Ufafanuzi wa Serikali kuhusu ndege 'yange yange' mkoani Kagera

via FrikraPevu blog -- SERIKALI ya Wilaya ya Bukoba, Mkoani Kagera imetoa ufafanuzi wa taarifa kuhusu ndege waliokuwa wanadaiwa kutoa kinyesi cha ajabu katika Kisiwa cha Msira, na kusababisha vifo vya kuku 516 na mbuzi 12 wanaodaiwa kugusa au kula kinyesi chao kuwa ndege hao hawakuwa na madhara ya aina yeyote.

Afisa Tarafa wa Kata ya Rwamishenye katika Manispaa ya Bukoba, Abdon Kahwa, akizungumza na FIKRAPEVU kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya hiyo, Ziporah Pangani, alisema kuwa Serikali kupitia Wizara ya Mifugo Kanda ya Ziwa, imefanya uchunguzi wa kina na kubaini kuwa ndege waliokuwa wanahisiwa kuwa ni wa

Tangazo la nafasi za kazi la Aprili Mosi kutoka Utumishi

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Kumb. Na EA.7/96/01/G/09

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma).

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 482 za kazi kwa waajiri mbalimbali kama ifuatavyo:

5 things to keep in mind when hard times hit

How you feel when you’re stressed is not a true measure of reality. 

– Just because you’re afraid, doesn’t mean you’re in danger. Just because you feel alone, doesn’t mean nobody loves you. Just because you think you might fail, doesn’t mean you will. Look beyond your doubts and keep searching for the truth. Despite the struggles that you might be facing, never give up on yourself. You're braver than you believe, stronger than you seem, smarter than you think, and twice as capable as you have ever imagined.

Not getting what you want can be a blessing.

– Not getting what you want is sometimes a wonderful stroke of good luck, because it forces you to

Scam alert: Owners beware of Web/Blog "Acquisition" messages


Owner of wavuti.com is just one of those who received the above suspicious message.

Taarifa ya TMA: Mwelekeo wa kimbunga “HELLEN” na hali ya mvua

Mamlaka ya Hali ya Hewa imeendelea kufuatilia kwa karibu mifumo ya hali ya hewa na mabadiliko yake pamoja na adhari zake kwa Nchi yetu na kutoa utabiri na tahadhari za hali mbaya ya hewa.

Tarahe 28 Machi 2014 mgandamizo mdogo wa hewa katika eneo la Rasi ya Msumbiji kusini magharibi mwa bahari ya Hindi ulianza kuimarika zaidi na kusababisha kuwepo kwa makutano ya upepo na mwelekeo wa vipindi vya

Statement following meeting between UK PM, David Cameron and Tanzania Pres., Jakaya Kikwete

Following a meeting between Prime Minister David Cameron and President Kikwete of Tanzania , a Number 10 Spokesperson gave the following statement:

The Prime Minister (PM) met with President Kikwete of Tanzania in Downing Street. This was the first time the 2 leaders had met since the International Wildlife Summit in February, and both welcomed Tanzania’s commitment to tackling the trade and to the Elephant Protection Initiative.

They also noted further strengthening of the UK-Tanzania energy relationship, which will bring jobs and growth to

Ndege iliyopotea na Wajumbe wa Bunge la Katiba

US Judge awards $907 million to 1998 Kenya, Tanzania bomb victims

Families and victims of the 1998 bombings of U.S. embassies in Kenya and Tanzania that killed more than 200 people were awarded $907 million in compensation by a U.S. judge.

U.S. District Judge John D. Bates in Washington awarded the damages March 28, based on formulas that included $3 million for emotional injuries, $5 million for severe physical injuries, and $7 million or more for those blinded and made quadriplegics, according to court papers and a statement by plaintiffs’ attorney Thomas Fay.
The governments of Iran and Sudan were sued by survivors under the Foreign Sovereign Immunities Act and accused of helping terrorists produce “calculated mayhem” that killed hundreds and injured thousands, Fay said today in the statement. ...continue reading Bloomberg

U.S. Ambassador to India resigns

The U.S. ambassador to India has resigned following a row over the arrest of a junior Indian diplomat in New York that pushed relations between the world's biggest democracies to their lowest ebb in more than a decade.

U.S. State Department spokeswoman Marie Harf denied on Monday that Nancy Powell's resignation was related to ongoing tensions after the December arrest and subsequent strip search of the Indian diplomat, Devyani Khobragade.

But analysts said it was clear the position of Powell, a career diplomat who has held several postings in South Asia and became the ambassador to India in 2012, had become untenable as a result of the affair. ... continue reading REUTERS

Tyler Perry: My mother lied about my father


Media mogul Tyler Perry sat down with Radio One founder Cathy Hughes for an interview during Women’s Empowerment 2014.

He shared his story of a rough childhood with an abusive, distant father and a loving mother.

“I love my mother to death, but she lied to me,” Perry said.

Perry says he suspected the man who raised him, who he described as a “bastard,” was not his

Government files fresh charges against Chinese freed last week

Two Chinese nationals, Tsu Chin Tai and Zhao Hanqueing who were freed last week on a case involving illegal fishing in Tanzania’s exclusive economic zone yesterday appeared at the Kisutu Resident Magistrate’s Court charged with three counts.

The accused were earlier convicted of illegal fishing and sentenced to ten years imprisonment or a fine of 21bn/- but won an appeal after the court ruled that the previous judgment had legal shortcomings. continue reading: The GUARDIAN

SUA extends Students Registration until April 5th

Be informed that the Chairman of SUA Senate has considered your request favourably and granted a One week extension of Registration


Uingereza yajivunia kuongoza katika uwekezaji Tanzania

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake Waziri Mkuu wa Uingereza Bw. David Cameron alipomtembelea ofisini kwake 10 Downing Street jijini London kwa mazungumzo Machi 31, 2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake Waziri Mkuu wa Uingereza Bw. David Cameron alipomtembelea ofisini kwake 10 Downing Street jijini London kwa mazungumzo Machi 31, 2014


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Uingereza inajivunia kuwa nchi inayoongoza katika uwekezaji nchini Tanzania na itaendelea kuisaidia Tanzania katika jitihada zake za kiuchumi na kuleta maendeleo .

Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron amemuambia Rais Kikwete wakati wa mazungumzo yaliyofanyika 10 Downing Street, Leo tarehe 31 March, 14, ambapo ndipo yalipo Makao Makuu ya Waziri Mkuu wa Uingereza.

"Tunafurahia sana uhusiano wetu na kujivunia kuwa tunaongoza katika Uwekezaji nchini Tanzania" Bw. Cameron amesema na kumhakikishia Rais Kikwete kuwa Uingereza iko tayari kutoa misaada zaidi.

Rais Kikwete amewasili nchini Uingereza tarehe 30 Machi, 2014 kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku

Kibaha Children's Village

Cool Blue Director Fauzia Malik handed over a water dispenser and cartons of water to Deogratius Mosha, the Project Manager of Kibaha Children’s Village Center. The ceremony was held at Cool Blue offices in Mikocheni Industrial area on Saturday 29th March, 2014. Cool Blue have pledged to donate clean water to children homes in Dar Es Salaam as part of their corporate social responsibility.

Kibaha Children’s Village is a satellite project of Equal Opportunites for All Trust Fund (EOTF), founded and administered by the Honorable Mama Anna Mkapa, former first lady of Tanzania. This project has been developed to address the pressing need in Tanzania to deal with orphaned and abandoned children created by the AIDS epidemic and poverty. The center has nine children between 3 and 9 years old.

On Saturday, 29th March, 2014, Cool Blue handed over a water dispenser and cartons of water to center. Cool Blue have pledged to donate clean water to children homes in Dar Es Salaam as part of their corporate social responsibility.