Nurses: Dress for your body type

Knowing your body type is like knowing your blood type!

Check out our Body Shape tool to see what type you are - Rectangle, Hourglass, Inverted Triangle, Apple or Pear.

It is essential to know your measurements because you are constantly investing your hard earned money in your medical scrubs and personal clothing wardrobe. Love the Scrubs you are in! -- Uniform Advantage

How Nurses can Dress for their Body Type
via Visually.

Take communication services to remote areas, Kagera RC pledges

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Fabian Massawe (wa tatu kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Muleba Lembris Kipuyo (wa pili kushoto) wakiwa pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom ambao baadhi yao walifundishwa na Kanali Massawe wakati alipokuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Jitegemee jijini Dar es salaam.Kanali Massawe alifika Makao Makuu ya Vodacom kwa shughuli za kikazi ambapo alivuta hisia za wafanyakazi waliowahi na hata ambao hawakuwahi kupitia mikononi mwake enzi za ualimu na hivyo kuleta hali ya furaha ikitawaliwa na utani na ukumbusho wa matuko ya Shule.

Kagera, April 9, 2014 … Telecommunication companies have been urged to provide communication services to remote areas of Tanzania.

Kagera Regional Commissioner, Rtd. Col. Fabian Massawe, has argued that by so doing, citizens will be able to develop both socially and economically, owing to easy access to communication services from the companies.

Col. Massawe was speaking when he toured Vodacom Tanzania’s Head Offices in Dar Es Salaam, where he

Employment opportunities for various positions at TBS

Tanzania Bureau of Standards (TBS) is Tanzania’s sole Standards body, formerly established by the Standards Act No. 3 of 1975, which was repealed and replaced by the Standards Act No. 2 of 2009. It is a Parastatal Organization under the Ministry of Industry and Trade.
 
The Bureau is looking for suitably qualified, competent, dynamic and committed Tanzanians to fill the following vacancies:-

Membe, Ndugai wazungumzia “Uraia Pacha” Ubalozini Marekani

Mhe. Membe (kushoto) akiongelea suala la Uraia Pacha huku kulia Mhe. Ndugai akifuatilia mazangumuzo hayo.
Mhe. Membe (kushoto) akiongelea suala la Uraia Pacha huku kulia Mhe. Ndugai akifuatilia mazangumuzo hayo.
Taarifa ifuatayo tumeshirikishwa na Luke Joe/Vijimambo Blog (Shukurani)

Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe ameongoza mazungumuzo ya suala la Uraia Pacha alipokua akiongea na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Idd Sandaly na Katibu wake Amos Cherehani na maafisa wa Ubalozi na baadhi ya WanaDMV kwenye

Tahadhari kuhusu matapeli wanaojiita "TCRA Foundation"

JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

TAHADHARI NA MTANDAO WA UTAPELI UNAOJIITA TCRA FOUNDATION


Mamlaka ya Mawasiliano imebaini kuwa kuna mtandao wa matapeli wanaotumia jina la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kutumia tovuti inayojiita “TCRA Foundation” na inayodanganya kutoa mikopo kwa maendeleo kwa watu.
Tovuti inayotumika ni http://tcra-foundation.wix.com/tcrafoundation 

Mtandao huu umetengenezwa wa kutumia picha zilizopo kwenye mitandao mbalimbali zikiwaonyesha Raisi Mheshimiwa Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa

Lady Jaydee apata nafasi kuandaa wimbo Kombe la Dunia

Judith Wambura aka Lady Jaydee
Judith Wambura aka Lady Jaydee

via gazeti la NIPASHE — Msanii Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ amepata nafasi ya kuandaa wimbo kwa ajili ya michuano ya soka ya kuwania Kombe la Dunia 2014.

Jaydee anayefahamika pia kama Komandoo au Anaconda, amepata fursa ya kuandaa wimbo maalum wa michuano hiyo ‘FIFA World Cup Anthem’ akishirikiana na wakali wawili David Correy wa Brazil na rapa Octopizzo wa Kenya.

Katika wimbo huo, Lady Jaydee na Correy wameimba kwa lugha ya Kiingereza huku Octopizzo 'akichana' kwa Kiswahili.

Wimbo huo ulipigwa kwa mara ya kwanza jana jijini Dar es Salaam wakati kampuni ya

Bunge la Katiba: Rais ameelekea kusema ataongeza muda - Sitta

Wakati kamati za bunge maalumu la katiba zikitarajia kuwasilisha ripoti zao Bungeni mjini Dodoma, huenda zoezi la Wabunge kupigia kura vipengele vya sheria likasisimama kutokana na muda endapo Rais hataongeza muda wa majadiliano wa bunge hilo.

Lakini, Mwenyekiti wa Bunge Maalumu, Mhe. Samuel Sitta amedokeza kuwa, "Mhehsimiwa Rais ameelekea kusema kwamba ataongeza muda kwa sababu anataka zoezi lifike pazuri. Kwa hiyo tuna kila sababu ya kujiandaa kwa hilo. Kwa sababu haitakuwa vizuri kwa nchi kupitia sura mbili kati ya kumi na saba... kwa hivyo sidhani kama atatuachia hapo."

Taarifa zaidi ipo katika video ya habari ya ITV iliyopachikwa hapo chini baada ya taarifa ifuatayo iliyochapishwa kwenye gazeti la NIPASHE:


Awasilisha kwa JK maombi kuahirishwa Bunge


Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, amewasilisha maombi kwa Rais Jakaya Kikwete, kuomba Bunge hilo liahirishwe Aprili 28, mwaka huu. Kadhalika, Sitta ameomba nyongeza ya muda wa

Scholarship opportunity at Aga Khan Foundation, East Africa

The Aga Khan Foundation, in collaboration with the Institute of Education, University of London, is pleased to invite applications for the Commonwealth Distance Learning Scholarships, awarded by the Commonwealth Scholarship Commission in the United Kingdom.

The Scholarships are open to prospective students from Kenya, Tanzania, Uganda and Rwanda wishing to undertake the Institute of Education’s MA in Education and International Development, MA in Educational

[video] Burudani kwenye Kanumba Day @ DarLive