[video] Pride! Why do we do what we do when we win? AsapScience explains


[audio] Mfungwa aliyekuwa akisubiria kifo aachiwa huru - Dakika 90 za Dunia

Picha iliyopigwa na mwanasheria wake, ikimuonyesha Bwn Ford siku ya kwanza kama mtu huru baada ya miaka 30 jela kwa kosa ambalo hakufanya. (picha: theatlantic.com)
Wiki hii, mmoja wa wafungwa nchini Marekani, ambaye alikuwa kwenye orodha ya wanaosubiri kunyongwa kutokana na kuhukumiwa kifo kwa mauaji  aliyotuhumiwa kufanya mwaka 1984 aliachiwa huru baada ya Jaji kukubali kuwa hakukuwa na ushahidi wa kutosha kuonyesha kuwa ni yeye aliyeshiriki mauaji hayo.

Sasa, mfungwa huyu atalipwa dola 25,000 kwa kila mwaka aliotumikia kifungo hicho, lakini, kwa mujibu wa

[video] Spika Sitta: Mtanilaumu bure...

Scam alert: Domain name registration

A few moments ago I received a message (copied below).

Something didn't sound right in it as I was reading, therefore I decided to search online and found that others have warned about it. You can click here to read the nature of this scam, how they convince you and how it benefits them.

I just thought I should put it here (I purposely omitted the full physical address, email and telephone numbers because some scammers knows that bloggers/site owners will put their full scam messages up, which inturn will give them free advertisement) in order to help others from falling into this trick.
Dear Manager,
(If you are not the person who is in charge of this, please forward this to your CEO,Thanks)
This email is from China domain name registration center, which mainly deal with the domain name registration and dispute internationally in China.
We received an application from Huayuan Ltd on March 10, 2014. They want to register ʺ wavuti ʺ as their Internet Keyword and ʺ wavuti .cn ʺʺ wavuti .com.cn ʺ 、ʺ wavuti .net.cn ʺʺ wavuti .org.cn ʺ domain names etc.., they are in China domain names. But after checking it, we find ʺ wavuti ʺ conflicts with your company. In order to deal with this matter better, so we send you email and confirm whether this company is your distributor or business partner in China or not?
Best Regards,
Jim
General Manager
Shanghai Office (Head Office)
........
......
........

Hivi ulivyokuwa mdogo ulifanya hivi...

Anko John kwenye blogu yake ya “Cheka na Kitime” anakuuliza, ni vipi kati ya hivi ulivifanya ulipokuwa mdogo?
- Kuchovya mkate kwenye chai

- Kuweka wali wote kwenye mchuzi

- Kuvunja mfupa ili unyonye

- Kuweka nyama pembeni na kula mwisho baada ya kumaliza chakula

- Kuonyesha wenzio chupi mpya

- Kuomba pipi anayokula mwenzio

- Kulamba sahani mpaka iwe safi

- Kuvua viatu vipya, na kutembea navyo mkononi ili watu wavione

- Kuvaa kaptura mbili ili ukipigwa mboko zisiume
Bila shaka atakuwa amekukukumbusha mbali. Ikiwa umefurahi, basi endelea kufurahia vichekesho zaidi kwa kutembelea blogu yake: chekanakitime.blogspot.com

[video] Mahojiano na Balozi Job Lusinde kuhusu Muungano

Wahitimu wa darasa la saba 2013 wafikishwa kortini kwa kuoana

Mwanafunzi aliyehitimu Darasa la Saba mwaka jana, jina tunalo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu wa Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa, kwa madai ya kumuoa msichana waliyekuwa wakisoma naye darasa moja mwenye umri wa miaka 15.

Binti huyo alifanikiwa kupata nafasi ya kidato cha kwanza Shule ya Sekondari Chala wilayani Nkasi, lakini ameshindwa kujiunga kwa kuwa ni mke wa mtu.

Wawili hao walikuwa wakisoma Shule ya Msingi Kacheche kijijini Kacheche wilayani Nkasi.

Mshtakiwa ambaye kwa sasa ni mkulima katika kijiji cha Kacheche alifikishwa mahakamani hapo jana

Misa ya shukurani ya familia ya Mzee Arnold Nkhoma