Rais Kenyatta aja Tanzania kwa njia ya barabara


Rais wa Kenya, Mhe. Uhuru Kenyatta jana alisafiri kuelekea mkoani Arusha nchini Tanzania kwa usafiri gari kwa njia ya barabara, safari ya umbali wa kilometa 230.

Rais Kenyatta alisimama katika maeneo kadhaa kabla ya kuvuka mpaka wa Namanga kwa kutumia kitambulisho kipya kinachoruhusu wananchi wa nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki kutumia kusafiri baina ya nchi hizo kwa urahisi.

Akiwa Arusha, Rais Uhuru atazuru Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ambako atapokelewa na

John Mashaka: Haki za Watanzania za kuzaliwa ughaibuni

Taifa letu likiwa katika mpito na wakati mgumu wa kuandika rasimu ya katiba mpya ya watanzania, hatuna budi kuweka kando itikadi zetu za kisiasa, tofauti za kiimani na hata maslahi binafsi ili tuungane katika kutafuta katiba itakayokidhi mahitaji yetu ya sasa na ya vizazi vijavyo.

Katika mchakato huu, inatubidi tuwe makini na wakweli katika kujadili hatma na haki ya kuzaliwa ya ndugu zetu ambao wanaishi ughaibuni. Lazima tuwajumuishe na kuwapa haki zao za msingi; haki ya kuzaliwa katika ardhi ya Tanzania ambayo ni zawadi kutoka kwa mwenyezi Mungu. Hii ni haki ambayo kamwe haiwezi kubatilishwa na mamlaka ya aina yeyote wala haiwezi kutenguliwa na binadamu yoyote. Ni kujidanganya kudai kwamba waliochukua uraia wa kigeni warudi Tanzania kama wageni.

Kwa makusudi kabisa, nimeamua kuchokonoa huu mjadala wa haki ya kuzaliwa nikiwa na sababu nyingi za

Bunge la Katiba: Kamati, Wenyeviti na Makamu

*Video ya taarifa ya ITV imepachikwa hapo chini baada ya maelezo yafautayo:-

Mhe. Sitta akiongoza kikao cha kwanza cha Kamati ya Uongozi ya Bunge Maalumu la Katiba baada ya kuundwa leo. Kushoto kwake ni Katibu wa Bunge hilo, Yahya Khamis Hamad na kulia ni Makamu Mwenyekiti, Mhe. Samia Suluhu Hassan. (picha: Owen Mwandumbya/Habari-Maelezo)

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Mhe. Samuel Sitta leo ametangaza majina ya Wenyeviti na Makamu Wenyeviti wa Kamati kumi na mbili za Bunge hilo baada ya uchaguzi kufanyika Machi 24, 2014 huko mjini Dodoma.

Orodha ya Kamati na majina ya viongozi wake ni kama ifuatavyo:-

Kamati ya Uandishi:
Mwenyekiti: Andrew Chenge; Makamu ni Mgeni Hassan Juma.

Kamati ya Kanuni:
Mwenyekiti Pandu Ameir Kificho; Makamu ni Dkt. Susan Kolimba.

Kamati namba 1:
Mwenyekiti ni Ummy Mwalimu; Makamu Mwenyekiti ni Profesa Makame Mnyaa Mbarawa.

Jibu alilopewa Kipanya lipomwuliza Mzee mmoja, “Ungependelea Serikali ngapi?”

Mkumbo: Uhalali wa kitafiti wa maoni ya wananchi Tume ya Warioba

BUNGE la Katiba linatarajiwa kuanza kazi yake wiki hii baada ya kukamilisha na kupitisha kanuni zake na hatimaye kuchagua Mwenyekiti atakayeliongoza. Kazi kubwa ya Bunge hili ni kujadili na kupitisha Rasimu ya Katiba ambayo hatimaye itapigiwa kura na wananchi.

Wabunge wana vigezo viwili vya kuwasaidia kufanya uamuzi wao katika ibara mbalimbali za rasimu inayopendekezwa na Tume ya Warioba. Kigezo cha kwanza ni kutumia kile tunachoweza kukiita uamuzi kwa mujibu wa utashi wa kisiasa (political based decision making). Kigezo cha pili ni kile tunachoweza kukiita uamuzi kwa mujibu wa ushahidi wa kisayansi (evidence based decision making). Vigezo vyote vinapatikana kikamilifu katika ripoti na nyaraka mbalimbali za Tume ya

'Maisha ya geto' ya Wanafunzi Shule za Kata Tanga

Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kata ya Komnyang'anyo wilaya ya Handeni wakitembea barabarani kuelekea kwenye makazi yao vijiji mbalimbali vinavyoizunguka shule hiyo

Moja ya 'geto'

UJENZI wa Sekondari za Kata katika mikoa mbalimbali umesogeza huduma za elimu kwa baadhi ya maeneo. Ipo mikoa ambayo awali ilikuwa na shule chache za sekondari hali ambayo ilifanya wanafunzi wachache kupata fursa ya kujiunga na sekondari. Kwa sasa hali si hivyo tena, mikoa mingi imeongeza idadi ya shule hizo licha ya changamoto kibao inazozikabili shule hizi.

Zipo baadhi ya shule za sekondari zimejengwa mbali kidogo na makazi ya wahitaji kitendo ambacho huwalazimu wanafunzi kutembea muda mrefu asubuhi wakielekea shuleni na baadaye jioni wakirejea nyumbani, hali ambayo ni changamoto kwa wengi wao.

Hata hivyo baadhi ya maeneo shule hizo zimejengwa mbali zaidi na makazi ya watu kutokana na kile kuhudumia vijiji ama vitatu hadi vinne, na hazina mabweni jambo ambalo wanafunzi wanashindwa kuvumilia umbali uliopo kutoka kijiji kimoja hadi kingine hivyo kutafuta mbinu mbadala ya kusogea jirani na shule wanazokuwa wamepangiwa.

Wanafunzi wanaamua kutafuta vyumba vilivyopo jirani na maeneo ya shule walizopangiwa na hivyo kupanga (kukodi chumba). Wenyewe vyumba hivi huviita mageto. Vyumba hivi huwa vidogo na vingine mithili ya vibanda, ambapo bei huwa ya chini zaidi kwa mwezi. Wanafunzi wengine huamua kujikusanya wawili ama zaidi na kuishi pamoja kwenye geto ili kupunguza gharama.

Mkoa wa Tanga katika Wilaya ya Lushoto baadhi ya maeneo aina hii ya maisha ya wanafunzi ni kitu cha kawaida. Wanafunzi wameamua kupanga kwenye mageto (vyumba mitaani) na kuishi kwa makundi huku wakikabiliwa na changamoto lukuki zinazohatarisha safari yao ya elimu ya sekondari.

Mbwambo Conrad ni Mkazi wa Kata ya Bungu wilayani Lushoto, eneo ambalo lina idadi kubwa ya wanafunzi waliopanga kutoka vijiji vya mbali huku wakihudhuria masomo yao ya sekondari. Anasema eneo hilo kuna wanafunzi wengi ambao wametoka vijiji vya mbali na wamepanga jirsni na shule kwenye kata hiyo kuhudhuria masomo.

Anasema wanafunzi hao wamepangiwa na wazazi wao ili waweze kuhudhuria masomo yao kuepuka umbali wanaotoka kwenye vijiji vyao. "Wanafunzi hawa wamepanga katika baadi ya vyumba na wanaishi kwa tabu sana...wengi wanaingia katika majaribu kutokana na aina ya maisha wanayoishi," anasema Mzee Conrad.

Anasema wavulana wengi huishia kuwa wahuni maana uangalizi wa wazazi hawana, mara nyingi utawakuta wamekaa vikundi kwa vikundi nyakati za jioni hadi usiku unaweza kufikiri sio wanafunzi. Wanachelewa kulala muda mwingi wanazunguka kwenye majumba ya sinema (vibanda vinavyo onesha picha za video) hivyo wanaishi kwa kujitawala utazani si wanafunzi.


Willson N'gwamizi ni Kaimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Muungui wilayani Lushoto, anasema licha ya uwepo wa changamoto mbalimbali katika shule hiyo suala la wanafunzi kuishi kwenye mageto ni changamoto kubwa kwa shule kwani linaathiri maendeleo ya shule kitaaluma. Anasema wanafunzi hulazimika kuishi katika vyumba hivyo vya kupanga kutokana na shule nyingi za kata zilizojengwa kutokuwa na mabweni huku zikichukua wanafunzi kutoka vijiji vya mbali.

"...Kifupi suala la wanafunzi kuishi katika mageto linaathiri maendeleo ya shule kitaaluma...wanafunzi hawa wanapoishi huko hukosa usimamizi wa wazazi na wengine hata hela ya kumudu maisha hayo huwa ni tatizo maana wanatoka vijiji vya mbali na uwezo wa familia zao wakati mwingine hushindwa kuwatimizia mahitaji yote," anasema N'gwamizi.

Anasema kutokana na uhuru huo wa kukaa kwenye mageto wanafunzi wengine hutoroka na kwenda kufanya vibarua kwenye mashamba ya chai na sehemu nyingine wasichana nao huwa huru zaidi kitendo ambacho hushindwa kukabiliana na changamoto za vishawishi mitaani.

"Ukizunguka katika baadhi ya kata unaweza kukuta wanafunzi wa kidato cha pili wamepanga kwenye chumba kimoja, ndani ya chumba hicho wapo wawili hadi watatu...wengine wanatoka katika familia duni hawapewi mahitaji ya kutosha, wengine hujikuta wanashawishika na kuingia mitaani na kujikuta wanakatizwa masomo kwa kutiwa ujauzito," anasema.

"Kwa kweli mageto ni tatizo, wapo baadhi ya walimu hujitahidi kuwafuatilia huko wanakoishi ili kuhakikisha wanajenga nidhamu ya kiuanafunzi, hata hivyo zoezi hili bado ni changamoto maana na walimu wamejikuta wakikaa mbali na shule kutokana na ukosefu wa nyumba za walimu jambo ambalo ni tatizo pia...," anasema mwalimu huyo.

Suala la ukosefu wa mabweni kwa shule za kata na kuwalazimu wanafunzi kupanga mitaani (mageto) halipo kwa wilaya ya Lushoto pekee. Wilaya ya Handeni nayo inakabiliwa na changamoto hiyo ya wanafunzi kupanga uswahilini wenyewe karibu na shule walizopangiwa.

Ester Frank ni mmoja wa wanafunzi wa sekondari za kata wilayani Handeni anasema changamoto kwa wanafunzi kukaa kwenye mageto ni kubwa hasa wa kike. Anasema wengi wanakosa uangalizi na usimamizi hivyo kujikuta wanajiingiza kwenye vishawishi hivyo kuishia kupata mimba na kukatizwa masomo yao. "...Usema kweli mageto yanatuathiri wanafunzi hapa wilayani Lushoto," anasema mwanafunzi huyo.

Afidha Said ni mkazi wa Kijiji cha Kidereko, Wilaya ya Handeni, mkoani Tanga. Said anasema katika mahojiano na mwandishi wa makala haya kijijini Kidereko wilayani Handeni, aliyekuwa akifuatilia vitendo vya ukatili wa kijinsia ambavyo hufanyiwa baadhi ya wanafunzi na wanawake eneo hilo kwa ushirikiano na Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa). Anasema matukio ya mimba kwa wanafunzi eneo hilo si kwamba hulazimishwa kimahusiano, bali huingia wenyewe katika mahusiano kingono kutokana na mazingira halisi.


Anasema ukiachilia mbali uduni wa kipato kwa familia nyingi eneo hilo, ambao wengi ndio wazazi/walezi wa wanafunzi, shule nyingi za kata Wilaya ya Handeni zipo mbali na makazi ya wanafunzi. Zimejengwa hivyo ili kuweza kuhudumia vijiji vingi, ambavyo pia kuna umbali mkubwa kutoka kijiji kimoja hadi kingine.

Wapo wanafunzi ambao hulazimika kutembea kilometa 12 hadi 20 kwenda na kurudi shuleni kila siku jambo ambalo linawaumiza wengi, hivyo kulazimika ama kutafuta urahisi wa kupata usafiri hasa kwa wanafunzi wanaotoka vijiji vya mbali au kulazimika kupanga katika mageto jirani na shule walizopangiwa. kwa usafiri maarufu ambao hutumika na jamii maeneo mengi ya vijiji hivi ni pikipiki (bodaboda), ambao wazazi hawawezi kuumudu kwa wanafunzi wao kutokana na gharama za juu.

Mmoja wa walimu katika moja ya shule za kata wilaya ya Handeni (jina tunalihifadhi kwa kuwa si msemaji) anasema shule yao inawanafunzi wanatoka katika vijiji kama Kidereko ambacho ni takribani kilomita 6 kwenda na Kijiji cha Bangu ambacho ni karibu kilomita 10 kwenda tu. Anasema umbali kama huu ukiuunganisha mwanafunzi analazimika kwenda na kurudi kila siku unakuta ni tatizo.

Anasema na wengi wanatoka katika familia duni unakuta hawapewi chochote wanapotoka nyumbani kama matumizi ya siku (kula), sasa katika hali kama hii inakuwa tabu. Wapo ambao wanaamua kukata tamaa ya kuendelea na shule hivyo kujiingiza katika mambo ambayo yanawaharibu kitabia kabisa.

Rais Jakaya Kikwete akihutubia wananchi Januari 7, 2013 mjini Igunga aliwahi kusema kuwa serikali inajitahidi kukabiliana na changamoto za elimu. "Kwa upande wa elimu tumeendelea kupata mafanikio katika kupunguza tatizo la upungufu wa walimu wa shule za msingi na sekondari. Mwaka huu (2013) tuliajiri walimu 28,666. Kwa ajili hiyo upungufu wa walimu ni 57,755 kati yao 20,625 wa shule za msingi na 37,130 wa shule za Sekondari.

Rais Kikwete anasema kwa mwaka 2014 Serikali itaajiri walimu wapya 36,100 kati yao 18,100 wa shule za msingi na 18,000 wa sekondari. Kufanya hivyo kutafanya pengo lililopo liwe dogo zaidi. Kwa upande wa shule za sekondari, tatizo la walimu wa masomo ya sanaa tunakaribia kulimaliza. Changamoto yetu kubwa itakuwa kwa walimu wa masomo ya sayansi.

Rais Kikwete anasema upungufu ni walimu 26,998 na uwezo wa vyuo vya ualimu nchini ni kutoa walimu wa sayansi 2,300 kwa mwaka. Anaongeza kuwa mapema mwaka 2014 Serikali itakutana na wadau wa elimu nchini kujadiliana juu ya mkakati wa haraka wa kulikabili tatizo hilo.

Hata hivyo licha ya juhudi hizi kwa upande wa changamoto ya walimu hasa kwa shule za kata kuna haja ya Serikali kuangali namna ya kulipa kipaumbele suala la kupambana na changamoto za umbali wa shule za kata na makazi ya wananchi na kuhakikisha ujenzi wa mabweni ili kupunguza adha wanazopata wanafunzi wa kike na kiume kutokana na changamoto hiyo inamalizima kama si kupungua kwa kiasi fulani. Tukiamua tunaweza kukabiliana na changamoto hizi.

*Imeandaliwa na www.thehabari.com kwa ushirikiano na TAMWA

Askofu asema wezi wa sadaka Makanisani watiwe magerezani

Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Method Kilaini amesema baadhi ya waumini na viongozi wa makanisa wanaoiba fedha za miradi, sadaka na mali nyingine za kanisa, wachukuliwe hatua za kisheria kama wezi wengine.

Kauli hiyo ya Kilaini ameitoa huku kukiwa na malalamiko kutoka kwa waumini wa madhehebu ya Kikristo nchini ya kuwepo kwa baadhi ya viongozi na wasimamizi wa miradi kuchakachua fedha zinazochangwa ama na waumini au wafadhili kwa maendeleo ya kanisa.
"Ikiwa watu wa aina hii wamo katika makanisa, wanapaswa waonywe, wakishindikana washitakiwe kama wezi wengine maana wanatia aibu kanisa la Mungu, fedha za kanisa iwe ni za miradi au sadaka, zinapaswa kutumika kwa uwazi na kwa faida ya waamini si mtu binafsi," 
alisema Kilaini.

Akizungumza na mwandishi jana kwa simu, Askofu Kilaini huku akitoa mfano wakati akiwa Askofu Msaidizi

Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier kuzuru Tanzania

Mhe. Frank-Walter Steinmeier
Mhe. Frank-Walter Steinmeier

Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Mhe. Frank-Walter Steinmeier, atafanya ziara ya kikazi ya siku moja hapa nchini tarehe 25 Machi, 2014 yenye lengo la kuimarisha ushirikiano wa kihistoria uliopo kati ya Tanzania na Ujerumani hususan katika masuala ya biashara na uwekezaji.

Mhe. Steinmeier ambaye atafuatana na ujumbe wa watu 80 wakiwemo wafanyabiashara kutoka makampuni makubwa ya Ujerumani, Wabunge, watendaji wa Serikali na Waandishi wa Habari, ataonana kwa mazungumzo na

Red Cross Tanzania gets a boost on helping Kilosa flood victims


Tanzania Red Cross has received 10/- million from Vodacom Tanzania through Vodacom Foundation in order to help them strengthen its services and help victims affected from recent floods in Morogoro, Kilosa district.

In January 22-23, 2014 residents of Dumila in Morogoro, Kilosa district experienced heavy floods that had not happened for a period of almost 15 years leaving hundreds homeless, with food insecurity and different economic

[audio] Boniface Makulilo azungumzia scholarships

Mdau Ernest Makulilo ambaye huandika kuhusu masuala ya Scolarship HAPA na pia kutoa video za suala hili HAPA

  • Je, unataka scholarship? 
  • Unajua pa kuzipata? 
  • Unajua namna ya kuzipata? 
  • Masharti yake je? 
  • Makosa yanayofanywa na wengi?
  • Tofauti ya Scholarships za Undergraduate na Graduates wazijua?
  • Yapi ya kuchunga wakati wa kutafuta scholarships?

Boniface Makulilo ambaye amenufaika na scholarship hizi na kuandika kuzihusu kwa miaka ipatayo sita anaungana na Mubelwa Bandio wa Jamii Production kujadili hili.

Kuna mengi mema ya kujifunza.

Karibu usikilize audio hii itakayokusaidia kufahamu mengi.

US sends more troops, aircraft to Uganda in search for Kony

The AP’s article cross-posted from the NPR says that the U.S. is sending military aircraft as well as an increased number of special operations forces to Uganda to assist in the search for fugitive African warlord Joseph Kony.

The White House confirmed early Monday the U.S. is sending "a limited number" of CV-22 Osprey, refueling aircraft and "associated support personnel" to assist local forces in their long-running battle against Kony's Lord's Resistance Army, or LRA. President Barack Obama sent about 100 U.S. troops to help the African forces in 2011.

National Security Council spokeswoman Caitlin Hayden said early Monday the additional support would

Mvua yaharibu mazao, makazi Bukoba

Inatipotiwa kuwa usiku wa kuamkia leo, mji wa Bukoba umepata mvua ya kutosha na pengine kuzidi kiasi cha kuharibu migomba na mazao mengine huku baadhi ya paa za nyumba za watu kuezuliwa.

Picha zifuatazo kutoka kwenye blogu ya Rashidi Bumarwa zinaonesha hali ilivyokuwa katika maeneo ya Bunena na Kashenye.

Picha za misa ya kumbukumbu ya marehemu Mrs Aurelia Nsolo

Picha na maelezo kutoka kwa Luke Joe wa blogu ya Vijimambo
Mrs Aurelia F. Nsolo (RIP)

Picha ya marehemu mama Mrs Aurelia Francis Nsolo aliyefariki Machi 17, 2014 Tanzania na kufanyika misa ya kumbukumbu College Park, Maryland. siku ya Jumapili March 23, 2014.

An expert's first-timers' guide to Kenya and Tanzania safari

A safari holiday should be on everyone’s wish list of life’s greatest adventures. In Swahili, the melodious everyday language of East Africa, the word itself translates as “going on a journey”.

Click here to read Brian Jackman's guide to African safari holidays, including information on where and when to go, what to pack, safety advice and recommended tour operators and packages.

Mother sues Dar hospital demanding USD500,000 for negligence

By Faustine Kapama/DAILY NEWS via AllAfrica — A MOTHER in Dar es Salaam, Ms Mariam Chamshama, has sued Burhani Charitable Health Centre, demanding 500,000 US dollars (over 800m/-) in specific and general damages for alleged professional negligence.

Apart from monetary relief in the suit filed at the Kisutu Resident Magistrate's Court in the city, Ms Chamshama, a guardian and mother of a minor (name withheld), is also seeking declaratory orders that the health centre under the management of Anjumane-Saifee acted negligently and without proper medical care in treating her before delivery.

The suit filed by a prominent advocate Jerome Msemwa of Msemwa and Company Advocates shows that

St. Elmo's fire [Man in motion] by John Parr