Report - Ivory’s Curse: The Militarization and Professionalization of Poaching in Africa

  • In Tanzania, political elites have aided the industrial-scale depletion of East Africa's largest elephant population. 

WASHINGTON, April 21, 2014 /PRNewswire-USNewswire/ -- Today, Born Free USA and C4ADS released "Ivory's Curse: The Militarization and Professionalization of Poaching in Africa," one of the most shocking, rigorous and in-depth analyses of elephant poaching and the ivory trade to date. The report examines links to violent militias, organized crime, government corruption, and ivory trade to Asia. It further exposes the widespread transnational illicit participants deeply interwoven into the system that moves ivory. The full report is available at www.bornfreeusa.org/ivoryscurse

According to Adam Roberts, CEO of Born Free USA, a global leader in wildlife conservation and animal welfare, "The elephant poaching crisis has reached historic levels and, shockingly, some elephant populations face extinction in my lifetime. Born FreeUSA sought to understand in a more robust way how

UPDATED [video] Lukuvi akizungumza Kanisani Methodist Dodoma

Video ya aliyoyazungumza Waziri Lukuvi katika Kanisa la Methodist mkoani Dodoma, kuhusu Muungano.


Video credits: "Kamati ya Maridhiano"

Ajali ya basi yaua 20 papo hapo

Simiyu

Taarifa zinasema kuwa ajali iliyotokea katika kijiji cha Yitwimila A, kata ya Kiloleli wilayani Busega katika mkoa wa Simiyu leo hii imesababisha vifo vya watu 20 na kuacha takribani watu 40 wakiwa na majeraha, baada ya basi la Luhuye Express lililokuwa likisafiri kutoka katika mji wa Sirari, Tarime mkoani Mara likielekea Mwanza kuacha njia na kugonga nyumba kisha kupinduka.

Ajali hiyo imeelezwa kutokea saa nne adhuuri wakati basi hilo lenye namba za

Wanafunzi wafa wakiogelea kwenye dimbwi la maji ya mvua

Wanafunzi wawili wa Shule ya Msingi Goba wamekufa baada ya kuzama wakati wakiogelea katika dimbwi la maji ya mvua.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura alisema wanafunzi hao -- Frank Charles (11) na Videson Peter (11) -- walifikwa na mauti juzi saa 5:00 asubuhi katika maeneo ya Goba.

Alisema wakati wanaogelea katika dimbwi hilo, maji yaliwazidi nguvu na kuzama na miili yao iliopolewa na wakazi wa eneo hilo na kuhifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala.

----
Tuwakinge watoto kwa kuwakanya wasicheze katika maji ili kuepusha madhara ya magonjwa na hata kifo!

Tamko la Vijana Wazalendo wa Vyuo Vikuu kulaani vurugu Bungeni

Mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Gulatone Masiga akifafanua jambo kwa waandishi wa Habari(hawapo pichani), kushoto ni Albert Sweya kutoka Chuo Kikuu cha Kampala.wakati wa Mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Leo Jijini Dar es Salaam.
Mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Gulatone Masiga akifafanua jambo kwa waandishi wa Habari(hawapo pichani), kushoto ni Albert Sweya kutoka Chuo Kikuu cha Kampala.wakati wa Mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Leo Jijini Dar es Salaam. (picha: Tz Govt blog).


VIJANA WAZALENDO WA VYUO VYA ELIMU YA JUU DAR ES SALAAM

TAMKO LA KULAANI VURUGU ZINAZOJITOKEZA KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA.


Sisi wanafunzi wasomi katika vyuo vikuu mbalimbali vilivyoko Dar es Salaam (Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM); Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU); Dar es Salaam University College of Education (DUCE); USTAWI WA JAMII; Chuo Kikuu cha Mtakatifu John (St. John); Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM); Open University of Tanzania (OUT); Kampala International University (KIU); Dar es Salaam Institute of Technology (DIT); Institute of Adult Education (IAE); Tanzania School of Journalism (TSJ); College of Business Education (CBE) na Chuo cha kumbukumbu ya Mwl JK Nyerere. Sisi sote tunalaani mwenendo uliyojengeka kwa wanasiasa wanaojiita “UKAWA“ kuvuruga Bunge Maalum la Katiba kwa sababu ambazo si za msingi.

Kwanza walianza kudhalilisha wanazuoni wanaoonekana kutofautiana nao kimawazo kuhusu msimamo wao wa kutaka serikali tatu. Wanazuoni ambao wamekuwa wakidhalilishwa na kutungiwa

The Fastest workout: 4 minutes only!

This infographic provides a visual understanding of the workout and some background information on the exercise that inspired Quick 4.Infographif source/URL: tinyhearts.com/the-worlds-fastest-workout

Kwa "waliopanda mbegu" tena: Statements regarding TelexFREE™

1. U.S. SECURITIES AND EXCHANGE COMMISSION PRESS RELEASE


Seal of the U.S. Securities and Exchange Commission. (screen-shot photo from: www.sec.gov)

U.S. SECURITIES AND EXCHANGE COMMISSION

Litigation Release No. 22974 / April 17, 2014

Securities and Exchange Commission v. TelexFree, Inc. et al., Civil Action No. 1:14-cv-11858-DJC (United States District Court for the District of Massachusetts)


SEC Halts Pyramid Scheme Targeting Dominican and Brazilian Immigrants

The Securities and Exchange Commission today announced that on Tuesday, April 15, 2014, it filed charges against the Massachusetts-based operators of a large pyramid scheme that mainly targeted Dominican and Brazilian immigrants in the U.S. The charges were filed under seal, in connection with the Commission's request for an immediate asset freeze. That asset freeze, which the U.S. District Court in Boston ordered on Wednesday, secured millions of dollars of funds and

British couple to sue Tanzania to international arbitration court over farm deal

A British couple aim to take Tanzania to an international arbitration court after they were forced to flee following what they say was a campaign of harassment and intimidation, including death threats.

If it goes to court, the case could prove embarrassing for the UK and Tanzania at a time when the British government is promoting private investment in the east African country.

Sarah Hermitage and Stewart Middleton bought the lease to Silverdale farm in the Kilimanjaro area from Benjamin Mengi, a businessman, in 2004. Hermitage, a solicitor, and Middleton, an agronomist with

Chege, YP 'wawasha moto' Coco Beach

Watu iliyofurika kwenye Tamasha la Cheka Bombastik lililoandaliwa na Vodacom Tanzania mahususi kwa ajili ya wateja wake katika msimu huu wa sikukuu ya pasaka na kufanyika kwa siku mbili mfululizo katika fukwe za bahari ya Hindi jijini Dar es Salaam.

Katika kusheherekea sikuu ya Pasaka, wasanii Chege Chigunda au mtoto wa Mama Saidi na mwenzake YP wametoa burudani ya aina yake kwa wakazi wa Dar es Salaam katika tamasha maalum la Cheka Bombastik lililofanyika katika fukwe za Coco jijini Dar es Salaam.

Burudani ilianza kwa staili ya aina yake kwa wasanii Chipukizi “Underground” kupanda jukwaani na kutoa burudani kwa maelfu ya mashabiki waliojitokeza katika fukwe hizo.

Uwanja ulikuwa hautoshi pale alipopanda jukwaani Chege Chigunda na