Tanzania subject to UN investigation over ‘arms deals’ with N. Korea

Uganda, Tanzania, Ethiopia and Eritrea are the subject of a United Nations investigation over possible arms-related dealings with North Korea, in violation of sanctions imposed by the UN Security Council.

But Uganda, which has been indicted by the same panel before, is putting up a bold face, saying the international community should not dictate who it relates with.

The UN Panel of Experts, in their latest report, claim that North Korea has developed sophisticated ways to circumvent UN sanctions, including the suspected use of its embassies and private companies to facilitate illegal trade in weapons. .. click here to continue reading.

[video, audio] IFC - CRDB Bank Signing Ceremony Program, Washington DC


Dr. Charles Stephen Kimei, Managing Director of CRDB Bank Group (second left), and Mr. Jean Philippe Prosper, IFC Vice President for Sub-Saharan Africa, signing the landmark $75 million loan agreement at the IFC headquarters in Washington DC on Friday April 11, 2014 witnessed by the Chairman of the board of Directors Mr Martin J. Mmari (left) and IFC's Principal Operations Officer, Ms. Wendy Teleki (second right), and the Head of Blended Finance Ms. Kruskaia Sierra Escalante.

Audio and videos are embedded below...

Taarifa ya CCM Uingereza: Owino ang'atuka, Mungula asimamishwa

Mwenyekiti Mstaafu WA TAWI LA CCM UK Ndugu MAINA A OWINO
Mwenyekiti Mstaafu WA TAWI LA CCM UK Ndugu MAINA A OWINO

Aliyekuwa Katibu wa Tawi na Kusimamishwa Kazi Bi. MARIAM MUNGULA
Aliyekuwa Katibu wa Tawi na Kusimamishwa Kazi Bi. MARIAM MUNGULA


CCM TAWI LA UINGEREZA - UNITED KINGDOM
Website ccmuk.org, Blog ccmuk.org/blog, Facebook page chama cha mapinduzi uingereza, twitter CCMUK 1
Contacts Phone  +44 74 04 863333, +44 7545 213515
E-mail - [email protected]

MAINA OWINO ANG'ATUKA UENYEKITI WA CCM TAWI LA UINGEREZA - UNITED KINGDOM

PIA HALMASHAURI KUU YA TAWI YAMSIMAMISHA KAZI
KATIBU WA TAWI BI. MARIAM  MUNGULA

Mwenyekiti wa CCM UK Ndugu Maina Ang'iela Owino jana ametangaza rasmi nia yake ya kujiuzulu Uongozi wa CCM Tawi la UK baada ya kutumikia toka mwaka 2007.

Ndugu Owino alitoa uamuzi huo wa hiari wakati akifungua rasmi kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Tawi la UK kilichokaa jana Jumamosi tarehe 12/04/2014 katika jiji la Reading, Berkshire, Uingereza.
Ndugu Owino aliwakumbusha wajumbe kuwa awali aliomba kukitumikia Chama kwa muhula mmoja wa

Tubadili Jiji la Dar es Salaam: Kuna Zaidi ya Mafuriko

Nimetafuta hotuba ya video ama sauti ya Mh. Rais Jakaya Kikwete wakati akifungua Bunge kwa mara yake ya kwanza kama Mkuu wa Nchi  mwaka 2005 lakini nimeikosa. Nitaendelea kuitafuta. 
Kuna maneno mahususi nilitaka niyarejee ninapoandika ujumbe huu kwake ili kuongeza mantiki ya ninachotaka kumshauri. Pamoja na kukosa hotuba yake ile muhim sana katika historia ya nchi yetu, bado nakumbuka alivyoitoa maana nilimwangali na kumsikiliza tangu aliposimama hadi alipokaa. 
Kumbukumbu zangu zinaniambia alikua amevaa suti ya rangi kama ya bluu hivi huku akionekana kama Kijana mcheshi, mpole, mtaratibu na aliyejipanga kuweka kumbukumbu vema juu ya mipango yake ya kuingozoza nchi kwa siku ambazo angepata kibali kwa Mugnu na kwa Watanzania. 
Ninakumbuka baadhi ya maneno aliyotakua anayatamka lakini nakosa ukamilifu wa sentensi zake bila

Mkutato mkuu wa uchaguzi UTU kufanyika Berlin Aprili 26


Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU) kufanya Mkutato Mkuu wa Uchaguzi Aprili 26, 2014 jijini Berlin


Peter Mfundo, Mwenyekiti UTU
Peter Mfundo, Mwenyekiti UTU
Berlin, Ujerumani -- Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU) unatarajia kufanya mkutano wake mkuu wa uchaguzi siku ya kilele cha sherehe za Muungano wa Tanzania mjini Berlin, Ujerumani, siku ya tarehe 26 Aprili 2014 kuanzia saa 7 mchana katika ukumbi wa Deutsche Bank, Unter den Linden 13-15, 10117 Berlin, Ujerumani.

Watanzania wote wanaoishi Ujerumani wanaombwa kuhudhuria kwa wingi katika mkutano huu muhimu wa chombo chao UTU ambao kinawaunganisha Watanzania wote waishio Ujerumani bila kujali itikadi zao za kidini, jinsia, wala kabila.

Pia, patakuwepo na vyakula vya Kitanzania.

Umoja wa Watanzania nchini Ujerumani una furaha kubwa ya kuwafungilia milango wale wote ambao wanataka kujiunga na umoja huo. Pia milango ipo wazi kwa wadau na wale wote wanaohitaji ushauri juu ya kuwekeza au kuchangia maendeleo ya jamii nyumbani Tanzania.

KUFIKA KWENU KATIKA MKUTANO HUU NDIO MAFANIKIO YA WATANZANIA WOTE

UMOJA NI NGUVU , UTENGANO NI UDHAIFU

UMOJA WA KITAIFA NDIO MSINGI IMARA KWA WATANZANIA

MUNGU IBARIKI TANZANIA

Kwa maelezo zaidi wasiliana simu : +491737363422

Email: [email protected]

Namna ya kusaidia walioathirika kwa mafuriko Dar

Watu takribani 500 walilala hapa Jangwani bus station. Hadi sasa hakuna chakula. — Irenei Kiria Aprili 13, 2014.
Watu takribani 500 walilala hapa Jangwani bus station. Hadi sasa hakuna chakula. — Irenei Kiria Aprili 13, 2014.

Ikiwa unataka kusaidia walioathirika kwa mafuriko ya mvua jijini Dar es Salaam, tafadhali soma mahitaji yaliyoorodheshwa hapo chini kisha wasiliana na wahusika ili kuwasilisha mchango wako wa hali na mali:

Wale mnaotumia Twitter, tafadhali search, trend #DarFloods kwa taarifa zaidi.

Uncle Fafi ‏@Tanganyikan anasema: "Michango itaanza kupokelewa saa saba mchana na tutaongeza vituo kadiri itakavyowezekana. Vituo vya msaada" ni hivi vifuatavyo:-

WATCH: Video iliyorekodiwa wakati daraja la Bagamoyo linakatika

Iliyopachikwa hapo chini ni video ya taarifa ya ITV ikionesha kipande cha barabara ya Bagamoyo karibu na daraja, kikimeguka na kisha kukatika kabisa kabla ya kutitia ardhini.

Athari za mvua Morogoro


Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Mzambarauni, Kata ya Mafisa, Manispaa ya Morogoro wakienda kuokoa mali zao. (picha via Lukwangule blog)

Mvua za masika zinazoendelea kunyesha nchini zimesababisha mafuriko pia katika mkoa wa Morogoro kama picha (juu na hapo chini) zilizopigwa katika maeneo ya Nane Nane, Mwembesongo na Mji Mpya zinavyoonyesha.

[update] Makamu wa Rais, Waziri wa Ujenzi, Mkuu wa Mkoa wanusurika katika ajali ya helikopta

Update/Taarifa Mpya

TAARIFA YA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA KWA UMMA KUHUSU AJALI YA NDEGE YA JWTZ 


Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kutoa taarifa kwa vyombo vya habari na wananchi wote kwa ujumla kuwa leo tarehe 13 April 2014 mnamo saa tatu na nusu asubuhi (3:30 Hrs), kumetokea ajali ya Ndege ya JWTZ aina ya Helikopta katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl Julius Kambarage Nyerere ( upande wa Jeshi). Helikopta hiyo ilipata ajali ilipokuwa katika hatua ya kuanza kuruka.

Helikopta hiyo ilikuwa imewabeba Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dr. Ghalib Bilal na ujumbe wake ambao ni Waziri wa Ujenzi; Mhe. Dr. John Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Said Mecky Sadick na amishina Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Kamishina Suleiman Kova.

Aidha, Wengine waliokuwemo ni Dr. Mnzava, Msaidizi wa Makamu wa Rais, Msaidizi wa Kamanda Kova na waandishi wa habari watatu.

Ujumbe wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulikuwa katika safari ya kuzungukia maeneo yaliyo athirika na mafuriko katika jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani kufuatia mvua kubwa iliyoanza kunyesha kuanzia tarehe 11 April hadi sasa.

Makamu wa Rais pamoja na ujumbe wake hawakupata majeraha katika ajali hiyo. Aidha, rubani na wasaidizi wake pia wametoka salama.

Uchunguzi wa ajali umeanza mara moja kwa ajili ya kubaini chanzo cha ajali hiyo.

Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Uhusiano,

Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
SLP 9203, Simu: 0754270136


Email:[email protected]

------------------------


Imeafiriwa kuwa, viongozi wanne wa Serikali, Makamu wa Rais Dk Mohamed Gharib Bilal, Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna, Suleiman Kova pamoja na mwandishi wa habari wa TBC, George Kasembe na waandishi wengine wawili, wamenusurika katika ajali ya helikopta ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ0 iliyotokea leo katika kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha J. K. Nyerere (upande wa Jeshi), jijini Dar es Salaam walipokuwa wakijiandaa kuelekea kukagua maafa yaliyosababishwa na mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha kote nchini.

Wengine waliokuwemo kwenye helikopta hiyo wametajwa kuwa ni, "Dkt. Mnzava ambaye ni mlinzi wa Dkt. Bilal, mlinzi wa Kamishna Kova."
Kwa mujibu wa chanzo hicho, helikopta hiyo iliruka juu umbali wa futi 15 lakini

Kuhusu Meya wa Ilala kujitetea kuwa Mwanza hali Dar ina mafuriko


Na Evarist Chahali -- Huu ni mtizamo wangu, na nilimfahamisha Mstahiki meya Jerry Silaa pia: huyu mtu ana bahati sana kwamba ni Meya wa manispaa nchini Tanzania, ambapo ukisahapata uongozi upo huru kufanya lolote lile -baya au zuri, la busara au la kipuuzi- pasi kuchelea matokeo.
Japo mwanzoni alileta majibu ya dharau baada ya kusoma 'tweets' hizo mbili za mwanzo hapo juu, lakini

Heavy rains, floods in Dar claims 10 lives

Pupils stroll past Jangwani Valley where houses are partly submerged in water after heavy rains in Dar es Salaam yesterday.


By Anne Robi via The Sunday News -- Mr Sadiki told the ‘Sunday News’ over the phone that the victims drowned in different parts of the city as the downpour caused massive destruction of homes and infrastructure.

The RC said that rains have left many people homeless and destroyed bridges that link the city Centre to the suburbs.

He called upon the public to take extra measures to avert more destruction to lives and property.

“I call upon the people to take extra care and avoid using bridges and other water drainage that have been flooded,” he said and cautioned those still in valleys such as Jangwani and elsewhere to vacate the areas immediately, saying the

Mwigulu awakabidhi wana Shelui ambulance na Watumishi wa Afya Kyengege nyumba

Hili ndilo gari la dharura la wagonjwa (ambulance) walilonunuliwa na Mhe. Mwigulu Nchemba na kuwakabidhi Wananchi wa Tarafa ya Shelui kwenye Kituo kikubwa cha Afya cha Mgongo.
Hili ndilo gari la dharura la wagonjwa (ambulance) walilonunuliwa na Mhe. Mwigulu Nchemba na kuwakabidhi Wananchi wa Tarafa ya Shelui kwenye Kituo kikubwa cha Afya cha Mgongo.


Na Sanga Festo -- Mhe. Mwigulu Nchemba ametimiza ahadi zake alizotoa kwa Wananchi wa Jimbo la Iramba kwa kukabidhi gari jipya la dharura kwa ajili ya wagonjwa kwenye Tarafa ya Shelui Kituo cha Afya cha Mgongo.

Gari hilo lilikabidhiwa jana akitimiza moja ya ahadi alizozitoa wakati akiomba ridhaa ya kuwaongoza Wananchi wake. Ahadi nyingine ambazo amekwisha zitimiza ni za maji na umeme, ikiwa ni wiki moja tu tangu Mbunge huyo afanye