Rais Kikwete akutana na Mabalozi wa nchi za Jumuiya ya Ulaya

Rais Jakaya M. Kikwete katika mkutano na Mabalozi wa nchi za Jumuiya ya Ulaya (EU) Ikulu jijini Dar es Salaam leo
Rais Jakaya M. Kikwete katika mkutano na Mabalozi wa nchi za Jumuiya ya Ulaya (EU) Ikulu jijini Dar es Salaam leo (picha zote: IKULU)

Mbunge: Taasisi ya Tanzania Chamber of Minerals and Energy imepotosha

Taarifa ya Mbunge wa Nzega kwa Umma Kuhusiana na Upotoshaji Uliofanywa na Taasisi ya Tanzania Chamber of Minerals and Energy (TCME)


Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Nzega imesikitishwa na kufadhaishwa na taarifa ya uongo na isiyo na uzalendo hata chembe, iliyotolewa na taasisi ya TCME siku ya tarehe 26, Machi, 2014. Hii imedhihirisha kuwa, hawajui wanalolifanya ama wanatumiwa vibaya na watu wenye maslahi ovu kwa wachimbaji wadogo wadogo wa Nzega na wa Tanzania kwa Ujumla.

Taarifa za namna hii hazina maksudi mengine zaidi ya kusababisha chuki na mfarakano usio na sababu za msingi baina ya makundi ambayo yangepaswa kufanya kazi pamoja kutafuta suluhu ya mgogoro huu. 

Mbunge wa Nzega amekuwa ni mtu anayependa kutoa fursa ya mazungumzo na

Rais Kikwete akabidhiwa ripoti ya mahesabu ya Serikali

Rais Jakaya M. Kikwete akimsikiliza muhtasari toka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bw. Ludovick Utouh kabla ya kupokea Ripoti ya mwaka Ikulu jijini Dar es Salaam leo (picha zote: IKULU)

Serikali kujenga bandari ya Mwambani

Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga, Freddy Liundi (wa pili kutoka kushoto) akitoa maelezo juu ya maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Bandari ya Mwambani kwa kiongozi wa timu ya wakaguzi wa miradi ya maendeleo  kutoka Tume ya Mipango ambaye ni Naibu Katibu Mtendaji anayesimamia Kongane ya Sekta za Uzalishaji, Bw. Maduka Kessy.
Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga, Freddy Liundi (wa pili kutoka kushoto) akitoa maelezo juu ya maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Bandari ya Mwambani kwa kiongozi wa timu ya wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Tume ya Mipango ambaye ni Naibu Katibu Mtendaji anayesimamia Kongane ya Sekta za Uzalishaji, Bw. Maduka Kessy.

Timu ya wakaguzi wa miradi ya maendeleo, kutoka Tume ya Mipango wakiongozwa na Naibu Katibu Mtendaji, Bw. Maduka Kessy (wa kwanza kushoto) wakipata maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa bandari ya mwambani ambapo upembuzi yakinifu tayari umeshafanyika.Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga akionesha eneo ambapo bandari ya Mwambani itajengwa.


Picha ikionesha eneo la mwambani ambako ndipo miundombinu ya bandari itajengwa

Timu ya wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Tume ya Mipango wakisikiliza maelezo kutoka kwa Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga, Bw. Freddy Liundi (wa pili kulia) ufukweni mwa bahari, eneo ambapo bandari ya Mwambani itajengwa.

Manispaa ya Ilala tupia jicho barabara ya Mombasa-Moshi Bar

UPDATES


Manispaa ya Ilala tupia jicho barabara ya Mombasa-Moshi Bar