Gazeti la Jamhuri: Wakubwa wanavyoitafuna Bandari

*Waanzisha EPA mpya, Bandari waitengea CCM bilioni 10

*Kinana aukana mradi, walipanga kujenga yadi ya malori

*Dk. Mwakyembe ampa onyo Kipande, agoma kuhojiwa

*Ikulu yakana kumlinda, wakili adai milioni 205/- kwa siku

*Mkurugenzi anyanyasa wanawake, Bodi ‘imewapotezea’

*Wataalamu waacha kazi TPA, Magesa akiri hakuna ulinzi


Utaratibu wa baadhi ya wanasiasa kuchota mabilioni ya shilingi kutoka kwenye Hazina ya Taifa kwa ajili ya maandalizi ya Uchaguzi Mkuu umeendelea.

Wakati mwaka 2005 zilitumika kampuni kama Kagoda, Deep Green na nyingine kuchota mabilioni ya EPA, zamu hii Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) wameanzisha mradi kama huo kwa ajili ya mwaka 2015, ambapo wameitengea CCM Sh bilioni 10 kwa ajili ya mradi wa kuegesha magari.

Habari za uhakika kutoka ndani ya Bandari, ambazo gazeti JAMHURI

Rais Kikwete ahani msiba wa Muhidin Maalim Gurumo

Mmoja wa wana familia Bw. Salim Zagar akitoa taarifa fupi ya msiba wa marehemu Muhidin Maalim Gurumo pamoja na mazishi yake kwa Mhe. Rais Jakaya M. Kikwete (picha: IKULU)

Rais Kikwete aonana na Waziri wa Nishati wa Uingereza,Greg Baker

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadaye kufanya mazungumzo na Waziri wa Nishati na Mabadiliko ya tabia Nchi wa Uingereza Mhe Greg Baker Ikulu jijini Dar es salaam leo April 15, 2014
Rais Jakaya M. Kikwete akisalimiana na baadaye kufanya mazungumzo na Waziri wa Nishati na Mabadiliko ya tabia Nchi wa Uingereza Mhe Greg Baker Ikulu jijini Dar es salaam leo, Aprili 15, 2014

Rais Kikwete afungua Kongamano la Mkakati wa Kimataifa wa Kuboresha Miundombinu

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Kongamano linalohusu Mkakati wa Kimataifa wa Kuboresha Miundombinu katika Ukanda wa Kati (Central Transport Corridor) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo, Aprili 15, 2014.

Kijiwe cha Ughaibuni (Na. 58)

Tanzania tops Africa with first declaration of Seven Natural Wonders

The Great Mosque. Ruins at Kilwa Kisiwani, Tanzania
The Great Mosque. Ruins at Kilwa Kisiwani, Tanzania (source: 360cities.net)

The Seven Natural Wonders of Africa were declared in February 2013 and now the Seven Natural Wonders of Tanzania join the official list of wonders from around the world.

Tanzania, with Mount Kilimanjaro, Ngorongoro Crater, and the Serengeti Migration, is home to three of Africa’s seven wonders. Tanzania Tourist Board shared, “We are excited that three of Africa’s natural wonders are in Tanzania. The entire country is honored to be Home to these icons.”

Tanzania now has the distinction and honor to be the first African country to declare the winners for the country’s Seven Natural Wonders. As would be

Mvua yailazimisha DAWASCO kuzima mitambo ya maji

Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO) limezima mitambo miwili ya uzalishaji maji kwenye mitambo yake ya Ruvu Juu uliopo Mlandizi, mkoani Pwani na Mtoni uliopo Temeke, Dar es Salaam.

Hatua ya DAWASCO imetokana na mvua kubwa zilizonyesha kusababisha madhara mbalimbali katika miji ya Kibaha, Pwani na Dar es Salaam.

Taarifa ya DAWASCO kwa vyombo vya habari jana ilisema sababu za kuzimwa kwa mitambo hiyo ni bomba la kupooza mtambo wa kuchota maji yanayotoka mtoni (cooling pipe) kuharibiwa na mafuriko na

Why do babies cry at night? To exhaust mom and delay conceptionLast month the evolutionary biologist, Harvard University's David Haig offered up a surprising hypothesis to help explain those 2 a.m. feedings and crying jags: The baby is delaying the conception of a sibling by keeping mom exhausted — and not ovulating — Haig writes in the current issue of in the journal Evolution, Medicine and Public Health.

Now, the baby isn't consciously trying to halt mom's fertility, Haig explains.

Sounds a bit crazy, right? But there's logic to the idea.

Nursing a child, especially at night, prevents women from resuming ovulation after

Motorists to pay for fuel in TOTAL stations through M-Pesa*Total Tanzania Goes M-Pesa
* Total partners with Vodacom Tanzania; customers to fuel and pay through M-Pesa
* Vodacom's over 60,000 M-Pesa agents to facilitate these transactions


Dar es Salaam, April 15, 2014 -- Total Tanzania customers are now set to pay for fuel through M-Pesa, following the company's partnership with Vodacom Tanzania.

Motorists will now make use of the companies' widespread networks reliably, and will use mobile phone technological developments (M-Pesa) from across the country.

Speaking during the launch of the partnership, Vodacom Tanzania External

Primary schools in Tanzania participate in rugby trainingG4S Secure Solutions in partnership with Bhubesi pride have organized a rugby program involving primary schools in Tanzania with the aim of uniting children, empowering local teaching staff and inspiring young leadership.

This is through “Rugby in Africa” project that sees almost ten African countries, in which Tanzania became the 5th country to be visited primarily to support rugby and for community development.

The competition that was held during the weekend in Masaki, Dar es Salaam joined

The 10 most famous art masterpieces in the world

Infographic by OverstockArt showoing a diplay list of a list of The Top Ten Most Famous Works of Art.

These are art creations that you will not find in auction houses. They are national treasures and cultural icons that have become a part of the Human-race and Western Civilization.