Rais Kikwete atunukiwa tuzo ya “Kiongozi mwenye mchango mkubwa zaidi katika maendeleo Barani Afrika 2013”


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais Kikwete achaguliwa Kiongozi Bora Afrika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amechaguliwa kuwa Kiongozi Mwenye Mchango Mkubwa Zaidi katika Maendeleo Barani Afrika kwa mwaka 2013.

Heshima hiyo kwa Rais Kikwete imetolewa na jarida maarufu la kimataifa la African Leadership Magazine Group na Tuzo la heshima hiyo itatolewa jioni ya kesho, Jumatano, Aprili 9, 2014, katika sherehe iliyopangwa kufanyika Hoteli ya St. Regis mjini Washington, D.C ikiwa ni pamoja na chakula cha jioni.

Tuzo hiyo itapokelewa kwa niaba ya Rais Kikwete na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa

Mnada mkubwa wa vitu vya balozi za Finland, Denmark na Uingereza

Click here to enlarge the image


Click here to enlarge the image

Microsoft's guide: How to upgrade from Windows XP

(image; PCMag)

In case you do not think it is important to upgrade from Windows XP, may be reading Malwarebytes will convince you:
  1. Microsoft confirmed the much beloved OS, Windows XP, as also its least secure. Yet, XP ranks second to Windows 7 in being the most used operating system worldwide.
  2. According to a recent StatCounter report, the former has a global market share of 19.2%, with heavy users in Africa and Asia, while the latter has a global share of 54.3%.

wavuti.com is cross-posting the following guide from Microsoft's support page guiding the transition to a new operating system now that the support and updates for Windows XP will officially no longer be available after April 8, 2014. This means that XP users of home and enterprise will be left to fix stuff on their own.


How to move from Windows XP


Microsoft has provided support for Windows XP for the past 12 years. But now the time has come for us, along with our hardware and software partners, to invest our resources toward supporting more recent technologies so that we can continue to deliver great new experiences.

As a result, after April 8, 2014, technical assistance for Windows XP will no longer be available, including

Meshack Maganga: Unaweza kujiajiri kupitia kilimo cha vitunguu

Pichani ni Meshack Maganga katika kitalu chake kipya cha vitunguu.
Pichani ni Meshack Maganga katika kitalu chake kipya cha vitunguu.
               
Ndugu zangu, wiki iliyopita nilihamsika sana baada ya baadhi ya wasomaji kuniandikia barua pepe na wengine kunipigia simu kutaka ufafanuzi kuhusu kilimo cha Maembe, na kilimo cha miti na organic farming kwa ujumla, kilimo ambacho nilianza nacho miaka mitatu iliyopita nikitokea shuleni.

Mwaka uliopita niliandika makala kuhusu wasomi kujifunza kujiajiri nilikusudia kuwasilisha ujumbe mmoja ya kwamba, "Wasomi"  na Watanzania kwa ujumla wetu tunatakiwa kubadilisha mitazamo yetu ili kujipatia mipenyo ya kiuchumi na kifedha (financial freedom).

Kimsingi ni kwamba zipo imani zinazosapoti watu kuwa na fedha za kutosha na zipo imani na mitazamo inayozuia watu kuwa na fedha ama inawafanya waishi maisha ya kupungukiwa nyakati zote! Imani na mitazamo hii kimsingi huzalishwa kutokana na malezi, utamaduni na mazingira. Mtazamo wa mtu kuhusu

MCW donates to Tanzania equipment for critical oral health care


caption: The unloading of the container was overseen by representatives from MCW, MUHAS School of Dentistry, the Ministry of Health and Social Welfare, and multiple departments of the Medical Stores Department. (PRNewsFoto/MCW (Miracle Corners of the World))

DAR ES SALAAM, Tanzania, April 7, 2014 /PRNewswire/ -- MCW announced today the arrival of a container of oral health care equipment and supplies for the Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) at the Dar es Salaam port. The shipment, sent by ocean freight, is packed with donations supporting the MUHAS School of Dentistry, Tanzania's leading dental facility, which is in critical need of support to provide higher quality services and dental education to the underserved population.

"MCW's goal is to improve oral health care conditions in Tanzania by transferring state-of-the-art equipment and supplies, donated by leading U.S. dental equipment suppliers, to the MUHAS School of Dentistry that

Kijiwe cha Ughaibuni [No. 57]

Handaki la Chacha wa Chuo Kikuu labomolewa; Apelekwa hospitali


Chacha Makenge (38) akiota moto nje ya handaki lake katika eneo la pori la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam sehemu ya Mlimani. (picha, maelezo na taarifa via GPL)

CHACHA Makenge (38) aliyeripotiwa awali kuishi ndani ya handaki katika eneo la pori la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam sehemu ya Mlimani, amepatwa na balaa jipya baada ya makazi yake kuvamiwa na askari, kukamatwa na mwishowe kupelekwa Muhimbili kitengo cha wagonjwa wa akili kwa ajili ya matibabu.

Makenge ambaye aliwahi kuishi katika handaki hilo kwa muda wa miaka mitano, alipotoka, alikuta makazi

Machozi yamtoka Mkono akiilaumu Serikali kulinda wanyama kuliko wanawake wanaouawa kinyama Mara

*video ya taarifa ya ITV imepachikwa mwishoni hapo chini.

Mhe. Mkono (kofia na fimbo) akiwa na wananchi


UPDATE/TAARIFA MPYA
ATAKAYETOA TAARIFA ZA WAUAJI BUTIAMA KUZAWADIWA MILIONI MOJA
Na SHOMMI B., Mara -- JESHI la polisi mkoani Mara limetangaza ahadi ya kutoa kiasi cha shilingi milioni moja kwa mtu yoyote atakayefanikisha kutoa taarifa na kukamatwa kwa watu wanaojihusisha na matukio ya mauaji ya Wanawake wilayani Butiama. Akizungumza na Waandishi wa Habari ofisini kwake mara baada ya kutokea kifo cha Anastazia Shore Kijiji cha Kwibara, kamanda wa jeshi la polisi mkoani Mara, Ferdnand Mtui alidai kinachokwamisha kuwapata wauaji kinatokana na kucheleweshwa kwa taarifa za matukio hayo.
Na George Marato, Musoma — MBUNGE wa Musoma vijijini Nimrod Mkono, ameishutumu Serikali kwa kushindwa kudhibiti vitendo vya mauaji ya kinyama na kikatili wanafanyiwa wanawake katika baadhi ya vijiji vya tarafa ya Nyanja jimboni humo huku akisema Serikali imekuwa ikitumia nguvu kubwa kulinda wanyama pori kuliko binadamu.
Mkono ambaye kitalum ni mwanasheria,alitoa kauli hiyo juzi katika kijiji cha Mugango katika halmashauri ya Musoma wilayani Butiama baada ya watu wasijulikana kumnyonga hadi kufa kwa kutumia kanga yake mwanamke mmoja mkazi hicho Anastazia Mang’ombe (42) kabla ya kumbaka wakati akiwa shambani kwake.

Mauaji ya mwanamke huyo ni mwendelezo wa mauaji ya kinyama na kikatili yanayotokea katika vijiji vya

Huduma ya BURE ya kukagua afya kwa waishio DMV, Marekani

  
Wataalam wa afya DMV (HCP Metro DC) wanatuleta huduma ya afya kwa wale wasiokuwa na bima ya afya. Huduma hii itatolewa kwa usawa bila kujali dini wala rangi au umri ama uraia, hali ya kiuchumi n.k..

Kama una rafiki, ndugu au mzazi asiyekuwa na bima ya afya tunaomba mshiriki ili tuwe na jamii inayoshamiri na yenye afya njema. Zoezi hili litachukuwa hatua ya kuwaona wale watakaokuwa na hali pungufu ya

US suspends elephant trophy imports from Tanzania, Zimbabwe

U.S. Fish and Wildlife Service

Conserving the Nature of America External Affairs

PRESS RELEASE

Service Suspends Import of Elephant Trophies from Tanzania and Zimbabwe
April 4, 2014
--------------------------------------------------------------------------------

The U.S. Fish and Wildlife Service today announced a suspension on imports of sport-hunted African elephant trophies taken in Tanzania and Zimbabwe during calendar year 2014. Questionable management practices, a lack of effective law enforcement and weak governance have resulted in uncontrolled poaching and catastrophic population declines of African elephants in Tanzania. In Zimbabwe, available data, though

Hujuma yadhaniwa kuwa chanzo cha moto uliounguza magari kwenye yadi Mwenge

Zaidi ya magari 13 yameteketea kwa moto na mengine kuungua vibaya katika baadhi ya maeneo baada ya kuzuka moto katika yadi ya kampuni ya kuuzia magari ya Japan Auto Connection Ltd iliyopo Mwenge Mlalakuwa jijini Dar es Salaam. Video zilizopachikwa hapo chini zina taarifa zaidi...

Tanzania public institutions to get free solar power systems

STEPS Solar and Tanzania Renewable Energy Association (TAREA) have agreed to instal solar energy systems in some public institutions and dispensaries free of charge.

Speaking with journalists yesterday in Dar es Salaam, the spokesperson for Steps Solar, Mr Moses Manyilu, said that the solar energy systems to be installed will cost 30m/- and that beneficiaries will include police posts, orphanage centres and secondary schools, among others.

He stressed that their company has noted that some essential offices have no access to electricity thus they have decided to support them, to enable them perform their duties efficiently and without any obstacles. .. click here to continue reading

UK Visa office sets record straight on Tanzania operations

Editor,

I read with disappointment the article in East African Business Week on 31 March (‘Tanzania not happy with UK Visa processing’) which regrettably misrepresents the high quality visa service we offer in Dar es Salaam.

The UK welcomes genuine visitors from Tanzania and in 2013 we received over 5000 applications from Tanzanian nationals – issuing visas to over 80%.

Applications from Tanzanian nationals are assessed against the same immigration rules as all other

KKKT Dayosisi ya Kaskazini yajenga kituo cha elimu bora

Kanisa Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini katika Usharika wa Himo limeanza mchakato wa ujenzi wa kituo cha Benjamin Moshi katika eneo la Njia Panda kitakachotoa elimu bora na kuvumbua vipaji vya wanafunzi ili kuwajengea nguvu na uwezo wa kujiendeleza zaidi kwa faida ya wengine na vizazi vijavyo. Video ya habari kutoka ITV iliyopachikwa hapo chini ina maelezo zaidi...