President Kikwete meets Somaliland top Justice and Welfare party Officials


By Goth Mohamed Goth / SomaliLandPress -- The Chairman of the Justice and Welfare party (UCID) Hon Feisal Ali Waraabe was among members of the Socialist International Africa Committee who are currently meeting in Tanzania, hosted by the SI member party in that country, Chama Cha Mapinduzi, CCM.

The Chairman of the Justice and Welfare party Hon Feisal Ali Waraabe and other top party officials were among those other representatives from 20 other African nations which took part in the two day event held in the Julius Nyerere International Convention center after being invited by the chairman of Chama Cha Mapinduzi, the ruling party in Tanzania, CCM Hon Abdurrahman Kinana.

CCM Hon Abdurrahman Kinana addressing the social international gathering also

Taarifa ya mafanikio ya utendaji kazi katika Bandari ya Dar es Salaam

MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIATAARIFA YA MAFANIKIO YA UTENDAJI KAZI YA BANDARI YA DAR ES SALAAM KWA KIPINDI CHA MIEZI SITA (JULAI – DISEMBA 2013)


Katika kipindi cha miezi sita ya Julai – Disemba 2013, Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kushirikiana na wadau imefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika kuongeza ufanisi katika bandari ya Dar es Salaam. Mafanikio hayo ni pamoja na ongezeko la shehena, kuongezeka kwa tija katika kuhudumia shehena na meli, kupunguza msongamano wa meli na mlundikano wa mizigo bandarini na kukomesha vitendo vya upotevu wa mizigo wateja bandarini.

1.HUDUMA KWA SHEHENA

Katika kipindi cha miezi sita ya Julai – Disemba, 2013 bandari ilihudumia tani milion 7.50 ukilinganisha na tani

Vijimambo Radio "LIVE ON AIR" kwa majaribio

Timu yaVijimambo inapenda kuwatangazia wadau wake kwa sasa imeanzisha VIJIMMBO RADIO ambayo ipo hewani sasa hivi kwa majaribio.

Upatapo nafasi tafadhali isikilize kupitia www.vijimamboradio.com kisha utoe maoni yako.

Tupo kwenye majaribio na bado tunaendelea kuboresha radio hii.

Ikiwa maoni au ushauri unaweza toa maoni yako kwenye tovuti au tuandikie barua pepe [email protected] au [email protected]

Asante na Endelea kuburudika na VIJIMMBO RADIO!

12, all of them women, killed in Tanzania road accident


DAR ES SALAAM, March 29 (Xinhua) -- Twelve people, all of them women, died after a pickup in which they were travelling was struck by a lorry from behind on Friday night at Hedaru along the Dar es Salaam-Arusha highway, Tanzania, police said  Saturday.

The Kilimanjaro regional police commander Robert Boaz described the accident as the worst which have occurred in northern Tanzania' s Kilimanjaro region since the beginning of 2014.

The victims were on their way to a funeral of their relative who was killed by

[video] Marufiko Dar es Salaam: "Hii hali imeshatuchosha"

Jangwani, Dar es Salaam

Mvua zilizonyesha juzi na jana usiku kucha jijini Dar es Salaam zimesababisha madhara makubwa katika maeneo mbalimbali kama vile uharibifu wa vyombo vya usafiri na nyumba kiasi cha kulazimisha watu kuyakimbia makazi yao ili kujinusuru huku wengine wakishindwa kwenda makazini na wanafunzi kutokuweza kuhudhuria masomo shuleni.

Hapa ni video 3 za taarifa ya ITV zikionesha athari za mafuriko hayo katika maeneo ya Mikocheni-Msasani Village, Mwananyamala, Uhuru-Kariakoo, Keko Mwanga, Makumbusho na Kinondoni-Ada Estate, Tegeta-Boko-Bunju.

Eneo la Mikocheni

Eneo la Kinondoni, Ada Estate

Harambee! Watanzania Wisconsin wazuia kuchomwa mwili wa Mike Lukindo

Augustino Michael "Mike" Lukindo

via Luke Joe -- Watanzania Wisconsin wamezuia kuchomwa moto mwili wa mpendwa wetu Augustino Michael "Mike" Lukindo aliyefariki Jumapili ya March 16, 2014 wameomba msaada kwa Watanzania wengine waishio Marekani na kokote pale Duniani kujitahidi kadiri tuwezavyo tuweze kumstiri Mtanzania mwenzetu kwani gharama za mazishi ni $6,000.

Tafadhali tuma mchango wako kwa AC ya Memorial for late Mike Lukindo

Benki ni Madison Chase Bank 

AC# ni 579362299

Route ni 075000019

Tafadhali ndugu zangu, Watanzania wenzangu, msiba huu ni wetu sote. Chochote utakachokua nacho kitasaidia kumzika ndungu yetu Mike.

Asante!

Landrover discovery for sale (in Tanzania)


Kilio cha wanakijiji Kimbiji: Wanajeshi walazimisha raia kuondoka

*Ujumbe ufuatao umewasilishwa via email 

Hali ya wasiwasi na maisha ya mashaka yanayosababishwa na uvunjwaji wa haki za binadamu unaofanywa na kikosi kimoja cha jeshi la Wananchi unazidi kuwapa kero wananchi wa maeneo ya Kimbiji, wilayani Temeke, Dar es Salaam kutokana na kuvamiwa na wanajeshi katika makazi na maeneo yao ya ardhi, ambapo wanajeshi wanawalazimisha wananchi waondoke bila ya ridhaa yao, wala kufuata misingi na taratibu za sheria za ardhi.

Baadhi ya wanajeshi wamekuwa wakiweka mahema nje ya makazi ya raia hao na kuwapa usumbufu familia za raia hao.

Pamoja na wananchi wa Kimbiji kulalamika mara nyingi katika vyombo vya

[video] Pope Francis, again, breaks tradition, confesses his sins in public

Pope Francis, again, breaks tradition, confesses his sins in public
Pope Francis confesses his sin in public

Pope Francis goes to confession regularly, but does so in private until today, when he broke tradition, again, confessing his sins in public.

The pope was leading a penitential liturgy in St. Peter's Basilica when it came time to hear confessions. Instead of heading into an empty confessional to hear the

Initiative launched to keep alive Julius Nyerere's legacy

Julius Nyerere as an advocate of African union and liberation supporter
(photo: soko-tanzania.com)

via  Zimbabwe Broadcasting Corporation -- An initiative to keep alive the legacy of one of Africa’s founding fathers, the late Cde Mzee Mwalimu Julius Nyerere, has been launched in Harare.

Zimbabwe National Liberation Supporters Association Chairperson, Cde Collins Chipare told the ZBC News that all liberation movements should work together to

Tanzania to benefit from Bloomberg Philanthropies $50M for health

The following article was adapted from MarketWatch.com

Bloomberg Philanthropies today announced the launch of a multi-faceted $50 million reproductive health program to prevent maternal deaths and help more women freely and safely make decisions about when to have children. At the 2012 London Summit on Family Planning, Michael R. Bloomberg committed $50 million to Family Planning 2020 (FP2020), a global collaboration of governments, non-profit organizations, donors and researchers, to ensure that women in the world's poorest countries have access to family planning information, contraceptives, and services by 2020.

Funding from this $50 million commitment will be allocated to the three core components of Bloomberg Philanthropies' reproductive health program which includes new advocacy efforts, as well as an expansion of Bloomberg Philanthropies' existing program in Tanzania. 

Elements of the program will be comprised of:-

German adults going back to school to learn Kiswahilivia DW -- Every Wednesday evening a group of Germans from Bonn go back to the classroom to learn Kiswahili. The East African language is spoken by more than 100 million people and its popularity is growing.

When Tanzanian Hoyce Mbowe came to Germany in 2008 she wanted to learn the German language and study theology at Bonn University. Today, she is a teacher at the Volkshochschule Bonn (adult education center) teaching her native language, Kiswahili. She hoped the contact with her students would also help her improve her limited German skills. While this worked well for Hoyce, her students are having a tough time. "In teaching Kiswahili I recognize that it is not an easy language," Hoyce told DW.

Growing importance of Kiswahili... click here to continue reading

Eti? Ndege ‘mpya’ ATCL ni 'bomu'?

Ndege ya ATCL, CRJ 200 inayozungumziwa
Ndege ya ATCL, CRJ 200 inayozungumziwa

SIKU chache baada ya Shirika la Ndege Air Tanzania (ATCL), kujinadi kwamba limenunua ndege mpya aina ya CRJ 200, imebainika kwamba ndege hiyo ni chakavu na ni mzigo kwa taifa kutokana na uendeshaji wake kutumia mamilioni ya fedha kwa saa.

Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili (TANZANIA DAIMA) kwa zaidi ya wiki mbili sasa, umebaini kuwa ndege hiyo hutumia dola za Marekani 4,500, sawa na sh milioni 7.2 kwa saa pindi inapokuwa angani na hugharimu dola za Marekani 200, sawa na sh 320,000.

Ndege hiyo ambayo uchunguzi wetu umebaini kwamba imekodishwa kwa muda wa

Tanzania releases Taiwanese captain imprisoned for illegal fishing

(photo: Happiness Katabazi's blog)

Story by Tang Pei-chun and Lilian Wu, Taipei, March 28 (CAN) -- A Taiwanese captain who has been imprisoned on charge of illegal fishing in Tanzania was released Friday after years of efforts by his family and the Ministry of Foreign Affairs.

The ministry said in a news release that Hsu Ching-tai was arrested for

Kisiwani Musila: Kero ya ndege 'yange yange' huku hakuna mwananchi mwenye choo


via BUKOBA WADAU blog -- Hali ni tete katika kisiwa cha Musila kutokana na ndege aina ya nyange nyange kukivamia kisiwa hicho na kutishia maisha ya wakazi waishio katika kisiwa hicho wapatao 536.

Aidha, ndege hao wanakunya ovyo na kusababisha harufu mbaya na kineysi chao hutoboa mabati. Pia wameua mbuzi 12, kuku 512 na kusababisha watu kuhara na kuharisha mara kwa mara na wakati mwingine kujisikia kuishiwa nguvu.

Pamoja na hayo yote wananchi 536 wa kisiwa hicho bado hawakuwa na choo hata

Daraja linalounganisha mikoa ya kusini lakatika

Mmoja wa abiria aliyekwama baada ya kukatika kwa
daraja la Nyangao linalounganisha barabara ya Lindi na Masasi kwenda
Nachingwea na Tunduru akijaribu kuvuka mara baada ya kutengeneza njiay a muda kunusuru abiria hii leo kutokana na mafuriko yaliyotokea juzi. (picha, maelezo: Abdulaziz Lindi)

Rais Kikwete aamuru mali zote za Serikali zirasimishwe

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

  • Rais aamuru mali zote za Serikali kurasimishwa
  • Nia ni kuwa na rekodi ya mali za Serikali na kuzuia uporaji wake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameagiza mali zote za Serikali, zikiwemo Nyumba, kurasimishwa kwenye miliki ya Serikali kwa kutafutiwa na kupatiwa hati na nyaraka nyingine muhimu.

Rais Kikwete ametoa agizo hilo ili kuwa na rekodi sahihi ya mali za Serikali na kuzuia baadhi ya watu wasiokuwa waaminifu kupora na kuchukua mali hizo,

Wawili waripotiwa kufariki kwenye ajali ya treni Mpwapwa

Wafanyakazi walioajiriwa na shirika la Reli Tanzania (TRL) wakitoa mchanga kwenye kichwa cha treni ya mizigo kilichopata ajali usiku wa kuamkia juana katika stesheni ya Gulwe, Wilaya ya Mpwampwa. Katika ajali hiyo watu wawili wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa na kulazwa katika hospitali ya Benjamin Mkapa Wilayani Mpwampwa.
 Imeripotiwa kuwa watu wawili  wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa katika ajali ya Treni ya mizigo baada ya kichwa cha treni hiyo kusombwa na maji.
Akizungumzia ajali hiyo kwa njia ya simu jana, Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Christopher Kangoye, alisema ajali hiyo ilitokea usiku wa kuamkia jana majira ya saa tisa usiku:
"Treni ilikuwa na mabehewa 20 kati ya hayo mabehewa 11 yalikuwa ya mafuta ya petroli na dizeli na mabehewa tisa yalikiuwa na mizigo

WM Pinda atarajiwa kukutana na "surprise" leo Dododma
Na Ojuku Abraham -- WAZIRI Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda leo atakutana na ‘surprise’ ya aina yake, wakati atakapokabidhi tuzo kwa mwanamke bora wa mwaka, ambaye hadi sasa bado hajafahamika ni nani kati ya wanawake wanne mahiri nchini, itakayofanyika katika Ukumbi wa The African Dream, Dodoma.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ndiye atakuwa mgeni rasmi katika utoaji tuzo. Wanawake hao ambao mmoja wao ataibuka kinara na kuondoka na Tuzo na