Zitto: Mambo ya Muungano ya Uratibu

Rasimu ya Katiba iliyotolewa na Tume ya Katiba imeainisha masuala saba ya Muungano. Hata hivyo masuala haya hayatoi nguvu ya kikatiba kwa Jamhuri ya Muungano kubakia moja na imara.

Masuala ya Muungano ndiyo yanayoweza kuamua hatma ya Muungano. Ni muhimu kuhakikisha Dola inakuwa imara na ya kutegemewa na Washirika.

Masuala kadhaa hayana budi kuongezwa kwenye mambo ya Muungano. Haya yaitwe masuala ya uratibu (concurrent matters) ambayo yatafanywa kwa pamoja na Serikali ya Muungano na Serikali za Washirika.

1) Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii (social security) ni suala linahusu uhai wa Taifa na wananchi wake. Pia

Ujumbe wa Pasaka 2014 wa Maaskofu kwa Waamini na Wote wenye mapenzi mema

UJUMBE WA KICHUNGAJI WA PASAKA 2014

KWA WAAMINI NA WATU WOTE WENYE MAPENZI MEMA

“Sote tuwe na Umoja” (rej. Yn 17:21)

UTANGULIZI:

Ndugu wapendwa, tunapohitimisha kipindi cha Kwaresima kilichokuwa na ujumbe: “Ukweli utawaweka huru” (Yn. 8: 32), tunawaletea ujumbe wa “Umoja” ili kuongeza msisitizo kwenye ujumbe wetu wa Kwaresma. Tunaitwa kukubali kuwa umoja ni ukweli msingi wa kila mafanikio ya jumuiya ya mwanadamu.

Ufufuko ni Pasaka inayomaanisha kivuko au kupita kwa Wayahudi toka kwenye matatizo ya utumwa hadi uhuru kamili. Kwa Wakristo ni kuvuka kutoka utumwa wa fikra za kifo (dhambi) hadi uhuru kamili wa ufufuko wetu na Bwana Yesu. Kwa hiyo, furaha za Pasaka zinapaswa kusheheni shukurani za dhati kwa zawadi nyingi alizotujalia Mungu Muumba wetu tokea mwanzo na hasa nyakati hizi katika mwanga wa

Baikoko kushiriki tamasha Ujerumani


Wasanii kutoka Tanzania wanatarajiwa kupamba maonesho makubwa mbalimbali nchini Ujerumani katika msimu wa joto.

Waliopata nafasi hiyo ni kikundi cha ngoma ya Baikoko kutoka mkoani Tanga.

Wengine ni mwanamuziki nguli wa reggae, Jhikoman & Afrikabisa band kutoka Bagamoyo, Pwani ambaye

Ya muhimu aliyozungumzia Balozi Mulamula kwa Watanzania, Columbus

Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiongea na Watanzania wa Ohio kwa kuwashukuru kwa makaribisho mazuri waliyompa na kusisitiza upendo na umoja miongoni mwao.
Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiongea na Watanzania wa Ohio kwa kuwashukuru kwa makaribisho mazuri waliyompa na kusisitiza upendo na umoja miongoni mwao.

Balozi Mulamula aliwasifu Watanzania wa Columbus kwa jitihada zao za kufanya vizuri kwenye maisha kwa kutimiza malengo yao yaliyowaleta ughaibuni.

Pamoja na kufanya fundraising ya mfuko wa Jumuiya kwa ajili ya kutatua matizo yanayotokea kwenye Jumuiya hiyo, amewaasa kujiandikisha na bima ya WESTADI kwani ni nafuu sana unalipa $300 tu kwa mwaka au kama haiwezekani akashauru kutafuta bima yoyote hata hapa ughaibuni ili kuondoa adha ya michango ya mara kwa

Taarifa ya Wizara: Mafunzo ya Ualimu wa Stashahada 2014/2015

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI


Simu:022-2110146/2110150/2/211679 Faksi:022-2113271, Tovuti: www.moe.go.tz

 NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA KWA MWAKA WA MASOMO 2014/2015UTANGULIZI

Moja ya mikakati ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi katika kuandaa walimu mahiri ni pamoja na kuhakikisha kuwa wanafunzi wanaochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu ngazi ya Stashahada ni wale wenye ufaulu mzuri katika mitihani ya kidato cha NNE na SITA. Ili kufanikisha azma hii, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, itadahili wanafunzi wenye ufaulu wa Daraja la Kwanza hadi Daraja la Tatu tu.

Aidha, kutokana na upungufu mkubwa wa walimu wa Sayansi na Hisabati wa takribani walimu

[video] Pres. Kikwete cautions EAC against rushed decisions


Part two of the video follows below...

[video] UKAWA na Waandishi wa habari Zanzibar

Taarifa kwa muhtasari wa yaliyosemwa na UKAWA katika mkutano wao na waandishi wa habari Zanzibar.

Salamu za Pasaka 2014 kutoka CCM-Uingereza

CHAMA CHA MAPINDUZI - TAWI LA UINGEREZA – UNITED KINGDOM

Website ccmuk.org, Blog ccmuk.org/blog, Facebook page Chama Cha Mapinduzi uingereza, twitter CCMUK1

Contacts Phone +44 74 04 863333, +44 7545 213515
E-mail – [email protected]

Chama Cha Mapinduzi- London – Uingereza kinaridhia Salaam za CCM Makao Makuu kuungana na Wakristo- Watanzania na Ulimwenguni kote kuwatakia kila la kheri na fanaka katika kusherehekea Sikuu Kuu ya PASAKA 2014.

Aidha CCM UK inayo imani kubwa kuwa Sherehe hii ya Pasaka itakuwa kigezo cha