Majina ya Walimu wa ajira mpya 2014 waliokubaliwa kubadilisha vituo

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

WALIMU WA AJIRA MPYA 2014 WALIOKUBALIWA KUBADILISHIWA VITUO


Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imefanya mabadiliko ya vituo vya kazi kwa walimu Ajira mpya mwaka 2014 baada ya kupokea na kuchambua maombi mbalimbali kutoka kwa walimu walioomba kubadilishiwa vituo.

Hivyo walimu wote walioomba kubadilishiwa vituo lakini majina yao hayapo katika

Audio song: Sexyholic - JanB feat Obi


Finally ngoma yangu mpya SEXYHOLIC ndo hii hapa na naomba sapoti yenu kwa kushare katika blogs/site/pages zenu. Asanteni sana.Song : Sexyholic
Artist : JanB feat Obi
Genre : RnB/Rap (Bongo Flava)
Producer: DX
Mixed & Recorded by: Obi ( Kenaib Records)
[email protected] @Obielinami

Rais Kikwete azungumza na Watanzania waishio Uingereza


Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia mamia ya Watanzania waishio Uingereza alipokutana nao usiku wa Machi 30, 2014 katika ukumbi wa Sattavis Patidar Centre, Wembley, London, aliko katika ziara ya kiserikali ya siku tatu kwa mwaliko wa Waziri Mkuu wa Uingereza Mhe David Cameron. (picha: Ikulu)Tanzanian MP drafting tougher anti-gay Bill

A Tanzanian MP is working on a private member’s Bill that seeks to tighten the law against same sex relationships.

Ezekiel Wenje from the main opposition Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) party told The EastAfrican Newspaper that he had already given parliament notice of his intention to draft the Bill.
“In line with parliament’s Standing Orders, I submitted my proposal for enactment of a new anti-gay law called The Bill to Prohibit and Control any form of Sexual Relations between Persons of the Same Sex, 2014, and it has been received in parliament,”
he said.

Mr Wenje invoked Rule 81(1) and (2) of parliament to submit his proposal for the intended Bill, but he will

Tanzania, Uganda may become new Russian military markets

MOSCOW, March 31. /ITAR-TASS/. Russia hopes that Tanzania, Uganda and several other African countries may become new sale markets for Russian military produce, Director of the Federal Service for Military-Technical Cooperation Alexander Fomin told ITAR-TASS on Monday.

“We lose something and find something. We have discovered many new markets, discovered Uganda and intend to develop cooperation with Tanzania and several other African countries,”
he said.
Fomin noted that new partners were mainly interested in helicopters:

Tanzania's FCC postpones Nakumatt takeover of Shoprite

Nakumatt Holdings has to wait until mid-year to formally acquire three branches of South African retailer Shoprite after the Tanzania competition watchdog postponed approval of the takeover.

The Tanzanian Fair Competition Commission said it needs three more months to deal with the matter that has been in its in-tray since January.
The new stores were set to change hands this April, but Nakumatt Holdings’ head of strategy and operations Thiagarajan Ramamurthy told the Business Daily on Friday it now depends on Tanzania’s regulator. ... Continue reading: BusinessDailyAfrica

“Shivji, msomi, amekuwa intellectually dishonest. Anapotosha makusudi” - Jaji Warioba

Jaji Warioba akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na waandishi wa gazeti la MWANANCHI jana huko nyumbani kwake Dar es Salaam. (picha: Edwin Mjwahuzi)

Mjadala wa Mabadiliko ya Katiba jana ulihamia nje ya Bunge wakati Jaji Joseph Warioba alipomchambua mhadhiri maarufu nchini, Profesa Issa Shivji akimueleza kuwa si mkweli bali mpotoshaji wa Rasimu ya Katiba.

Jaji Warioba, ambaye ni mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, pia amemtuhumu Profesa Shivji kuwa ndiye mwanzilishi wa chokochoko za Zanzibar za kudai serikali tatu, jambo ambalo sasa analigeuka kutokana na kuona hali imekuwa mbaya.

Kauli ya Warioba imekuja baada ya Profesa Shivji kuichambua Rasimu ya Katiba jana asubuhi kwenye

Tulianza Ujamaa na Kujitegemea, sasa Muungano; Katiba ya Zanzibar ndiyo tatizo la Muungano - Prof. Shivji

Mhadhiri mstaafu wa Chuo Kikuu Dar es Salaam, Profesa Issa Shivji, akitoa mada jijini Dar es Salaam kwenye kongamano la wasomi wa vyuo vikuu vya Zanzibar na Bara kuhusu wajibu wa vijana kuimarisha Muungano.

Mhadhiri mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Issa Shivji, amesema Katiba ya Zanzibar ndiyo sababu kubwa ya matatizo katika Muungano.

Profesa Shivji aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza katika kongamano la wasomi wa vyuo vikuu lililoandaliwa na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo la kujadili jinsi vijana walivyo muhimu kuulinda Muungano.

Alisema kitendo cha Katiba ya Zanzibar iliyofanyiwa marekebisho ya 10 mwaka 2010 na kutamka kuwa Zanzibar ni nchi yenye mamlaka na mipaka yake na kumpa mamlaka rais wa Zanzibar kugawa maeneo ya

Maelezo kuhusu njia 64 za daladala zitakazofutwa ili kupisha DART

ia HabariLeo -- Njia 64 za magari ya daladala jijini Dar es Salaam zitakoma kutumika kutokana na kuanza kwa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART).

Kwa kuanzia matayarisho ya kupisha mradi huo, Wakala wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umetaka wamiliki wote wa mabasi ya daladala yanayopita katika Barabara ya Morogoro au kukatiza katika njia hiyo, kufika katika ofisi zake kujiandikisha.

Mhandisi wa Wakala , John Shauri aliwaambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki kuwa wamiliki hao wanatakiwa kufika katika ofisi za Dart zilizoko jengo la Ubungo Plaza barabara ya

Taarifa: Rais Kikwete aanza ziara rasmi ya kidola Uingereza

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewasili mjini London, Uingereza, kwa ziara rasmi ya siku tatu ya kidola, moja ya ziara nadra sana kufanywa na viongozi wa nchi za nje nchini Uingereza.

Rais Kikwete na ujumbe wake aliondoka nchini usiku wa jana, Jumamosi, Machi 29, 2014, kuelekea London kwa ziara hiyo ya siku tatu ambako atakuwa Mgeni Rasmi wa Serikali ya Uingereza.

Katika ziara hiyo, Rais Kikwete ambaye ameambatana na Mama Salma Kikwete pia anafuatana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mheshimiwa Bernard Membe, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la

The top 10 loudest fans in EPL


In normal circumstances, majority of sports fans chant at the top of their lungs when at their own home club grounds.

Singing loudly in a way, is a trait that helps create an atmosphere of intimidation to the opponents.

During the 2010/2011 English Premier League season, a decibel meter was set up inside every EPL club on three separate occasions with an average taken to give a table of the top flight's loudest supporters. And here is the list of result (courtesy of fanchants.com):-

#10. Arsenal (77 dB)

#09. Sunderland (80 dB)

#08. Chelsea (80 dB)

Taarifa ya TANAPA kuhusu habari ya JAMHURI “Nyalandu ‘auza’ Hifadhi”

Meneja Mawasiliano wa TANAPA Pascal Shelutete akiongea na waandishi wa habari jijini Arusha alipokutana nao kutoa ufafanuzi kuhusiana na kutokuwepo kwa mpango wa kuikabidhi Hifadhi ya Taifa ya Katavi kwa wawekezaji kutoka Afrika Kusini kama ilivyoripotiwa na gazeti moja la kila wiki nchini hivi karibuni. (picha: TANAPA)

Katika gazeti la Jamhuri Toleo Namba 129 Machi 25-31, 2014 kulikuwa na habari iliyoandikwa chini ya kichwa cha habari “Nyalandu ‘auza’ Hifadhi” ambapo maelezo ya habari hiyo yaliitaja Hifadhi ya Taifa ya Katavi kuwa inatarajiwa kukabidhiwa kwa wawekezaji kutoka nchini Afrika Kusini ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu.

Shirika la Hifadhi za Taifa linalosimamia Hifadhi ya Taifa ya Katavi pamoja na Hifadhi nyingine 15 nchi nzima linapenda kukanusha habari hiyo iliyoandikwa kwa lengo la kupotosha umma kama ifuatavyo.

Mosi, hakuna mpango wala uamuzi wowote uliopo au uliokwisha kufanywa wa kuingia Mkataba wa