Rais Kikwete akutana na Waziri wa Sweden, Ewa na Victoria, binti Mfalme


IKULU -- Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Binti wa Mfalme wa Sweden HRH Crown Princess Victoria Lugrid Alice Desiree alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es Salaam leo Mach 19, 2014.

2013 Report on Human Rights Practices in Tanzania

EXECUTIVE SUMMARY

The United Republic of Tanzania is a multi-party republic consisting of the mainland region and the semiautonomous Zanzibar archipelago, whose main islands are Unguja and Pemba. The union is headed by a president, who is also the head of government. Its unicameral legislative body is the National Assembly (parliament). Zanzibar, although part of the union, has its own government with a president, court system, and legislature, and exercises considerable autonomy. Tanzania held its fourth multi-party general elections in 2010 in which voters on mainland Tanzania and Zanzibar elected a union president (Jakaya Kikwete) and their respective representatives in the union legislature. The Zanzibari electorate chose Ali Mohamed Shein as president of Zanzibar. The union and Zanzibari elections were judged to be largely free and fair. Union security forces reported to civilian authorities, but there were instances in which elements of the security forces acted independently of civilian control. Security forces at times committed human rights abuses.

Shabiki wa soka aripotiwa kufariki Uwanja wa Taifa leo

Golikipa wa timu ya Azam FC, Aishi Salum akiokoa moja ya hatari kutoka langoni mwake.

Shabiki mmoja wa timu ya Azam FC anaripotiwa kupoteza uhai jioni hii katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam wakati timu hiyo ilipokuwa inacheza na timu ya Yanga, inaripoti blogu ya Imma Matukio.

Shabiki huyo alizimia uwanjani mara baada ya Yanga kupata bao lake la kwanza lililofungwa na Didier Kavumbagu. Wasamaria wema walimbeba na kisha kuwekwa kwenye machela na kupelekwa katika vyumba vya huduma ya kwanza.

Muda mchache baadaye vipaza sauti vya Uwanja wa Taifa vilisikika

Haya: Spika Kificho amkana Jaji Warioba huku Kingunge akimshangaa

*Video zimepachikwa hapo chini, mwishoni mwa taarifa ya maandishi ifuatayo...

Na EPSON LUHWAGO/via gazeti la Uhuru -- SPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho, amemkana Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, kuhusu mapendekezo yaliyotolewa na baraza.

Kificho, ambaye ni mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, alisema hayo jana, siku moja baada ya Jaji Warioba kuwasilisha bungeni Rasimu ya Katiba.

Jaji Warioba alisema mapendekezo yenye mwelekeo wa kuwepo serikali tatu yalitolewa pia na Baraza la Wawakilishi, lililopendekeza kuwe na mamlaka huru ya Zanzibar, mamlaka huru ya Tanganyika na mamlaka ya Muungano.

Akizungumza katika kipindi cha Jambo Tanzania kinachorushwa na kituo cha

Uzinduzi wa kampeni za CCM kwa kiti cha Ubunge Chalinze

George Clooney and new girlfriend Amal Alamuddin in Tanzania?

George Clooney has been photographed on safari in Tanzania with his new girlfriend, Amal Alamuddin, so says The People Magazine (photos available).

The duo appear in a series of sumptuous shots posted online Tuesday with Clooney's arm around Alamuddin's shoulder and hers around his.

Some wonder how a photographer managed to chase the couple to Tanzania and get the secluded safari pics while some wondered if the remote location shots were staged to show Clooney had moved on, now that his ex Stacy Keibler is married and rumored to be pregnant.

They have also been spotted vacationing together in the Seychelles.

Statement issued by Senator John McCain on Ukraine

The statement below was cross-posted from Senator McCain's official website: mccain.senate.gov

Mar 18 2014

Washington, D.C. – U.S. Senator John McCain (R-AZ) released the following statement on the need to provide greater support to Ukraine and impose additional costs on Russia in the wake of the Russian government’s annexation of Crimea today:

“In response to the Russian government’s annexation of Crimea today, the United States should provide greater support to Ukraine and impose additional costs on Russia, including:

Unbelievable: Truck flies between two cars almost hitting Iowa Police Officer

Police car dash-camera video shows a pick-up truck careening out of control near Iowa City Friday, missing three police officers by just inches.

It’s all because police say the driver of a tractor trailer didn’t slow down near stopped emergency vehicles, as he is required to do by law, and slammed into the pick up.

“And it happens more than you might think. We pulled over with a state trooper Tuesday afternoon. His emergency lights were on, and most cars did the right thing…they merged over and slowed down. But in less than two minutes, a car sped past us. It happens all the time.” says Trooper Tyson Sonnenfelt of the Iowa State Patrol.
“As you said under two minutes and traffic stops gonna take probably around ten minutes, fifteen minutes depending on the stop. So in that amount of time you can only imagine how many people break that law.”

The law requires you to move over, freeing up the lane closest to a stopped emergency vehicle, if you can safely do that. If not, you must slow down to below the posted speed limit. Violating the law can lead to a $195 fine. (whotv.com)

Historia nyingine kuandikwa nchini Ijumaa kupitia Bunge la Katiba

Na Magreth Kinabo -- Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kuhutubia Bunge Maalum, Machi 21, mwaka huu mjini Dodoma.

Kauli hiyo imetolewa leo na Katibu wa bunge hilo, Yahya Khamis Hamad wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa waandishi wa habari wa ofisi za Bunge mjini Dodoma.

“Kwa mujibu wa kanuni ya 75 (1), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atalihutubia Bunge Maalum siku ya Ijumaa Machi 21, mwaka 2014 saa 10: jioni, ambapo wageni waalikwa wote watatakiwa kuwa wameingia na kuketi katika

Picha kutoka bonde la magadi soda la Engaruka na Ziwa Natron

Timu ya wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Tume ya Mipango imetembelea bonde la magadi soda la Engaruka na Ziwa Natron. Zifuatazo ni baadhi ya picha kutokana na ziara hiyo.

Picha inayoonesha moja ya mashimo yaliyochorongwa katika Bonde la Engaruka Wilayani Monduli, Mkoa wa Arusha kuthibitisha uwepo wa hazina kubwa ya magadi soda. Hii ilidhihirishwa mbele ya Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango aliyeongoza timu ya wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka katika ofisi yake (hawapo pichani).

Ujumbe wa Balozi wa Uturuki kuhusu 'scholarships' kwa Watanzania

Ujumbe ufuatao umetumwa na rafiki kupitia WhatsApp:

Tafadhali wasambazie ujumbe huu wa NAFASI ZA KUSOMA UTURUKI:
Balozi wa Uturuki amenipa taarifa kwamba zipo scholarships za Masters na PhD nchini Uturuki. Mwisho wa kutuma maombi ni 30 Machi 2014. Vijana wetu wanaopenda kusomea mambo ya madini, gesi asilia na mafuta nendeni Ubalozi wa Uturuki leo hii ili mtume maombi yenu.
This is the link- www.turkiyeburslari.gov.tr for scholarship application.
I request those who apply for mining and petroleum engineering to come to the Embassy after completing their online application. I will write to the Turkish authorities to consider those applications.
Sincerely
Embassy of Turkey in Tanzania


Mgombea Ubunge aahidi trekta kwa kila kijiji Chalinze

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Jakaya Kikwete (kushoto) akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mindukene, Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze, Machi 18, 2014. Katika Mikutano yake kwenye Vijiji vya Mindukene, Msigi na Kisanga ndani ya Jimbo hilo, Ridhiwani ameahidi kuhakikisha vijiji vyote kwenye jimbo hilo vinakuwa na matrekta ili kuboresha kilimo. (picha, maelezo: Othman Michuzi)

MGOMBEA wa Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani, Ridhiwani Kikwete ameahidi kuhakikisha vijiji vyote kwenye jimbo hilo vinakuwa na matrekta ili kuboresha kilimo kiwe na tija.

Alitoa ahadi hiyo wakati wa mikutano ya kampeni kwenye vijiji vya Mindukene, Msigi, Kisanga vyote vikiwa kwenye kata ya Talawanda.

Kikwete alisema kuwa wakulima wengi bado wanatumia jembe la mkono ambalo

Air Tanzania to fly four days per week to Mbeya

“The long awaited Air Tanzania flight to Mbeya has officially started today (Monday). Using our newly acquired aircraft, we offer fast and safe transport, connecting Mbeya to other regions. For only one hour, our passengers are sure of landing at Songwe from Dar es Salaam.
“We have considered all the parameters of economies and pegged our introductory fare at 150,000/- for a one way ticket and 260,000/- for a return ticket,” 
Acting Commercial Director, Mr Juma Boma, said.

Mr Boma explained that based on its go-green strategy which will also see the