Taarifa ya Ofisi ya Lowassa kuhusu “noti ya fedha” yenye sura yake

Noti ya shilingi mia tano iliyochorwa sura ya Edward Lowassa


Kumekuwa na muendelezo wa matukio kadhaa kutoka kwa kikundi cha watu kumuhusisha Mhe. Edward Lowassa na matukio ya uongo na kumzushia vitu vya ajabu kabisa, hususani katika mitandao ya kijamii.

Kumesambazwa picha ya noti ya shilingi mia tano yenye picha ya Mhe. Lowassa. Kitendo hicho siyo

Taarifa ya Ikulu kuhusu habari iliyochapishwa gazetini Mwananchi

Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI) katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jana (Jumamosi) kuwajulia hali wanahabari wawili – Ndugu Salum Mkambala wa Channel Ten (juu) na (chini) Ndugu Margaret Chambili wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI) katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jana (Jumamosi) kuwajulia hali wanahabari wawili – Ndugu Salum Mkambala wa Channel Ten (juu) na (chini) Ndugu Margaret Chambiri wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). (picha: Freddy Maro/IKULU).
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Gazeti la Mwananchi la leo, Jumapili, Machi 9, 2014, kwenye ukurasa wake wa tano, limechapisha habari zenye kichwa cha habari –“JK awatembelea Maranda, Mkambala Hospitali ya Taifa Muhimbili.”
Katika habari hiyo, Gazeti hilo limeripoti: “Rais Jakaya Kikwete jana alimtembelea mfungwa, Rajab Maranda anayetumikia kifungo cha miaka 18 gerezani kwa wizi wa fedha za Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akisumbuliwa na tatizo la

Aliyempa mwanafunzi mimba na Tabibu aliyeitoa wahukumiwa kwenda jela miaka 10; Mtoto na Mama walifariki

Mfanyabiashara wa Mbuzi na kusaga nafaka katika kijiji cha Kintandaa Adamu Shaban Hole (46) (mbele mwenye kofia baraghashia) na aliyekuwa tabibu msaidizi katika dispensari ya Tumaini mjini Singida, Godlisten Raymond (37) aliyefunika uso, wakisindikizwa gerezani kwenda kuanza kutumikia kifungo cha miaka 10 baada ya kutiwa hatiani na mahakama kuu kanda ya kati kwa kosa la kumpa mimba mwanafunzi na kuitoa na kusababisha kifo chake.Mwanafunzi huyo Hamida Athumani (16) alifariki dunia siku chache kabla ya kufanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi. (Picha na Nathaniel Limu/MODewji blog).
Mfanyabiashara wa Mbuzi na kusaga nafaka katika kijiji cha Kintandaa Adamu Shaban Hole (46) (mbele mwenye kofia baraghashia) na aliyekuwa tabibu msaidizi katika dispensari ya Tumaini mjini Singida, Godlisten Raymond (37) aliyefunika uso, wakisindikizwa gerezani kwenda kuanza kutumikia kifungo cha miaka 10 baada ya kutiwa hatiani na mahakama kuu kanda ya kati kwa kosa la kumpa mimba mwanafunzi na kuitoa na kusababisha kifo chake.Mwanafunzi huyo Hamida Athumani (16) alifariki dunia siku chache kabla ya kufanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi. (Picha: Nathaniel Limu/MODewji blog).

Na Nathaniel Limu, Singida via MODewji blog — MAHAKAMA Kuu kanda ya kati iliyomaliza vikao vyake hivi karibuni mjini Singida, imewahukumu aliyekuwa tabibu msaidizi wa dispensari ya Tumaini Godlisten Raymond (37) adhabu ya kutumikia jela miaka 10 baada ya kupatikana na hatia ya kujaribu kutoa mimba kwa njia isiyo sahihi kwa mwanafunzi na kusababisha kifo chake.

Mshitakiwa Godlisten anadaiwa kumtoa mimba mwanafunzi wa shule ya msingi Kintandaa tarafa ya Sepuka wilaya ya Ikungi, Hamida Athumani (16) Septemba 7 mwaka 2006 na alifariki dunia Septemba 17 mwaka

Job opportunity at PATH for a Senior Project Administrator

PATH seeks to recruit a Senior Project Administrator who will play a critical role for the BID Initiative team in Tanzania.

This position will lead the overall financial and project management of the initiative in Tanzania, as well as manage the internal team communications and functions to ensure a strong and effective team is in operation for the initiative within the country. 

The Senior Project Administrator will work closely with both the BID Initiative Operations Lead and the Project Administrator based out of Seattle to guarantee consistency of work across the full BID Initiative globally and regionally, as well as alignment with all PATH policies and procedures. The hiring of this position is dependent upon confirmation of funding.

Kipanya: Bunge MuviJob opportunity at PATH for a Zonal Coordinator

PATH seeks to recruit a Zonal Coordinator who will play a key role in the implementation of the work in the Northern Zone.

Based in Arusha in the BID Initiative office, as well as spending a significant amount of time at the Regional Medical Officer (RMO) office, the Zonal Coordinator will report to the BID Initiative Deputy Director and will be the primary point of contact for the BID Initiative team in the Zone throughout the implementation of the initiative, and will ensure the smooth operations of the Arusha office. 

The hiring of this position is dependent upon confirmation of funding.

Zambia, Burundi to extend TAZARA to Bujumbura

By Hildah Lumba, Times of Zambia — PLANS are underway to extend the Tanzania Zambia Railway (TAZARA) to Burundi through the port of Mpulungu to enhance trade between the two countries, Foreign Affairs Minister Wylbur Simuusa has said.

Mr Simuusa said in an interview that deliberations by the two governments over the project had advanced and soon, a budget would be tabled to pave way for a feasibility study and subsequent construction of the

3 Tanzanians on trial in South Africa for trying to kill Nyamwasa

The story below is cross-posted from the Al Jazeera

South Africa has expelled three Rwandan diplomats it linked to an attack on an exiled Rwandan general's Johannesburg home, and Rwanda has retaliated by ordering out six South African diplomats, according to officials.

Three diplomats from the Rwandan mission in Pretoria were ordered out of the country in 48 hours this week. Rwanda's tit-for-tat expulsions followed on Friday.

"We have expelled six S. African diplomats in reciprocity & concern at SA harbouring of

Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania: Kuhusu mapenzi ya jinsia moja

Chama cha Madaktari wa Tanganyika (MAT), kimeonya kuwa Tanzania kutoruhusu mapenzi ya jinsia moja kwani taifa haliwezi kumudu madhara yatokanayo na matendo hayo.
“Umaskini uliopo unalifanya taifa lisimudu kutibu malaria ya kawaida au kipindupindu sembuse kuruhusu ngono za kinyume cha maumbile zinazosambaza magonjwa mengi kuanzia UKIMWI, homa ya ini na maradhi yatokanayo na ngono - kisonono na kaswende.”
Msimamo huo ulitolewa na Rais wa MAT, Dk. Primus Saidia, alipozungumza na NIPASHE Jumapili, kuhusu kitisho cha mataifa ya Magharibi kuilazimisha Afrika kutambua ndoa za jinsia moja.

Alisema ushoga husambaza Virusi Vya UKIMWI (VVU) kwa kasi na homa ya ini ambayo inaua kwa

When it rains in Dar...

A young man fills potholes at the the Ubungo Bus Terminal (UBT) in Dar es Salaam. The terminal is in a poor state due to the ongoing rains. (photo: Robert Okanda/DAILY NEWS)

Tanzania, long cautious, voice of restraint in violent region, gets tangled in feud with Rwanda

This Associated Press article is a cross-post from The FOX News and ABC News

KAMPALA, UGANDA – The East African nation of Tanzania — long a force of quiet power in the region and a voice of restraint and non-interference in other countries' affairs — is embroiled in a potentially ugly feud with Rwanda and its press after Tanzania's president urged Rwanda's government to negotiate with a Congo-based Rwandan rebel group.

Since those comments last year on the sidelines of an African Union summit Rwanda's government has rebuked President Jakaya Kikwete, suggesting he sympathizes with the Democratic Forces for the

Kalenga: Dereva wa Mwigulu ashambuliwa; Kiongozi wa CHADEMA achomwa kisu

Katibu wa CCM mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga amekaririwa akisema kuwa  dereva wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Mwigulu Nchemba, Bw. Mohamed Kunambi, ameshambuliwa na kujeruhiwa na watu wanaodhaniwa kuwa wafuasi wa chama cha CHADEMA usiku wa kumkia jana katika eneo la Ifunda jimbo la Kalenga wilaya ya Iringa Vijijini mkoani Iringa.

Kwamba, mbali na dereva huyo Diwani wa kata ya Ifunda, Eliya Mngwila, naye amejeruhiwa na watu hao waliposhambulia gari alilopanda. Bofya hapa kusoma taarifa kamili.

---

Picha zinazoambatana na taarifa zinasema kuwa kiongozi wa Baraza la vijana wa CHADEMA alichomwa kisu kifuani, kwenye eneo la moyo, usiku wa kuamkia jana na watu wanaosadikiwa kuwa ni Green Guards wa CCM.

Kwamba, kijana huyo alikumbwa na masaibu hayo baada ya  mama yake mzazi ambaye ni Kiongozi wa Serikali ya Kijiji kuwashawishi wapiga kura wa Kata yake kuiunga mkono CHADEMA na mzazi huyo kujiunga na CHADEMA hiyo juzi. Bofya ahapa kutizama picha na kusoma taarifa kamili.

Mnyika: Dhima ni mabadiliko kutimiza dira ya usawa kwa maendeleo ya wote

Tarehe 8 Machi ni Siku ya Wanawake Duniani (IWD). Ujumbe wa siku hii kwa mwaka huu wa 2014 kwa mujibu wa internationalwomenday.com ni “inspiring change” (kuhamasisha mabadaliko). Wakati kwa mujibu wa unwomen.org ni “equality for women is progress for all” (usawa kwa wanawake ni maendeleo kwa wote”.

Mchango wa wanawake katika taifa letu unapaswa kuheshimiwa na kila mtu; wanawake ni wazazi, walezi na ni wengi katika jamii yetu. Hata hivyo, ni kundi linalokabiliwa na changamoto nyingi ambazo ni muhimu kuunganisha nguvu za pamoja katika kuzikabili.

Katika kuadhimisha siku hii ofisi ya mbunge jimbo la Ubungo inafanya kazi nne mahususi zenye

Usaili wa mafunzo ngazi ya Tabibu Msaidizi kwenda Afisa Tabibu

TANGAZO LA USAILI WA MAFUNZO NGAZI YA TABIBU MSAIDIZI 
KWENDA AFISA TABIBU KWA NJIA YA MASAFA MWAKA 2013/14 

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inawatangazia wale walioomba kujiunga na mafunzo ya Tabibu Msaidizi kwenda Afisa Tabibu kwa njia ya masafa kuwa kutakua na usaili katika vituo/kanda walizopeleka maombi yao. Usaili huo utafanyika siku ya Jumanne tarehe 25 Machi 2014 kwenye vituo vya mafunzo vya kanda walikotuma maombi yao.

Mwombaji ahakikishe anafika kwenye usaili na vielelezo vifuatavyo:
  1. Awe na cheti halisi cha taaluma (Clinical Assistant) 
  2. Awe na cheti halisi cha kuhitimu elimu ya sekondari chenye ufaulu wa walau 
  3. daraja la ‘D’ kwa somo la biolojia 
  4. Awe amehitimu mafunzo ya Tabibu Msaidizi kuanzia mwaka 2009 hadi 2011. 
Kwa maelezo ya ziada kuhusu zoezi hili la usaili fika kwenye ofisi ya Kanda uliyotuma maombi yako.

Orodha ya majina ya waombaji walioitwa kwenye usaili katika kila kanda ni haya
yafuatayo:- Bofya hapa kupakua faili lenye orodha ya majina