[audio] Maelezo ya hatua wanayochukua "Tanzania Kwanza" nje ya Bunge

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wanaounda kundi la 'Tanzania Kwanza' wamezungumza na Waandishi wa habari leo na kuelezea mipango na mikakati watakayoichukua wakiwa nje ya vikao vya Bunge hilo.

 Tafadhali bofya kitufe cha pleya iliyopachikwa hapo chini, yenye audio kutoka 'Habari Maelezo,' ili kusikiliza.

Rais Kikwete azindua, Mnyika akata utepe wa ujenzi wa hospitali ya MUHAS, Mloganzila

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi mkasi Mbunge wa Ubungo (CHADEMA) Mhe. John Mnyika ili na yeye akate utepe na viongozi wengine kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali kubwa na ya kisasa ya Chuo Kikuuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili kijijini Mloganzila mkoa wa Pwani leo April 24, 2014. 
(picha hii na zilizopachikwa hapo chini ni kutoka IKULU)

[video] Jaji Warioba akionya kauli zinazoligusa Jeshi

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume na ufumbuzi wake kwa kutumia korodani za wanyama na vyakula asilia

KORODANI ZA MBUZI, KORODANI ZA KUKU NA DAWA YA JIKO KATIKA KUPONYA TATIZO LA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME

Korodani za jogoo
Korodani za jogoo

Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa kwa ufasaha.

Tatizo hili linawakabili mamilioni ya wanaume duniani na limekuwa na athari nyingi kama vile kuvunjika kwa mahusiano na hata ndoa.

Mwanaume mwenye tatizo la ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume anakuwa hana uwezo wa kumtosheleza mwanamke kwenye tendo la ndoa.

DALILI ZA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME

Mwanaume anayekabiliwa na tatizo la ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume huonyesha dalili zifuatazo:-

[audio] Mchango wa Kadari Singo Bungeni kuhusu uraia-pacha

Mhe. Kadali Lincoln Singo
Mhe. Kadari Lincoln Singo


wavuti.com imeshirikishwa post hii na SwahiliVilla blog, shukurani.

Scholarships for International Undergraduate Students 2015 from Japan's Government

Japan's Ministry of Education, Culture, Sports, Science and Technology(MEXT) offers scholarships to international students who wish to study at Japanese universities as undergraduate students under the Japanese Government (MEXT) Scholarship Program for 2015.

Those who wish to study in Japan as an undergraduate student must choose a field of major from (1) Social Sciences and Humanities  (2) Natural Sciences

Please click here for details.

Mabingwa wa soka, Azam FC wavuna 75M kutoka Vodacom

Meneja Uhusiano wa Nje Vodacom Tanzania, Salum Mwalimu akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari, wakati wa kutangaza zawadi za washindi wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Pamoja naye katika picha, wa kwanza kutoka kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Silas Mwakibinga, Afisa Habari wa TFF, Boniface Wambura na Afisa Udhamini na Matukio wa Vodacom, Ibrahim Kaude.

* Timu yenye nidhamu kuvuna 16M

Mdhamini Mkuu wa Ligi kuu Vodacom Tanzania Bara kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom imetangaza kuipatia timu ya Azam FC kitita cha Sh 75 kama zawadi ya fedha taslimu baada ya kuibuka bingwa wa ligi msimu wa 2013/2014.

Mwaka jana Bingwa wa Ligi Kuu Vodacom ambapo ilikuwa timu ya Yanga alizawadiwa kitita cha

Mjumbe azungumzia asili ya makabila ya Zanzibar

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Riziki Said Lulida, ameonya Watanzania kuacha kubaguana kwa misingi ya upande wa Muungano kwa kuwa wao ni ndugu wa damu.

Kwa mujibu wa Lulida, asilimia zaidi ya 95 ya Wazanzibari, wanatoka Tanzania Bara na walifika Zanzibar kabla ya Uhuru wa Tanganyika, Mapinduzi ya Zanzibar na Muungano wa mwaka 1964.

Akichangia mjadala wa rasimu ya Katiba kuhusu sura ya kwanza na ya sita juzi, Lulida huku akitoa historia ya asili ya wenyeji wa Zanzibar, alisema hakuna

Twaweza: What do people really think of the constitution? Je, Watanzania wanaionaje katiba?

Mjadala katika Bunge la Katiba umejaa na ubishi na mgawanyiko, lakini Watanzania wameungana kutaka katiba yenye uwajibikaji zaidi kwa viongozi wa umma na mfumo wa utawala wenye uwazi zaidi. Miongoni mwa vifungu katika rasimu pili ya katiba ambavyo vinaungwa mkono na wananchi walau sita kati ya kumi ni:
  • Idadi kubwa ya Watanzania wanaunga mkono vifungu vinavyohusiana na haki ya wananchi kupata taarifa au habari, na kuongezeka kwa uwajibikaji na uwazi wa viongozi wa umma
  • Mapendekezo kwa ajili ya utaratibu wa kudhibiti na kuwajibisha wabunge na mgawanyo wa madaraka ili kuepuka migogoro ya kimaslahi yanaungwa mkono na wengi
Matokeo haya yametolewa na Twaweza kwenye muhtasari wa utafiti wenye jina la

Salam za Sherehe za Miaka 50 ya Muungano kutoka CCM-UK

CHAMA CHA MAPINDUZI - TAWI LA UINGEREZA – UNITED KINGDOM

 
Website: ccmuk.org, Blog: ccmuk.org/blog, Facebook page: chama cha mapinduzi uingereza, twitter: CCMUK 1, Contacts Phone +44 74 04 863333, +447545 213515. E-mail – [email protected] Uongozi na Wanachama wote wa Chama cha Mapinduzi Tawi la Uingereza (UNITED KINGDOM) pamoja Watanzania wanaoishi nchini Uingereza kwa pamoja wanajumuika na Watanzania wote katika kuadhimisha kilele cha sherehe za miaka hamsini (50) ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zitazofanyika Tarehe 26 Aprili, 2014 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, na pia kuwaombea shamrashamra za amani na Utulivu katika Mkesha wa Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar utakaofanyika Viwanja vya Mnazi Mmoja Tanzania Bara na Viwanja vya Maisara, Zanzibar kuanzia saa 4:00 usiku wa tarehe 25 April 2014.

Vile vile Mwenyekiti wa CCM UK anayemaliza muda wake Ndugu Maina A Owino anapenda kutoa shukrani za

La Muungano hili? ISO yataka mwakilishi mmoja tu kutoka Tanzania

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesema lipo katika mazungumzo na Shirika la Viwango la Zanzibar (ZBS), kukubaliana nini kifanyike kupata uwakilishi mmoja kwenye Shirika la Viwango la Kimataifa (ISO), linaripoti gazeti la HabariLeo.

Kwa mujibu wa TBS, ISO inatambua uwakilishi wa shirika moja la viwango kutoka katika nchi mwanachama, lakini Tanzania inayotambuliwa kama nchi ina mashirika mawili, hivyo kuleta ugumu kwenye shirika hilo kuhusu utambuzi.

Akizungumza Dar es Salaam hivi karibuni, Mkurugenzi wa viwango wa shirika hilo,

US safari company accused of exploitation in Tanzania: Illegally obtaining land, beat villagers, burning down homes

A safari group got a close-up look at some wildlife in the Enashiva preserve.
(A THOMSON SAFARIS photo via bostonglobe.com)

An unusual lawsuit accuses a well-known Watertown safari company of illegally obtaining a large tract of land in Tanzania, beating villagers, and burning down their homes — all charges the tour operator maintains are outrageous lies by three Maasai village councils that are being manipulated by another party that wanted the land.

The case, pending in the High Court of Tanzania in Arusha, took its turn in Boston late last week when the US District Court ordered the local company, Thomson Safaris, to turn over testimony and documents related to the disputed land and alleged violence.

“Allegations of land grabbing and violent conflict over land ownership is on the rise in Tanzania,” Rashid Salim Rashid, one of the lawyers representing the village councils, said in an e-mail. “This suit speaks to the marginalization of the Maasai people and other disenfranchised rural communities who are vulnerable to land alienation.”

Rick Thomson and Judi Wineland, the Watertown couple who own 33-year-old Thomson Safaris, vehemently deny the charges. An affiliated company owned by the couple, Tanzania Conservation Ltd., legally bought the 12,617 acres in northern Tanzania in a public auction to create the Enashiva Nature Refuge, where Thomson operates wildlife tours, they say. Click here to continue reading.

Tamko la Umoja wa Asasi za Kiraia kuhusu mchakato wa Katiba Mpya

Tunapenda kuipongeza serikali na hasa kumpongeza kwa dhati Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa kukubali kuanziha mchakato wa kutunga katiba mya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Tunalishukuru Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutunga sheria zote zinazowezesha kuelekeza hatua mbali mbali za mchakato huu.

Tunaishukuru Tume ya Mabadiliko ya Katiba chini ya Uongozi wa Jaji Joseph Sinde Warioba kwa kuendesha zoezi la kukusanya maoni kutoka kwa wananchi na kuandika rasimu ya kwanza nay a pili za Katiba Mpya.

Tunawashukuru wananchi, wataalamu na Asasi mbali mbali kwa kushiriki na kutoa maoni katika hatua mbali mbali za mchakato huu wa kutunga Katia Mpya.

Kutokana na namna mambo yananvyokwenda katika Bunge Maalum la kutunga Katiba, Asasi za Kiraia ziliona

Freeware: UnDelete Plus - Recover deleted documentsUnDeletePlus is an approach to recover coincidentally erased documents, records uprooted from the Recycle Bin, in a DOS window, from a system drive, from Windows Explorer with the SHIFT key held down. 

The system upholds all Windows document frameworks for hard and floppy drives including Fat12/16/32, NTFS/Ntfs5 and picture recuperation from Compact Flash, Smart Media, Multimedia, and Secure Digital cards.

Tanzanian Officials in Oklahoman to learn about natural gas production

A delegation of officials from the African nation Tanzania is in Oklahoma City this week, getting advice on how to handle a large off-shore discovery of natural gas. (photo: www.news9.com)

A delegation of officials from Tanzania is in Oklahoma City this week, getting advice on how to handle a large off-shore discovery of natural gas, reports the News9.

Oklahoma oil and gas companies are stepping up to help Tanzania develop this sector, taking the Oklahoma standard international.

Just off the coast of Tanzania, 43 trillion cubic feet of natural gas has been