traffic Control

TANZANIA CIVIL AVIATION AUTHORITY

TRAINING OPPORTUNITIES IN

AIR TRAFFIC CONTROL (20 CANDIDATES)

The Authority

The Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) was established on November 1st 2003 as a corporate body by the enactment of the Tanzania Civil Aviation Authority Act 2003 which has now been consolidated with the Civil Aviation Act of 1977 and is titled “the Civil Aviation Act Cap 80. It replaces the former TCAA, which was an executive agency under the Ministry of Communications and Transport.

Role of TCAA


Under the Act, the Authority is responsible for regulating the activities of

Mwanamke wa Kitanzania

(picha hii si mali ya wavuti.com, nimeipokea kutoka kwa rafiki via WhatsApp)

Pilipili manga: Maruk Vanilla yafurahia mavuno manono Tanga

Pilipili manga punde tu baada ya kuvunwa
Pilipili manga punde tu baada ya kuvunwa

Pilipili manga iliyoanikwa juani
Pilipili manga iliyoanikwa juani
 Maruk Vanilla, kampuni ya wakulima wa Kagera wenye malengo yanayoshabihiana katika kukuza mazao mbadala ya kibiashara mwaka huu imeshiriki msimu wa mavuno na ununuzi wa pilipili manga Mkoani Tanga.

Maruk Vanilla ambayo kwa Kagera inajihusisha zaidi na ukulima pamoja na ununuzi wa mapodo ya vanilla imedhamilia kwa dhati kuhakikisha Kagera pia inakuwa mzalishaji mkubwa wa pilipili manga. 

Akitetea dhamira hii Mkurugenzi Mtendaji wa Maruk Vanilla Bwana Murshid Hassan alisema, “hali ya hewa

[update] Statement by Malaysia Airlines regarding number of passengers and their nationalities in the MH370 Flight incident

The AP in WASHINGTON reports the following:
The U.S. Navy says it has dispatched a warship to aid in the search for a missing Malaysia Airlines jetliner.

The USS Pinckney, an Arleigh Burke-class guided missile destroyer, is on its way from international waters in the South China Sea to the southern coast of Vietnam to assist in the search for flight MH370. The Boeing 777 with 239 people aboard was flying to Beijing from Kuala Lumpur, Malaysia, when it fell off radar screens early Saturday.

The Pinckney carries two helicopters that can be used for search and rescue. It is expected to reach the search area within 24 hours.

Additionally, the Navy is deploying an Orion patrol and surveillance plane based in Okinawa. It will bring long-range search, radar and communications capabilities to the search mission.Saturday, March 08, 07:20 PM MYT +0800 Malaysia Airlines MH370 Flight Incident - 5th Media Statement

The families of all passengers on board MH370 are being informed. The flight was carrying a total number of 239 passengers and crew – comprising 227 passengers (including 2 infants) and 12 crew members.

An international search and rescue mission was mobilized this morning. At this stage, our search and

Katuni 3 za Ka-Kobe leo kuhusu Yanga vs Al-Ahly


Rwanda expels 6 South African diplomats


Alichokiandika J.K.Nyerere katika kitabu cha Uhuru wa Wanawake
Abiria wasema ukorofi wa dereva wa Sai Baba ndiyo chanzo cha kifo chake

Mtu mmoja amekufa papo hapo na wengine 22 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la kampuni ya Sai Baba walilokuwa wakisafiria kutoka jijini Dar es Salaam kwenda Kyela mkoani Mbeya kupinduka katika kijiji cha Mwambegele wilayani Rungwe.

Video ya ITV iliyopachikwa hapo chini ina taarifa zaidi...

Katuni ya Kipanya katika siku ya Wanawake Duniani

Katika vita ya maendeleo, mwanamke mwenzio anaweza kuwa kikwazo kikuu pia

Matukio katika maadhimisho Siku ya Wanawake Duniani 2014 na TGNP

Baadhi ya viongozi wa vyama anuai vya wanawake wenye ulemavu wakifuatilia maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.

Semina ya Wajumbe wa Bunge Maalum imeahirishwa hadi mchana

Kikao cha semina ya wajumbe wa Bunge maalum la Katiba kilichokuwa kiendelee leo saa nne asubuhi baada ya Mwenyekiti wake wa Muda Mhe. Pandu Amir Kificho Kuaarisha jana mchana sasa kitaendelea leo tarehe 8 Machi 2014 saa tisa alasiri. 

Hii ni kutokana na kamati ya maridhiano inayopitia vifungu ilivyokuwa inafanyia kazi kuomba muda zaidi.

Hivyo wajumbe wote wa Bunge Maalumu wanaombwa kufika Bungeni kuendelea na semina hiyo saa 9 alasiri badala ya saa 4 asubuhi.

Imetolewa na:
Katibu wa Baraza la Wawakilishi na 
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tanzia: Caroline Mbilinyi

Caroline Mbilinyi, Enzi ya uhai wake
Caroline Mbilinyi