Rasilimali watu na Haki ya Kuzaliwa Tanzania (Sehemu ya Kwanza)

Katika karne iliyopita, wasomi mbali mbali wakiwepo wanauchumi, pamoja na wataalamu wa maswala ya kijamii waligundua umuhimu wa rasilimali watu katika kukua kwa uchumi wa dunia. Kuwepo kwa elimu bora, na ujuzi katika nafsi ya binadamu huwasaidia watu kujitengenezea vipato vikubwa. Tanzania inahitaji idadi kubwa ya rasilimali watu ili iweze kupiga hatua kubwa za kiuchumi.

Kuwepo kwa mali asili kama madini, mafuta na gesi asilia kwa kiwango kikubwa imekuwa laana kwa mataifa kwani yamekuwa vyanzo vya unyanyasaji wa kijamii na umasikini uliopitiliza kwa jamii zisizokuwa na rasilimali watu ya kutosha ili kuzisimamia na kuziendeleza.

Baada ya vita vya pili vya dunia, Ujerumani ilikuwa katika wakati mgumu wa kujinyanyua kiuchumi. Miundombinu mingi iliharibiwa kipindi cha vita. Na Ili kujinyanyua kutoka katika uharibufu mkubwa uliosabishwa na vita, serikali

How a boy lost a leg to find the feet


Learning to walk: Hamisi and his prosthesis.

What happens when a community pulls together to help one of their own? MOblog has followed the remarkable story of a young Tanzanian boy called Hamisi.

Hamisi is a young Tanzanian boy who has suffered for a long time from Plexiform Neurofibromatosis, a disease which causes large and restricting tumors. Hamisi developed an enormous growth on his right leg which was incredibly heavy. Due to the weight he was unable to walk and had to crawl on all fours and

PostGraduate Diploma in Pesticide Risk Management

The Postgraduate Diploma in Pesticide Risk Management (DPRM), offered by the School of Public Health and Family Medicine, aims to equip candidates with the knowledge and skills to enable them to practice as a Pesticide Risk Manager in line with the International Code of Conduct on the Distribution and Use of Pesticides.

The curriculum covers the following
➤ Pesticide risk management policies and principles

➤ Legal framework for pesticide management

➤ Health and safety management including pesticide epidemiology and toxicology

➤ Management of environmental risk including ecotoxicology, risk assessment and basic environmental

Waziri Nyalandu mgeni rasmi kwenye miaka 4 ya Vijimambo blogVijimambo kwa ushirikiano na Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Jumuiya ya Watanzania DMV wanapenda kukukaribisha kwenye sherehe ya miaka 4 ya Blog ya Vijimambo kwa kutangaza Utalii wa

Apply now for Best African MC/Dj & Moderator in Germany 2014

5th International African Festival Tübingen

Every African possesses a talent but problem is, these talent are not branded and promoted. AFRIKAKTIV, organiser of the biggest and largest African festival, organized by Africans, dedicated to the African Daispora in Germany - Worldwide is awarding the best African MC, Dj and Moderator/in 2014 at the celebration of the 5th International African Festival Tübingen – taking place from Thursday 17th to Sunday 20th July 2014 at the African Village in Tübingen.

Theme of this years festival is "Shine your light"

Africa´s best MC / Dj / Moderator/in in Germany shine your light for Africans in Germany 2014

Criteria:-

Nafasi za kazi za kujitolea kwa vijana wa Kitanzania


Taasisi zisizokuwa za Kiserikali (NGOs) kutoka katika wilaya mbalimbali za Tanzania Bara na Zanzibar, zinahitaji vijana wa Kitanzania wenye sifa mbalimbali kwa ajili ya kufanya kazi mbalimbali za kujitolea katika taasisi husika.

SIFA ZA MWOMBAJI

Mwombaji nafasi anapaswa awe na sifa zifuatazo:

i. Elimu ya kuanzia kidato cha nne, sita na kuendelea.

Meshack Maganga: Kilimo cha embe

(picha:croppak blog)

KILIMO CHA EMBE

Zao la embe hustawi vizuri katika maeneo ya tambarare na miinuko kati ya futi 0-600 usawa wa bahari. Kiwango cha wastani cha mvua inayohitajika kwa kilimo cha embe ni mililita 650 hadi 1850 kwa mwaka. Miembe hustawi katika udongo wenye uchachu (ph) kati ya 5.5 na 7.2. udongo wenye chachu zaidi huwa na upungufu wa madini mbalimbali ikiwemo Zinki, Chuma, Fosforas na Kalsham.

KUANDAA MASHIMO

Kuchimba mashimo mapana kutafanya udongo uwe laini ili kusaidia mizizi kuzaliwa kwa wingi, upana wa shimo uwe sentimita 60x60 upana kwa urefu, kwa maeneo yenye udongo mgumu na miamba ya mawe kipimo kiwe sentimita 100x100 upana na urefu. Uchimbaji wa mashimo uwe wa kutengeneza udongo katika

[video] Mazungumzo ya Rais Kikwete na Watanzania UK

Taarifa ya TanRoads ya barabara mbadala wa ile iliyofungwa Bagamoyo

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) anapenda kutoa taarifa kwa umma na watumia barabara ya Bagamoyo - Makofia - Msata kwamba barabara hii imefungwa kwa ajili ya usalama wa abiria na vyombo vya usafiri kutokana na mvua kubwa zinazonyesha nchini na kuleta mafuriko kwenye bonde la daraja la Ruvu Chini.

Madereva wanashauriwa kutumia barabara ya Dar es Salaam - Chalinze - Morogoro na Bagamoyo - Mlandizi - Chalinze kwa kipindi hiki ambacho barabra ya Bagamoyo - Makofia - Msata imefungwa.

Tunaomba rashi kwa usumbufu uliojitokeza na Asante kwa ushirikiano.

Imetolewa na:

Mtendaji Mkuu – Wakala wa Barabara
P.O. Box 11364,
3rd Floor, Airtel Building, 
Ali Hassan Mwinyi / Kawawa Roads Junction
Dar es Salaam.

The unbelievable things people search on Google

This Infographic by SearchFactory highlights the average monthly search volume for some very weird/funny/disturbing Google search queries.


The Crazy S**T People Search for on Google
Infographic via Visually.

Umuhimu wa APRM kwenye kuimarisha utawala bora na uchumi

Wajumbe wa Bodi na Sekretarieti ya APRM (Tanzania) wakiwa katika picha ya pamoja na Rais Dkt. Jakaya Kikwete. Kushoto kwa Rais ni Mwenyekiti wa APRM, Prof. Hassa Mlawa na kulia ni Katibu Mtendaji wa APRM, Bibi Rehema Twalib.

Na Saidi Mkabakuli -- Tanzania, kama zilivyo nchi nyingi duniani kwa miaka mingi imekuwa mfuasi wa dhana ya usawa na haki ili kuwa msingi wa maendeleo ya kijamii na kiuchumi ili kutimiza matakwa ya demokrasia.

Hali hii imeifanya Serikali kufanya jitihada nyingi za kuboresha dhana hii licha ya changamoto nyingi zinazokinzana na juhudi hizi za serikali.

Serikali ya Tanzania kwa kuendeleza ufuasi wake kwa demokrasia na hasa suala zima la utawala bora, sio tu ilianzisha wizara maalum kwa ajili ya kusimamia utawala bora pia ilijiunga na Mpango wa Kujipima kwa