[picha] Changamoto kwa wanaovuka mto Malagarasi

Baadhi ya wakazi wa Kigoma wakivuka mto Malagarasi wakitoka sokoni katika nchi jirani ya Buruni (picha: Bashir Nkoromo)

[video, photo update] Tahadhari: Daraja la Bunju/Bagamoyo limekatika


Video fupi iliyorekodiwa katika eneo hilo imepachikwa hapo chini, vile vile Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na kamati maalumu wamekutana kujadili njia ya kuwanusuru walioathirika na mafuriko haya...

Mama Gertrude Mongella na kisa cha "Chai ya jIoni"

“Unajua enzi zetu hapa chuo ( Mlimani ) kila kitu ilikuwa bure; kula bure..kulala, n.k Mtu unaripoti chuo, unafanya usajili, kisha unaonyeshwa pa kulala, baasi! Hakuna kulipa ada. Nakumbuka mpaka leo nilipokuwa nalala. Ilikuwa ni Hall 5 ghorofa ya 7!

“Halafu enzi hizo tulikuwa Waingereza kwelikweli, we were very British! (Kicheko). Ukiachilia mbali ratiba ya kawaida ya chakula, kulikuwa na ratiba ya chai ya jioni pia..chai ya saa kumi. Unatoka zako kusoma unapitia kafeteria unapata chai! Mara nyingine, wakati wa mitihani kulikuwa na chai ya usiku pia..’Unapiga kitabu’ maktaba halafu saa nne unakwenda kupata chai!

Sasa turudi kwenye habari ya chai ya jioni. Kulikuwa na utaratibu umejengeka kwamba chai ya

[audio] Dakika 90 za Dunia: Maadhimisho ya Kwibuka20, Washington DC


Wiki kama hii, miaka 20 iliyopita, nchi ya Rwanda ilishuhudia kuanza kwa mauaji ambayo kwa siku 99 zilizofuata, yaliacha historia mbaya na ambayo itaendelea kukumbukwa na vizazi vijavyo.

Ndani ya siku 100, watu wanaokadiriwa kufika milioni 1 waliuawa katika mauaji ya kimbari.

Miaka 20 baadaye (mwaka huu), dunia nzima imeungana na Rwanda kukumbuka

Another day, Another record: Pope Francis asks forgiveness from victims of pedophile priests

Pope Francis, on Friday asked for forgiveness from the victims of pedophile priests in some of his strongest words to date about the Catholic church's sex abuse crisis.

Below please find a Vatican Radio translation of the Holy Father’s address to participants:

Pope Francis
Pope Francis (photo: AP)


Dear friends,

I thank you for this meeting. I appreciate your efforts on behalf of children: it is a concrete and current expression of the predilection that the Lord Jesus has for them .

We can say that the BICE was born of the motherhood of the Church . In fact, it originates from Pope Pius XII intervention in defense of children in the aftermath of World War II. Since then, this organization has always been

Damu yamwagika Kinondoni na fedha kuporwa


Habari zinazoambatana na picha hii zinasema ni za tukio la ujambazi uliofanywa kwa kutumia risasi kutoka kwenye gari moja na kisha kupofa kiasi cha fedha ambacho imefahamika --kwa mujibuwa WAPO radio fm -- kuwa ilikuwa shilingi 2,000/= (elfu mbili tu), kutoka kwenye gari jingine lililokuwa na raia wa Kigeni wa China, jioni ya leo katika eneo la Morocco karibu na ofisi za Airtel, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Wachina wawili walijeruhiwa kwa risasi hizo, bado haijafahamika maendeleo ya afya yao kwa sasa.

Picha za vitakavyouzwa kesho kwenye mnada wa vifaa vya Balozi za Finland, Denmark, Uingereza

Rejea tangazo la mnada tajwa hapo juu wa vifaa vitakavyouzwa siku ya kesho, Jumamosi, Aprili 12, 2014 jijini Dar es Salaam, zifuatazo ni picha za vifaa husika.


Tafadhali bofya picha moja moja ili kuikuza na kupata muonekano mkubwa zaidi.

Askari 10 wa Usalama Barabarani wafukuzwa kazi

JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limewafukuza kazi askari wake 10 kwa kosa la kwenda kinyume cha kanuni na sheria za jeshi hilo.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohamed Mpinga, alisema kuwa askari hao walipatikana na hatia baada ya kufunguliwa mashitaka ya kijeshi.
“Baada ya kufunguliwa mashtaka yaliyokuwa yakiwakabili ya kwenda kinyume na mwenendo wa Jeshi la Polisi, walipatikana na hatia hivyo wengine tuliwafukuza na wengine kuwabadilisha vituo vyao vya kazi.”
Mpinga alisema wameamua kuwashughulikia askari hao ili kurejesha imani kwa wananchi ambao baadhi yao

Video of 12 y/o conjoined twins living in harmony

Conjoined twins Shivanath and Shivram Sahu
Conjoined twins Shivanath and Shivram Sahu

CONJOINED twins Shivanath and Shivram Sahu have found a unusual way to get to school - dropping to the floor and running like a SPIDER. 
The 12-year-olds, who were born joined at the waist, bare two legs and four arms and work in tandem to get around. 

They have stunned doctors with their ability to wash, dress and feed themselves - and say they are

Wanyamapori: Mtuhumiwa ujangili auawa; Bilionea Buffett atoa bil 8.5/-

Waziri Lazaro Nyalandu na Howard Buffett wakipokea heshima za gwaride la heshima lililoandaliwa na Pasiansi Wildlife Training Institute. Kushoto ni Kamanda Venance Tossi na kulia ni Mkuu wa PWTI, Lowaeli Damalu.
Waziri Lazaro Nyalandu na Howard Buffett wakipokea heshima za gwaride la heshima lililoandaliwa na Pasiansi Wildlife Training Institute. Kushoto ni Kamanda Venance Tossi na kulia ni Mkuu wa PWTI, Lowaeli Damalu.

Polisi mkoani Simiyu kwa kushirikiana na askari wa Idara ya Wanyamapori katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, wamemuua jangili sugu Majadiga Makabajinga au Mashaka Sai, kwa kumchapa risasi ya mgongo.

Sai, ambaye alikuwa akisakwa kwa muda mrefu, anatuhumiwa kuwa kinara wa ujangili na aliuawa wakati akipambana na polisi alipojaribu kuwatoroka baada ya kutiwa mbaroni.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Charles Mkumbo, alisema Sai aliuawa juzi saa 3:00 usiku katika kijiji

Funding Opportunity Announcement for NGO Programs Benefiting Refugees in Uganda, DR Congo, Tanzania

Funding Opportunity Number: PRM-PRMOAPAF-14-010

Catalog of Federal Domestic Assistance (CFDA) number: 19.517 - Overseas Refugee Assistance Programs for Africa

Announcement issuance date: Thursday, April 10, 2014

Proposal submission deadline: Tuesday, May 13, 2014 at 12:00 p.m. noon EDT. Proposals submitted after this deadline will not be considered.

Nakala ya waraka wa “Ministry of External Affairs of the United Republic of Tanganyika and Zanzibar” wa tarehe 6 Mei 1964 kwa Umoja wa Mataifa

Nakala kutoka kwa mdau wa wavuti.com iliyotumwa via barua pepe (shukurani), nauweka kama nilivyoupokea
Nakala kutoka kwa mdau wa wavuti.com iliyotumwa via barua pepe (shukurani), nauweka kama nilivyoupokea. Nyaraka nyingine zinapatikana: UN.org...UnitedRepublicOfTanzania 

[update] Operesheni Safisha Jiji: Maelezo ya Meya, Mkuu wa Wilaya IlalaMeya wa Jiji la Ilala, Jerry Silaa amelazimika kutoa maelezo, ufafanuzi na hatua iliyochukuliwa baada ya kukabiliwa na maswali kutoka kwa wadau mbalimbali waliolaumu kuathiriwa na ubomoaji wa "Operesheni Safisha Jiji."

Baadhi ya waliokumbwa na kadhia hiyo ni pamoja na TPH Bookshop ambao katika moja ya 'tweets' (zimepachikwa hapo chini) inaonekana zoezi hilo liliwakumba ghafla na bila ya taarifa wala notisi yoyote. Wengine ni jamii ya Waislam ambao makaburi ya wapendwa wao yalivunjwa.

Jana, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akiwa ameongozana na Meya Silaa, alikanusha kwamba

Kiwanda cha kwanza cha dawa za binadamu Mwanza

Maelezo ya hatua kwa hatua ya utengenezaji dawa.

Habari via GSengo Blog -- MKUU wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo, amewataka wamiliki wa viwanda katika mkoa wa Mwanza kuhakikisha wanatoa kipaumbele cha ajira kwa wananchi wanaozunguka maeneo ya viwanda kabla yakufikiria watu kutoka mbali.

Kauli hiyo ameitoa Jiji Mwanza wakati wa uwekaji wa Jiwe la Msingi katika kiwanda cha kuzalisha dawa za