Rais Kikwete akihariri hotuba ndani ya ndege akielekea Dodoma

 Rais Jakaya M Kikwete ndani ya ndege akielekea Dodoma huku akihariri hotuba
Wakati wowote na mahali popote ni sehemu ya kazi. Pichani anaonekana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ametulia ndani ya ndege akisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma huku akiifanyia kazi hotuba yake ambayo ataitoa katika Kikao cha Bunge Maalum la Katiba, Ijumaa, Machi 21, 2014. (picha: Ikulu)

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais Kikwete awasili Dodoma kuhutubia Bunge Maalum la Katiba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, leo, Alhamisi, Machi 20, 2014, amewasili mjini Dodoma kwa ziara ya kikazi ya siku tatu ambako miongoni mwa mambo mengine atakuwa Mgeni Rasmi na atahutubia Bunge Maalum la Katiba kesho, Ijumaa, Machi 21, 2014.

Muda mfupi baada ya kuwa amewasili na kulakiwa na Waziri Mkuu, Mheshimiwa

In Tanzania "We will remain with our values without an assistance in dishonour of homosexual policies" - Mwigulu Nchemba


Habari na picha kutoka kwa Sanga Festo -- Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Mwigulu Nchemba (pichani) amehutubia kikao cha pamoja cha bunge la ACP na EU katika mji wa Strasbourg nchini Ufaransa.

Katika hotuba yake, Mhe Mwigulu alianza kwa kukishukuru chombo hicho kwa ajili ya msimamo wake usioyumba kwenye maswala ya amani akitolea mfano wa kazi nzuri waliofanya kwenye swala la Jamhuri ya Afrika ya Kati na Sudani Kusini. Mhe. Mwigulu aliitaka Jumuiya ya Kimataifa imsaidie Rais wa muda Mama Catherine Samba Panza ili kuwezesha kipindi cha mpito na maridhiano kuwezesha zoezi la uchaguzi huru na wa haki.

Kuhusu maswala ya kiuchumi Mhe. Mwigulu aliwakumbusha wajumbe wa bunge hilo kuwa umebaki mwaka mmoja tu kumalizia mpango wa malengo ya Maendeleo ya Milenia (MDG’s). Mhe. Mwigulu aliitaka

Mwanafunzi UDOM ajirusha kutoka ghorofani

Mwonekano wa ghorofa hilo alipojirusha mwanafunzi huyo.

Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.

Mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu Dodoma – UDOM aliyefahamika kwa jina la KAMUGISHA S/O ISACK, Miaka 24, Mhaya, Mwaka wa Tatu, Kitivo cha Sayansi ya Jamii (Social Science) anayeishi Block Namba 11, chumba Namba 62, alijitupa kutoka ghorofa ya pili hadi chini na kusababisha majeraha sehemu za

[video] Prof. Lipumba, Mhe. Awadh wazungumzia muundo wa Serikali

Gerson Msigwa wa TBC1 katika kipindi cha “Jambo Tanzania” anazungumza na Mhe. Prof. Ibrahim Lipumba na Mhe. Salmin Awadh Salmin kuhusu muundo wa Serikali ya Tanzania kwa misingi ya mapendekezo ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba yaliyotokana na maoni ya Wananchi.


Serikali kuimarisha uwanja wa ndege wa Mtwara

Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mtwara kwa ajili ya kujionea maendeleo ya uwanja huo.

Na Saidi Mkabakuli — Katika kukabiliana na kasi ya maendeleo ya ukuaji wa uwekezaji katika maeneo ya viwanda vikubwa na biashara za huduma mkoani Mtwara, Serikali imesema kuwa kuna haja ya kuuimarisha Uwanja wa Ndege wa Mtwara ili kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma kwa watumiaji wa uwanja huo, hasa kufuatia kugundulika kwa gesi mkoani humo,

Hayo yamebainishwa mmoja wa viongozi wa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri wakati ilipofanya ziara kwa ajili ya kujionea maendeleo ya

Leo Babauta: Becoming emotionally self-reliant

By Leo Babauta via ZenHabits.net

I’m the first to admit that for many years, I was a bit emotionally needy.
 
Not in a crazy, desperate way, but in the way that many of us are. I wanted someone else to make me happy, blamed others for my unhappiness, sought to fulfill my emotional needs through others.
 
This caused all kinds of problems I didn’t even realize were there: I’d have relationship problems because if the other person wasn’t meeting my needs, I’d resent it. I’d be unhappy lots of the time, because I thought

Radio Pangani FM yapongezwa kwa kukuza Kiswahili

Mzee Bakari (mwenye shati ya bluu) wa Kijiji cha Madanga wilaya ya Pangani, akipongeza Kituo cha Redio cha Pangani FM kuendeleza Kiswahili kupitia kipindi cha Lugha ya Kiswahili.

Kikundi cha Wazee cha Mwehu katika kijiji cha Madanga wilayani Pangani kimeipongeza redio ya Pangani FM kwa kueleza Kiswahili kupitia kipindi kinachorushwa hewani na kituo hicho.

Wakichangia majadiliano ya kikundi kufuatilia usikivu wa vipindi vya kituo hicho, zoezi linalofanywa kwa pamoja na Redio Pangani FM kwa kushirkiana na Shirika la Kimataifa la UNESCO, wazee hao wamesema wanafurahishwa sana na kipindi cha Lugha ya Kiswahili kinachorushwa hewani kila Alhamisi jioni na kurudiwa Jumamosi mchana.

“Kile kipindi cha Kiswahili kinanikosha sana kwa sababu Kiswahili kinachozungumzwa na vijana wa sasa sio Kiswahili kizuri kwa mfano ‘kasheshe, mkwara’… tofauti na Kiswahili tulichosoma cha Hekaya za Abunuwasi kinapendeza sana. Nakipenda kipindi cha Kiswahili kiendelee sana kwa sababu

9 scholarship positions from Russian Government for Tanzanians

The Government of the Russian Federation has Granted to the United Republic of Tanzania 9 (Nine) State Scholarships for the 2014/2015 Academic year.

Applications are invited from qualified Tanzanians, to apply for the 9 (Nine) state scholarships in the 2014/2015 academic year. These includes 8 scholarships for undergraduate (bachelor’s, Master’s and Specialist’s degree) and 1 for postgraduate (Internship, Clinical residency, PhD) courses

QUALIFICATIONS

Candidates applying for scholarships must:-