Nakala ya barua ya Askofu Kakobe ya ujumbe kwa Rais Kikwete

(bofya picha kuikuza ili kuweza kusoma maandishi kwa urahisi)

Taarifa kuhusu wagombea Ubunge Chalinze

Jumla ya wagombea watano wamechukua fomu za kuwania Kiti cha Ubunge katika Jimbo la Chalinze, Bagamoyo, zoezi ambalo litafungwa rasmi tarehe 12 Machi 2014 saa kumi kamili alasiri, kwa mujibu wa taarifa ya Afisa Uchaguzi wa Jimbo la Bagamoyo, David Shija.

Wagombea hao ni:-
  1. Mathayo Torongey (CHADEMA)
  2. Phabian Skauki wa (CUF)
  3. Vuniru Hussein (NRA) 
  4. Ramadhan Mgaya (ASP) 
  5. Ridhiwani Kikwete (CCM)
Nayo taarifa iliyotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye kwenda kwa vyombo vya habari inasomeka ifuatavyo:-

[video] T.B. Joshua on an “Asian airline prophecy”

Utepe Mweupe wakemea watumishi wanaouza damu mahospitalini

 
Baadhi ya wananchi wa Namanyere wilayani Nkasi wakichangia damu katika siku ya uzinduzi wa siku ya Utepe mweupe.

MTANDAO wa Utepe Mweupe na Uzazi Salama (White Ribbon Allience for Safe Motherhood) umekemea vikali tabia zinazofanywa na baadhi ya watumishi wa hospitali na vituo vya afya ya kuuza damu ambayo kimsingi inatakiwa kutolewa bure kwa wahitaji. Kauli hiyo ya pamoja imetolewa jana wilayani Nkasi na wanaharakati wa mtandao huo walipokuwa katika hafla ya uzinduzi wa wiki ya Utepe Mweupe wilayani hapa, mkoani Rukwa.

Akizungumza katika uzinduzi huo, Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la ‘Evidence for Action’ ambao

Mhe. Sitta achukua fomu ya kugombea Uenyekiti wa Bunge la KatibaMgombea Uenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akipokea Fomu kutoka kwa Ofisa wa Bunge Bi. Lidya Mwaipyana. Katikati ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Mbunge wa Nzega, Dk Hamisi Kigwangala.

Sitta akipokea fomu anayokabidhiwa na Katibu Muhtasi wa Katibu wa Bunge, Lydia Mwaipyana. Anayeshuhudia katikati ni Dk. Khamis Kigwangwala. (picha: Yassin Kayombo/UHURU)
Sitta akipokea fomu anayokabidhiwa na Katibu Muhtasi wa Katibu wa Bunge, Lydia Mwaipyana. Anayeshuhudia katikati ni Dk. Khamis Kigwangwala. (picha: Yassin Kayombo/UHURU)

 Mhe. Sitta akionesha fomu aliyochukua leo. Kushoto ni Mhe. Dk Kigwangala na kulia ni Mjumbe wa Bunge hilo Bw. Paul Makonda. (picha zote: Hassan Silayo/MAELEZO).


Elephants can: Distinguish between human languages; Tell a voice from man, woman, boy - Study finds

A new study released on Monday in the Proceedings of the National Academy of Sciences says wild elephants can distinguish between human languages, and they can tell whether a voice comes from a man, woman or boy. Researchers found that when they played recordings of people for elephants in Kenya..

Scientists say this is an advanced thinking skill that other animals haven't shown. It lets elephants figure out who is a threat and who isn't.

Study author Karen McComb and colleagues went to Amboseli National Park in Kenya, where hundreds of wild elephants live among humans, sometimes coming in conflict over scarce water. The scientists used voice recordings of Maasai men, who on occasion kill elephants in confrontations over grazing for cattle, and Kamba men, who are less of a threat to the elephants. [...]
"They are making such a fine-level discrimination using human language skills," "They're able to acquire quite detailed knowledge. The only way of doing this is with an exceptionally large brain."
They repeated the experiment with recordings of Maasai men and women. Since women almost never spear elephants, the animals reacted less to the women's voices. The same thing happened when they substituted young boys' voices. Click here to read more (The AP).

Who killed Dr John Garang?

By: Jesus Deng Chaui (SSNA) -- Late Dr. John Garang de Mabior (June 23, 1945 – July 30, 2005) was a Sudanese politician and leader. From 1983 to 2005, he led the Sudan People's Liberation Army during the Second Sudanese Civil War, and following a peace agreement he briefly served as First Vice President of Sudan from July 9, 2005 until his death in a helicopter crash on July 30, 2005. 
John Garang

Late Hero Dr. John is a member of the Dinka ethnic group, Garang was born in Wangulei village in the upper Nile region of South Sudan. An orphan by the age of ten, he had his fees for school paid by a relative, going to schools in Wau and then Rumbek. In 1962 he joined the first Sudanese civil war, but because he was so young, the leaders encouraged him and others his age to seek an education. 

Because of the ongoing fighting, Garang was forced to attend his secondary education in Tanzania. After winning a scholarship, he went on to earn a B.A. in economics in 1969 from Grinnell College in Iowa, USA. He was known there for his bookishness. He was offered another scholarship to pursue graduate studies at the University of California, Berkeley, but chose to return to Tanzania and study East African agricultural economics as a Thomas J. Watson Fellow at the University of Dar es Salaam (UDSM). 

At UDSM, he was a member of the University Students' African Revolutionary Front. However, Garang soon decided to return to Sudan and join the rebels.

There is much erroneous reporting that Garang met and befriended Yoweri Museveni, future president of Uganda, at this time; while both Garang and... Click here to continue reading

Ajishindia milioni 2/- za programu ya hamasa ya kazi kwa askari

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Suleiman Kova(watatu toka kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Askari wa usalama barabarani ,Moses Alphage(wapilikushoto)aliyeibuka kidedea kwenye program ya kuhamasisha na kupongeza utendaji kazi wa askari wa usalam barabarani jijini Dar es salaam iliyonedeshwa na kituo hicho cha Redio na kujishindia Sh 2 Milioni. Wa kwanza kushoto ni Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania Albert Maneno na kulia ni mtangazaji wa Clouds Said Mohamed maarufu Bonge.

Kijiwe cha Ughaibuni (No. 54)

JamiiProduction audio: Kipindi cha Familia - Siku ya wanawake duniani

(photo: happyholidays2014.com)

Karibu katika kipindi cha Familia kutoka Jamii Production.

Katika kipindi cha wiki hii kilichorushwa moja kwa moja (live) Jumamosi, Machi 8, 2014, mjadala ulijikita zaidi katika Siku ya Wanawake Duniani ambapo wageni Mary Ndaro akiwa Wichita Kansas na

Tanzia: Lulu John Maro Mwaluko

Lulu John Maro Mwaluko

Mtanzania mwenzetu Mama Lulu John Maro Mwaluko amefariki dunia asubuhi ya siku ya Ijumaa tarehe 7 Machi 2014.

Mama Mwaluko alikuwa akikaa Queens, New York na alishawahi kuwa mwalimu na alifundisha High School hapa New York. Mama Mwaluko alifariki baada ya kuugua ugonjwa wa saratani. Alikuwa akitibiwa katika hospitali ya Calvary huko Bronx, New York.

Mama Mwaluko alishawahi kukaa na Marehemu mumewe China na Marekani kama Wanadiplomasia na

[video song] Hongera Wanawake - Erica Lulakwa-Gleenn

Mwimbaji Erica Lulakwa na wimbo wa Hongera Wanawake aliyoimba kwenye sherehe za Kilele cha maadhimisho ya mwanamke Duniani, iliyoandaliwa na kundi zima la Tano Ladies siku ya Jumamosi March 8, 2014 ndani ya Ukumbi wa Hampton Inn Jijini Maryland nchini Marekani.

Bado upo upungufu wa Majaji nchini Tanzania

Mgeni rasmi Jaji wa Mahakama ya Rufani, Edward Rutakangwa (katikati) akiwasili kufungua rasmi mafunzo ya siku nne juu ya sheria za kimataifa za kazi kwa majaji na wasajili wa mahakama nchini yalioandaliwa na Shirika la Kazi Duniani mjini Bagamoyo. Kulia ni Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la kazi duniani kwenye nchi nne Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda, Alexio Musindo.

Na Damas Makangale, Bagamoyo, MOblog, Tanzania

JAJI wa Mahakama ya Rufani, Tanzania, Edward Rutakangwa amesema bado kuna upungufu mkubwa wa majaji katika mahakama za Tanzania kiasi cha kusababisha mrundikano wa kesi katika mahakama hapa nchini.

Akifungua rasmi mafunzo ya siku nne kwa majaji, wasajili na wasajili wasaidizi wa Mahakama ya Kazi, Jaji