[audio] Mahojiano na Prof. Boas kuhusu Muungano wa Tanzania

Prof. Boas na Chief wa SwahiliVilla blog, Abou Shatry baada ya kufanya mahojiano siku ya Ijumaa Mei 2, 2014 jijini Maryland, Marekani.

Sikiliza audio ya mahojiano baina ya SwahiliVilla na Profesa Boas, Mwalimu wa Mawasiliano na Sera (Communication and Public Policy) University of Maryland University College Washington DC, akizungumzia kuhusu Muungano wa Tanzania.

Tizama LIVE online! Kili Tanzania Music Awards 2014

Video ya hafla ya kilele cha tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2014 inayofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwatuza wasanii, vikundi, watunzi na wandaaji wa muziki waliofanya vizuri mwaka 2013.

Uganda's Bunyoro ministers visit kingdom’s former territories in Tanzania

By Pascal Kwesiga — The Omukama of Bunyoro kitara kingdom Solomoni Iguru has sent a delegation to Tanzania to visit the “Banyoro” in the north southern district of Karagwe.

According to the Kingdom Prime Minister, Jackson Kasozi, who is leading the delegation that left for Karagwe on Wednesday, the Omukama sent them to visit the “Banyoro” who live in areas that were under Bunyoro Kitara Empire before it disintegrated hundreds of years ago.
“The Omukama received an invitation from the Banyoro in Karagwe. They asked him to visit them but he has decided to send his ministers,”
Nsamba said.

The minister for liaison and diaspora affairs, Philip Katahoire said, the visit is also aimed at establishing what

Vodacom yachangia shughuli za “Mwenge wa Uhuru”


Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu Fabian Massawe akihakiki thamani ya hundi ya mfano iliyotolewa na Kampuni ya Vodacom kuchangia sherehe ya uwashaji mwenge wa Uhuru kitaifa iliyofanyika Mkoani humo.Wanaofurahia kitendo hicho kutoka kushoto ni Mkuu wa Vodacom Kanda ya Ziwa Domician Makama, Meneja wa Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim, Mkuu wa Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule na Katibu Tawala wa Mkoa Nassor Mnambila (wa kwanza kulia). Makabidhiano hayo yalifanyika mjini Bukoba.

Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania imechangia Sh 10 Milioni kufanikisha sherehe za uwashaji wa mwenge wa uhuru kitaifa zilizofanyika Bukoba,mkoani Kagera.

Vodacom imechangia fedha hizo kupitia serikali ya mkoa wa Kagera ambao ndio wenyeji wa tukio hilo na kusema kuwa itatumia fedha hizo kulipia gharama mbalimbali ikiwemo za ukarabati wa uwanja wa Kaitaba pamoja mapambo katika uwanja huo uliotumika kwenye sherehe hizo kitaifa, matangazo na uhamasishaji.

Akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu Fabian Massawe, Meneja wa Uhusiano wa

Mourning a noted Tanzanian botanist, conservationist - Sebastian Chuwa

Sebastian Michael Chuwa (photo: blackwoodconservation.org)
Sebastian Michael Chuwa (photo: blackwoodconservation.org)


By James Harris and Bette Stockbauer-Harris

A noted Tanzanian botanist and conservationist is mourned

Sebastian Michael Chuwa, Tanzanian botanist and winner of several international awards for his accomplishments in conservation in his country, passed away on April 8, 2014 in Kilimanjaro Region from complications following a stroke.

Mr. Chuwa was particularly noted for his efforts to replant the African blackwood tree, the national tree of Tanzania. 

Known locally as mpingo, it is used by east African carvers and in the manufacture of woodwind instruments such as clarinets, flutes, bagpipes, piccolos and oboes. The species is listed as near-threatened on the IUCN Red List and is commercially extinct in many areas of eastern Africa, where harvesting is most intense. Through

Asasi 20 za Kiraia zaunda Bunge kivuli

WAKATI Bunge la Katiba likiwa limeshindwa kukonga nyoyo za Watanzania wengi, asasi 20 za kiraia nchini zinaratibu uanzishwaji wa Bunge ‘kivuli’ la Katiba litakaloendesha mijadala yake sambamba na Bunge rasmi la Katiba, gazeti la RAIA MWEMA limedai kuthibitishiwa.

Hatua hiyo ni utangulizi unaohusisha maandalizi ya asasi hizo kutimiza wajibu wao vizuri wakati wa kampeni kuhusu Katiba itakayopitishwa na Bunge rasmi kupigiwa kura ya ndiyo au hapana.

Kampeni kabla ya upigaji wa kura ya maoni inatarajiwa kufanyika baada ya Bunge la Katiba kukamilisha kazi ya

[videos] Mkutano wa UKAWA Pemba, Zanzibar, Mei Mosi, 2014

liyopachikwa hapo ni playlist yenye video tano za mkutano wa UKAWA uliofanyika Pemba, Zanzibar.

 

Taarifa kuhusu maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani

TANZANIA MIDWIVES ASSOCIATION (TAMA


Chama cha Wakunga Tanzania (TAMA) kitaadhimisha siku ya Wakunga Duniani
(International Day of Midwives hapa nchini kwa siku mbili kuanzia tarehe 4 hadi 5/2015.

Siku ya Wakunga Duniani huadhimishwa duniani kote tarehe tano mwezi wa tano ya kila mwaka. Madhumuni ya Maadhimisho hayo ni kuhamasisha Wadau mbalimbali pamoja na Jamii kwa ujumla kuhusu umuhimu wa wakunga na shughuli wanazozifanya katika kupunguza vifo vya akina mama vinavyotokana na uzazi pamoja na vifo vya watoto wachanga na wenye umri chini ya miaka mitano.

Kauli Mbiu ya Mwaka huu (2014) ni “Wakunga Wataalam Wanahitajika Duniani kwa

Wananchi waomba kituo cha afya Simambwe kifanye kazi saa 24

Sehemu ya jengo la Kituo cha Afya Simambwe, likitoa huduma

Tembela, Mbeya -- WANANCHI wa Kata ya Tembela Wilaya ya Mbeya Vijijini wameiomba Serikali kusaidia kukiwezesha Kituo cha Afya Simambwe ili kifanye kazi saa 24 ili kuwasaidia muda wote wananchi wanaohudumiwa na kituo hicho hasa wajawazito.

Kauli za ombi hilo zimetolewa hivi karibuni kwa nyakati tofauti na wananchi hao walipokuwa wakizungumza na mwandishi wa habari hizi katika vijiji vyao