Mail on Sunday on Tanzania: World Picture Exclusive - Haul of shame: Shocking photo shows for first time biggest stockpile of illegal ivory on earth


  • UK's Mail on Sunday's Martin Fletcher goes inside the warehouse in Tanzania
  • Dar es Salaam holds 34,000 tusks ripped from 17,000 elephants
  • The tusks would be worth some £150million on China's black market
  • Biggest is nearly 7ft long, weighs 191lb and takes three people to lift
  • Last month, MoS asked how Prince of Wales and Cameron could shake the hand of the Tazanian PM who has presided over slaughter
  • Minister for Natural Resources and Tourism invited MoS to Tanzania
  • ‘We have nothing to hide,’ Lazaro Nyalandu said
Full story at: Dailymail.co.uk

Pres. Kikwete’s speech leads to the choice of a three government structure

Why President Kikwete’s speech leads to the choice of 3 government union structure:


The speech delivered by President Jakaya Mrisho Kikwete in the official opening of the special Parliament for new constitution writing for Tanzania was a great one as it surprised many on unforeseen and serious challenges which could be encountered in the implementation of the new constitution draft which was submitted in the Parliament earlier by retired Judge Joseph Sinde Warioba, especially the proposed three government union structure.

The challenges highlighted in the presidential speech offer the special Parliament for new constitution writing the opportunity to enhance formulation of the

Jela miaka 28 kwa kughushi cheti cha uuguzi

Imeandikwa na Flora Mwakasala/Imechapishwa katika gazeti la HabariLeo

MUUGUZI Lucia Ilomo (44) amehukumiwa kifungo cha miaka 28 jela katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam baada ya kupatikana na hatia ya kughushi vyeti vya Uuguzi na Ukunga.

Hakimu Mkazi Augustina Mmbando alitoa hukumu hiyo jana baada ya kupitia ushahidi wa mashahidi watatu wa upande wa Jamhuri pamoja na utetezi wa mshitakiwa.

Akitoa uamuzi huo jana, Hakimu Mmbando alisema upande wa Jamhuri umethibitisha mashitaka manne dhidi ya mshitakiwa na

Smart Codes: We have moved to a new office!SMART CODES, we are excited to announce that our team has moved to a new location at Mikocheni B. Our old office at Kijitonyama Sayansi-COSTECH served us well, and we made great memories there, but we couldn't be more excited about our new space.

The new office is at Old Bagamoyo Road, C & G Plaza(near Baraka Plaza)-First Floor

1st Floor, C & G Plaza
672/2 Old Bagamoyo Road Mikocheni B
Dar es Salaam, Tanzania.

+255 (0) 786 675 487 or +255 (0) 786 675 487 or +255 (0) 786 675 487 or +255 (0) 786 675 487 ([email protected]) - CEO

+255 (0) 789 776 668 or +255 (0) 789 776 668 or +255 (0) 789 776 668 or  +255 (0) 789 776 668 ([email protected]) - Business Executive

Ebola kills 59 in Guinea as disease spreads to Sierra Leone

Reuters reports from Conakry, the capital of Guinea that the country's government on Saturday said it has received confirmation that a mysterious disease that has killed up to 59 people in the West African country, and may have spread to neighboring Sierra Leone, is the hemorrhagic fever Ebola.
"It is indeed Ebola fever. A laboratory in Lyon (France) confirmed the information," 
Damantang Albert Camara told Reuters.

Six of the 12 samples sent for analysis tested positive for Ebola, Dr. Sakoba Keita, who heads the epidemics prevention division at Guinea's health ministry, told Reuters. He added that health officials had registered 80 suspected cases of the disease, including 59 deaths.
"But you have to understand that not all the cases are necessarily due to Ebola fever. Some will have other origins, including a form of severe dysentery," 
Keita said. Read more

Nyumba asilia

Ni moja kati ya baadhi ya nyumba majirani za watu wa kijiji cha Muhundwe wilayani Rorya mkoani Mara, maisha yanaendelea na hapa binti mdogo Robi  anaonekana akitimiza majukumu ya nyumbani. (picha: ZEPHANIA MANDIA)
Ni moja kati ya baadhi ya nyumba majirani za watu wa kijiji cha Muhundwe wilayani Rorya mkoani Mara, maisha yanaendelea na hapa binti mdogo Robi  anaonekana akitimiza majukumu ya nyumbani. (picha: ZEPHANIA MANDIA)

Maoni ya Zitto: Tuboreshe rasimu iliyopo

Na Zitto Kabwe

Wiki ya Machi 18 - 22, 2014 ilianza kwa siku ya Jumanne Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba aliwaslisha rasmi Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Bunge Maalumu la Katiba. Wiki hiyo imeishia kwa siku ya Ijumaa Rais wa Jamhuri ya Muungano ndugu Jakaya Mrisho Kikwete kutoa hotuba kwa Bunge Maalumu. Hotuba zote zimepokelewa kwa hisia tofauti kulingana na msimamo wa kila mtu kuhusu hoja inayoonekana ni kubwa kuliko zote katika mchakato wa kuandika Katiba Mpya - Muundo wa Muungano. Wale wanashabikia muundo wa Serikali Tatu, walifurahishwa mno na hotuba ya Jaji Warioba. Wale wanaoshabikia muundo wa Serikali mbili walifurahishwa mno na hotuba ya Rais Kikwete. Sikufurahishwa na hotuba zote mbili.

Nitaeleza.

Moja, hotuba zote mbili zilichukua muda mrefu zaidi kuelezea sura moja tu ya Rasimu ya Katiba nayo ni sura

[audio] Kupotea Air Malaysia, Takwimu za usalama wa anga duniani

Na JamiiProduction  — Wakati harakati za kutafuta ndege ya Shirika la ndege la Malaysia iliyopotea zikizidi kushika kasi na kuvunja rekodi ya kushirikisha mataifa mengi duniani, baadhi ya takwimu kuhusu hali ya usalama wa safari za anga duniani zimezidi kuibuka na kufungua macho ya wengi waliokuwa wakiamini kuwa tukio hili ni la kwanza na / ama miongoni mwa machache kupata kutokea duniani.

Mtandao wa Usalama wa safari za Anga ama Aviation Safety Network ilitoa orodha ya ndege zilizopotea tangu kumalizika kwa vita kuu ya pili ya dunia.