[audio] Ufafanuzi wa Askofu wa Methodist kuhusu 'kauli ya Lukuvi'

Iliyopachikwa hapo chini ni audio yenye taarifa ya TBC ikimhoji mmoja wa viongozi wa Kanisa la Methodist Tanzania, Askofu Byamungu Matthew kuhusu kauli anayotuhumiwa kuitoa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi mbele ya waumini wa moja ya kanisa hilo huko mkoani Dodoma.

Tanzanian president warns Congo rebels to lay down arms or be hunted down

By SALEH MWANAMILONGO, Dar es Salaam, Tanzania (AP) — Tanzania's president warned armed groups operating in eastern Congo to disarm or risk being hunted down by Congolese and U.N. forces in an interview with The Associated Press.

Tanzania has contributed troops to a special U.N. intervention brigade that has a mandate to pursue armed groups in Congo's east, where several rebel groups vie for control of the mineral-rich area. The area lies at the intersection of several countries, including Uganda and Rwanda, and some rebel groups there are

[audio] Mbatia azungumzia Wajumbe waliosusia Bunge la Katiba

Kwenye kipindi cha Nipashe cha Radio One Stereo (audio ake imepachikwa hapo chini), Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni mmoja wa wanaounda kundi la UKAWA (Umoja wa Katiba ya Wananchi) Mhe. James Mbatia (NCCR-Mageuzi) anazungumzia sababu ya baadhi ya Wajumbe kutoka nje ya kikao cha Bunge hilo hapo jana jioni na kususia vikao vinavyoendelea.

Pia amezungumzia kuhusu mipango ya kuwaendea wananchi ili kuwafahamisha sababu ya hatua hiyo.

Leo hii, baadhi ya Wajumbe hao watazungumza na wanahabari mjini Dodoma ili kutoa taarifa yao.

TMA: Periods of heavy rains/Mvua kubwa inatarajiwa April 17 - 18

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINISTRY OF TRANSPORT
TANZANIA METEOROLOGICAL AGENCY
Telegrams:"METEO"DAR ES SALAAM.

Telephone: 255
(0)
22 2460706-8

Telefax: 255
(0)
22 2460735
P.O. BOX 3056
DAR ES SALAAM.
http//www.meteo.go.tz

Our ref: TMA/1622
16th April, 2014
Information to the Public: Periods of heavy rains at times are expected.
Information No.
201404-02
Time of issue(Hour)
04:00pm
EAT


Category:
Warning
Valid from:
17th

Date
April, 2014Valid to:
18th
April, 2014
Date


Phenomena/Hazard/Disaster
Periods of heavy rainfall exceeding 50mm in 24hours,


Level of Confidence:
Medium: (70%)
Expected Area :
Unguja and Pemba isles together with Tanga, Dar es Salaam, and Pwani
regions.
The Inter-tropical convergence zone (ITCZ) associated with enhanced
Text:
moisture and atmospheric easterly waves are the driving factors to the

expected heavy rains.


Advisory:
Residents of high risk areas, Ocean users and Disaster Management

Authorities are advised to take necessary precautions.
Remarks:
TMA will continue to monitor the situation and issue updates when

necessary.
Issued by
Tanzania Meteorological Agency.


-------------------------------------------------


THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINISTRY OF TRANSPORT
TANZANIA METEOROLOGICAL AGENCY
Simu: 255 22 2460735/2460706

FAKSI: 255 22 2460735/2460700
S.L.P. 3056
Barua pepe: [email protected]
DAR ES SALAAM
Tovuti: www.meteo.go.tz

Unapojibu tafadhali nakili:

Kumb. Na.: TMA/1622
16 Aprili, 2014
Taarifa kwa Umma: Vipindi vya mvua kubwa vinatarajiwa.
Taarifa Na.
201404-02
Muda wa Kutolewa
Saa 10:00 Alasiri
Saa za Afrika Mashariki


Daraja la Taarifa:
Tahadhari
Kuanzia:
17
Aprili, 2014
Tarehe


Mpaka:
18
Aprili, 2014
Tarehe


Aina ya Tukio Linalotarajiwa
Vipindi vya mvua kubwa inayozidi milimita 50 ndani ya saa 24,
ukanda wa pwani.Kiwango cha uhakika:
Wastani (70%)


Maeneo yanayotarajiwa
Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na mikoa ya Tanga, Pwani na
kuathirika
Dar es Salaam.Kuimarika kwa ukanda wa mvua Inter-tropical convergence zone
Maelezo:
(ITCZ)” ambao umeambatana na ongezeko la unyevunyevu na

kuwepo kwa ‘Easterly Wave’.Wakazi wa maeneo hatarishi, watumiaji wa Bahari pamoja na
Angalizo:
mamlaka zinazohusika na maafa, wanashauriwa kuchukua tahadhari

stahiki.
Maelezo ya Ziada
Mamlaka ya Hali ya Hewa inaendelea kufuatilia hali hii na itatoa
mrejeo kila itakapobidi.

Imetolewa na
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania.

Walinzi wa benki iliyoporwa fedha walikuwa na marungu tu?

Juzi, majambazi wenye silaha walipora fedha zinazokisiwa kufikia Sh milioni 300 katika Benki ya Barclay's tawi la Kinondoni 'TX Market' jijini Dar es Salaam.

Mashuhuda wa tukio hilo, walidai kuwa uporaji huo ulifanyika saa nne za asubuhi, ambapo mtu mmoja aliingia eneo la benki hiyo akiwa na gari aina ya Cresta na kuwashusha watu wawili waliokuwa wamebeba begi linalodaiwa kuwa fedha na kuingia ndani.

Mlinzi wa tawi hilo wa Kampuni ya Ulinzi ya Ultimate alifuata gari hilo na kuliekeza mahali sahihi pa

Kikao cha Bunge la Katiba kuendelea leo

Vikao vya Bunge Maalum la Katiba vitaendelea tena leo kwa kujadili sura ya 1 na ya ile ya 6 ya Rasimu ya Katiba licha ya baadhi ya wajumbe kususia kikao hicho jana jioni na kutoka nje ya ukumbi kwa kile walichodai ni kuchoshwa na matusi, dharau na ubaguzi (bofya hapa kurejea).

Kauli ya kuendelea kwa kikao leo ilitolewa usiku wa jana na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Federick Werema  kabla ya kuahirishwa kwa kikao cha jioni cha Bunge hilo, wakati aliposimama kutoa hoja ya kutengua Kanuni za Bunge Maalum la

Mchango wa Prof. Lipumba uliohitimisha kwa wajumbe kutoka nje ya Bunge

Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakitoa katika Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma siku ya Jumatano jioni, Aprili 16, 2014 kabla ya muda wa kikao kwisha kwa madai ya kuchoshwa na matusi na kudharauliwa.

Audio na Video za mchango wa Prof. Ibarahim Lipumba alioutoa Bungeni siku ya Jumatano, Aprili 16, 2014 na kutamatia kwa baadhi ya wajumbe kutoka nje ya Bunge Maalum la Katiba ipo hapo chini baada ya mchango huo kwa maandishi ifuatavyo:-

Mhe. Mwenyekiti gazeti la Mwananchi la tarehe 14 Aprili 2014 limeandika kuwa “Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Uratibu na Bunge), William Lukuvi ameanza kampeni kanisani kuwataka wananchi kupinga serikali tatu zilizopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba, vinginevyo nchi itatawaliwa na jeshi kwa kuwa Serikali ya Muungano itashindwa kuwalipa mishahara wanajeshi.”

Mhe. Lukuvi aliyasema haya katika Kanisa la Methodist, Jimbo la Dodoma alipokuwa mgeni rasmi akimwakilisha

Serikali kuzawadia wanafunzi, shule zitakazofanya vyema

Serikali itazawadia wanafunzi na shule zilizofanya vyema na kuvuka viwango vya ubora katika mitihani ya Elimu ya msingi na Sekondari: “Pamoja na malengo mengine, wiki hii italenga katika kutoa motisha na zawadi kwa shule na wanafunzi waliofanya vizuri, ikiwa ni utekelezaji wa wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa.”

Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam juzi na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Dk Shukuru Kawambwa alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Wiki ya Elimu yatakayofanyika Mei 3 hadi 9 mwaka huu yakiwa ni ya kwanza nchini yenye lengo la kutambua juhudi za kuendeleza ubora wa Elimu Tanzania.

Kwa mujibu wa Dk Kawambwa, maadhimisho hayo yatakayofanyika mjini Dodoma yatazinduliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda pia kufungwa na Rais Jakaya Kikwete.

Millanga: Muungano wa Serikali mbili endelevu kisheria na kisiasa

Tume ya Mabadiliko ya Katiba na Maoni ya Wananchi

Rasimu ya Katiba imeandikwa kwa kuzingatia na kuongozwa na maoni ya wananchi, ambayo yamechambuliwa na kupewa tafsiri kwa makubaliano ya pamoja ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Naamini kwamba, hadi Tume inafikia makubaliano ya nini kiwekwe kwenye Rasimu ya Katiba na nini kiachwe, ulikuwepo mchuano mkali wa kubishanisha fikra ndani Tume. Hivyo basi, Tume ya Mabadiliko ya Katiba inastahili kila aina ya pongezi kwa kufanikisha kazi hii kubwa, nzuri na ya maana sana kwa Tanzania yetu. Mwenyezi Mungu akulipeni kheri na baraka. Pia nitumie fursa hii kumpongeza Rais Jakaya Kikwete kwa uamuzi wake wa busara wa kuiunda Tume hii.

Kila Kazi Ina Mapungufu

Hakuna kazi isiyokuwa na mapungufu isipokuwa kazi za Mwenyezi Mungu tu. Katika kujadili mapungufu au mazuri katika ya kazi za wenzetu tujadili hoja katika

Mchango wa Zitto Kabwe kuhusu Sura ya 1 na 6 ya Rasimu ya Katiba

Audio na Video ya mchango alioutoa Mhe. Zitto Kabwe katika kikao cha leo Aprili 16, 2014 cha Bunge Maalum na Katiba kilichopokea maoni ya Wajumbe kuhusu rasimu tajwa hapo juu imepachikwa mwishoni mwa mchango kwa maandishi ifuatavyo:-

Ndugu Mwenyekiti,

Kamati 12 za Bunge lako tukufu zimeleta Taarifa zake mbele yetu kwa ajili ya maboresho ya Rasimu ya Katiba ili kupata katiba inayopendekezwa itakayopelekwa kwa Wananchi. Maoni ya Kamati yamegawanyika katika aina Kuu 2, maoni ya walio wengi na maoni ya walio wachache. Ndani ya Bunge hili majadiliano pia yamekuwa yenye mwelekeo huo huo na kwa kweli hakuna majadiliano bali majibizano. Sio afya kwa nchi yetu hata kidogo kuwa na Taifa ambalo wawakilishi wake kwenye Baraza nyeti kabisa kama hili wanajibizana badala ya kujadiliana, wanabishana badala ya kuongea na wanatukanana badala ya kushawishiana.

Imefikia hatua zinatoka lugha za kibaguzi bila kukemeana na badala yake tunashangiliana na kupigiana vigelegele. Ubaguzi wa rangi au ubaguzi wa aina

[audio] Hotuba ya hayati Rais A. A. Karume kuhusu Muungano

Audio iliyopachikwa hapo chini ni ya sehemu ya hotuba aliyowahi kuitoa hayati Rais Abeid Amani Karume alipowahutubia wananchi kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

[audio] Bunge la Katiba: Tundu Lissu kufafanua alichokiita 'viHoja'

Audio iliyopachikwa hapo chini ni ya kauli aliyoitoa Tundu Lissu katika Bunge la Maalumu la Katiba kufafanua kile alichokiita, "viHoja" kuhusiana na alichokisema katika Bunge hilo siku chache zilizopita.Video iliyopachikwa hapo chini inamwonesha Nape Nnauye akimtuhumu Tundu Lissu kuwa 'alimtukana' hayati Mwalimu Julius K. Nyerere.

Nakala ya saini za hayati A. A. Karume zinazotiliwa mashaka


Baada ya kabrasha linaloonesha 'hati halisi' ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuoneshwa hadharani juzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi, Ombeni Sefue, baadhi ya wananchi wameonesha wasiwasi na kuhoji ukweli wa halali ya saini inayoonekana katika hati hiyo na saini zilizoko kwenye nyaraka nyingine.Kongamano la Wakuu na Wamiliki wa Vyuo vya Ufundi Stadi

Wakuu na wamiliki wa vyuo vya ufundi stadi kanda ya Dar es Salaam

Picha za Kongamano la Wakuu na wamiliki wa vyuo vya ufundi stadi kanda ya Dar es Salaam inayolenga kupata maoni ya wadau juu ya utekelezaji wa mafunzo ya ufundi stadi lililoendeshwa na ofisi ya VETA Kanda ya Dar es Salaam.

Mhe. Msekwa aelezea kuhusu nyaraka za Muungano

Katika video mbili zilizopachikwa hapo chini, Spika mstaafu na aliyekuwa Katibu wa Bunge wakati wa Tanganyika na Zanzibar zinaungana, anazungumza na TBC katika kipindi cha Jambo Tanzania cha Aprili 14, 2014 akielezea anayoyafahamu kuhusu utaratibu wa suala la makubaliano ya Muungano ulivyokuwa.


Weusi, Sheta kupamba Full Moon Party @ Jembe Beach Resort, Mwanza

Speech by Pres. Kikwete at WEF's meeting on Central Corridor Development

SPEECH BY H.E. JAKAYA MRISHO KIKWETE, PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, DURING THE WORLD ECONOMIC FORUM’S  ALIGNMENT MEETING ON DEVELOPMENT OF CENTRAL CORRIDOR  HELD  IN DAR ES SALAAM, TANZANIA, ON 15TH APRIL, 2014


Hon. Dr. Harrison Mwakyembe, Minister for Transport, United Republic of Tanzania;
Hon. Prof. Silas Lwakabamba, Minister for Infrastructure, Republic of Rwanda;
Hon.  Eng. Virginie CIZA, Minister for Transport, Public Works and Equipment, Republic of Burundi;
Hon.  Justin Kalumba MWANA NGONGO, Minister for Transport and Water Ways, Democratic Republic of Congo;
Hon.  Eng. Abraham Byandala, Minister for Transport and Works, Republic of Uganda;
Dr. Donald Kaberuka, President of the African Development Bank;
Dr. Richard Sezibera, Secretary General of the East African Community;
Dr. Stogomena Tax, Executive Secretary of SADC;
Dr. Ibrahim A. Mayaki, President, NEPAD Agency;
Mr. Philippe Dongier, World Bank Country Director for Tanzania, Uganda and Burundi;
Distinguished Guests;

Ladies and Gentlemen;

It is a pleasure for me to welcome you all to Tanzania and Dar es Salaam.I thank the organizers for affording this rare opportunity to speak at this all important World Economic Forum Alignment Meeting on Development of the Central Corridor.