Taarifa ya Wizara: Uteuzi wa Makamishna Uhamiaji

Taarifa ya Wizara: Uteuzi wa Makamishna Uhamiaji

DMV kicking off “Haki ya Kuzaliwa” fundraiser


The Association of the Tanzanian Community DMV is pleased to announce that we are kicking off our “Haki ya Kuzaliwa Fundraiser” to help raise funds for Dual Citizenship Initiatives. We are calling upon all Tanzanians in the DMV area to come together and raise funds that will enable facilitate efforts to convince the Constituent Assembly to discuss and finally pass a provision that allows for dual citizenship in the new constitution.

WHERE: Meadowbrook Park

ADDRESS: 7901 Meadowrook LN, Chevy Chase, MD 20815

WHEN: Saturday, 29 March 2014

TIME: 4:00 pm

CONTACTS: Idd Sandaly (301-613-5165) Amos Cherehani (240-645-2131)

To donate online using debit/credit cards please use the following link: gofundme.com/7jtyuw

Come one, come all. Refreshments and snacks will be served.

Tanzanians in the Diaspora deserve the right to have dual citizenship. It is our fundamental constitutional right!

VETA yatambulisha mradi wa ushirikiano na Ujerumani

Picha na maelezo kutoka kwa Josephat Lukaza/Lukaza Blog


Wanafunzi wa VETA wakiwa katika mafunzo kwa vitendo ambayo yapo chini ya mradi wa "German Dual System Apprenticeship" ambapo wanafunzi wanapata nafasi ya kufanya mafunzo kwa vitendo na

Tanzia: Wanatafutwa ndugu wa Agustino “Mike” Lukindo

Agustino “Mike” Lukindo enzi ya uhai wake
Agustino “Mike” Lukindo enzi ya uhai wake

Ndugu wa Mtanzania aliyefariki dunia jijini Madison, jimboni Wisconsin nchini Marekani wanatafutwa.

Marehemu ametajwa kuwa ni  Agustino “Mike”  Lukindo kutoka mkoani Tanga, Tanzania.

Imeelezwa kuwa Mike alihamia Marekani zaidi ya miaka thelathini hivi iliyopita. Ameacha

Maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigamboni

Moja ya nguzo inayosukwa katikatika ya maji ya bahari huku kukiwa na bomba la pembeni linalotoa maji nje ya eneo linalosukwa nondo na zege kali.
Moja ya nguzo inayosukwa katikatika ya maji ya bahari huku kukiwa na bomba la pembeni linalotoa maji nje ya eneo linalosukwa nondo na zege kali.
Zifuatazo ni picha na amelezo kutoka kwa Joyce Mkinga, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango kuhusu maendeleo ya ujenzi wa daraja la litakalotoka Kurasini mpaka

Business Edition's Yvonne Msemembo interviews Vodacom's CEO, Rene Meza

Capital Tv -- Business Edition this week looks at the development of the telecommunication sector in an interview with the CEO of Vodacom Tanzania Rene Meza.

We also meet Nigerian entrepreneur Akin Thompson who has opened a restaurant that sells Nigerian cuisine and in brand talk we look at the wide range of drinks under the Serengeti brand.

Watch the video embedded below...

TCRA yapongeza ushirikiano kati ta Vodacom na Umoja Switch

Kutoka kushoto Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja Switch Dunstan Mbilinyi, Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Prof. John Nkoma na Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Kampuni ya Vodacom Tanzania Kelvin Twissa (wa kwanza kulia) wakifurahia Mkuu wa Masoko wa M-pesa Isaac Nchunda kufanikiwa kutoa fedha kwenye M-pesa kupitia ATM ya Umoja ikiwa ni mara ya kwanza baada ya kuzinduliwa kwa huduma inayowawezesha wateja wa M-pesa kutoa fedha kupitia ATM hizo nchi nzima. Huo ni ushirikiano wa kwanza unaohusisha mtandao wa ATM za benki zaidi ya 20 na huduma za kifedha za simu ya mkononi

* Ni baada ya Kuunganishwa kwa huduma ya M pesa na ATM za UmojaSwitch
* Wateja wa M pesa sasa kutoa fedha katika ATM za UmojaSwitch

Dar es Salaam, Machi 19, 2014 ... Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, (TCRA) imesema inafurahishwa na ukuaji na maendeleo ya kasi ya teknolojia ya simu za mkononi katika kuboresha maisha ya watu na shughuli mbalimbali za kiuchumi na kijamii hapa nchini.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Prof. John Nkoma wakati akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa ushrikiano kati ya Kampuni ya Umoja Switch na Vodacom Tanzania kupitia huduma yake ya M-pesa utakao wawezesha wateja wa Mpesa kutoa fedha kupitia ATM za mtandao wa Umoja nchi nzima.

Kijiwe cha Ughaibuni (No. 56)

Tangazo la Serikali: Kuvunjwa kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba


TANGAZO LA SERIKALI KUHUSU KUVUNJWA KWA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA


Mhe. Rais aliunda Tume ya Mabadiliko ya Katika kwa mujibu wa kifungu cha 5 na 6 cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 83 kwa Tangazo la Serikali Na.110 la Mwaka 2012.

Tume ilikusanya maoni na kuandaa Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo imewasilishwa kwenye Bunge Maalum.

Kwa mujibu wa kifungu cha 31 cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 3, Rais amepewa mamlaka ya

Global Publishers Woman Of The Year 2013


Waandishi 3 washirikiana na majirani kumtusi Rais Kikwete

Waandishi wa habari watatu nchini, wametajwa kuwa vinara wa utoaji taarifa za kumkashifu rais Jakaya Kikwete kwa serikali ya Rwanda.

Taarifa zinasema waandishi hao wawili wanafanyakazi katika vyombo vya habari binafsi na mwingine yuko Ikulu ya Rais Jakaya Kikwete.

“Nakuambia hivi kijana wangu, wanaosaidia... kumtukana rais Kikwete, wako humuhumu ndani ya nchi. Kundi ni kubwa mno; lakini ndani yake kuna waandishi wa habari watatu wandamizi nchini,” ameeleza kiongozi mmoja serikalini.   Bofya hapa kuendelea kuisoma kwenye MwanahalisiForum

Tanzania Tourist Board Director demoted for 'poor performance'

Natural Resources and Tourism Minister Lazaro Nyalandu has demoted Dr Aloyce Nzuki from his former position as Director of Tanzania Tourist Board (TTB) for what has been described as poor performance.

The minister has appointed Devota Mdachi as TTB Acting Director with effect from Monday. Before this appointment, Mdachi served as the board’s Director of Marketing.

Speaking to journalists yesterday in Dar es Salaam, Nyalandu said the decision was reached after a recent meeting with various tourism stakeholders including TTB officials, the Ministry’s Deputy Minister, Mahamoud Mgimwa and

Tanzia asubuhi ya leo: Mkuu wa Mkoa wa Mara


Picha ya mwisho aliyopiga kabla ya kukutwa na maiti (picha hii na zote zinazofuata ni kutoka kwenye blogu ya Shommi B)

Gazeti la UHURU linaripoti adhuhuri hii kuwa Mkuu  wa Mkoa wa Mara, John Tuppa, amefariki dunia leo asubuhi baada ya kudondoka alipokuwa kwenye Ofisi za Mkuu wa Wilaya.

Habari katika mitandao jamii zinasema marehemu alidongoka punde tu alipotoka ofisini kwa Mhe. John Henjewele alipokuwa akijiandaa kuingia kwenye gari lake kwa ajili ya kuanza ziara ya kutembelea Wilaya hiyo na kufunga mafunzo ya mgambo.

Jitihada za kuuokoa uhai wake kwa kumwahisha katika Hospitali ya Wilaya hazikufanikiwa kwani alitangazwa kuwa marehemu baada ya kufikishwa hapo. Mwili wake inaripotiwa kuwa umehifadhiwa katika hosptiali ya Mkoa ukisubiri taratibu zaidi za mazishi.

Natumai taarifa zaidi zitatolewa na vyombo rasmi hapo baadaye, tafadhali fuatilia huko.

Poleni kwa majonzi nyote mliofikwa na msiba huu.

 


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

SALAMU ZA RAMBIRAMBI ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa  na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)  Mhe. Hawa A. Ghasia kufuatia kifo cha Mkuu wa Mkoa wa Mara, Mhe. John Gabriel Tuppa, aliyefariki leo tarehe 25 Machi, 2014 katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime.

Pokea rambirambi zangu za dhati na  masikitiko makubwa kufuatia   kifo cha Mhe. John Gabriel Tuppa. Ni huzuni kubwa na pigo kwa Serikali na hasa kwa Watendaji wenzake mkoani Mara ambao alikuwa akifanya nao kazi.    Marehemu John Gabriel Tuppa amefariki leo tarehe 25 Machi,2014 katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime.

Rais pia amemwomba Mhe. Ghasia amfikishie salamu za pole kwa Mke  wa Marehemu,Watoto na Familia ya Marehemu kwa kuondokewa na kipenzi chao. Rais amesema, anaelewa machungu wanayoyapitia katika kipindi hiki kigumu kwani wamepoteza nguzo imara waliyokuwa wakiitegemea katika maisha yao.

“Hakika tumempoteza kiongozi mchapakazi ambaye amekuwa akijituma  na kuwatumikia Wananchi wake hadi dakika za mwisho za uhai wake.  Pengo aliloliacha Marehemu Tupa haliwezi kuzibika kamwe lakini hatuna budi kumwombea kwa Mwenyezi Mungu kuipumzisha roho ya Marehemu mahali pema peponi” Amina.

Taratibu na maandalizi ya mazishi zinafanywa kwa ushirikiano wa Familia, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mara na Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI.

Marehemu Tupa alizaliwa tarehe 01 Januari, 1950 na katika enzi za uhai wake amewahi kuongoza Wilaya za  Chunya, Mwanga, Bukoba, Muleba na Dodoma kabla ya kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara Mwaka 2011. Ameacha Mke na watoto watano.

  
Mwisho!

Imetolewa na;

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.

25 Machi,2014

Akina “Mangi” na “Bwashee” walipogoma kusafirisha abiria na kugeuza stendi Moshi kiwanja chao cha kusakata kabumbu


Jana kituo kikuu cha mabasi yaendayo sehemu mbalimbali ndani ya mkoa wa Kilimanjaro kiligeuzwa kuwa kiwanja cha kabumbu baada ya madereva na utingo kugoma kutoa huduma.

Kutokana na stendi kuwa tupu, madereva na makondakta hao wakaunda timu mbili na kucheza soka isiyo rasmi huku abiria wakilazimika kupakia magari ya kusafirisha magazeti, pikipiki, magari madogo ya wazi n.k.


Blogu ya Daniel Mjema inataarifa zaidi kuhusu tukio hilo...

MAGARI yanayofanya safari zake katika Barabara ya Moshi-Arusha yamegoma kufanya safari kwa takribani saa 9 yakipinga kulipishwa bondi ya makosa ya shilingi elfu 30 katika kila kituo kwa kosa lile lile.

Wakizungumzia chanzo cha mgomo huo, baadhi ya wamiliki na madereva wa magari yaendayo, Marangu, Rombo, Arusha, Rau pamoja na magari yote yanayotoa huduma katika maeneo ya mijini kama vile Pasua, KCMC na Uru, wamesema sababu ya msingi ya kufanya mgomo huo kulishinikiza kitengo cha