Vigogo TANESCO wapandishwa kortini

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imewafikisha mahakamani vigogo wanne wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na msambazaji kutoka kampuni ya M/S Young Dong Electronic Co. Ltd, kwa tuhuma za kuisabishia Serikali hasara ya zaidi ya Shilingi milioni mia mbili.

Vigogo hao ni Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Robert Semhilu; Ofisa Ugavi, Harun Mahambo; Mkurugenzi wa Fedha, Lusekelo Kasanga na Mwanasheria wao, Godson Ezekiel Makia pamoja na msambazaji/mkandaras Martin Abraham Simba.

Hata hivyo Makia ndiye aliyepandishwa kizimbani na kusomewa mashitaka hayo jana, huku

Rais Kikwete akabidhiwa Tuzo ya Uongozi Bora Afrika

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea kutoka kwa Waziri wa  Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe, Tuzo ya Uongozi Bora Afrika aliyotuzwa nchini Marekani ambako aliwakilishwa na Mhe. Membe (picha hii na zinazofuata: IKULU)

Rais Kikwete ahani msiba wa Edward Masanja Ng'hwani

Rais Jakaya Kikwete akitia saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kuhani na kutoa heshima za mwisho kwenye msiba wa kada wa CCM na Mwenyekiti wa Washirika Kitaifa, Mstaafu Marehemu Edward Masanja Ng'hwani maeneo ya Kibada jijini Dar es Salaam, siku ya Alhamisi Aprili 17, 2014. (picha: IKULU)

 Rais Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Edward Masanja Ng'hwani.

Rais Kikwete afurahi na watoto katika pantoni akielekea Kibada


Rais Jakaya Kikwete na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe wakiongea na watoto Samir Juma (sweta jekundu) na Salum Chumu wakiwa katika pantoni la MV Magogoni wakivuka kuelekea Kigamboni jijini Dar es Salaam, Alhamisi ya Aprili 17, 2014. Watoto hao wanaosoma darasa la awali katika shule ya msingi ya Bunge, walipata bahati ya kuketi na viongozi hao waliokuwa wakielekea kuhani msiba wa kada wa CCM, marehemu Edward Masanja Ng'hwani katika maeneo ya Kibada. (picha hii na zilizopachikwa hapo chini: IKULU)

Funding Opportunity – Basic Research: Mathilde Krim Fellowships

Request for Proposals: Mathilde Krim Fellowships in Basic Biomedical Research

Please see the complete RFP at www.amfar.org/Krim51514

DEADLINE: Letter of Intent due no later than Thursday, May 15, 2014

AVAILABLE FUNDING

Maximum funding: $150,000, including maximum 10% indirect costs.

Performance period: two years starting October 1, 2014.

Forms & Instructions
Submission of a Krim Fellowship Letter of Intent (LOI) is now an online process. Take the following

SkyLight Band inasikitika kutangaza kifo cha Chiri Challa


Mpiga gitaa wa SkyLight Band maarufu kwa jina la Chiri Challa (pichani) amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia April 17 katika hospitali ya Muhimbili.

Taarifa za awali zimethibitishwa na uogozi wa bendi hiyo kuwa mpiga gitaa huyo machachari amefariki baada

Tafadhali changia hangia Hilmy Disability Charity Organisation


Kwa wale wote wanaotembelea ukurasa huu tunawaomba kuchangia WATOTO wenye ulemavu Zanzibar.

Kwa MTU yoyote mwenye MOYO wa kuchangia Standing Order kwa ACC 63972496. Sote 20.42.76.

Jina: Hilmy Shawwal Barclays. Bank £ 1.£2.£3

CHANGIA Uwezo wako kama huna kitu japo MAWAZO yako yanahitajika kuongea na KUWAZA na

Mwanafunzi IFM akamatwa na bangi kilo 50

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma David A. Misime - SACP akiongea na wanahabari
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma David A. Misime - SACP akiongea na wanahabari
By Geofrey Adroph via Pamoja Pure blog -- Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma linawashikilia watu watatu kwa kosa la Kupatikana na bhangi kiasi cha Kilogramu 133.5 yenye thamani ya Ths. 20,025,000/= bei ya mitaani (street value).

Watuhumiwa hao wamekamatwa mnamo tarehe 16/04/2014 majira ya 7:30 mchana eneo la Stendi Kuu ya mabasi katika Manispaa na Mkoa wa Dodoma. Watuhumiwa hao walikuwa wakisafirisha bhangi katika mabegi baada ya kupanda basi kutokea Kijiji cha MANONGA – TINDE Mkoani SHINYANGA kwenda

Job opportunity for a Lab. Tech. at Geita Gold MIne

Geita Gold Mine (GGM) is situated in the Lake Victoria Gold fields of North Western Tanzania. It is located within Geita Region, about 85 km’s from Mwanza City and 20 km’s South East of the nearest point of Lake Victoria and 5 Km’s west of Geita town. The Mine is owned and managed by Anglo Gold Ashanti Limited.

Applications are invited from ambitious, energetic and performance driven individuals to fill a vacant position mentioned below in our HSEC Department:

POSITION: LABORATORY TECHNICIAN
WORKS FOR: CHIEF MEDICAL OFFICER

QUALIFICATION:
Diploma in Laboratory Technician

PURPOSE OF THE ROLE: To maintain a healthy workforce and working conditions to achieve high

MjengwaBlog imerudi

NDUGU ZANGU,

MJENGWABLOG SASA IKO HEWANI. UNAWEZA KUITEMBELEA KUPITIA mjengwablog.com

POLENI SANA KWA USUMBUFU NA TUNAWASHUKURU KWA KUENDELEA KUTUAMINI.

MAGGID MJENGWA,
MWENYEKITI MTENDAJI
IKOLOMEDIA- MJENGWABLOG/KWANZAJAMII.

Canadian warship seize 130kg of heroin off Tanzanian coast

Members of Her Majesty’s Canadian Ship Regina’s Naval Boarding Party prepare to board a suspected drug-smuggling vessel.
 Suspected drug-smuggling vessel
Story by Combined Maritime Forces -- Her Majesty’s Canadian Ship (HMCS) Regina has seized over 130kg of high-grade heroin off the coast of Tanzania.

The illicit narcotics were seized after HMCS Regina intercepted and boarded a suspect dhow approximately 100 nautical miles east of Zanzibar Island, while under the command of Combined Task Force (CTF) 150.

HMCS Regina’s embarked ‘Sea King’ helicopter initially observed a suspect dhow in the Indian Ocean. As the dhow continued her westerly passage, bound for east Africa, HMCS Regina closed and

President Kikwete appoints 3 new Ambassadors

President Jakaya Kikwete has appointed three ambassadors to fill in the posts of those who retired from public service.

A statement issued in Dar es Salaam by the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation said that President Kikwete appointed Ms Dora Mmari Msechu, Tanzanian Ambassador in Stockholm, Sweden.

Ms Msechu who was the Head of Europe and Americas department before the new appointment takes over from

Goli la Bale lililoipa ushindi Real Madrid dhidi ya Barcelona

Edward Snowden, 'geeky' dropout speaks


He dropped out of high school at 15. ... from the age of 15 to the age of 20 he didn't have anything like an actual job, nor was he doing anything other than occasional community college classes. What he appears to have done is spent five years on his computers, on the Internet.

In fact, it seems to be a period of incredible self-education in which he became an expert on systems, became an expert on so many things to do with navigating the Internet. The amazing thing is [that] it appears to be