Ubunge Chalinze: Majibu ya mgombea wa CHADEMA kwa mgombea wa CUF

MAJIBU/MAELEZO YA PINGAMIZI LILILOWEKWA NA BWANA FABIAN L.SKAUKI DHIDI YANGU MIMI MATAYO M.TORONGEY MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE KUPITIA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA). 

UTANGULIZI 
Kwa mujibu wa ibara ya 67 (1) ya Katiba ya Jamhuri Muungano wa Tanzania (1977) inaeleza wazi kuwa ili mtu ateuliwe kuwa mgombea ubunge ni lazima awe na sifa zifuatazo; 
(i)-Awe raia wa Tanzania 
(ii)-Awe ametimiza umri wa miaka ishirini na moja 
(iii)-Awe anajua kusoma na kuandika kwa Kiswahili au Kiingereza 
(iv)-Awe ni mwanachama na ni mgombea aliyependekezwa na chama cha siasa 
(v)-Awe hajatiwa hatiani na mahakama yoyote kwa kosa lolote la kukwepa kodi yoyote ya Serikali katika kipindi cha miaka mitano kabla ya tarehe ya Uchaguzi. 

Aidha, Kwa mujibu wa Ibara ya 67 (2) na -(3) -ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa

Rais Kikwete na Marais Wastaafu Obasanjo, Mogae, Mkapa, Pedro, Mbeki, Chisano na Rais wa Benki ya Afrika, Kaberuka

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Marais Wastaafu Mhe. Olesegun Obasanjo (Nigeria), Festus Mogae (Botswana), Mzee Benjamin William Mkapa, na (walioketi kulia kwa Rais) Mhe. Pedro Pires (Cape Verde), Mhe. Thabo Mbeki (Afrika Kusini), Mhe Joachim Chisano (Msumbiji) na Rais wa Benki ya Afrika, Dkt Donald Kaberuka. (picha: IKULU)

A strange thing happened to “RichardGoldston” Twitter account

That account had a tweet which called South African president Jacob Zuma a "black retard"'...
The same account routinely tweeted ctiticizing The AU, UN, Tanzania and some other countries...
Now, part of the BBC’s article reads as follows:
...last week, a strange thing happened. A foreign journalist asked Richard Goldston to stop making misogynistic comments on Twitter and offered to email or call him to explain. He suddenly received a tweet in reply - but not from Richard Goldston's account. Instead, it came from President Kagame's account. That's right - from the President's own account. "Go right ahead," it said, "hero, I haven seen no email yet, or hear my phone ring yet."

How could this have happened? We still don't know who the person behind "Richard Goldston" on Twitter is. But it appears that the person may have been a ghost tweeter who also had access to President Kagame's Twitter account.

Richard Goldston's account has now been deleted, and Paul Kagame's office tweeted: "@RichardGoldston was an unauthorized account run by an employee in the Presidency. It has been deleted and the staff member reprimanded." The President's office later told BBC Trending that the account belonged to a "junior employee", but refused to say who it was, or what action had been taken.

Rais Kikwete na viongozi wa Bunge la Katiba baada ya kuwaapisha

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea kwa furaha na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe John Sitta, Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu wake Mhe. yahaya Khamis Hamad na Naibu Katibu Dkt Thomas Kashilia na Mawaziri Mhe John Lukuwi na Mhe. Aboud, baada ya zoezi la kuwaapisha Katibu na Naibu Katibu wa Bunge Maalum lililofanyika Ikulu ndogo mjini Dodoma leo Machi 14, 2014. (picha: IKULU)

Damage on EASSy cable caused slow internet - Statement by Vodacom


Vodacom Customers Experience Slow Internet SpeedsVodacom Tanzania’s internet users today experienced slow internet speeds which were caused by a cut on the EASSy Submarine Fibre cable which carries the company’s data traffic through South Africa.

Speaking in Dar es Salaam, Vodacom Tanzania Managing Director, Rene Meza said his company had no option but to route all its internet traffic through the SEACOM Submarine Cable in the Indian Ocean in 

Why does your brain have a greater reaction to the negative than positive?


"No" is a rejection. Neuroscience has shown our brains have a greater reaction to the negative than to the positive. Negative information produces a bigger and swifter surge of electrical activity in the cerebral cortex than does positive information. Negative memories are stronger than positive ones. All of this is to protect us: A strong memory of something hurtful helps us remember to avoid it in the future.

I picked the above piece while reading The WSJ’s article: Ways to Say 'No' More Effectively


Planes that have gone missing

A woman writes a message for passengers aboard a missing Malaysia Airlines plane on a banner at Kuala Lumpur International Airport in Sepang, Malaysia, Wednesday, March 12, 2014. More than four days after the Malaysian jetliner went missing en route to Beijing, authorities acknowledged Wednesday they didn't know which direction the plane carrying 239 passengers was heading when it disappeared, vastly complicating efforts to find it. (AP Photo/Lai Seng Sin)

wavuti.com is quoting the following piece of info. frrom The Memorables blog

There are records of aircraft disappearing in the infamous Bermuda Triangle. In December 5, 1945, Flight 19 (TBF Avengers) got lost with 14 airmen, and later the same day PBM Mariner BuNo 59225 lost with 13 airmen while searching for flight 19.

  1. On January 30, 1948, Avro Tudor G-AHNP Star Tiger lost with six crew and 25 passengers, en route from Santa Maria Airport in the Azores to Kindley Field, Bermuda.
  2. On December 28, 1948, Douglas DC-3 NC16002 lost with three crew and 36 passengers, en route from San Juan, Peurt Rico, to Miami.
  3. On January 17, 1949, Avro Tudor G-AGRE Star Ariel lost with seven crew and 13 passengers, en route from Kindley Field, Bermuda, to Kingston Airport, Jamaica.
  4. There were also reported cases of lost vessels at sea in the same area.
The Bermuda Triangle, also known as the Devil’s Triangle, is an undefined region in the western part of the

Zuckerberg wa Facebook ‘amtolea uvivu’ Rais Obama

Mmoja wa waanzilishi wa mtandao wa kijamii maarufu sana duniani kwa sasa, Facebook bwana Mark Zuckerberg amemtwanga barua rais wa nchi yake, Barack Obama jana Alhamisi akielezea kukerwa kwake na Serikali ya Marekani na kuitaka Ikulu ichukue hatua.

Ingawaje hakutamka bayana kinachomkera, Zuck inaelekea anazungumzia suala la taarifa zilizoenea sana sasa mitandaoni, kwa mfano kwenye tovuti ya The Intercept ilizochapisha juzi Jumatano, zikionesha kuwa Wakala wa Serikali katika masuala ya udukuzi, NSA, wamekuwa wakichomeka programu batili na bandia kiasi cha kutengeneza programu zinazofanania Facebook ili kuwahadaa watu wasio waangalifu, na hivyo kuweza kupata upenyo wa kuingiiza vifaa vyao vya tarakilishi na kukusanya taarifa za siri.

Katika barua hiyo, Zuck anakumbushia kuwa anafanya kazi kwa ushirikiano ili kutengeneza mazingira

Spika wa Marekani amwalika Papa aihutubie Congress

Spika wa Bunge la Marekani, John Boehner, amemwalika Papa Mtakatifu, Francis kulihutubia baraza la Congress la nchini humo.

Boehner amesema katika taarifa yake kuwa Papa amegusa mioyo ya mamilioni ya watu ulimwenguni kutokana na kuongoza kwa unyenyekevu wa kutumikia. Pia, ametilia mkazo wito wa Papa Francis wa kuomba ulinzi kwa makundi ya watu walio hatarini zaidi kama vile wagonjwa, wahitaji, wanyonge na haki ya uhai kwa watoto ambao bado hawajazaliwa.

Spika amesema ametuma mwaliko huo kwa Mtakatifu Papa kwa njia iliyo rasmi na pia kwa uwazi.

Taarifa ya uteuzi wa viongozi wa Bodi ya PUMA Energy

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA NISHATI NA MADINI

TAARIFA YA UMMA

UTEUZI WA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI YA PUMA ENERGY (T) LTD NA WAKURUGENZI WA BODI
 
Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amemteua Dkt. Ben E. Moshi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya PUMA Energy (zamani ilijulikana kama BP Ltd). Uteuzi huo wa Dkt. Ben Moshi ni wa kipindi cha miaka mitatu (3) kuanzia tarehe 1 Machi, 2014.
 
Kutokana na uteuzi huo Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter M. Muhongo (Mb.)