Ajira kwa Walimu wapya mwaka 2013/2014 - Taarifa ya Wizara---

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA AJIRA KWA WALIMU WAPYA MWAKA 2013/14


Jumla ya Walimu wapya 36,021 ambao wamehitimu mwaka 2013 kutoka vyuo mbalimbali hapa nchini wataajiriwa rasmi na Mamlaka za Serikali za Mitaa (Halmashauri) ifikapo tarehe 01 Aprili 2014. Kati ya idadi hiyo walimu wa ngazi ya Cheti (Daraja III A) ambao hufundisha katika shule za Msingi ni 17,928 na walimu wa shule za sekondari ni 18,093 (wakiwemo 5,416 wa Stashahada na 12,677 wenye shahada).

Orodha rasmi ya walimu wapya ikionesha Halmashauri mbalimbali walikopangwa itatangazwa kwenye

Eva, mwanaye Dk Kleruu mwenye nia ya kukutana na familia ya Mwamwindi, amsimulia Mkwinda yaliyomsibu baba yake miaka 43 iliyopita

Eva Kleruu akifuta machozi baada ya kukumbuka jambo juu ya mauaji ya baba yake miaka 43 iliyopita

Ni vigumu, kuvumilia hali hii, bali naamini haya ni matokeo na ni mipango ya Mungu kuifanya hali hii, baba yetu alikuwa ni muumini wa Ujamaa na Kujitegemea aliyesimamia sera za Ujamaa na kujitegemea kama ilivyokuwa kwa wakati ule enzi za Mwalimu Nyerere...

Serikali ilikuwa inahimiza vijiji vya Ujamaa, ili wanananchi washiriki kwa pamoja kwenye Kilimo cha Kufa na Kupona, baba alifuatilia kwa kina maagizo ya Mwalimu, inawezekana hili ndilo lililosababisha kuuawa akiamini alichosimamia kilikuwa sahihi
anasema Eva Wilbert Kleruu huku akibubujikwa na machozi.
Samahani umenikumbusha mbali sana miaka 43 sasa baada ya kifo cha baba yangu, nilikuwa bado binti mdogo miaka ile ya mwanzo ya miaka ya 70, baba alikuwa ni mfuasi wa Ujamaa na Kujitegemea na alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa aliyeagizwa kusimamia siasa ya Ujamaa na Kujitegemea...
Anasema ni hali ambayo imekuwa ngumu kuisahau kutokana na aina ya tukio lenyewe lilivyojiri [...]

Binti wa kwanza Marehemu Dkt. Wilbert Kleruu, Eva Wilbert Kleruu akizungumza na Rashid Mkwinda, mwandishi wa makala hii
Binti wa kwanza Marehemu Dk Wilbert Kleruu, Eva akizungumza na Rashid Mkwinda, mwandishi wa makala hii

Anasema:
Karume Mzee Aboud Jumbe naye aliendeleza mahusiano ya kuijali familia yetu ambapo pia Mzee Rashid Kawawa na Mama Getrude Mongela nao walikuwa mstari wa mbele katika kutufariji.

Mama yetu bado yupo hai amestaafu alikuwa akifanya kazi katika ofisi ya Mkuu wa mkoa, baada ya kutoka Iringa kufuatia mauaji yale tulirudi Moshi, tukaendelea kusomeshwa na serikali Mzee Karume alikuwa mstari wa mbele kutusaidia.

Mama yetu kwa sasa anaishi Moshi. Niko na wadogo zangu watatu. Mmoja anaitwa Andrew, mwingine Carmen ambaye ni Bibi Afya na Edwin ambaye ni mjasiriamali. Wote tulisomeshwa kwa ngazi za juu. Tunaishukuru serikali kwa kutujali...

Katika kuendelea kujisahaulisha tukio lile la kikatili lililofanywa dhidi ya baba yake, amepanga kukutana na familia ya marehemu Mwamwindi ambaye ndiye aliyemuua baba yake [...]
Unajua visasi vinarithishwa kimaumbile, bila kukutana na familia ile vizazi vyetu vinaweza kujikuta vikiingia katika dhambi isiyotarajiwa, napenda nikutane na mtoto mkubwa wa Mzee Mwamwindi, ili tufungue ukurasa mpya wa maisha, hatujawahi kukutana hata mara moja wala hatujuani...

Nyama Choma Festival na skelewu mumo humo Skylight Band ikitumbuiza viwanja vya Posta, “Bongo Daslam”


Ukizingatia ilikuwa ni siku ya Wanawake Duniani walipataje raha....!


Mtaalam wa Nyama Choma akifanya yake ndani ya viwanja vya Posta.


Umati wa wakazi wa jijini Dar wakipata burudani ya aina yake kwenye tamasha la Nyama Choma wakati Skylight Band ikitumbuiza.

CCM yafungua shina jimboni Maryland, Marekani


Mwenyekiti wa shina la CCM Maryland, Mrisho Mzese (tatu toka kushoto) akimkaribisha Mwenyekiti CCM DMV George Sebo (pili toka kushoto) kwenye ufunguzi wa shina hilo uliofanywa na mwenyekiti huyo wa tawi CCM DMV siku ya Jumapili March 9, 2014 Germantown, Maryland. 

Erolink yawatoa ya moyoni wazee wa Tushikamane Pamoja Foundation

Mfanyakazi wa Kampuni ya Uwakala wa Ajira ya Erolink, Maria Chundu akiteta jambo na Bi. Khadija Sultan (78) wa kituo cha kulelea wazee cha Tushikamane Pamoja Foundation kilichopo Yombo Kilakala mara walipotembelea kituo hicho kutoa misaada mbalimbali kwa wazee wasiojiweza katika kituo hicho. Jumla ya vitu mbalimbali vilitolewa ikiwemo mashuka, blanketi, mchele na mafuta ya kupikia chakula vyote vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 2.5.

Mpango wa maendeleo Mbeya waanza kuzaa matunda

Mafundi wakiendelea na kazi ya ujenzi huku wakaguzi hao wakikagua. Tanki hilo lenye uwezo wa kuhifadhi maji lita laki tano ambalo limeshakamilika kwa asilimia 90. Hadi kukamilika kwake Mradi utagharimu jumla ya Shilingi zaidi ya Milioni 830.

Na Saidi Mkabakuli — Wakazi wa mkoa wa Mbeya na vitongoji vyake wameanza kufaidi matunda ya uwekezaji wa kimkakati uliobainishwa na Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2011 – 2016) kupitia ujenzi wa miundombinu ya maji, ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe, pamoja na ujenzi wa jengo la Kitengo cha Dharura katika Hospitali ya Rufaa iliyopo mkoani humo.

Hayo yalibainika wakati Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya

Ridhiwani Kikwete has rights to vie for Chalinze Parliamentary seat

Ridhiwani Kikwete
Ridhiwani Kikwete

ON Wednesday this week, I read an article by one of the senior journalists I respect in this country, Mr Johnson Mbwambo who writes for a weekly tabloid, Raia Mwema.

In its March 5-11, 2014 edition this year, Mr Mbwambo published an analysis entitled Ridhiwani, Mgimwa na ujio wa 'nepotism' (loosely translated 'Ridhiwani, Mgimwa and the advent of 'nepotism"). In his article, Mr Mbwambo clearly stated that he was not doubting Ridhiwani's ability to leadership, but he was only afraid that Kikwete' family was now creating political dynasty.

Briefly, Mr Mbwambo wanted to say that the influence of Ridhiwani's father could push voters to elect him the new Chalinze member of Parliament. Mr Ridhiwani is a mature Tanzanian and lawyer who has the right just like any other citizen of this country.

If elected, Ridhiwani will go to Parliament to do what other Members of Parliament do. Apart from

Tano Ladies katika sherehe za siku ya wanawake Duniani, Washington DC

Balozi wa Tanzania Marekani na Mexico Mhe. Liberata Mulamula (wa tano kutoka kulia) akiwa na kundi zima la wajasirimali pamoja na Tano Ladies waliopiga goti pichani wakiwa kwenye sherehe za wanawake duniani aliyoandaliwa rasmi na Tano Ledies Siku ya Jumamosi, Machi 8, 2014 ndani ya ukumbi wa Hampton Inn uliopo College Park Maryland Nchini Marekani

Na Abou Shatry, SwahiliVilla blog, Washington DC — Katika sherehe ya kuadhimisha Siku ya kimataifa ya wanawake duniani, Mgeni rasmi Balozi wa Tanzania Marekani na Mexico Mhe. Liberata Mulamula amewapongeza Tano Ladies kwa uwezo wao mkubwa wa kufanikisha wito wao wa kuwaweka pamoja wanawake wa Tanzania pamoja na kusherehe International Women’s Day (IWD) siku ya March 8 inayosherehekewa kila mwaka ulimwenguni.

Pia, kuweza kuwakusanya wanawake wajasirimali wa Tanzania kutoka sehemu mbalimbalina kwa kuweza

Pistorius trial: Was model's death Mistake or Murder? - Infographicy by the WashingtonPost

Using Pistorius’ own testimony in his signed affidavit The Washington Post reconstructed his purported movements around his apartment before and after he shot his girlfriend Reeva Steenkamp.
"First we created a rough 3d model. Then chose the camera angles. We then shot models posed at the angles we had chosen. Then while the 3d were being finalized and rendered with lighting, the figure illustrations were created in adobe illustrator. Final work was packaged with verbatim quotes from the affidavit given by Oscar Pistorius the day he was taken into custody. This is the work of two artists, a writer and an interactive expert over a five day period." -- The WashingtonPost

Pistorius Trial: Was Model
infographics via Visually

How to identify an official verified Twitter account

official twitter verified iconA friend asked, apart from just having a general knowledge to distinguish between fake and “photoshoped” accounts which superimpose the 'verified' light blue icon with a white check mark over an image and use it in Twitter ID to spoof others that such an account is verified by Twitter officials, if you don't know how to tell apart 'dark' from 'black', how else will you be able to distinguish fake from imitation?
Well, Twitter has put a feature to pop up a display for accounts that it has officially verified.

Simply, on a desktop or laptop or any computer device that you can move your mouse and hover the cursor pointer at the light blue verified icon: 
  • A verified account pops out "Verified account" a dialogue display written in white font and black background, on the right side of the icon. (see screen-shot below)

Job opportunity for a Project Manager at PATH

PATH seeks to recruit a BID Initiative Project Manager who will play a key role in the implementation of the work in Tanzania.

The BID Initiative Project Manager will be seconded to and based in the Immunization and Vaccine Development (IVD) program in the Ministry of Health and Social Welfare (MOHSW) of Tanzania, and will report to the IVD Program Manager. 

They will be the primary point of contact for the BID Initiative team at IVD throughout the implementation of the initiative. The hiring of this position is dependent upon confirmation of funding.

Video ya mikwaju ya penati Yanga vs Al-Ahly


myElimu.com: Mtandao unaowaunganisha Wanafunzi wa Sekondari kujadiliana masomoKwa siku za hivi karibuni matokeo ya mitihani yamekuwa sio mazuri sana na kuna baadhi ya watu wengi wanalaumu mitandao ya kijamii na internet kwa hili, kwamba inawafanya wanafunzi wawe busy kufanya mambo yasiyo ya msingi na kusahau kusoma.

Kwa kiasi Fulani ni kweli kwani kumekuwa na ongezeko la idadi ya vijana nchini Tanzania wanaojiunga na mitandao ya kijamii na internet kwa ujumla. 

Hata hivyo, ongezeko hili sio jambo la kuliangalia kwa jicho baya bali kulikumbatia kwani linaweza kusaidia wanafunzi wa sekondari, hasa sasa hivi ambapo kuna website kwa ajili ya wanafunzi wote Tanzania kukutana na