Pope Francis meets Tanzanian Bishops

On Friday morning, Pope Francis welcomed members from the Tanzania Episcopal Conference, at the Apostolic Palace.

The nine bishops greeted and took individual pictures with the Pontiff. The Pope then gave a brief speech to the group. Afterward, he gave each one an envelope, before saying goodbye.

The nine bishops that attended the audience are:

-Msgr. Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga, Bishop of Dodoma
-Msgr. Salutaris Melchior Libena, Bishop of Ifakara
-Msgr. Agapiti Ndorobo, Bishop of Mahenge
-Msgr. Telesphor Mkude, Bishop of Morogoro
-Msgr. Augustine Shao, C.S.Sp., Bishop of Zanzibar
-Msgr. Paul R. Ruzoka, Bishop of Tabora
-Msgr. Ludovick Joseph Minde, Bishop of Kahama;
-Msgr. Damian Kyaruzi, Bishop of Sumbawanga
-Msgr. Eusebius Alfred Nzigilwa, Auxiliary Bishop of Dar-es-Salaam

Gazeti la Mawio matatani kwa kuchapisha katuni hii


A TEST TO FREEDOM OF EXPRESSION. BELIEVE IT OR NOT:

In the midst of the debate on two or three-tier government, MAWIO - a weekly newspaper in Tanzania, published this cartoon. Now the Registrar of Newspapers - MAELEZO - has, through a written communication, queried MAWIO for publishing the cartoon; saying it is either demeaning or insulting. Now the editor has to show cause "why he should not be brought before the law" - a la Tanzania - the law in hands of authority and not in court of law. -- via Ndimara Tegambwage's blog

Taarifa ya uteuzi wa Prof. Mwandosya kuwa mkuu wa MUST na Makamu na Manaibu wake


Afrika Mashariki ndiyo ilifundisha ulimwengu kula udongo?

Kwenye habari iliyochapishwa na NPR, ipo sentensi inayodai kuwa tabia ya kula udongo inadhaniwa kuwa ilianzia Afrika ya Mashariki na kisha kusambaa kwingineko duniani,

"Nutritional anthropologist Sera Young at Cornell University says it's often thought that slaves introduced the practice to the United States from sub-Saharan Africa during the transatlantic slave trade."

Endelea kusoma habari hiyo iliyochapishwa kwenye NPR "The Old And Mysterious Practice Of Eating Dirt, Revealed"

Pamoja na dhana hiyo, bado sijasikia kuwa Afrika Mashariki imewahi kuwekwa historia ya mtu anayekula udongo mwingi kama huyu 'jamaa' wa India ambaye hapendi kula chochote zaidi ya matofali, tope na madonge ya udongo.

Tizama video ifuatayo:

Rais Kikwete aagiza shamba la Efatha Ministry lirejeshwe kwa Wananchi

Taarifa ya maandishi via HabariLeo, Taarifa ya video via Ahmad Michuzi/MMG  -- Rais Jakaya Kikwete ameagiza kurejeshwa kwa shamba la ekari takribani 12,000 kwa wananchi ambalo liliuzwa kwa taasisi ya Efatha Ministry inayoongozwa na Nabii Josephat Mwingira.

Agizo hilo la Rais Kikwete limetolewa jana kupitia Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana wakati akiwahutubia wakazi wa Kata ya Moro katika Kijiji cha Mawenzusi.

Wakati akiwasili kijijini hapo Kinana alipokewa na mabango yenye ujumbe unaozungumzia kilio cha wananchi kudhulumiwa shamba hilo.

Wananchi hao wakiongozwa na Mbunge wao wa Sumbawanga Mjini, Hilal Aeshi pamoja na Diwani wa Kata hiyo ya Moro, Festo Mwananjela, waliwasilisha kilio chao kuhusu unyang'anyi wa shamba hilo na taasisi hiyo ya Efatha, hali

Tume ya Mipango kufanya mapitio ya Sera ya Taifa ya Idadi ya Watu


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARISera ya Taifa ya Idadi ya Watu Kufanyiwa Mapitio


1. Utangulizi:

Sera ya Taifa ya Idadi ya Watu kwanza ya iliandaliwa mwaka 1992 ambapo ilifanyiwa na kuandaliwa upya mwaka 2006 kwa azma ya kuratibu na kushawishi sera za sekta nyingine, mikakati na programu za maendeleo kuhakikisha zinajumuisha masuala ya maendeleo endelevu ya watu, kukuza usawa wa kijinsia, uwezeshaji wa wanawake, haki za watoto, na makundi mengine yenye uwezekano wa kuathiriwa kwa urahisi.

Tangu mwaka 2006 hadi sasa, maendeleo mapya yametokea kitaifa na kimataifa yenye uhusiano wa moja kwa moja na masuala ya idadi ya watu na maendeleo,

Tume yaanza utafiti wa mfumo wa sheria unaosimamia haki za walaji

Anuani ya simu: "TUMESHERIA”.
Simu ya mdomo; 2111387/2123533/4
Namba ya fax:2123534
Barua pepe: [email protected]

P.O.Box 3580
DAR ES SALAAM

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

TUME YAANZA UTAFITI KATIKA MAPITIO YA MFUMO WA SHERIA UNAOSIMAMIA HAKI ZA WALAJI

Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania imeanza kufanya utafiti wa mfumo wa sheria unaosimamia Haki za Walaji ili kubaini kasoro mbalimbali zilizoko kwenye mfumo husika na kupendekeza njia sahihi ya kuboresha mfumo huo nchini Tanzania.

Hatua ya Tume kufanya utafiti huo inatokana na mendeleo ya sayansi, teknolojia

Shukurani kwa waliochanga kuzuia mwili wa Lukindo kuchomwa moto

Mike Lukindo enzi ya uhai wake.

Watanzania wa Wisconsin tunapenda kutoa shukurani kwa wote waliojaribu kuokoa kutokuchomwa moto kwa ndugu yetu, mpendwa wetu Mike Lukindo.

Hata hivyo, pamoja na jitihada zote zilizofanyika, tunasikitika kuwataarifu kwamba mpendwa wetu ilibidi achomwe moto na jana Ijumaa April 4, 2014. Majivu yake

Viongozi wa CCM wamnadi Ridhiwani jimboni Chalinze

Ushindi ni Umoja!
Mhe. Mwigulu Nchemba ambaye amekuwa akiongoza kampeni mbalimbali, pichani hapa akiwa na Mbunge wa Kalenga, Godfrey Mgimwa na Mbunge mtarajiwa wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete wakiwa wameshikana mikono kumaanisha "UMOJA NI USHINDI"

Rais KIkwete arejea nyumbani baada ya ziara Uingereza, Ubelgiji

Rais Jakaya Kikwete akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mhe Said Sadiki baada ya kuwasili nyumbani April 4, 2014 katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea Brussels, Ubelgiji, alikofanya ziara ya kikazi ya siku mbili na kuhudhuria mkutano wa mataifa ya Afrika na nchi za Jumuiya ya Ulaya. Kabla ya hapo Rais Kikwete alifanya zaiara ya kiserikali ya siku tatu nchini Uingereza kwa mwaliko wa Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mhe David Cameron. (picha, maelezo: Ikulu)