[audio] DMV kuchangisha fedha za warsha ya elimu ya uraia pacha


Viongozi wa wa Jumuiya ya Watanzania DMV. Kutoka kushoto ni Katibu Amos Cherehani, Rais Idd Sandaly, Mweka Hazina Malasy na Makamu wa Rais Raymond Abraham.
 Iliyopachikwa hapo chini ni pleya yenye audio ya mazungumuzo ya baadhi ya Wanajumuiya wa DMV wakichangia mawazo ya jinsi gani ya kuchangisha pesa ya kusaidia kuandaa washa kwa ajili ya

Makamu Mwenyekiti Bunge la Katiba apatikana

TAARIFA KUHUSU KUKAMILIKA KWA ZOEZI LA UTEUZI WA MAKAMU MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM


Inatolewa chini ya Kanuni ya 5(4)(a) na NYongeza ya Kanuni za Bunge Maalum za Mwaka 2014

Tarehe 12 Machi 2014 Mwenyekiti wa Muda alitangaza nafasi ya Makamu Mwenyekiti na kuelekeza wajumbe wenye sifa wachukue Fomu. Wajumbe wawili walijitokeaza na kuchukua Fomu za kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wambao ni:-

  1. Ndg. Amina Abdallah Amour; na
  2. Ndg. Samia Suluhu Hassan.
Wajumbe hao wawili wamerudisha FOmu leo siku ya Alhamisi, terehe 13 Machi, 2014 na kutimiza masharti ya uchaguzi kwa mujibu wa Kifungu cha 23(4) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 83 na Kanuni ya 5(2) na Nyongeza ya Kanuni za

Opportunity for a Program Officer, African Climate Change Fellowship Program

The African Climate Change Fellowship Program (ACCFP) is an African-wide donor-funded program providing experiential learning, education, research and training opportunities to young African professionals, researchers, educators and graduate students to enhance their capabilities for advancing and applying knowledge for climate change adaptation in Africa.

A range of activities include, short-term research, advanced studies or targeted training, participation in community development and adaptation projects, participation in policy and planning activities, development of communication and stakeholder engagement efforts and/or development of course curriculum.

Location: The position will be based at Institute of Resource Assessment (IRA), University of Dar es Salaam, Dar es Salaam, Tanzania.

For further details, please open the file: Employment Position - African Climate Change Fellowship Program

Tanzia: Rais Ahmed Tejan Kabbah; Aliwahi kufanya kazi Tanzania

Ahmed Tejan Kabbah

Rais wa zamani wa Sierra Leone, Ahmad Tejan Kabbah anayekumbukwa kwa jitihada zilizosaidia kurejesha hali ya amani katika nchi yake amefariki dunia Alhamisi, Machi 12, 2014 katika umri wa miaka 82 akiwa nyumbani kwake.

Sababu ya kifo chake haikutangazwa ingawaje vyombo vya habari vya nchini humo vimenukuliwa vikisema kuwa alikuwa akisumbuliwa na shinikizo la damu mara kwa mara.

Uongozi wa sasa wa Rais Ernest Baj Koroma umetuma salamu za rambirambi kwa familia ya Kabbah ukimwelezea kuwa “Kabbah ni mmoja wa mihilimi ya demokrasia” nchini Sierra Leone.

Salamu hizo zimeongeza kusema kuwa marehemu Kabbah atakumbukwa kwenye historia kama

Suala la aliyekuwa mwajiriwa wa NW Mahanga lapelekwa Shirika la Kazi Duniani


Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

NAIBU Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Dkt Makongoro Mahanga ambaye aliingia katika kashfa nzito ya kuvunja sheria za kazi nchini kwa kumfanyisha kazi msaidizi wake (PS) wa ofisi yake Bunge kwa miaka kumi bila mkataba na kumlipa fedha taslimu shilingi laki mbili tu (200,000) kama mafao ameshinda kesi hiyo.

Akizungumza na mwandishi wa habari hizi hivi karibuni jijini Dar es Salaam, Wakili wa Bi Itika Kasambala (31) Bw, Nyaisa Godwin amesema kwamba

Taarifa ya Ikulu: Rais kuwaapisha viongozi wa Bunge la Katiba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete asubuhi ya kesho, Ijumaa, Machi 14, atamwapisha Katibu wa Baraza la Wawakilishi Bwana Yahya Khamis Hamad kuwa Katibu wa Bunge Maalum la Katiba.

Aidha, katika sherehe fupi itakayofanyika Ikulu Ndogo, Dodoma, Rais Kikwete atamwapisha Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Thomas Didimu Kashililah kuwa Naibu Katibu wa Bunge Maalum la Katiba.

Taarifa iliyotolewa jioni ya leo, Alhamisi, Machi 13, mwaka huu wa 2014 mjini

Rais Kikwete akabidhiwa ripoti ya mgawanyiko wa watu kwa umri na jinsi

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Kamishna wa Sensa Hajjat Amina Mrisho (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa baada ya kupokea Ripoti ya Mgawanyo wa Watu kwa Umri na Jinsia kwa data za sensa ya watu na makazi mwaka 2012 leo Machi 13, 2014 Ikulu jijini Dar es Salaam

Juhudi zinazofanywa ili kufuta adha ya uhaba wa maji jijini Dar

Mafundi wakiendelea kulaza mabomba yatakayotumika kusafirishia maji kutoka Mitambo ya Maji ya Ruvu Chini mpaka kwenye Tanki la kuhifadhia maji lililopo Chuo Kikuu cha Ardhi jijini Dar es Salaam. Mpaka sasa mafundi hao wameshasambaza mabomba kwa umbali wa kilomita takribani 29 kati ya kilomita 55. Kazi hii inatarajiwa kukamilika mwezi Juni, mwaka huu.

Mega Trade wasaidia waliokumbwa na maafa Hai, KilimanjaroMkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Novatus Makunga (watatu kushoto) akipokea msaada wa mabati yenye thamani ya shilingi milioni 5 kutoka kwa Mkurugenzi wa Kiwanda cha Mega Trade Investiment ya jijini Arusha, Gudluck Kway

Taarifa: Pingamizi dhidi ya mgombea wa CHADEMA kwenye Ubunge Chalinze

TAARIFA YA PINGAMIZI LA MGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE

FABIAN LEONARD SKAUKI – MGOMBEA CHAMA CHA WANANCHI – CUF

DHIDI YA


MATHAYO MANG’UNDA TORONGEY – MGOMBEA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO - CHADEMA


13.03.2014

Mimi FABIAN L. SKAUKI, mgombea ubunge wa uchaguzi mdogo jimbo la CHALINZE kwa Ticket ya THE CIVIC UNITED FRONT (CUF) ninamwekea Pingamizi mgombea wa chama cha demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba amepoteza sifa za kuwa mgombea kwa sababu zifuatazo.

Ndugu MATHAYO. M. TORONGEY amejaza Taarifa za uongo kwenye Fomu yake kwamba kazi

5 simple exercises to help you boost your balance

(image: LifeHacker.com)

If you find yourself needing to sit down to take off your shoes, it might be time to start paying attention to your sense of balance, writes Angela Chen at the WSJ.

People don't usually think about balance until they fall, but little signs such as relying on handrails to go up and down stairs can be early warnings that stability is starting to go, says Jason Jackson, a physical therapist at Mount Sinai Hospital in New York.

These changes won't show up on the formal assessments that doctors use for people with balance disorders. For most people, good ways to gauge include the need to lean on armrests when getting out of a chair or

NW Nchemba awatunuku vyeti wahitimu Chuo cha Uhasibu, ArushaNaibu Waziri wa Fedha akisalimiana na Wahadhiri wa Chuo Cha Uhasibu Arusha mara baada ya Kuwasili tayari kwa ajili ya kuongoza Mahafali ya Kwanza ya Wanafunzi wa kutoka Nchi za SADC na EAC waliokuwa wanasomea kozi za masomo ya Strategic Programs.