Kijiwe cha Ughaibuni (No. 55)

PAC: Hadidu rejea - Ukaguzi maalumu akaunti ya Tegeta Escrow

Ukaguzi maalumu wa akaunti ya Tegeta Escrow

Hadidu rejea:
  1. Kuchunguza uendeshaji wa mkataba wa kuzalisha Umeme kati ya kampuni ya IPTL na TANESCO
  2. Kuchunguza kama wakati escrow inafunguliwa kampuni ya mechmar ilikuwa inamiliki IPTL, kama ilikuwa imefilisiwa na kama ilikuwa imehamisha umiliki wake kwa kampuni ya PAP.
  3. Kuchunguza na kuthibitisha ushahidi wa kampuni ya PAP kununua kampuni ya mechmar na kumiliki IPTL
  4. Kuchunguza chanzo cha mgogoro kuhusu tozo kati ya TANESCO na IPTL na kuthibitisha ushahidi wowote kuwa mgogoro uliamuliwa kwa faida ya IPTL
  5. Kuchunguza kama ilikuwa sahihi kwa mwanasheria mkuu wa Serikali kusamehe kodi ya VAT ya jumla ya tshs 26 bilioni kutokana na tozo ya capacity charges na TRA wachukue hatua gani kuhakikisha kodi hiyo inakusanywa
  6. Kuchunguza kiwango cha fedha kilichopaswa kuwemo katika akaunti ya escrow, kiwango gani kilikuwepo wakati IPTL wanalipwa na kiwango gani kitapaswa kulipwa zaidi kutoka tanesco
  7. Kuchunguza madai ya benki ya standard chartered kwa tanesco na madai mengine yeyote yanayohusiana na mkataba wa kuzalisha Umeme wa IPTL na iwapo Serikali imejihadhari na uwezekano wa madai yanayoweza kufunguliwa, nafasi na heshima ya nchi katika kuheshimu mikataba ya kimataifa na ya uwekezaji.
  8. Kuchunguza iwapo Wizara ya Nishati na madini ambayo ni mhusika Mkuu wa akaunti ya tegeta escrow ilifanya 'due diligence' ya kutosha kabla ya kuingia makubaliano ya kutoa fedha zilizopo akaunti ya tegeta escrow. Kupata Maelezo ya Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na madini ni kwa nini aliagiza ukaguzi maalum wakati yeye ni mhusika Mkuu kwenye mchakato mzima na ilhali akijua PAC tayari imeanza mchakato wa ukaguzi.
  9. Kutoa mapendekezo ya njia bora za kisheria kulinda Taifa kutoingia hasara zaidi katika mkataba wa IPTL chini ya wamiliki wapya
  10. Kutoa ushauri kwa kamati ya PAC juu ya mapendekezo ya hatua ambazo Bunge linapaswa kuchukua kuhusu matokeo ya ukaguzi huu maalumu

Imetolewa na;
KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC)

Mhe. Membe akutana na Mabalozi wa Kiafrika Wanachama wa Jumuiya ya Madola

Mhe. Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania akiwa kwenye kikao na Mabalozi wa Nchi za Afrika Wanachama wa Jumuiya ya Madola jijini London, pembezoni mwa kikao cha Mawaziri wa Kikosi Kazi cha Jumuiya hiyo.

TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI

WAZIRI MEMBE AKUTANA NA MABALOZI WA NCHI ZA KIAFRIKA WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA


Mhe. Bernard Membe (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ametoa wito kwa Nchi za Kiafrika Wanachama wa Jumuiya ya Madola kuunganisha nguvu na kuwa na sauti moja itakayotetea maslahi ya nchi za kiafrika kwenye jumuiya hiyo.

Mhe. Membe aliyasema hayo alipokutana na Mabalozi wa Nchi 12 za Kiafrika wanaowakilisha nchi zao kwenye Jumuiya ya Madola pembezoni mwa Mkutano wa Kikosi Kazi cha Mawaziri cha jumuiya hiyo kilichofanyika Jijini London Uingereza tarehe 13-14 Machi 2014.

Kwenye mazungumzo yao Mhe. Membe aliwakumbusha Mabalozi hao chimbuko la jumuiya hiyo na ushiriki

Mhe. Membe aongoza mkutano wa Mawaziri wa Jumuiya ya Madola

Mwenyekiti wa Kikosi Kazi cha Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe akiendesha kikao cha 43 cha chombo hicho cha utendaji cha Jumuiya ya Madola Jijini London Uingereza. 

TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI

WAZIRI MEMBE AONGOZA MKUTANO WA KIKOSI KAZI CHA MAWAZIRI JUMUIYA YA MADOLA

CMAG (COMMONWEALTH MINISTERIAL ACTION GROUP)

Kikao cha arobaini na tatu cha Kikosi Kazi cha Mawaziri wa Jumuiya ya Madola kimeipunguzia adhabu nchi ya Fiji na hivyo kuiruhusu kushiriki kwenye baadhi ya matukio ikiwemo michezo ya Jumuiya ya Madola ya mwaka 2014.

Kikao hicho kilichofanyika Jijini London Uingereza chini ya uenyekiti wa Mhe. Bernard Membe (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania kilifikia uamuzi huo baada ya kupitia na

Chalinze: Ole Sendeka, Laizer wamnadi Ridhiwani

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Jakaya Kikwete akipokea moja ya kati ya mbili ya Kadi za CHADEMA kutoka kwa aliyekuwa Mwanachama wa CHADEMA, Mrisho Issa mkazi wa Kijiji cha Msata, ndani ya Jimbo la Chalinze. Mwingine aliyerudisha kadi ni Kassim Msakamali (hayupo pichani). (picha, maelezo: Othman Michuzi)

[updated: Video, Audio, Maandishi] Hotuba ya Rasimu ya Katiba Mpya aliyoitoa Jaji Warioba katika Bunge la Katiba

Ilipopachikwa hapo (maandishi na sauti) ni hotuba ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba alipowasilisha Rasimu ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Bunge Maalumu la Katiba leo Jumanne, Machi 18, 2014.

Bofya hapa kujipakulia nakala (PDF).

Kikao cha Bunge kimeahirishwa mchana wa leo na Mwenyekiti, Samuel Sitta hadi Ijumaa, saa tatu asubuhi.

HOTUBA KWA MAANDISHI


UTANGULIZI

Mheshimiwa Mwenyekiti na
Waheshimiwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba,

1. Kwa mujibu wa kifungu 20 (3) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 83 na Tangazo la Serikali Na. 30 la tarehe 14 Februari, 2014, naomba kuwasilisha Rasimu ya Katiba kwenye Bunge Maalum la Katiba. Rasimu ya Katiba ninayoiwasilisha imeandaliwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba baada ya kukamilisha kazi ya kuratibu, kukusanya, kuchambua na kutathmini maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya.


2. Mwanzo kabisa, nieleze kwamba, Maelezo haya ninayoyatoa, ni sehemu ya Randama (Memorandum) iliyoandaliwa na Tume kwa lengo la kufafanua kwa kina, maudhui ya kila Ibara iliyomo katika Rasimu ya Katiba na sababu za mapendekezo ya Ibara hizo. Hivyo, naomba maelezo yote yaliyomo katika Randama yawe

Why you shouldn’t worry much about what people think

Worrying too much about what other people think can become a self-fulfilling prophecy, because the way we think starts to become the way we behave.

These individuals become people-pleasers and are overly accommodating to others, thinking it will stop them from being judged. In fact, the opposite is true.

Most people don't like push-overs and are turned off by it. The behavior we use in an attempt to please others, can actually cause the opposing effect. This means that if you're a push-over, then you're going to be attracting others in your life who are also push-overs. Vice versa. This can be quite a dangerous path to go down if you don't recognize its consequences.

It's been said that we are the average of the five people we hang out with the most. When we start to attract and associate with the same people that share our weaknesses —we're stuck. We stop growing, because there's no one to challenge us to be better. We start thinking that this is the norm and we remain comfortable. This is not a place you want to be.

-- Tip by Sean Kim @ LifeHacker

Toyota Land Cruiser 200 GX-V8 manual STD inauzwa


Make: Toyota Land cruiser, 200 GX-V8 manual STD

Model Number: VDJ200R-GPMNZ

Body Type: Station wagon

Colour: White

Class: Light passenger Vehicle (less than 12 persons)

Invitation: The 6th Mwalimu Nyerere Festival, April 2014

UDSM University of Dar es Salaam logo Hekima ni Uhuru


UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM

Mwalimu Julius Nyerere Chair in Pan-African Studies

P. O. Box 35091 Tel: 255-22-2410763, Mobile: 0754-461703, 0754-281837 extension 2326

Dear all,

Invitation to the 6th Mwalimu Nyerere Festival, 9th -11th April 2014

Let me start by introducing myself and informing you that I am the new holder of the Mwalimu Julius Nyerere Chair for Pan African Studies of the University of Dar es Salaam, effective February 2014. I wish to express my sincere thanks for your past participation and support for various activities of the Chair. It is my sincere hope that your valuable collaboration will continue and that we shall work together to fulfill the noble objectives of this Chair.

I have great pleasure to invite you to the 6th Mwalimu Nyerere Intellectual

Why is it possible to turn of an airplane transponder?An airplane transponder the reply button illuminates when you reply to the wave received from the interrogator. The mode of the operation is controlled by selecting the on or off buttonon the left side of the above diagram. (image: lurnq.com)
 The functions of transponders in airplanes is to provide key form of communication that allows air traffic controllers to identify and track airplanes.

Airplanes have two transponders. They are in the cockpit - one on the right, the other on the left. When one transponder is on, the other is normally in standby mode. When one knob is switched off, the second