[audio] Mauaji kwenye kambi ya jeshi

Jenerali Mark Milley, Kamanda wa Fort Hood akizungumza na waandishi wa habari

Wiki iliyopita, nchi ya Marekani ilikumbwa na mauaji mengine yaliyotokea kwenye kambi ya jeshi huko Fort Hood, Texas.

Jumatano Aprili 2, askari mmoja wa Jeshi la nchi hiyo, Ivan Lopez ambaye

Maelekezo ya TCRA kuhusu uhalifu unaofanywa kupitia simu

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA

TAARIFA KWA UMMA

TAHADHARI DHIDI YA UHALIFU UNAOFANYWA KUTUMIA SIMU ZA MKONONI

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kwa kuzingatia kifungu 5 (b) na (e) cha Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ya 2003 inatoa tahadhari kwa watumiaji wa huduma za mawasiliano, wananchi na umma kwa ujumla kujihadhari na utapeli unaofanywa kwa kutumia simu za mkononi na mtandao wa intaneti kama ifuatavyo:

1. Usimpe mtu yeyote usiyemfahamu vizuri simu yako au kadi yako ya simu ili atumie.

2. Usitoe maelezo yoyote kuhusu namba yako ya simu au taarifa za binafsi kwa

Tanzania wins Street Child Wolrd Cup 2014The Street Child World Cup in association with Save the Children is a global movement for street children to

Guide on how to dress according to your body shape


They say there are six main body shape types:

 • Pear Shape: Narrow waist, Smaller bust, Shapely bottom half
 • Rectangle Shape: Undefined waist, Smaller bust, Lacking curves
 • Hourglass Shape: Curvy, Well defined waist, Proportionate

Matokeo ya awali ya upigaji kura Chalinze

UPDATE/TAARIFA MPYA

 • Kwa mujibu wa taarifa ya habari ilyosomwa TBC saa moja asubuhi ya Aprili 7, 2014, Msimamizi wa Uchaguzi wa jimbo la Jimbo la Chalinze, Samuel Sarianga amemtangaza aliyekuwa mgombea wa kiti cha Ubunge wa jimbo hilo kupitia CCM, Ridhiwani Jakaya Kikwete kuwa ndiye mshindi. Mgombea huyo amepata jumla ya kura 20,828 (86.8%).

 • Washiriki wengine na kura walizopata ni CHADEMA 2,544 (10.5%) CUF kura 476 (1.9%) AFP 0.25% na NRA 0.25%

 • Hadi msimamizi wa uchaguzi huo alipotangaza matokeo, waaliotia saini fomu ya matokeo hayo kati ya vyama vyote vilivyoshiriki ni CCM na NRA pekee.

-----mwisho wa taarifa mpya----

Matokeo ya awali ya uchaguzi mdogo wa Ubunge katika jimbo la Chalinze yanasema mgawanyo wa kura kwa jumla kuu ni kama ifuatavyo:
 1. CCM  20,612
 2. CHADEMA 2,428
 3. CUF 474
 4. AFP 78 
 5. NRA 59

Mgawanyo wa kura zilizovyoripotiwa katika Kata:

Talawanda: CCM (1,192), CHADEMA (104), CUF (4)
Msoga: CCM (1,248), CHADEMA (68), CUF (9)
Lugoba: CCM (1,594), CHADEMA (174), CUF (4)
Kiwangwa: CCM (1,180), CHADEMA (80), CUF (14)
Kibindu: CCM (1,131), CHADEMA (300), CUF (3)
Fukayosi: CCM (1,105), CHADEMA (69), CUF (17)
Mandela: CCM (1,394), CHADEMA (112), CUF (8)
Mbwewe: CCM (1,319), CHADEMA (166), CUF (23)
Pera: CCM (1,139), CHADEMA (49), CUF (19)

Matokeo kamili na sahihi yatatangazwa na kutolewa na Tume ya Uchaguzi. Tafadhali fuatilia huko.

Rais Kikwete atoa heshima za mwisho kwa marehemu Meja Jenerali Msemwa

Amiri Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete na Mkewe mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Kamishna wa Utafiti na Maendeleo ya Jeshi katika Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,  marehemu Meja Jenerali Kevin Gerald Msemwa wakati wa hafla ya kuaga mwili wake iliyofanyika katika uwanja wa makao makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi Upanga jijini Dar es salaam leo April 6, 2014. Meja Jenerali Msemwa alifariki Aprili 3, 2014 katika hospitali ya Jeshi ya Lugalo jijini Dar es Salaam. 

 Rais Kikwete na Mkewe wakitoa mkono wa pole kwa wanafamilia baada ya kutoa heshima za mwisho. (picha: IKULU)

Dar es Salaam, Kigali asked to resolve dispute over RwandAir’s intention to fly Mumbai route

The Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) has asked Kigali and Dar es Salaam to resolve a dispute over RwandAir’s intention to fly the Mumbai route.

TCCA director-general Fadhil Manongi said the matter has to be decided through bilateral arrangements.

Rwandair Tanzania country manager Hafeez Balogun said in February that the airline was planning to put

Uganda commits to donors that it will give protection to homosexuals

Enforcement of Uganda’s anti-gay law could run into hiccups after the country made a commitment to Western donors that it will give protection to homosexuals who come under threat from the public, and ensure that they get treatment under the national HIV prevention strategy without discrimination.

The assurances form part of a broad compromise that Uganda and its donors reached in meetings last week as both parties moved to pull away from the acrimony that followed Uganda’s passing of a law that criminalises homosexuality and prescribes life imprisonment for those found guilty of the act, outlaws any promotion of homosexuality and requires people to report homosexuals. .. click here to continue reading

Picha za kufunga kampeni za CHADEMA Chalinze

Umati uliohudhuria mkutano wa kampeni za CHADEMA kwa ajili ya uchaguzi wa Ubunge wa jimbo la Chalinze.

Picha za kufunga kampeni za CCM Chalinze


Picha kutoka kwa Othman Michuzi zikimwonesha Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein akimnadi mgombea Ubunge katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati wa kufunga kwa kampeni za CCM, zilizofanyika Aprili 5, 2014 kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari ya Kikaro, Miono ndani ya Jimbo la Chalinze.